JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Angela Kairuki: Wasifu wa mdada

  Report Post
  Page 2 of 2 FirstFirst 12
  Results 21 to 32 of 32
  1. Ndjabu Da Dude's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 29th August 2008
   Posts : 2,894
   Rep Power : 11882
   Likes Received
   452
   Likes Given
   222

   Default Angela Kairuki: Wasifu wa mdada

   Naona JK kampatia uwaziri Angela Kairuki kutokana na zile ziara za mwaka jana za Kamati ya Wabunge kwenda UK kudai pesa za rada zirudishwe hazina, ambapo hatimaye walifanikiwa. Kwa mtazamo wangu, Angela Kairuki alionekana akizungumza kwa machungu makubwa na hasira wakati akiweka wazi msimamo wa Serikali mbele ya Wabunge wa UK kwenye taswira na video zilizotolewa wakati huo

   Hivi huyu mdada ni chotara, na ana wasifu gani kwa maana ya umri, elimu, marital status, na kadhalika?

  2. W. J. Malecela's Avatar
   JF Tanzanite Member Array
   Join Date : 15th March 2009
   Posts : 11,539
   Rep Power : 584402
   Likes Received
   5333
   Likes Given
   2515

   Default Re: Angela Kairuki: Wasifu wa mdada

   Quote By salaama View Post   Bachelor of Laws (LLB Hons) University of Hull, UK; Pgd in Legal Practise-Stafordshire University; Level 3 Certificate in French Language-university of Nantes,France

   Professional qualifications: Commissioner for Oath and High Court advocate, Anti-money laundering (AML) specialist, Certificate in Legislative Drafting-Ghana Law school, Certificate in Altenative Dispute Resulution and Arbitration-UNiTAR, Certificate of Labour Law-Tanzania Labour College-mbeya, Qualified Arbitrator-

   Pia mwaka jana alikuwa miomgoni mwa vijana wachache katika jumuiya ya Afrika ya Mashariki waliochaguliwa kushiki kwenye Programu ya Leadership for Change in Africa.....details zaidi zipo hapa Home - Team Web Site

   - Duh! jamani imetossha sasa maana this is simply overqualified, sasa tuwe objective na openminded kama watu tulioenda shule somo kama hili tunatakiwa tulinganishe, hebu huko upande wa pili leteni CV ya Mwenyekiti ili tukate mzizi wa fitina, ni maoni yangu tu! ha! ha! ha!

   William.

  3. Malunkwi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 19th January 2011
   Location : Dar es salaam
   Posts : 301
   Rep Power : 613
   Likes Received
   54
   Likes Given
   20

   Default Re: Angela Kairuki: Wasifu wa mdada

   Quote By Biohazard View Post
   Ila ww nae Taarabu sana.
   mi mwenyewe imebidi nicheke nilivyoona coment ya huyo jamaa ana chai sana

  4. Planner's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 5th April 2011
   Location : Loliondo
   Posts : 256
   Rep Power : 594
   Likes Received
   72
   Likes Given
   71

   Default Re: Angela Kairuki: Wasifu wa mdada

   Ana wasifu mzuri ambao kwa serikali zinazotumia potentials huyo atatusaidia kusogeza mambo,issue ni je sisiem huwa wanajua kutumuia vipaji kwa manufaa yetu?.genius wetu mzee Balali wa BOT alitufikisha wapi..?kwa serikali yetu ni vigumu sana kuweka matarajio makubwa katika aspect yoyote manake waweza kufa kwa stress......!ukistaajabu ya musa...
   Kupanga ni kuchagua

  5. webondo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 29th April 2012
   Location : Chini ya mwembe
   Posts : 1,646
   Rep Power : 816
   Likes Received
   258
   Likes Given
   617

   Default Re: Angela Kairuki: Wasifu wa mdada

   Anastahili hapo alipo!

  6. baraka boki's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 20th September 2010
   Posts : 181
   Rep Power : 607
   Likes Received
   19
   Likes Given
   3

   Default

   Quote By W. J. Malecela View Post
   - Duh! jamani imetossha sasa maana this is simply overqualified, sasa tuwe objective na openminded kama watu tulioenda shule somo kama hili tunatakiwa tulinganishe, hebu huko upande wa pili leteni CV ya Mwenyekiti ili tukate mzizi wa fitina, ni maoni yangu tu! ha! ha! ha!

   William.
   ndiyo maana ulikosa ubunge wa africa mashariki

  7. Ndjabu Da Dude's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 29th August 2008
   Posts : 2,894
   Rep Power : 11882
   Likes Received
   452
   Likes Given
   222

   Default Re: Angela Kairuki: Wasifu wa mdada

   Quote By Njoka Ereguu View Post
   Mkuu katika hoja hii nilielewa kuwa unahoja unataka kuitoa, sasa ilikuwa vigumu kufanya hivyo bila taarifa za ziada kama ulivyozihitaji. Kwa kuwa sasa umezipata za kutosha hata za ziada kuliko mahitaji yako tunaomba sasa wasilisha hoja yako mezani. AU imepotea ghafla?
   Well, more power to Angellah. Lakini pamoja na elimu yake yote, kwa kiasi fulani amebebwa na connections zake za kifamilia kupitia mamake na mumewe kama Wachangiaji wengine walivyogusia hapo juu. Huo ndiyo ukweli uliojidhihirisha, na umuhimu wa thread niliyoanzisha haukuwa haba. Wengi tumefahamu tuliyokuwa hatuyajui.

  8. Gerald Furaha Maro's Avatar
   Junior Member Array
   Join Date : 28th April 2012
   Posts : 2
   Rep Power : 0
   Likes Received
   0
   Likes Given
   0

   Default Re: Angela Kairuki: Wasifu wa mdada

   Le Mutuuz are we comparing chairperson here? and we have be asking CV ya naibu waziri ambaye ni wa taifa sio upande wowote? this left a lot of question for politician of this country....

  9. Mkomamanga's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 9th December 2011
   Posts : 706
   Rep Power : 648
   Likes Received
   138
   Likes Given
   0

   Default Re: Angela Kairuki: Wasifu wa mdada

   Quote By W. J. Malecela View Post
   - Duh! jamani imetossha sasa maana this is simply overqualified, sasa tuwe objective na openminded kama watu tulioenda shule somo kama hili tunatakiwa tulinganishe, hebu huko upande wa pili leteni CV ya Mwenyekiti ili tukate mzizi wa fitina, ni maoni yangu tu! ha! ha! ha!

   William.
   Mi sidhani kama ni 'overqualified' kwa maana degree ni moja tu na mengine ni mapambo ambayo kwa yeyote aliyewahi kuishi ulaya, kupata certificates ni jambo lisilotisha sana kwa kuwa kila summer waweza kuzipata tu. Lakini pia tukumbuke kuwa certificates hata zingekuwa 20 hazitengenezi hata Diploma moja, vivyohivyo diploma hata ziwe 100 hazitengenezi degree hata moja na degree za kwanza kama za Mugabe hata ziwe 30 hazitengenezi hata degree moja ya uzamili na uzamili hata 10 hazina PhD hata moja.

   Kwa kufaa nafasi hiyo anafaa kwa kuwa TZ ndivyo ilivyo na hakuna apataye bila kujulikana, ila kwamba ndiye mwamba na kinara kwa waTZ wote sidhani kama ni sahihi labda ni sahihi tu kwamba ndiye aliyeonekana na mheshimiwa anayeteua au anayeteuliwa kipindi hiki

  10. mzurimie's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 16th October 2011
   Location : Mtaa Mmoja
   Posts : 3,932
   Rep Power : 429497730
   Likes Received
   1919
   Likes Given
   1448

   Default Re: Angela Kairuki: Wasifu wa mdada

   Ni mke wa mtoto wa mwisho wa marehemu Dr. Hubert Kairuki aliyefunguaga hospitali ya Mikocheni. yaani hao Kairuki ndio wanaomiliki hospitali hiyo.
   jisome tabia, jibadili ikiwa duh_na raha utapata sana tu.

  11. W. J. Malecela's Avatar
   JF Tanzanite Member Array
   Join Date : 15th March 2009
   Posts : 11,539
   Rep Power : 584402
   Likes Received
   5333
   Likes Given
   2515

   Default Re: Angela Kairuki: Wasifu wa mdada

   Quote By Mkomamanga View Post
   Mi sidhani kama ni 'overqualified' kwa maana degree ni moja tu na mengine ni mapambo ambayo kwa yeyote aliyewahi kuishi ulaya, kupata certificates ni jambo lisilotisha sana kwa kuwa kila summer waweza kuzipata tu. Lakini pia tukumbuke kuwa certificates hata zingekuwa 20 hazitengenezi hata Diploma moja, vivyohivyo diploma hata ziwe 100 hazitengenezi degree hata moja na degree za kwanza kama za Mugabe hata ziwe 30 hazitengenezi hata degree moja ya uzamili na uzamili hata 10 hazina PhD hata moja.

   Kwa kufaa nafasi hiyo anafaa kwa kuwa TZ ndivyo ilivyo na hakuna apataye bila kujulikana, ila kwamba ndiye mwamba na kinara kwa waTZ wote sidhani kama ni sahihi labda ni sahihi tu kwamba ndiye aliyeonekana na mheshimiwa anayeteua au anayeteuliwa kipindi hiki
   - FULL STOP!!

   William!

  12. Ndinani's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 29th August 2010
   Posts : 4,132
   Rep Power : 1899
   Likes Received
   1109
   Likes Given
   279

   Default Re: Angela Kairuki: Wasifu wa mdada

   Quote By W. J. Malecela View Post
   - Duh! jamani imetossha sasa maana this is simply overqualified, sasa tuwe objective na openminded kama watu tulioenda shule somo kama hili tunatakiwa tulinganishe, hebu huko upande wa pili leteni CV ya Mwenyekiti ili tukate mzizi wa fitina, ni maoni yangu tu! ha! ha! ha!

   William.
   Na wewe mgogo lete yako tuone umetumikia meli ngapi za wagiriki!!

  13. Ludewa's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 9th March 2009
   Posts : 215
   Rep Power : 694
   Likes Received
   36
   Likes Given
   103

   Default Re: Angela Kairuki: Wasifu wa mdada

   Quote By W. J. Malecela View Post
   - Duh! jamani imetossha sasa maana this is simply overqualified, sasa tuwe objective na openminded kama watu tulioenda shule somo kama hili tunatakiwa tulinganishe, hebu huko upande wa pili leteni CV ya Mwenyekiti ili tukate mzizi wa fitina, ni maoni yangu tu! ha! ha! ha!

   William.
   mwenyekiti wake wa kamati ya katiba na sheria ni mhe. pindi chana, ambaye alitaka uwaziri apewe yeye, kwa hiyo Degree yake ya russia. mwenyekiti wake pindi chana alikesha kwa waganga kule bagamoyo akimloga JK ampe uwaziri, wapi bwana kumbe JK halogeki. angela anastahili, siyo pindi chana.

  Page 2 of 2 FirstFirst 12

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...