| Register | Calendar | Search | Today's Posts | Mark Forums Read |
| FAQ | Members List | Bongo Flava | Zilipendwa | Taarab | Injili |
|
|
#1 (permalink) | |||||||||||||||
|
||||||||||||||||
|
Views: 139325
|
||||||||||||||||
|
|||
|
Muulizeni Mtoa Ukweli wakati anatoa ujinga kila mahala . Huyu JK katulia wau warudishe pesa walizompa ili afanyie kampeni .Yote haya ni longo longo hatutajua Ukweli .
|
|
||||||||||||
|
Naamini hii story inaweza kutoa mwanga wa nini alichosema Lunyungu
Govt posts huge tax exemptions and … MPs are not amused . Exemptions equal EU budget support . They are also equal to our budget deficit SAYUNI KIMARO Dar es Salaam
|
||||||||||||
|
||||
|
ILI WANANCHI WANAHALI MBAYA
Last edited by Game Theory; 31st January 2007 at 04:41 AM.. |
|
|||
|
Hapa kuna so many issues zinakuja kufunikwa, kuna Mahalu , kuna Rada , na miswada ya ajabu Bungeni , kuna Bunge na Kamati ya Mengi , kaeni macho wananchi . Kumbukeni wengi wa nafasi hizi akiwemo commissioner nk ni watu Mtandao na waliiwezesha CCM kutumia na kuwa hapo ilipo. JK hataki kuumaliza umaarufu kirahisi atazua jambo jipya ili kufunika jingine .Kama huamini kaa uone. Nielezeni Richmond na sasa sijui kuna watu gani . Unafiki mtupu kwamba the guy is real . Usalama wa Taifa sasa kazi ni kubuni matukio kuzima matukio.
Sina imani na Uchunguzi huo. |
|
||||
|
DrWHO
Kuna wizi pale wa hali ya juu, hawa jamaa wanaotukopesha wameshituka kwani hata wao hawawezi kuwa na pesa kiasi hicho na kutoka nchi masikini ambayo tunaambiwa kila siku. Pesa wakubwa wanavyokula wenyewe inabidi waanze kuwaonea huruma wadanganyika. SUBIRI NAONA WAZIRI AMELIVALIA NJUGA. PESA WANAYOINGIZA HATA WALE WANAOFANYA KAZI SQUARE MILE PAMOJA NA BONUS ZAO HAWAFUI DAFU
__________________
Dua la kuku halimpati mwewe |
|
|||
|
Waungwana,
Suala la exemptions lina tofauti kidogo na hilo suala la bank kuu. Kiwango kilichotajwa kinatisha ingawaje mimi mwenyewe nimewahi kufaidika na hizo exemptions. Lengo lake ni kupunguza gharama za wawekezaji, kwa mfano mimi nimefaidika kwa kununua vifaa vya ujenzi bila VAT. Tatizo ni pale ambapo hizo exemptions zinatumiwa vibaya na wajanja. Watu wanasema wanajenga hiyo miradi wakati hakuna na vifaa vinapotea. Ila nijuavyo mimi sasa TRA wako macho sana na kila mara wanakuja kukagua kuona kama hivyo vifaa vinatumika ipasavyo. Idea yenyewe ni nzuri ila kama inatumia vibaya basi inapoteza maana nzima. Nimeona nijisalimishe kwani katika hizo huenda kuna pesa ambayo mimi nime save ha haaa!!! Kama exemptions zinatumika vizuri mategemeo ni kwamba hiyo miradi ikianza basi italipa kodi hata zaidi. Ukweli huenda ni tofauti na sisi wananchi ndio tunalipa hizo kodi huku wajanja hata hizo kodi wanaendelea kukwepa. |
|
||||
|
Kuna tatizo mahali fulani, nalo linahusu fedha..!! Aidha Watanzania (kama serikali) hatujui kusimamia fedha, au tunajua kutumia fedha kwa vitu visivyo vya lazima. Kwenye suala la mikataba kila siku najiuliza hivi kweli tunao watu waliosomea sheria? Kwenye haya masuala ya fedha, najiuliza hivi tunao watu waliosomea Uhasibu!?
__________________
Maskini ka-nzi kangu, wamekaminya mbawa Upanga! Sasa ntafanya nini? I'm now twittering - If I know it...u'll know it too |
![]() |
| Bookmarks |
| Tags |
| bot, epa, epa scandal, ufisadi, ushindi ni lazima, wezi tanzania, wizi |
| Currently Active Users Viewing This Thread: 1 (0 members and 1 guests) | |
| Thread Tools | |
| Display Modes | Rate This Thread |
|
|
Similar Threads
|
||||
| Thread | Thread Starter | Forum | Replies | Last Post |
| Echoes of 1990s debt-swap in new scandal at Tanzania central bank | Bubu Ataka Kusema | Habari/Hoja mchanganyiko | 0 | 19th February 2007 03:29 PM |
Tuma Ukurasa huu kwa rafiki yako!