Mheshimiwa Mnyika Hongera sana tumeona dalili za kupata daraja huku kwetu Kimara Suca Golani. Kwa hilo tunakushukuru ila ombi letu watu wa Golani tunaomba daraja liishe jamani isiwe tena linachukua muda mrefu mpaka mvua za masika mwakani tuendelee kupata adha kama kipindi chote tunaishi bila daraja.
Big up for this Bro.
Pia tunaomba utufikirie namna ya kupata angalau kaofisi ka kupeleka kero zetu, tufikirie pia na kituo cha polisi Mheshimiwa.

Reply With Quote
Follow Us Here