Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Mbowe, Dr Slaa kulitikisa Jiji la Dar Jumamosi Ijayo

    Report Post
    Page 4 of 9 FirstFirst ... 23456 ... LastLast
    Results 61 to 80 of 162
    1. #1
      Molemo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th September 2010
      Posts : 8,413
      Rep Power : 10872
      Likes Received
      3793
      Likes Given
      426

      Default Mbowe, Dr Slaa kulitikisa Jiji la Dar Jumamosi Ijayo

      Viongozi wakuu wa CDM wakiongozwa na Mwenyekiti Freeman Mbowe na Katibu Mkuu Dr Wilbroad Slaa Jumamosi ijayo tarehe 26/05/2012 watalitikisa jiji kuu la Dar kwa kufanya mkutano mkubwa wa hadhara katika viwanja vya Jangwani.

      Mkutano huo utakuwa ni maalum kuzungumza na kuwaelimisha wananchi kuhusiana na Katiba mpya. Pia viongozi hao wanatarajiwa kulaani uamuzi wa halmashauri kuu ya CCM kutenga mambo kadhaa na kuwaamuru wananchi kutoyajadili kwani yanapaswa kubaki kwenye katiba kama yalivyo.

      Mkutano huo pia utahudhuriwa na Naibu katibu mkuu Zitto Kabwe, Mnadhimu mkuu wa upinzani Tundu Lissu, Mwanasheria maarufu Mabere Marando,wabunge wote wa chama hicho na wajumbe wote wa kamati kuu.

      Itakumbukwa mara ya mwisho CDM kufanya mkutano mkubwa kama huo Dar ni siku ya uzinduzi wa kampeni za mgombea urais wa chama hicho mwezi Agosti mwaka juzi.

      Mkutano huo unatarajiwa kulitikisa jiji la Dar na Taifa kwa ujumla kwani Maelfu ya wana-CCM wanatarajiwa kuvua Gamba na kuvaa Gwanda.

      Source: John Mnyika-CDM
      Dullo, ZWANGE, Petiro and 6 others like this.

    2. Miaka 50

    3. #61
      Mwanajamii's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th March 2008
      Posts : 7,085
      Rep Power : 1809
      Likes Received
      24
      Likes Given
      13

      Default Re: Mbowe, Dr Slaa kulitikisa Jiji la Dar Jumamosi Ijayo

      Quote By Mopalmo
      Ukonga huku vua gamba vaa gwanda inaendelea kama ilivyopangwa yupo henche,suzan kiwanga na wengineo
      heche na shibuda wamemalizana??????

      susan hajatupa majibu ya kutosha kuhusu marehemu rejia
      Ribosome likes this.

    4. #62
      Mwanajamii's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th March 2008
      Posts : 7,085
      Rep Power : 1809
      Likes Received
      24
      Likes Given
      13

      Default Re: Mbowe, Dr Slaa kulitikisa Jiji la Dar Jumamosi Ijayo

      Quote By ANDENDEKISYE C
      mtu anayefikiri CHADEMA ni chama cha ukanda, ni bora kutomjibu ila kumuombea.
      kaskazini ijitenge,iwe nchi kamili- Nasari
      Ribosome likes this.

    5. #63
      Kaa la Moto's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th April 2008
      Location : Bristol
      Posts : 6,827
      Rep Power : 1944
      Likes Received
      431
      Likes Given
      4198

      Default Re: Mbowe, Dr Slaa kulitikisa Jiji la Dar Jumamosi Ijayo

      Niko njiani naja Dar.... karibuni Jangwani wote.
      wakati Cuf wanataka kuchukua nchi mwaka 2000 CCM walikuja na single ya kusema Cuf ni waislamu na kwa sasa wanadai sisi Chadema ni chama cha wakristo sasa CCM nacho ni cha watu gani? Watu wakajibu mashetaaaaaniiiiii.!---Wana Kigoma.

      ....Pamoja na kansa ya uongozi wa CCM watu wataendelea kukichagua,au watu wanaweza wakachoka na kusema potelea mbali wakachagua chama KINGINE....Julius. Kambarage. NYERERE"

    6. #64
      zomba's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th November 2007
      Posts : 15,822
      Rep Power : 14621
      Likes Received
      2841
      Likes Given
      1961

      Default Re: Mbowe, Dr Slaa kulitikisa Jiji la Dar Jumamosi Ijayo

      Ni vyema kuwa umetutaarifu mapema inabidi tuchukuwe tahadhari ya ziada kipindi hiki kwani tuna uhakika watu wa kanda fulani watajazana hapa mjini na kama unavyowajua wana sifa fulani ambayo ni njema kwenye kanda yao tu, kwingine kote ni sifa mbaya.

    7. #65
      mkizungo's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 6th April 2012
      Posts : 249
      Rep Power : 408
      Likes Received
      47
      Likes Given
      298

      Default Re: Mbowe, Dr Slaa kulitikisa Jiji la Dar Jumamosi Ijayo

      Quote By Kiboko Yenu
      posho posho posho mbowe na slaa kila wakiishiwa pesa lazima waandae mikutam na maandamano ili walipane
      laana hii iwe juu ya kichwa chako,,,,,,,uwe kichaa uokote makopo barabaran,,utembee uchi sokon,,makao makuu ya chawa duniani yawe mwilini mwako,,,,shame 2 u,

    8. FemaTV & Radio

    9. #66
      kekuwetu's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 24th October 2010
      Location : home
      Posts : 120
      Rep Power : 459
      Likes Received
      16
      Likes Given
      41

      Default Re: Mbowe, Dr Slaa kulitikisa Jiji la Dar Jumamosi Ijayo

      Quote By mshikachuma
      Hivi Dar ni kaskazini? Si wanasema hiki chama ni cha kaskazini tu?



      kwani Mwanza ni kaskazini pia????????????????

    10. #67
      Mlengo wa Kati's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 16th February 2011
      Posts : 1,297
      Rep Power : 0
      Likes Received
      188
      Likes Given
      11

      Default Re: Mbowe, Dr Slaa kulitikisa Jiji la Dar Jumamosi Ijayo

      vipi mchumba wa dr slaa atakuwepo?

    11. #68
      zomba's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th November 2007
      Posts : 15,822
      Rep Power : 14621
      Likes Received
      2841
      Likes Given
      1961

      Default Re: Mbowe, Dr Slaa kulitikisa Jiji la Dar Jumamosi Ijayo

      Shibuda nae atapewa nafasi ya kuongea?

    12. #69
      Mufa's Avatar
      Member Array
      Join Date : 2nd October 2011
      Posts : 36
      Rep Power : 393
      Likes Received
      6
      Likes Given
      1

      Default Re: Mbowe, Dr Slaa kulitikisa Jiji la Dar Jumamosi Ijayo

      Kuna ***** moja linajiita kiboko yao ambalo ni gamba toka ccm hamia chadema la sivo utakuwa ***** tu

    13. #70
      kekuwetu's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 24th October 2010
      Location : home
      Posts : 120
      Rep Power : 459
      Likes Received
      16
      Likes Given
      41

      Default Re: Mbowe, Dr Slaa kulitikisa Jiji la Dar Jumamosi Ijayo

      Quote By TAMUCHUNGU
      kanisa linajaribu kuingia dar.

      TAMUNGUNGU, sidhani kama umeenda shule, maoni yako ziro, usituletee udini hapa, peleka chumbani kwako.


    14. #71
      Molemo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th September 2010
      Posts : 8,413
      Rep Power : 10872
      Likes Received
      3793
      Likes Given
      426

      Default

      Quote By TAMUCHUNGU
      nguvu ya kanisa imefanya kazi na kufanikiwa pamoja na kanda ya kaskazini
      Mods huyu mtu kwa Post zake inatakiwa achukuliwe hatua.Hatuwezi kukubali jamvi lichafuliwe kwa kauli za uongo na za hovyo hivi

    15. #72
      kekuwetu's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 24th October 2010
      Location : home
      Posts : 120
      Rep Power : 459
      Likes Received
      16
      Likes Given
      41

      Default Re: Mbowe, Dr Slaa kulitikisa Jiji la Dar Jumamosi Ijayo

      Quote By Ribosome
      Shibuda nae atapewa nafasi ya kuongea?

      Kwa kweli huyu mtu sijui CHADEMA mlimtoa wapi, mkiweza kumrudisha please mrudisheni tu, sioni mchango wake CHADEMA.

    16. #73
      tedo's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 17th August 2011
      Location : uchochoroni
      Posts : 5,479
      Rep Power : 0
      Likes Received
      1259
      Likes Given
      880

      Default

      Quote By ritz
      Angalizo kwa Chadema pale jangwani kuna ujenzi wa mradi wa mabasi yaendayo kasi wangetafuta uwanja mwingine pale kwa sasa sidhani kama panafaa...ni ushauri tu.
      Its only two or three hours of mass killing wala usiwe na wasiwasi hata wajenzi lazima wasitishe shughuli zao waje wasikilize.

    17. #74
      tedo's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 17th August 2011
      Location : uchochoroni
      Posts : 5,479
      Rep Power : 0
      Likes Received
      1259
      Likes Given
      880

      Default

      Quote By Molemo
      Atakuwepo ndani ya nyumba mkuu
      Thanks sana.

    18. #75
      tedo's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 17th August 2011
      Location : uchochoroni
      Posts : 5,479
      Rep Power : 0
      Likes Received
      1259
      Likes Given
      880

      Default

      Quote By MESTOD
      Shibuda akae upande wa wasikilizaji, asije tuchafulia hali ya hewa.
      Mkuu molemo magwanda yanapatikana wapi?
      Sidhani kama atatoka salama kwenye huo upande wa wasikilizaji labda ulikuwa unamaanisha wasikilizaji wa redio.

    19. #76
      Songoro's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th May 2009
      Posts : 2,219
      Rep Power : 0
      Likes Received
      484
      Likes Given
      21

      Default

      Quote By mkizungo
      laana hii iwe juu ya kichwa chako,,,,,,,uwe kichaa uokote makopo barabaran,,utembee uchi sokon,,makao makuu ya chawa duniani yawe mwilini mwako,,,,shame 2 u,
      kweli dunia inaelekea kwenye maporomoko mpaka Mashetan mmekuwa wanamaombi kukemea wenye mawazo mbadala!

    20. #77
      Chimunguru's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd May 2009
      Posts : 7,794
      Rep Power : 2148
      Likes Received
      1221
      Likes Given
      543

      Default Re: Mbowe, Dr Slaa kulitikisa Jiji la Dar Jumamosi Ijayo

      CUF wanamgawia ndoa ccm so u can imagine raha ya ndoa imewafunika

    21. #78
      Molemo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th September 2010
      Posts : 8,413
      Rep Power : 10872
      Likes Received
      3793
      Likes Given
      426

      Default

      Quote By Chimunguru
      CUF wanamgawia ndoa ccm so u can imagine raha ya ndoa imewafunika
      CUF wamepoteza mwelekeo mkuu.

    22. #79
      STEIN's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th August 2010
      Location : Arusha
      Posts : 1,341
      Rep Power : 715
      Likes Received
      306
      Likes Given
      156

      Default Re: Mbowe, Dr Slaa kulitikisa Jiji la Dar Jumamosi Ijayo

      Quote By ritz
      Asante kwa taarifa karibuni Dar es Salaam.
      Haya ni mabadiliko makubwa sana kwa kambi ya Nape.
      “Problems cannot be solved by the same level of thinking that created them.”“Insanity: doing the same thing over and over again and expecting different results.”" by Albert Einstein"

    23. #80
      chitalula's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd November 2010
      Posts : 423
      Rep Power : 517
      Likes Received
      86
      Likes Given
      40

      Default Re: Mbowe, Dr Slaa kulitikisa Jiji la Dar Jumamosi Ijayo

      Naomba iwe ile siku ya uzinduzi wa kampeni, tufike hapo kwa maandamano, naomba utaratibu uandaliwe jamani magamba yapate moto vizuri . kila watu waje na maandamano kutoka majimboni mwao....nna hamu kweli ya kuandamana

    Page 4 of 9 FirstFirst ... 23456 ... LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...