Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Upeo wa Maige watia mashaka makubwa!

    Report Post
    Page 1 of 5 123 ... LastLast
    Results 1 to 20 of 97
    1. #1
      Rutashubanyuma's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th September 2010
      Location : Arusha
      Posts : 38,747
      Rep Power : 12929
      Likes Received
      4451
      Likes Given
      7476

      Default Upeo wa Maige watia mashaka makubwa!

      Wakati akisulubiwa na Kamati ya Bunge ya Maliasili na Mazingira, aliyekuwa Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Maige alikimbilia kwenye vyombo vya khabari na akawasagia Kamati husika akidai imehongwa na yeye ni mtu mwadilifu sana. Akiwa Bungeni aliishutumu Kamati tajwa chini ya uenyekiti wa Mhe. James Lembeli imwogope Mungu na ya kuwa inamwandama kwa kumwonea gere, chuki na fitina.

      Mhe. Lembeli alimkumbusha Maige ya kuwa asilitaje jina la Mungu bure kwa kuwa Mungu siyo wa Maige tu bali ni wa wote viumbe vyake......................... .La ajabu na kushangaza sana, jana wakati akimkabidhi wizara tajwa mrithi wake Balozi Kagasheki, Mhe. Maige alisahau kauli zake za awali za ya kuwa yeye ni mwadilifu
      na akakiri ya kuwa alishindwa kuwasimamia watendaji ndani ya wizara yake na hata akatolewa kafara........Hivi kafara hutolewa kwa mtu aliyeshindwa majukumu yake au kwa yule aliyeonewa?.....Maige kwa kukiri huku kunafanya kauli zake bungeni na kwenye vyombo vya khabari kuwa hakuwa mkweli hata kidogo na ya kuwa utetezi wake ulikuwa kwa masilahi yake binafsi na wala siyo ya taifa............na ubinafsi wake ulichanuka pale alipomshukuru JK badala ya Mwenyezi Mungu kwa kumpa ugali na kumnufaisha yeye binafsi............Hili kweli linatisha sana!.......Maige safari hii baada ya kutenguliwa hakumkumbuka Mungu kama alivyokuwa Bungeni na hata kumshukuru angalau kwa kumwachia kuwa hai hadi jana hiyo huku akiwa kinara wa ufisadi au hata kuishukuru familia yake kwa kumruhusu na kumvumilia kuwepo kwake kwenye ulingo wa siasa..................au basi hata kuwashukuru wapigakura wajimbo lake ambao ndiyo waliomweka kwenye chati za siasa hata huyo JK akamwona angeliweza kumfaa kwenye cabinet yake...................Ingawaj e hata JK mwenyewe anaonekana ni bomu kwa kuteua watu ambao uwezo wao wa kufikiri ni finyu kama huyu............

      Mhe. Maige hakujilaumu yeye binafsi kwa kuelezea umma yawaje baada ya kuwa waziri ndiyo aligundua
      kumbe yeye ni mjasiria mali nguli na hata angeliweza kujirundikia mabilioni ya mapesa na kuwa na mali nyingi zisizohamishika ambazo kama bila ya kufanya biashara ya siasa hayo yasingeliwezekana............. ....

      Kwa kifupi kauli tatanishi za Maige na kukwepa kujilaumu mwenyewe huku akilaumu washirika wake wa karibu ndani ya wizara aliyokuwa akiiongoza ni dalili ya upeo wake ni finyu......................... ...sioni utetezi mwingine.....................n a kwa khali hii baada ya Takukuru kumweka kibindoni usishangae kuona anapatwa na kiharusi au jirani ya balaa za namna hiyo.......................sio ni kama ana uwezo wa kuhimili mikikimikiki ya namna hizo hata chembe maana mwenyewe hajui anasimamia nini..........
      Last edited by Rutashubanyuma; 11th May 2012 at 09:01. Reason: spelling and additional points
      BAK, Saint Ivuga, Mentor and 9 others like this.
      John 14:14 " If you ask anything in My Name, I will do it"

      John 14:15 "If you love Me, keep My commandments."

    2. Miaka 50

    3. #2
      Eddie's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 28th November 2008
      Posts : 377
      Rep Power : 610
      Likes Received
      65
      Likes Given
      4

      Default Re: Upeo wa Maige watia mashaka makubwa!!!!!!!

      Utumbo mtupu! ndio umeandika nini sasa? unai aibisha JF
      Mkono likes this.

    4. #3
      Panga La Shaba's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 24th December 2009
      Posts : 192
      Rep Power : 517
      Likes Received
      42
      Likes Given
      0

      Default Re: Upeo wa Maige watia mashaka makubwa!!!!!!!

      Huyu jamaa wakati anasoma plae IFM hakuwai kuwa kiongozi,alikuwa msongo wakupenda kusoma kwa mashindano,alikuwa ni anti social kabisa,na shangaa sana siasa kaijulia wapi,labda ukubwani au...maana wanasiasa wazuri huwa waanzia mashule,ila ndio kashapotea tena arudi kwa Msasila akafundishe masomo ya jioni......ila kwake kama kijana ni msikitiko sana ndani ya mwaka mmoja kama full minister kachemsha vibaya mmno....
      Jimbi and Rutashubanyuma like this.

    5. #4
      Rutashubanyuma's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th September 2010
      Location : Arusha
      Posts : 38,747
      Rep Power : 12929
      Likes Received
      4451
      Likes Given
      7476

      Default Re: Upeo wa Maige watia mashaka makubwa!!!!!!!

      Utumbo mtupu! ndio umeandika nini sasa? unai aibisha JF
      Eddie mkono wa mjinga kama huu wa kwako huandika popote pale..............haitoshi kusema ni utumbo mtupu bila ya kuonyesha sababu ya kwanini umeona hivyo........kwa wewe ambaye umo humu ndani ya JF kuanzia 2008 na huna michango yoyote ile....inapendeza kama ukiendelea kuufyata tu kama ulivyokuwa umejizoeleza.........uko kama vile haupo.............though living but you are a dead man walking............
      Saharavoice, Keen, Watu and 12 others like this.
      John 14:14 " If you ask anything in My Name, I will do it"

      John 14:15 "If you love Me, keep My commandments."

    6. #5
      Rutashubanyuma's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th September 2010
      Location : Arusha
      Posts : 38,747
      Rep Power : 12929
      Likes Received
      4451
      Likes Given
      7476

      Default Re: Upeo wa Maige watia mashaka makubwa!!!!!!!

      Huyu jamaa wakati anasoma plae IFM hakuwai kuwa kiongozi,alikuwa msongo wakupenda kusoma kwa mashindano,alikuwa ni anti social kabisa,na shangaa sana siasa kaijulia wapi,labda ukubwani au...maana wanasiasa wazuri huwa waanzia mashule,ila ndio kashapotea tena arudi kwa Msasila akafundishe masomo ya jioni......ila kwake kama kijana ni msikitiko sana ndani ya mwaka mmoja kama full minister kachemsha vibaya mmno....
      Panga La Shaba.............subiria takukuru wamtie mkononi ndipo atajua kama kweli anavipaji au alivalia suti ya wengineo...........
      Watu and mpasta like this.
      John 14:14 " If you ask anything in My Name, I will do it"

      John 14:15 "If you love Me, keep My commandments."

    7. #6
      Manyanza's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 4th November 2010
      Location : Look Behind You......
      Posts : 4,419
      Rep Power : 25470
      Likes Received
      1143
      Likes Given
      909

      Default Re: Upeo wa Maige watia mashaka makubwa!!!!!!!

      Quote By Eddie
      Utumbo mtupu! ndio umeandika nini sasa? unai aibisha JF
      We kilaza nyamaza kimya, naona tangu 2008 hujafanya lolote la maana, wakati mwingine bora kuufyata kuliko kutapika pumba kama ulizotoa hapa
      Keen, Mafuluto and Rutashubanyuma like this.
      Insanity is doing the same thing over and over again and expecting different results.

    8. #7
      mzee wa njaa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 16th June 2011
      Posts : 1,340
      Rep Power : 670
      Likes Received
      194
      Likes Given
      107

      Default Re: Upeo wa Maige watia mashaka makubwa!!!!!!!

      JK alisema hao jamaa watashughulikiwa ngoja tuvute subira. Mramba na Yona walishtakiwa kwa kutumia Madaraka vibya sana sasa cjui akina Maige na wenzake itakuwaje kwa hili.

    9. #8
      Chaimaharage's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 3rd April 2012
      Posts : 108
      Rep Power : 0
      Likes Received
      72
      Likes Given
      0

      Default Re: Upeo wa Maige watia mashaka makubwa!!!!!!!

      Quote By Eddie
      Utumbo mtupu! ndio umeandika nini sasa? unai aibisha JF

      Acha kuponda mawazo ya mwenzio, utumbo gani alioandika? yote aliyosema ni kweli! au hufuatilii matukio na taarifa mbali mbali? Kwani siku ana jitetea bungeni akitaja jina la Mungu hukumuona wala kumsikia? Aliye andika namsifu sababu ana kumbu kumbu nzuri. UTUMBO NI WEWE MNAO JAZA JF KWA MAWAZO MGANDO NA UWEZO FINYU WA KUFIKIRI KABLA HAMJA CHANGIA THREAD ZA WATU.
      Keen and Rutashubanyuma like this.

    10. #9
      Eddie's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 28th November 2008
      Posts : 377
      Rep Power : 610
      Likes Received
      65
      Likes Given
      4

      Default Re: Upeo wa Maige watia mashaka makubwa!!!!!!!

      Quote By Rutashubanyuma
      Eddie mkono wa mjinga kama huu wa kwako huandika popote pale..............haitoshi kusema ni utumbo mtupu bila ya kuonyesha sababu ya kwanini umeona hivyo........kwa wewe ambaye umo humu ndani ya JF kuanzia 2008 na huna michango yoyote ile....inapendeza kama ukiendelea kuufyata tu kama ulivyokuwa umejizoeleza.........uko kama vile haupo.............though living but you are a dead man walking............
      Mkono wa **** kama wewe ndio unaandika utumbo huo hapo juu? kama mabandiko mengi ni "mchango" then no wonder unajaza utumbo tu humu.

    11. #10
      Sometimes's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 28th December 2010
      Posts : 1,372
      Rep Power : 761
      Likes Received
      233
      Likes Given
      39

      Default Re: Upeo wa Maige watia mashaka makubwa!!!!!!!

      Quote By Eddie
      Utumbo mtupu! ndio umeandika nini sasa? unai aibisha JF
      Mbona ameandika nyama! Usi "generalize" kuwa ameaibisha JF.

    12. #11
      Rutashubanyuma's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th September 2010
      Location : Arusha
      Posts : 38,747
      Rep Power : 12929
      Likes Received
      4451
      Likes Given
      7476

      Default Re: Upeo wa Maige watia mashaka makubwa!!!!!!!

      We kilaza nyamaza kimya, naona tangu 2008 hujafanya lolote la maana, wakati mwingine bora kuufyata kuliko kutapika pumba kama ulizotoa hapa
      Manyanza nchi hii ipo shida kubwa sana..................huyu anayejiita Eddie yupo JF kuanzia 2008 lakini huwa hana michango yoyote ile kazi kurushia wengineo matusi na bila hata ya kutoa maoni yake kama yapo...........it is very sad........
      John 14:14 " If you ask anything in My Name, I will do it"

      John 14:15 "If you love Me, keep My commandments."

    13. #12
      Rutashubanyuma's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th September 2010
      Location : Arusha
      Posts : 38,747
      Rep Power : 12929
      Likes Received
      4451
      Likes Given
      7476

      Default Re: Upeo wa Maige watia mashaka makubwa!!!!!!!

      Mkono wa **** kama wewe ndio unaandika utumbo huo hapo juu? kama mabandiko mengi ni "mchango" then no wonder unajaza utumbo tu humu.
      Eddie hebu fafanua ni kwa nini unaona hizo khoja za kweli zilizotolewa bungeni na jana na zipo kwenye vyombo vya khabari hazifai kuandikwa humu JF?
      John 14:14 " If you ask anything in My Name, I will do it"

      John 14:15 "If you love Me, keep My commandments."

    14. #13
      Rutashubanyuma's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th September 2010
      Location : Arusha
      Posts : 38,747
      Rep Power : 12929
      Likes Received
      4451
      Likes Given
      7476

      Default Re: Upeo wa Maige watia mashaka makubwa!!!!!!!

      Mbona ameandika nyama! Usi "generalize" kuwa ameaibisha JF.
      Eddie hebu mweleze Sometimes kwani yeye anaona nimeandkika minofu minono ya nyama lakini ni wewe pekee yako unaona ni utmbo?
      John 14:14 " If you ask anything in My Name, I will do it"

      John 14:15 "If you love Me, keep My commandments."

    15. #14
      Eddie's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 28th November 2008
      Posts : 377
      Rep Power : 610
      Likes Received
      65
      Likes Given
      4

      Default Re: Upeo wa Maige watia mashaka makubwa!!!!!!!

      Quote By Rutashubanyuma
      Eddie hebu fafanua ni kwa nini unaona hizo khoja za kweli zilizotolewa bungeni na jana na zipo kwenye vyombo vya khabari hazifai kuandikwa humu JF?

      Ndio nini?

    16. #15
      Rutashubanyuma's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th September 2010
      Location : Arusha
      Posts : 38,747
      Rep Power : 12929
      Likes Received
      4451
      Likes Given
      7476

      Default Re: Upeo wa Maige watia mashaka makubwa!!!!!!!

      Acha kuponda mawazo ya mwenzio, utumbo gani alioandika? yote aliyosema ni kweli! au hufuatilii matukio na taarifa mbali mbali? Kwani siku ana jitetea bungeni akitaja jina la Mungu hukumuona wala kumsikia? Aliye andika namsifu sababu ana kumbu kumbu nzuri. UTUMBO NI WEWE MNAO JAZA JF KWA MAWAZO MGANDO NA UWEZO FINYU WA KUFIKIRI KABLA HAMJA CHANGIA THREAD ZA WATU.
      Chaimaharage..........................shuk rani kwa mchango mzuri sana...............na hiyo ya avatar iko mahali yake........LOL
      John 14:14 " If you ask anything in My Name, I will do it"

      John 14:15 "If you love Me, keep My commandments."

    17. #16
      Rutashubanyuma's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th September 2010
      Location : Arusha
      Posts : 38,747
      Rep Power : 12929
      Likes Received
      4451
      Likes Given
      7476

      Default Re: Upeo wa Maige watia mashaka makubwa!!!!!!!

      Ndio nini?
      Kama kichwani ni sifuri learn to learn in silence......................usijitut umue bahari hii siyo kwa vijidagaa kama wewe
      John 14:14 " If you ask anything in My Name, I will do it"

      John 14:15 "If you love Me, keep My commandments."

    18. #17
      Eddie's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 28th November 2008
      Posts : 377
      Rep Power : 610
      Likes Received
      65
      Likes Given
      4

      Default Re: Upeo wa Maige watia mashaka makubwa!!!!!!!

      Quote By Rutashubanyuma
      Kama kichwani ni sifuri learn to learn in silence......................usijitut umue bahari hii siyo kwa vijidagaa kama wewe

      Yale yale! full utumbo

    19. #18
      Manyanza's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 4th November 2010
      Location : Look Behind You......
      Posts : 4,419
      Rep Power : 25470
      Likes Received
      1143
      Likes Given
      909

      Default

      Quote By Eddie
      Yale yale! full utumbo
      we ni kilaza tu, usitake kutuharibia thread ilikuja vizuri sasa vimeo kama wewe ndio mnataka kuichafua... Huna cha kuchangia chapa lapa kuna majukwaa mengine Chit Chat, Udaku na MMU nenda kule....
      Rutashubanyuma likes this.

    20. #19
      Manyanza's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 4th November 2010
      Location : Look Behind You......
      Posts : 4,419
      Rep Power : 25470
      Likes Received
      1143
      Likes Given
      909

      Default

      Quote By Rutashubanyuma
      Kama kichwani ni sifuri learn to learn in silence......................usijitut umue bahari hii siyo kwa vijidagaa kama wewe
      Achana nae huyu kilaza, ana stress za maisha...
      Rutashubanyuma and NnyaMbwate like this.

    21. #20
      Henge's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 14th May 2009
      Posts : 5,440
      Rep Power : 1675
      Likes Received
      918
      Likes Given
      1673

      Default Re: Upeo wa Maige watia mashaka makubwa!!!!!!!

      Quote By Eddie
      Yale yale! full utumbo
      mkuu mbona unatuhalibia topc yetu bwana!
      Ukweli ni kuwa maige kukiri kushindwa na kulalamika kuonewa ni ujinga!
      Rutashubanyuma likes this.
      TUKIWAKAMATA MAFISADI NCHI ITAYUMBA by PINDA

    Page 1 of 5 123 ... LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...