Katika mchakato wa katiba wa kukusanya maoni,wananchi hawaruhusiki kutoa maoni kuvunja muungano zaidi ya kurekebisha au kutoa maoni muungano uboreshwe zaidi.

Suali :
Je ikiwa wananchi watatoa maoni kuwa muungano hawautaki Tume Ya kukusanya maoini ya wananchi watayaheshimu maaamuzi hayo ? JK na Tume yake watakabiliana nayo vipi haya kama wananchi watatoa maoni kuwa muungano tumeuchoka na hatuutaki ?