JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Joshua Nassari MB.

  Report Post
  Page 18 of 20 FirstFirst ... 81617181920 LastLast
  Results 341 to 360 of 389
  1. Arushaone's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 31st March 2012
   Location : Arusha
   Posts : 13,754
   Rep Power : 429499663
   Likes Received
   10573
   Likes Given
   26334

   Default Joshua Nassari MB.

   WanaJF
   Nadhani wote mngependa kujua kuhusu kinachojiri hapa kuhusu Mheshimiwa Joshua Nasari na sakata lake na polisi wa Arusha. To make a long story short, mchana huu kasharipoti kituo kikuu cha police hapa Arusha akifuatana na Godbless Lema na baadhi ya viongozi wa CDM akahojiwa kwa kama 20 minutes then yuko free. Karibuni Arusha.
   Ochu, palalisote, Mboko and 4 others like this.

  2. Tumaini Makene's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 6th January 2012
   Posts : 2,558
   Rep Power : 167117415
   Likes Received
   5690
   Likes Given
   1701

   Default Re: Tamko la Joshua Nassari, Mbunge wa Arumeru Mashariki

   Quote By Kadakabikile View Post
   Nasari aliwakilisha kile ambacho viongozi wa Chadema hukisema hasa wanapokuwa wenyewe tu. Kwa hiyo kile alichosema Nasari ni kile hasa Chadema wanaplan kwa nchi yetu nzuri Tanzania.
   .
   "WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".
   Kadakabikile

   Unalipatia hili suala mwelekeo unaoutaka wewe na watu wengine wanaofanana na mawazo kama yako. Msimamo wa CHADEMA katika suala hili uko wazi tangu siku ya kwanza pale pale NMC.

   Usiingize maneno yasiyokuwepo kwenye vinywa vya viongozi wa CHADEMA ambao wamedhihirisha pasi na shaka nia na dhamira zao katika kupigania maslahi (haki) ya Watanzania wote, wakiunganisha kila nguvu ya Mtanzania yeyote, wa mahali popote, aliye tayari kujiunga na siasa za vuguvugu kusaka mabadiliko na uhuru wa kweli, hasa mabadiliko ya kiutawala na kimfumo.
   "Nothing in the world is more dangerous than sincere ignorance and conscientious stupidity." Martin Luther King

  3. kastarehe's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 20th January 2012
   Posts : 231
   Rep Power : 540
   Likes Received
   38
   Likes Given
   57

   Default Re: Tamko la Joshua Nassari, Mbunge wa Arumeru Mashariki

   Quote By JingalaFalsafa View Post
   Hakuna chembe ya mantiki hapo hata kidogo ndugu yangu! Amefanya kosa then analeta mzaha. CHE GUEVARA alikufa akiwa na miaka 38, ndani ya muda huo mfupi akawaadabisha mabepari wakubwa kama Marekani.
   Kwanza ni kujidharirisha mwenyewe, anajifananisha na mtoto asiyejua jema na baya, hali lukuki ya wana-arumeru wana tumaini naye? Anataka waamini wamekosea kumchagua?
   1. Akiri kuteleza ulimi, na kuomba radhi, ni jambo la kawaida sana, sisi kama watz tuko tayari kumsamehe, na ajipange upya, tuko nyuma yake.
   2. Chadema itoe tamko la kulaani, na kutoa karipio kwa maneno hayo. Na sio kuishia kusema "hayo sio maneno ya chadema", kwani ametoa nani na wapi?
   3. Asipokubaliana na yote hayo, basi chdma kama chama makini, kisisite kumuwajibisha. Lakini sitegemei kufikia huko!
   Mungu wetu anaita?
   GRRRRRRRRRRRRRR!!! Wewe ni nani kutoa maelekezo kwa CDM. close your masaburi!! please. Ndiyo JK anaweza kuzuiwa na UMMA wa Atown au popote pale. Si wao ndio waajiri wake. Mnakaa kuanza kutoa woga na kulamba miguu ya waajiriwa wenu BUUREEE! Crazy! Ni wapi umesikia CCM wakiomba radhi kwa niaba ya watu kama LUSINDE aliyekunya kwa mdomo Arumeru!! Ni wapi umesikia CCM ikimkemea NAPE alipowaambia wafuasi wa CDM Mwanza wanashikishwa UKUTA!! Samahani nimetumia maneno kamili ili uelewe.
   Wengine JK (mwajiriwa wetu wote) akiguswa mnatepeta ovyooo!!!! Plain stupidity!!

  4. Nasolwa's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th June 2008
   Posts : 1,685
   Rep Power : 1107
   Likes Received
   241
   Likes Given
   59

   Default Re: Tamko la Joshua Nassari, Mbunge wa Arumeru Mashariki

   Quote By Mzee Mwanakijiji View Post
   Amesema jambo ambalo kwa haraka linaonekana lina mantiki lakini linapuuzia uzito wa alichokisema. Kama ni mtu mdogo hivyo aligombea ubunge wa nini? Kama anakosa hekima ya kupima madhara ya maneno yake - watu wanaweza kuumia kwa kauli moja tu ya mtu mwenye ushawishi - kwa sababu yeye ni 'mtu mdogo' ananitisha. Yeye anaweza kuwa na umri mdogo lakini nguvu ya ushawishi wake inashinda baruti na siyo watu wote wanaomsikiiliza wanamchukulia kuwa ni mtu 'mdogo'. grrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr rrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
   Mbona LUSINDE wa CCM alitoa matusi waziwazi na mbele ya kundi kubwa la polisi na hawakumchukulia hatua yeyote hata ya kumwonya tu badala yake alipongezwa na Katibu mkuu wa CCM. Haiwezekani mtu moja afanye kosa hilo hilo au kosa linalofanana na hilo awe hana kosa la kuhojiwa na polisi ila kwa mwingine iwe kosa na polisi wapoteze muda wa masaa sita kuhoji. Nadhani polisi wanatakiwa sasa wabadilike na wasifanye kazi zao kwa shinikizo la kisiasa

  5. Kingilambago's Avatar
   Member Array
   Join Date : 1st May 2012
   Posts : 17
   Rep Power : 483
   Likes Received
   2
   Likes Given
   4

   Default Re: Tamko la Joshua Nassari, Mbunge wa Arumeru Mashariki

   Mie nada I sio sahihi kuanzia kumpa mheshimiwa rais eti asifike Arusha labda Kama Arusha sio Tanzania kwahiyo dogo umekimbia bungeni endeleza harakati za kuendeleza jumbo Lako usitake kujiingiza ktk mambo ukajivunjia heshima ktk jamii

  6. Tumaini Makene's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 6th January 2012
   Posts : 2,558
   Rep Power : 167117415
   Likes Received
   5690
   Likes Given
   1701

   Default Re: Chadema hiyoo yazidi kuteleza!!

   Quote By kitenuly View Post
   tunataka mabadiliko, ni bora hata fisi kutawala, kuliko utawala wa ccm, mabadiliko ni muhimu ktk maisha ya binadamu na ktk mabadiliko hayo yanaweza kuwainua au kuwarudisha chini wananchi, hivyo haijalishi kwa lolote lile, sababu hiyo miaka 50 imeprove kurudisha maisha ya wananchi wengi chini, Huku wachache wakineemeka. People (walala hoi) are fed up.


   Kitenuly umenena haswaaa! Hawataweza kuzuia nguvu ya mabadiliko ambayo kwa sasa iko wazi sana karibu nchi nzima. Watanzania wameamua kufanya mabadiliko ndani ya nchi hii kupitia CHADEMA. That is their only hope they have to lean on. Hakuna jingine.

   Ukitaka kuwaumiza na kuwakasirisha zaidi Watanzania na actually kuwachochea wafanye lolote baya ambalo halijawahi kutokea au kufikiriwa kutokea ni, fanya au onesha mbinu za kutaka kuiua CHADEMA. They are not ready for that...nimeiona hali hiyo Kanda ya Ziwa, Kanda ya Kusini.

   Nikiwa Kanda ya Ziwa juzi juzi, Kamanda Lema alisema wazi kuwa Lake zone si so hot...so hotter than even Kanda ya Kaskazini, tofauti tu ni kwamba Kaskazini inapata publicity sana.
   "Nothing in the world is more dangerous than sincere ignorance and conscientious stupidity." Martin Luther King


  7. mwarain's Avatar
   Member Array
   Join Date : 12th February 2012
   Posts : 56
   Rep Power : 502
   Likes Received
   17
   Likes Given
   70

   Default Re: Tamko la Joshua Nassari, Mbunge wa Arumeru Mashariki

   Quote By Bangoo View Post
   Na wale wa zanzibari
   wanaotaka kujitenga vp?
   Tena wanaendesha miha
   dhara kila siku nao vp?
   Wale ni CUF!
   Wale ni Wazenji!
   Kuny^%a anye kuku bata kaharisha!!!!

  8. Mu-Israeli's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st March 2012
   Location : Jerusalem
   Posts : 2,331
   Rep Power : 21245607
   Likes Received
   857
   Likes Given
   513

   Default Re: Chadema hiyoo yazidi kuteleza!!

   Quote By MAFILILI View Post
   Ukweli utabaki pale pale CDM ni wabiga dege wa siasa za kanda
   Mmhhh !!

   Click image for larger version. 

Name:	lusinde.jpg 
Views:	14 
Size:	8.2 KB 
ID:	53889

   Ila mathalani ukiambiwa uchague 'siasa za kanda' na siasa za 'kudadadeki !!!' utachagua nini ???
   Oooops !! Nilitaka kusahau ... Hiyo 'Kudadadeki' ni kwa hisani ya huyo jamaa hapo kwenye picha !!!
   "Basi yeye ajuaye kutenda mema, wala hayatendi, kwake huyo ni dhambi. " - Yakobo 04:17

  9. kaiyulankuba's Avatar
   Member Array
   Join Date : 2nd April 2012
   Posts : 45
   Rep Power : 493
   Likes Received
   4
   Likes Given
   1

   Default Re: Nassari ashikiliwa polisi kwa saa saba

   Poleni makamanda hii ndiyo Tanzania inayoubiliwa na watawala wetu kuwa ina amani na utulivu wakati watu wake wanachinjwa kama wanyama na jeshi la polisi linashangilia kisa CDM.NAKWAMBIA WAKATI HAUWASUBIRI MAGAMBA WATAJUTA.MUNGU YUPO NA KATU HAWEZI KUSHINDWA NA MAGAMBA.MUNGU IBARKI TANZANIA USIKIE KILIO CHETU NA UWAAIBISHI WOTE WANAOWATESA WATU WAKO.

  10. Mu-Israeli's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st March 2012
   Location : Jerusalem
   Posts : 2,331
   Rep Power : 21245607
   Likes Received
   857
   Likes Given
   513

   Default Re: Tamko la Joshua Nassari, Mbunge wa Arumeru Mashariki

   Naona watu wengi sana hapa wanataja 'Maslahi ya Taifa'. Hivi maslahi ya Taifa ni yapi hayo ???

   Labda mimi nianze kwa kuweka orodha ya maslahi ya Taifa kama ifuatavyo:-
   1. Usalama wa nchi na mali zake zote (nchi isije kuvamiwa na kuporwa mali zake)
   2. Usalama wa wananchi wake (wananchi wakae kwa usalama na amani)
   3. Ustawi wa wananchi (wananchi wastawi kwa kupata huduma nzuri za kijamii na maisha bora)
   .
   .
   n.k.........

   Baada ya kuyajua haya na mengine, ndio tunaweza kuzihusisha kauli za wanasiasa na maslahi ya Taifa.
   "Basi yeye ajuaye kutenda mema, wala hayatendi, kwake huyo ni dhambi. " - Yakobo 04:17

  11. makoye2009's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th June 2009
   Posts : 2,090
   Rep Power : 1056
   Likes Received
   682
   Likes Given
   733

   Default Re: NASSARY awapasulia jipu tena mapolisi Arusha'

   Quote By MWANANGUTA View Post
   Kwa kweli kucheza na mjinga sio kazi kama polisi wameweza kutumia masaa sita kumhoji Nassari kweli hatuna jeshi la polisi bongo mana mambo kama haya ndo wanaweza kushadadia,Lusinde matusi ya nguoni alitukana wapi kama sio Arusha?au matusi sio uchochezi?mnaboa sana polisi wa bongo.
   I can't believe this. Kwamba Polisi wamemhoji Nassari for 6 hours! Walikuwa wanamhoji kitu gani hasa WASICHOKIJUA????
   Hakika HATUNA POLISI NCHI HII! Hivi huyu dogo na MANENO ALIYOTAMKA KUWA ANAWEZA KUMZUIA RAIS WA NCHI JAKAYA KIWETE ASIKANYAGE ARUSHA YANA UKWELI WOWOTE HAPO????Kwa ujinga wa Polisi wetu wanayaona haya maneno kama DEAL na issue nzito ya kupotezea muda!!!!

   Nassari ki ukweli HAWEZI KUMZUIA RAIS WA NCHI ASIKANYAGE ARUSHA.Siyo kweli kabisa labda JESHI LA POLISI WATUAMBIE KUWA WATAKUWA WAMESHINDWA KAZI YAO!!!Hivi kama WANAWEZA KUZUIA,KUSAMBARATISHA NA KUUA WAFUASI WA CHADEMA WAKIZUIA MAANDAMANO,WATASHINDWA VIPI KUMSAMBARATISHA JOSHUA NASSARI KWA MABOMU,MAJI YA WASHAWASHA NA RISASI ZA MOTO???

   Hapa Polisi na Serikali yao ya CCM hawasemi ukweli. Wanatukumbusha yale maneno ya kipindi cha Uchaguzi POLISI WALIPOSEMA KUWA CHADEMA WALIKUWA WAMEKODI MAKOMANDOO TOKA NJE YA NCHI KUVURUGA UCHAGUZI!!!. Nakumbuka Mhe. Mbowe na Dr. Slaa waliiambia Serikali kuwa KAMA KWELI KUNA MAKOMANDOO WALIINGIZWA NA CDM TOKA NJE BASI HATUNA SERIKALI.

   Kwa hiyo tunaweza kuhitimisha kwa kusema kuwa KAMA JOSHUA NASSARI NA WAFUASI WA CDM ATAWEZA KUMZUIA KIWETE ASIKANYAGE 'A' TOWN,THEN HATUNA JESHI LA POLISI,HATUNA UWT,HATUNA JWTZ NA KWA MAANA HIYO HATUNA SERIKALI. MAANA YAKE NI NINI??NI WAKTI WA CHADEMA KUCHUKUA NCHI. Pambaf!

   Drifter likes this.

  12. Tume ya Katiba's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 6th April 2012
   Location : Anonymous
   Posts : 4,291
   Rep Power : 0
   Likes Received
   1091
   Likes Given
   472

   Default Re: Tamko la joshua nassari mb arumeru mash.

   Quote By Candid Scope View Post
   Mwanakijiji ameongea vema kuhusu kauli za baadhi ya viongozi wa Chadema akitolea mfano wa Lema kupoteza ubunge ni sababu ya kauli si vitendo. Hali kadhalika Slaa baadhi ya kesi ni lugha si vitendo. Kinachomsumbua leo Nasari ni lugha si vitendo. Nimeongea hili jana hapa jf lakini mdau mmoja alivyoniporomoshea matusi namsamehe kwa kuwa hajui kuwa najua hajui alitetealo.

   Elimu ya usemaji ni muhimu sana katika majukwaa, si kupanda na kuropoka kikutokacho kichwani, licha ya kujiandaa namna gani uwepo jukwaani kama alivyotokea mbunge wa Tabora wakati wa Kampeni Igunga kupanda jukwaani na trigger. Profesa moja alituambia chuoni, kama huweze kuwa msetirivu katika mada yako na kushtukia unayumba kutoka nje ya mada jitahidi kuandika na uyasome uliyoyaandaa hadi utakakuwa mzoefu wa kudadafula dhamira inayokusudia bila kutoka nje ya dhamira.

   Ni nadharia ya kawaida upandapo jukwaani utakuwa umejiandaa vya kutosha nini utaenda kuongea hadharani. Ni bora uandike na uanze kusoma tangu mwanzo mpaka mwishi kama unaona unashindwa kuzuia ulimi wako kuropoka kila kikutokacho kwani uliyojiandaa huwa umeshayachuja yapi yanafaa kwa watu utakaokutana nao badala ya kuongea tu kukujiacho uwapo jukwaani ndio matokeo yake mbunge anafikia hatua ya kumwekea mipaka Rais wa nchi asigusi ndani ya mipaka ya jimbo au ukanda wake, ni kitu kisichoingia akilini mwa wengi wenye upeo wa kuelewa nini dhamana ya viogozi wetu watarajiwa.

   Uongozi bora haupimwi kwa usemaji mwingi jukwaani, bali busara hekima na maoni ya umoja kitaifa ndiyo kigezo cha kujenga nchi kwa amani na utulivu. Siasa inaweza kukugeukia upande mbaya mara moja kutokana na kosa moja tu hata kama umefanya mengi mazuri.

   Kesi karibu zote zilizopo mahamakani ni za maneno ya uchochezi, hilo ni jambo ambalo Viongozi wa Chadema wanapaswa kuwa waangalifu sana. Viongozi wa Chadema wasidanganywe na uwingi wa watu kuona kwamba ndio kigezo cha kuongea watakavyo bila kupima nini kinatakiwa kuongelewa katika nafasi walizo nazo mikutanoni na kuonyesha umahiri wao wa kisiasa. Mvuto wa kisiasa ni uwezo wa kujenga hoja nzuri na kuzitetea na wala si kutukana au kusema kauli za kuashiria uchochezi.
   Well said my brother,

   Niliandika pia siku ya kwanza kabisa kuwa nasary bado mdogo na ni mchanga sana katika siasa. Pia nilisema kuwa nafasi

   Ubunge aliyoyano imemzidi umri na uwezo i mean sio saizi yake.

   At least umenena kweli.

   Ni kwa watu kama wewe pekee ndio jamii hupata manufaa ya kweli.

   Well done my brother.

  13. Mu-Israeli's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st March 2012
   Location : Jerusalem
   Posts : 2,331
   Rep Power : 21245607
   Likes Received
   857
   Likes Given
   513

   Default Re: Tamko la Joshua Nassari, Mbunge wa Arumeru Mashariki

   Quote By ritz View Post
   Hilo la kugawa nchi ni sera ya Chadema Nassari katumwa tu kusema.
   Hiyo ni theory, maana ukiwaza hiyo katika kila eneo, unaweza kukwama.

   Hebu check sera za jamaa huyu hapa chini kwenye picha, halafu utumie maoni yako uliyoyatoa hapo kuwa kila mbunge akiongea, basi 'ametumwa', na alichoongea ni 'sera' za chama chake. 'Kudadadeki !!!'

   Click image for larger version. 

Name:	lusinde.jpg 
Views:	6 
Size:	8.2 KB 
ID:	53890
   "Basi yeye ajuaye kutenda mema, wala hayatendi, kwake huyo ni dhambi. " - Yakobo 04:17

  14. Ground Zero's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 13th January 2011
   Posts : 343
   Rep Power : 616
   Likes Received
   91
   Likes Given
   51

  15. yaya's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 29th June 2011
   Posts : 694
   Rep Power : 662
   Likes Received
   221
   Likes Given
   67

   Default Re: Tamko la Joshua Nassari, Mbunge wa Arumeru Mashariki

   Quote By Mzee Mwanakijiji View Post
   Amesema jambo ambalo kwa haraka linaonekana lina mantiki lakini linapuuzia uzito wa alichokisema. Kama ni mtu mdogo hivyo aligombea ubunge wa nini? Kama anakosa hekima ya kupima madhara ya maneno yake - watu wanaweza kuumia kwa kauli moja tu ya mtu mwenye ushawishi - kwa sababu yeye ni 'mtu mdogo' ananitisha. Yeye anaweza kuwa na umri mdogo lakini nguvu ya ushawishi wake inashinda baruti na siyo watu wote wanaomsikiiliza wanamchukulia kuwa ni mtu 'mdogo'. grrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr rrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
   Mkuu, with all due respect, nadhani hujamuelewa huyu bwana mdogo Mhe. Nassari. Ninaamini hakuzungumzia udogo kwa maana ya umri wake, bali kwa mamlaka.
   Hana hata chembe ya dola, huo uhaini ataufanyaje? Mambo mengine ni kutumia logic ndogo tu na si kama walivyolishupalia hao polisi na kulitangaza nchi nzima.
   Mhe. kajieleza vizuri tu, kwamba kama kweli walimhitaji wangewasiliana na katibu (wa mbunge) wake, na si kupitia vyombo vya habari au viongozi wake wa kitaifa, kwa sababu hilo suala si la chama ni la kwake binafsi.
   Nakuhakikishia hapo hakuna kesi ya maana.

  16. JingalaFalsafa's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 13th April 2012
   Location : Africa.
   Posts : 596
   Rep Power : 474101
   Likes Received
   497
   Likes Given
   213

   Default

   Quote By kastarehe View Post
   GRRRRRRRRRRRRRR!!! Wewe ni nani kutoa maelekezo kwa CDM. close your masaburi!! please. Ndiyo JK anaweza kuzuiwa na UMMA wa Atown au popote pale. Si wao ndio waajiri wake. Mnakaa kuanza kutoa woga na kulamba miguu ya waajiriwa wenu BUUREEE! Crazy! Ni wapi umesikia CCM wakiomba radhi kwa niaba ya watu kama LUSINDE aliyekunya kwa mdomo Arumeru!! Ni wapi umesikia CCM ikimkemea NAPE alipowaambia wafuasi wa CDM Mwanza wanashikishwa UKUTA!! Samahani nimetumia maneno kamili ili uelewe.
   Wengine JK (mwajiriwa wetu wote) akiguswa mnatepeta ovyooo!!!! Plain stupidity!!
   Bila samahani ndugu yangu, nilishakusamehe kabla hujawaza kuandika post yako!
   Ila tu nikukumbushe kuwa, Dr. Slaa na Chdm inaheshimu sana mawazo yako kama shabiki au mwanachama katika kuimarisha chama. Kudhania kuwa raia hana mchango wowote katka uwajibikaji wa viongozi ndiko kulipotufikisha hapa tunapopalalamikia leo.
   Nakushauri, acha ushabiki tumia mantiki katika kuhoji mambo! Pole sana kwa kujidharirisha, ila usiumie sana bado una nafasi ya kuonesha kuwa unaakili, uliteleza tu na hukuanguka, kama alivyoteleza Nassari.
   Mungu wetu anaita!

  17. kaiyulankuba's Avatar
   Member Array
   Join Date : 2nd April 2012
   Posts : 45
   Rep Power : 493
   Likes Received
   4
   Likes Given
   1

   Default Re: Tamko la Joshua Nassari, Mbunge wa Arumeru Mashariki

   Bwana RAGE alipanda na bastola Igunga jeshi halikuona,bwana Mkama akatoa kauli nzito za makomando na walikopata mafunzo bila vielelezo polisi wakaishia kusema CDM iwashtaki kwani wao hawajui,leo kijana kasema hli neno wao wamelipandia juu.Ukweli ni kwamba CCM wanawatumia polisi kuwatishia watanzania wasifuate njia ya haki lakini hatuchoki kama GADDAF na wenzake walishindwa na utajili wao wote na nyie magamba mtashinwa tu.Ebu ona kesi za kupinga uchaguzi zlivyo kibao kwa USHINDI WA CDM alafu wanajitetea kutohuska na mauaji wakati mnakataa ushindi wa kweli.POLENI MAGAMBA MAANA HAMNA TENA JIPYA.WATU WANAJUA KUWA MNAWADANGANYA KWA VISINGIZIO VISIVYO NA MASHIKO.NA MKOME KUTUDHARAU WATANZANIA KANA KWAMBA HATUNA MACHO HATUONI!

  18. Tume ya Katiba's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 6th April 2012
   Location : Anonymous
   Posts : 4,291
   Rep Power : 0
   Likes Received
   1091
   Likes Given
   472

   Default Re: Tamko la Joshua Nassari, Mbunge wa Arumeru Mashariki

   Quote By Mungi View Post
   Watu wetu wameuawa na wahuni wa ccm, na bado vitisho vinaendelea kutolewa dhidi ya wanachama wa chadema.
   Hivi katika haya bado hatujaelewa kwanini Nassari amedhiriki kutamka?
   Na kama watu wa kaskazini wataendelea kuuawa na ccm, watu wa kaskazini bila hata ya kuishirikisha chadema tutatoa tamko rasmi kuhusu watu wetu.
   Our system had detected that you are either nasari or close aide of him.

   Automatic generated report, on wednesday 9th may 2012 at 2:40 GMT

  19. Ruttashobolwa's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd February 2012
   Posts : 30,634
   Rep Power : 152353411
   Likes Received
   12183
   Likes Given
   12614

   Default Re: Tamko la Joshua Nassari, Mbunge wa Arumeru Mashariki

   mimi naipinga vikali kauli ya nassari.kwani ina weza kurudisha nyuma maendeleo ya chama!

  20. Drifter's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 4th January 2010
   Posts : 1,105
   Rep Power : 822
   Likes Received
   391
   Likes Given
   219

   Default Re: Tamko la Joshua Nassari, Mbunge wa Arumeru Mashariki

   Hebu tuache maskhara. Hili suala la Nassari limekuzwa kupita kiasi. Kwanza sio "tamko"; hiyo ni "kauli" tu! Halafu sitaki kuamini kwamba watanzania wengi tu wajinga kiasi cha kuweza kutetereshwa na kauli ya bahati mbaya ya mh. Nassari. Tunaelewa tofauti kati ya mizaha ya kisiasa na matishio ya kweli toka kwa wanasiasa. Pita mitaani hivi sasa uone wananchi wangapi wana hata hiyo habari ya alivyosema Nassari. Mh. Mbowe keshaweka mambo sawa na cha maana ni kumsaidia mh. Nassari aende taratibu na maneno. Naona kama hizi ni njama za kupunguza makali kwa wahujumu wa kweli wa nchi hii ambao ndio tishio kubwa sana la amani na utengamano wa taifa letu. Let's stop this misdirected non-issue!
   The sources of our fears reside within our depths

  21. Tume ya Katiba's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 6th April 2012
   Location : Anonymous
   Posts : 4,291
   Rep Power : 0
   Likes Received
   1091
   Likes Given
   472

   Default Re: Tamko la Joshua Nassari, Mbunge wa Arumeru Mashariki

   Quote By Mungi View Post
   Watu wetu wameuawa na wahuni wa ccm, na bado vitisho vinaendelea kutolewa dhidi ya wanachama wa chadema.
   Hivi katika haya bado hatujaelewa kwanini Nassari amedhiriki kutamka?
   Na kama watu wa kaskazini wataendelea kuuawa na ccm, watu wa kaskazini bila hata ya kuishirikisha chadema tutatoa tamko rasmi kuhusu watu wetu.
   Our system has detected that you are either nasari or close aide of him.

   Automatic generated report, on wednesday 9th may 2012 at 2:40 GMT


  Page 18 of 20 FirstFirst ... 81617181920 LastLast

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...