Hoja ya Zitto Kabwe dhidi ya Pinda sasa yaimarika!
Waziri Ngeleja aliyeachwa katika Wizara ya Nishati na Madini
Adam Kighoma Malima.............bosi wake Ngeleja kamwaga unga lakini kwenye uwajibikaji wa JK huyu ni mtu safi!
Khoja ya Zitto Kabwe ya kukosa imani na Waziri Mkuu imepata matumaini makubwa baada ya JK kurudia makosa yaleyale ya kuipuzilia mbali taarifa ya CAG ambayo iliyoweka hadharani matatizo makubwa ya wizi na ubadhirifu katika Wizara (4) za kilimo, Nishati, Viwanda na Biashara na Serikali za mitaa lakini baadhi ya mawaziri au manaibu wao bado kurudishwa kwa maana ya uhamisho tu kwenye nyadhifa zao ikiashiria ya kuwa JK kaiponda taarifa tajwa.
Aidha uteuzi wa Prof. Maghembe kutoka wizara ya kilimo kwenda Maji unazua utata mkubwa na huku aliyekuwa naibu wake Chiza kupandishwa cheo katika wizara ileile kwa kazi chafu ya usimamizi wa wizara tajwa kulingana na taarifa ya CAG unaonyesha jinsi serikali ya JK inavyofanya kazi kwa upendeleo, mashinikizo na ya kuwa haijali maelekezo ya Bunge lake lenyewe.
Uteuzi wa Kighoma Malima aliyekuwa naibu wa Nishati chini ya Ngeleja unazua maswali mengi ambayo hayana majibu kwa sababu baadhi ya manaibu wamewajibishwa lakini huyu na Nyalandu wanaonekana kuwa ni "the untouchables" kwenye hii serikali ya wababaishaji................
Mkuchika na Mwanri nao walivurunda sana wizara ya serikali za mitaa kulingana na taarifa ya CAG lakini JK na Pinda wake wametia pamba masikioni na hivyo kutia dosari kubwa katika zoezi zima la kuwawajibisha watendaji wakuu ndani ya serikali.
Lakini hii siyo mara ya kwanza kwa JK kukaidi maelekezo ya Bunge ambalo wengi wa wabunge wake wanatoka ndani ya chama chake cha ccm. Katika sakata la Richmond/Dowans manaibu kama Ngeleja walinusurika na leo imeonekana kwa uwazi kabisa ya kuwa kuwapandisha manaibu siyo dawa ya matatizo yaliyopo. Hata akina Dr. Hosea hawakuondolewa kule Takukuru kwa kulipotosha Bunge juu ya sakata la Richmond hadi muda wao wa kustaafu ulipofika na watendaji wengine ilikuwa ni pata shika kuwang'oa ikiashiria JK na Pinda wanalidharau bunge kwa kugoma kutekeleza maagizo yake.
Kutokana na upembuzi huo, nionavyo khoja ya kumn'goa Pinda bado ina mashiko manene na inapaswa kuendelea kutiliwa mkazo ili kumshurutisha JK na Pinda wake waache na kukoma kabisa kuiendesha nchi kisanii-sanii hivi
Last edited by Rutashubanyuma; 4th May 2012 at 20:33.
Reason: additional points
Tunasubiri Zito atasema nini... Kama akiondoa hoja ile itakuwa proof kwa Zito kutumiwa na CCM au lengo lake lilikuwa Mkulo atoke.
Ndugu zangu tuache kuvaa miwani ya aina moja wala tusimuhukumu Zitto,any way ni kweli rais hajatekeleza mapendekezo yote ila mimi kwa mtazamo wangu hoja hii imeisha nguvu kwa mantiki kwamba nguvu kubwa aliyokuwa nayo Zitto na sisi sote ilikuwa ni wabunge wa CCM AMBAO NDIO WALIO NA MAJORITY VOTE NA KWA MIMI NINAVYOWAFAHAMU WATAKUWA WAMESHALAINIKA na subiri kuanzia kesho wataanza kutoa pongezi za kinafiki.
Re: Hoja ya Zitto Kabwe dhidi ya Pinda sasa yaimarika!

kadidu, hiyo majority ya ccm ni nani kawapa kama siye sisi?
John 14:14 " If you ask anything in My Name, I will do it"
John 14:15 "If you love Me, keep My commandments."
Re: Hoja ya Zitto Kabwe dhidi ya Pinda sasa yaimarika!
yaan hawajui kuwa wanaishi kupitia migongo ya watu, ,uk wamefanya uchaguzi wa majimbo yaan s uchaguz mkuu ila cnservative wmaeona faida ya sera zao za kuwatoa wageni zimewaweka wapi? wamelose ile mbaya, but tz viongz hawak tayar kuleta changes,,
wahida uko sahihi,,,,,,................vi ongozi wetu kazi yao ni kutumikia matumbo yao na hayo ndiyo Mungu wao hawana Mungu mwingine..
Re: Hoja ya Zitto Kabwe dhidi ya Pinda sasa yaimarika!
Alichokifanya JK nimeshindwa kukielewa kabisa,wezi walikuwa wengi inakuwaje awawajibishe wachache na wengine awaache?
Kuna kitu kimejificha hapo ebu ngoja tusubirie kutoka kwa Zito sasa.
Re: Hoja ya Zitto Kabwe dhidi ya Pinda sasa yaimarika!
Mimi naona ni usanii kama si kulindana kwanini wengine wawajibishwe na wengine waachwe? Mimi naona mheshimiwa anapenda chama chake kigawanyike vipande maana naona akina Ngeleja na wenzake lazima watatengeneza kundi jingine au kuungana na kundi la Lowasa na kuimarisha ufa zaidi
Lakini kuhusu hoja ya Zito kama imefanyiwa usanii je wenzangu mwasemaje kwa mujibu wa sheria za bunge? Baada ya maamuzi ya raisi akionesha kukerwa baada ya jamaa zake kuondoka na kusema kuwa lazima awawajibishe waliohusika je itawezekana? Kama ikiwezekana je tusemeje? Kulipa kisasi kwa kusababisha marafiki zake kuondoka? Maana wakurugenzi wengi wamelalamikiwa lakini aliweka pamba masikioni je akiwashughulikia wezi je ataweza kuendeleza haya? Kama baadhi ya wakurugenzi wametuhumiwa na wanaendelea na kazi je kwa vile jamaa zake hawakuguswa ndo maana alikuwa hasikii kilio cha mchwa wa halmashauri zetu? Je kama akiwafikisha wezi mahakamani je kweli watahukumiwa? Kama mtindo ndo huu mimi siamini kama kuna uwezekano wa wezi kuhukumiwa kwani wengine wameachwa katika system! Je watakao fikishwa mahakamani na kuhukumiwa naomba niwape moyo na kuwambia mbele ya umma wa chama tawala urafiki kuulinda ni bora kuliko kulinda mali ya umma na hivyo wategemee kuwa na wenzao waliowatosa wako njiani kuwakuta huko waliko magerezani kama si leo ni kesho na dhuluma haina uwezo wa kudumu milele kama idumiyo haki
haki na usawa......hawa wanamagamba sera yao ni moja udanganyifu wakifikiri bado tumo kwenye karne ya 18................
John 14:14 " If you ask anything in My Name, I will do it"
John 14:15 "If you love Me, keep My commandments."
Re: Hoja ya Zitto Kabwe dhidi ya Pinda sasa yaimarika!
Subiri bunge lijalo siri nyingi tuuu zitaibuka..... walioenguliwa wataongea mengi!
Pakawa wale waliotolewa watapiga ganzi kwa sababu wameanza kutishiwa kuwa takukuru imeanza kufuatilia utajiri wao ili kuwazima wasilete chokochoko..ccm is always deploying carrot and intimidation tactics to stay in power........
John 14:14 " If you ask anything in My Name, I will do it"
John 14:15 "If you love Me, keep My commandments."
Re: Hoja ya Zitto Kabwe dhidi ya Pinda sasa yaimarika!
Subiri bunge lijalo siri nyingi tuuu zitaibuka..... walioenguliwa wataongea mengi!
Pakawa wale waliotolewa watapiga ganzi kwa sababu wameanza kutishiwa kuwa takukuru imeanza kufuatilia utajiri wao ili kuwazima wasilete chokochoko..ccm is always deploying carrot and intimidation tactics to stay in power........
John 14:14 " If you ask anything in My Name, I will do it"
John 14:15 "If you love Me, keep My commandments."
Re: Hoja ya Zitto Kabwe dhidi ya Pinda sasa yaimarika!
Alichokifanya JK nimeshindwa kukielewa kabisa,wezi walikuwa wengi inakuwaje awawajibishe wachache na wengine awaache?
Kuna kitu kimejificha hapo ebu ngoja tusubirie kutoka kwa Zito sasa.
kichomiz..........teh guy is a big joke....................that is what he is...full stop........
John 14:14 " If you ask anything in My Name, I will do it"
John 14:15 "If you love Me, keep My commandments."
Re: Hoja ya Zitto Kabwe dhidi ya Pinda sasa yaimarika!
Nadhan watu wengi hawakuielewa HOJA ya Mzee Mwanakijiji kipindi kile. Bila shaka hata Zitto mwenyewe!
Laiti kama ZZK angesikiliza na kufuata ushauri wake wa kutokupeleka ile hoja yake kwa wakati ule basi wakati huu ndio ungekuwa muafaka wa kutumia zile saini 73 kumshtaki Rais bungeni
Re: Hoja ya Zitto Kabwe dhidi ya Pinda sasa yaimarika!
a dirty game....
Elisha Ray..........Hijacked by looters......all the time...............pretending to be servants but in a real sense of the word they are not............

Entrepreneur hata mimi naona kuna uhaja wa kumshtaki JK na kuachana na wasaidizi wake........eyey is the source of this mess we are soaked in
John 14:14 " If you ask anything in My Name, I will do it"
John 14:15 "If you love Me, keep My commandments."
EMT huoni yakuwa kama Mkuchika na Mwanri wanaonekana bado wanafaa sasa hao wakurugenzi n amakatibu wakuu si wanafaa zaidi katika wizara ya serikali ya mitaa? Hakuna nia ya kuirekebisha nchi hii ndani ya ccm.........sioni hata dalili.................mengine yo aliyoongea JK leo ni ushahidi kuwa anacheza na maneno tu lakini moyoni anafurahia ufisadi uendelee kushamiri.......
Huyu jamaa pengine anatupa wake-up call sie raia. Anataka tuamke zaidi ya ilivyo sasa,anataka tupate akili kwamba tusitarajie lolote zuri under this CCM government.
Kazi kwetu watanzania. Tumeshatengewa msosi,kazi kuanza kupiga matonge tu. Lakini tukisubiri mpaka tulishwe kama vibogoyo,hakika hata rais atazidi kutushangaa.
Re: Hoja ya Zitto Kabwe dhidi ya Pinda sasa yaimarika!
By Rutashubanyuma
Elisha Ray..........Hijacked by looters......all the time...............pretending to be servants but in a real sense of the word they are not............
Follow Us Here