JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Wanaoishi kwenye dampo... Utawatambua kwa usanii

  Report Post
  Results 1 to 3 of 3
  1. Mag3's Avatar
   JF Gold Member Array
   Join Date : 31st May 2008
   Posts : 6,006
   Rep Power : 429498321
   Likes Received
   5841
   Likes Given
   5435

   Default Wanaoishi kwenye dampo... Utawatambua kwa usanii

   Mbunge Kilango aandaliwa mkutano na waandishi wa habari bila kujua
   Na Jackson Odoyo
   Date: 3/23/2009


   MBUNGE wa Same, Anne Kilango amedai kuwa alipangiwa kuzungumza na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa Idara ya Habari (Maelezo) bila ya kuomba kufanya hivyo, lakini ameona kuwa kuna haja ya kufanya hivyo ili kuzungumza na wananchi.

   Akizungumza na Mwananchi jana, mke huyo wa waziri mkuu wa zamani, John Malecela alisema alishangazwa na idadi ya simu kutoka kwa waandishi wa habari waliokuwa wakiuliza angefanya mkutano muda gani.

   "Baada ya kupata simu nyingi kutoka kwa waandishi wa habari wakisema kuwa wananisubiri, nililazimika kwenda Maelezo kujua undani wa taarifa hizo,” alisema mbunge huyo machachari.

   “Nilienda kuangalia katika kitabu cha usajili na nikakuta kweli kuna jina langu kuwa nitazungumza na waandishi leo (jana), lakini nilipowauliza walikiri kuwa walikosea.”

   Alisema kutokana na kubaini kuwa waandishi wana hamu ya kuzungumza naye, sasa ataitisha mkutano na waandishi licha ya kwamba hakuwa amepanga hivyo.

   “Inanifurahisha kuona wananchi wana hamu ya kusikia maneno yangu, nami niko tayari kufanya hivyo angalau nitoe hata salamu,” alisema mbunge huyo.

   Lakini, Kilango hakusema atazungumzia nini kwenye mkutano atakaoitisha wala siku atakayozungumza.


   Out, out damned spot, out I say. Even all the perfumes of Arabia will not cleanse this little hand - Lady Macbeth
   .
   Believe this and you'll believe anything !! - James Hadley Chase
   Its funny how sometimes
   the very people you'd take a bullet for,
   are the ones behind the trigger.


  2. Malila's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd December 2007
   Location : Makete mjini
   Posts : 3,993
   Rep Power : 35923095
   Likes Received
   2158
   Likes Given
   944

   Red face Re: Wanaoishi kwenye dampo...utawatambua kwa usanii !!

   Bila shaka kuna waandishi waliandaliwa rasmi kumtumbukiza ktk mgongano na wapiganaji wenzake,afadhali alivyochomoa ili akajipange vema.

  3. Waberoya's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd August 2008
   Location : Busia-Uganda
   Posts : 7,362
   Rep Power : 3102567
   Likes Received
   2462
   Likes Given
   4498

   Default Re: Wanaoishi kwenye dampo... Utawatambua kwa usanii

   Yeye anaona furaha kuona wananchi wanataka kumsikiliza aseme nini, wala si kutuambia tangu tuhuma za ufisadi yeye amefanya nini, tangu alipoanza kusema, maana hata sisi tunasema sana, lakini yeye ni mmoja wa watu wa kufanya 'kitu'

   je amezungumza nao??
   You are not supposed to be so blind with patrotism that you cant face reality. Wrong is wrong no matter who says it. Malcom X


  Similar Topics

  1. Wanaoishi maghorofani hawajali wanaoishi chini?
   By Mzee Mwanakijiji in forum Mahusiano, mapenzi, urafiki
   Replies: 13
   Last Post: 21st October 2011, 04:48
  2. Wanaoishi kwenye vurugu za ndoa wasiajiriwe?
   By Mtambuzi in forum Mahusiano, mapenzi, urafiki
   Replies: 3
   Last Post: 26th September 2011, 09:53
  3. Replies: 4
   Last Post: 9th May 2011, 20:45
  4. Usanii wa sales kwenye nchi dunia ya kwanza
   By Limbukeni in forum Jukwaa La Biashara na Uchumi
   Replies: 4
   Last Post: 29th May 2009, 20:20
  5. Kuna Usanii Kwenye Bajeti ya Elimu?
   By Augustine Moshi in forum Jukwaa la Siasa
   Replies: 20
   Last Post: 14th August 2007, 02:12

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...