Show/Hide This

  Topic: M4c ni noma!

  Report Post
  Page 2 of 2 FirstFirst 12
  Results 21 to 30 of 30
  1. Marire's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 1st May 2012
   Posts : 8,593
   Rep Power : 88166110
   Likes Received
   2398
   Likes Given
   1

   Default M4c ni noma!

   Nimeshuhudia kupita itv news ya saa 2 wananchi wakimzomea makongoro mahanga na kuimba mafisadi ,nikajiuliza hakuna tena wafuasi wa ccm hata wa kukodi kwani hata tanga jk alipokelewa. na cuf


  2. Kuntakint's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 26th September 2011
   Posts : 557
   Rep Power : 591
   Likes Received
   168
   Likes Given
   25

   Default Re: Baada ya Huku ya segerea Jana wapiga kura walimzomea Mahanga

   Quote By Teroburu View Post
   WANANCHI WATAAMKA KAMA WATASOMA, WATAJISOMEA, NA KUTAFUTA TAARIFA WENYEWE BILA KUTEGEMEA MAGAZETI YA KISHABIKI.

   MIMI NIMEJIFUNZA KITU KIMOJA KUHUSU WATANZANIA. WENGI WETU NI WAVIVU WA KUSOMA NA KUJISOMEA.

   Tunapenda majibu rahisi na mepesi kutoka majikwa ya kisiasa.

   Sisi WATANZANIA ni wepesi kulaumu wengine na sisi wenyewe hatutaki kutambua mapungufu yetu. Sisi ni wepesi kuwaamini tunaowashabikia na kuwapenda. TUTAJUTA HAPO BAADAYE KWA UVIVU WETU WA KUSOMA, UVIVU WETU WA KUTOJISOMEA, UVIVU WETU WA KUTOJITAFUTIA TAARIFA.

   Nina maswali kadhaa kwa wanaojiita GREAT THINKERS WA JAMII FORUMS:

   1. Nani amesoma sheria ya uchaguzi ambayo imeandikwa kwa lugha ya Kiswahili kabla ya kulaumu?
   2. Je wananchi wangapi walisoma HUKUMU kabla ya kulaumu?
   3. Nani amesoma vifungu has cha 108 cha sheria hii kuhusu wajibu wa anayefungua kesi za uchaguzi?
   4. Magezeti gani yaliandika mwenendo wa kesi neon kwa neon badala ya vichwa vya HABARI VYA KISHABIKI?
   5. Je wananchi wangapi walisoma ushahidi wa pande zote mbili zilizotolewa mahakamani?


   Bila kuacha uvivu wa kufikiri na UVIVU WA KUSOMA NAKALA HALISI ZA HUKUMU demokrasia haitajengeka hapa Tanzania. Bila kuacha uvivu wa kujisomea na kusoma TUTAJADILI KATIBA KISHABIKI.
   Fuatilia na Hukumu ya Arusha na ya jana. Umezionaje ndio maana wananchi wanalalamika hakuna haki. Hukumu ya mahanga Hakimu anasema mshtaki hakukidhi kwa kuwaleta mashahidi wenye vielelezo vya kutosha na hasa hakuleta picha na mikanda ya kuona ya video. Wakati Arusha inakubalika sheria io io ya kutokuwa na picha wala mikanda ya video ya kuona sasa hapo tuamini mahakama ipi. Isingekuwa rahisi katika serikali ya Kikwete na ccmafisi kumnyanganya cjui naibu waziri/waziri ubunge. Kwani wanaona ingekuwa kashfa na anguko lao. Hivyo piga galagaza ua ni lazima Mahanga ashinde io ndio sera ya ccmafisi. Kulindana na mahakama, mahakimu wetu wanavunja taaluma yao kwa tamaa ya vyeo pasipokujali kuwa yeye ni msomi haogopi lolote hata akitimuliwa kazi. Narudia tena yana mwisho nafikiri tunayaona yanayotokea Malawi ivi sasa ni nani alijua kuwa Mutharika atakufa na rais kuwa mwanamama Banda kutoka upinzani. Hawa wanaopindisha sheria iko siku lazima tutawahukumu, lazima tutawatafuta na kuwafunga wale wote wanaopendelea serikali na chama chao cha ccmafisi kwani kuna wananchi walioteseka/wanaoteseka kutokana na hukumu zao. Yana mwisho na mwisho wake sio mbali Mungu ibariki Tanganyika.
   nashy likes this.

  3. Eistein's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 24th November 2011
   Posts : 775
   Rep Power : 17340933
   Likes Received
   298
   Likes Given
   139

   Default Re: Baada ya Huku ya segerea Jana wapiga kura walimzomea Mahanga

   Quote By Teroburu View Post
   WANANCHI WATAAMKA KAMA WATASOMA, WATAJISOMEA, NA KUTAFUTA TAARIFA WENYEWE BILA KUTEGEMEA MAGAZETI YA KISHABIKI.

   MIMI NIMEJIFUNZA KITU KIMOJA KUHUSU WATANZANIA. WENGI WETU NI WAVIVU WA KUSOMA NA KUJISOMEA.

   Tunapenda majibu rahisi na mepesi kutoka majikwa ya kisiasa.

   Sisi WATANZANIA ni wepesi kulaumu wengine na sisi wenyewe hatutaki kutambua mapungufu yetu. Sisi ni wepesi kuwaamini tunaowashabikia na kuwapenda. TUTAJUTA HAPO BAADAYE KWA UVIVU WETU WA KUSOMA, UVIVU WETU WA KUTOJISOMEA, UVIVU WETU WA KUTOJITAFUTIA TAARIFA.

   Nina maswali kadhaa kwa wanaojiita GREAT THINKERS WA JAMII FORUMS:

   1. Nani amesoma sheria ya uchaguzi ambayo imeandikwa kwa lugha ya Kiswahili kabla ya kulaumu?
   2. Je wananchi wangapi walisoma HUKUMU kabla ya kulaumu?
   3. Nani amesoma vifungu has cha 108 cha sheria hii kuhusu wajibu wa anayefungua kesi za uchaguzi?
   4. Magezeti gani yaliandika mwenendo wa kesi neon kwa neon badala ya vichwa vya HABARI VYA KISHABIKI?
   5. Je wananchi wangapi walisoma ushahidi wa pande zote mbili zilizotolewa mahakamani?


   Bila kuacha uvivu wa kufikiri na UVIVU WA KUSOMA NAKALA HALISI ZA HUKUMU demokrasia haitajengeka hapa Tanzania. Bila kuacha uvivu wa kujisomea na kusoma TUTAJADILI KATIBA KISHABIKI.
   Acha mbwembwe kijana duniani hakuna haki.

  4. Mungi's Avatar
   JF Gold Member Array
   Join Date : 23rd September 2010
   Location : JF
   Posts : 16,050
   Rep Power : 115513643
   Likes Received
   8454
   Likes Given
   4555

   Default Re: Baada ya Huku ya segerea Jana wapiga kura walimzomea Mahanga

   Baadhi ya Majaji wanatuangusha sana kwenye kutoa hukumu.
   Jaji anatakiwa awe na ngozi nene wakati wa kutoa uamuzi.
   God will not permit any troubles to come upon us, unless He has a specific plan by which great blessing can come out of the difficulty..

  5. Userne's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 7th June 2011
   Posts : 896
   Rep Power : 675
   Likes Received
   121
   Likes Given
   59

   Default Re: M4c ni noma!

   kwa mtaji aliopata! atapewa wizara kamili! Mhh!

  6. Noboka's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th November 2011
   Posts : 971
   Rep Power : 2437
   Likes Received
   369
   Likes Given
   51

   Default Re: M4c ni noma!

   Sijutii kamwe kumpa kura yangu, ingawa najutia uamuzi wa kutolinda kura yangu ambayo nadhani mwizi Mahanga na genge lake waliiba.
   Kwa kitendo walichofanya wapiga kura kumzomea Mahanga, naamini Mpendazoe umma uko nyuma yake.


  7. Barnabas Shadrack's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd July 2011
   Posts : 2,204
   Rep Power : 57924130
   Likes Received
   268
   Likes Given
   20

   Default Re: M4c ni noma!

   Kwa hiyo kuzomea na kuita mwizi, ndiyo yamaanisha ushindi kwa kiti cha ubunge wa segerea?.
   .
   "Ama kweli CHADEMA NI SAWA NA NG'OMBE ASIYE NA BEI SOKONI".
   .
   "WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".

  8. MgungaMiba's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 28th August 2011
   Posts : 436
   Rep Power : 682
   Likes Received
   352
   Likes Given
   9

   Default

   Quote By Kuntakint View Post
   Fuatilia na Hukumu ya Arusha na ya jana. Umezionaje ndio maana wananchi wanalalamika hakuna haki. Hukumu ya mahanga Hakimu anasema mshtaki hakukidhi kwa kuwaleta mashahidi wenye vielelezo vya kutosha na hasa hakuleta picha na mikanda ya kuona ya video. Wakati Arusha inakubalika sheria io io ya kutokuwa na picha wala mikanda ya video ya kuona sasa hapo tuamini mahakama ipi. Isingekuwa rahisi katika serikali ya Kikwete na ccmafisi kumnyanganya cjui naibu waziri/waziri ubunge. Kwani wanaona ingekuwa kashfa na anguko lao. Hivyo piga galagaza ua ni lazima Mahanga ashinde io ndio sera ya ccmafisi. Kulindana na mahakama,   mahakimu wetu wanavunja taaluma yao kwa tamaa ya vyeo pasipokujali kuwa yeye ni msomi haogopi lolote hata akitimuliwa kazi. Narudia tena yana mwisho nafikiri tunayaona yanayotokea Malawi ivi sasa ni nani alijua kuwa Mutharika atakufa na rais kuwa mwanamama Banda kutoka upinzani. Hawa wanaopindisha sheria iko siku lazima tutawahukumu, lazima tutawatafuta na kuwafunga wale wote wanaopendelea serikali na chama chao cha ccmafisi
   kwani kuna wananchi walioteseka/wanaoteseka kutokana na hukumu zao. Yana mwisho na mwisho wake sio mbali Mungu ibariki Tanganyika.
   .
   Alieshitakiwa Arusha ni Mwanakondoo wakati alieshitakiwa Segerea alikuwa Mbwamwitu, watahukumiwaje sawasawa?

  9. Nono's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 11th February 2008
   Location : Bulyanhulu
   Posts : 1,097
   Rep Power : 888
   Likes Received
   159
   Likes Given
   99

   Default Re: M4c ni noma!

   Quote By Marire View Post
   Nimeshuhudia kupita itv news ya saa 2 wananchi wakimzomea makongoro mahanga na kuimba mafisadi ,nikajiuliza hakuna tena wafuasi wa ccm hata wa kukodi kwani hata tanga jk alipokelewa. na cuf
   Niliona hii, vijana wakiwa na bendera za ccm na chadema, vidole viwili juu wakiimba kwa msaada. Baadae nikasikia wakimwita mwizi wakati wa kuondoka. Du, hii noma kweli. Chakushangaza hakukuwa na wafuasi wa ccm japo kumpa faraja mzee wao baada ya kujipati a ushindi kwa msaada

  10. Kyaiyembe's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 1st December 2011
   Location : Kisukuru
   Posts : 1,444
   Rep Power : 758
   Likes Received
   419
   Likes Given
   463

   Default Re: M4c ni noma!

   Quote By Ciphertext View Post
   Kashinda mahakamani si kwa wapiga kura. Akizomewa kuna ubaya gani?
   Kwhiyo wagombe wawe wanaenda kupiga kampeni mahakamani kuliko kupoteza mda na pesa nyingi kuwazungukia wananchi wawapigie kura siyo!.
   -Unahitaji kujua mbunge ni mwakilishi wa nani.
   "Ikulu ni mahala PATAKATIFU,
   mimi sikuchaguliwa kuja kupageuza kuwa pango la wala RUSHWA."
   By J.K. NYERERE.

  11. MNYISANZU's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st October 2011
   Posts : 6,816
   Rep Power : 2274
   Likes Received
   886
   Likes Given
   83

   Default Re: M4c ni noma!

   Mateso yakizidi ujue neema inakaribia. Freedom is around...


  Page 2 of 2 FirstFirst 12

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...