JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Siku CHADEMA wakichukua nchi, tutarajie haya...

  Report Post
  Page 2 of 3 FirstFirst 123 LastLast
  Results 21 to 40 of 43
  1. Tuko's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 29th July 2010
   Posts : 10,929
   Rep Power : 205698412
   Likes Received
   6794
   Likes Given
   6602

   Default Siku CHADEMA wakichukua nchi, tutarajie haya...

   Naamini CDM ni chama kitakachotawala kwa haki, na kuhakikisha kila nafasi ya utumishi wa umma inakuwa na mtu mwenye credibily. Kutokana na serikali ya CCM kuzitumia nafasi za kiutendaji serikalini kisiasa, ni wazi kabisa itakuwa ngumu kuendelea na watu wengi nchi itakapokombolewa. Kwa mantiki hiyo, CDM wakichukua nchi

   Ni majaji wachache sana watakaoqualify kuendelea...
   Ni Wakurugenzi wa wilaya wachache sana watakaoqualify kuendelea...
   Ni makamanda wachache sana wa polisi wa mikoa na ma-OCD watakaoqualify kuendelea...
   Ni mahakimu wachache sana watakaoqualify kuendelea...
   Ni makatibu wakuu wa wizara wachache sna watakaoendelea,
   Ni wakuu wa nyuo, wakurugenzi wa mashirika na maidara, wenyeviti wa bodi, makatibu tawala wachache sana watakaoqualify kuendelea...
   Wakuu wote wa wilaya na mikoa watakuwa discontinued...
   Majority ya usalama wa taifa na takukuru watakuwa discontinued...
   Nafasi ya Dk Hosea itakuwa wazi, ya msajili wa vyama itakuwa wazi, ya IGP itakuwa wazi, ya Manumba itakuwa wazi, za makamishna wote wa polisi zitakuwa wazi...

   Je CHADEMA kitapata watu wenye credibility wa kutosha kujaza nafasi hizo???

  2. Mvaa Tai's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 11th August 2009
   Location : Kunduchi
   Posts : 4,734
   Rep Power : 33546
   Likes Received
   2174
   Likes Given
   1733

   Default re: Siku CHADEMA wakichukua nchi, tutarajie haya...

   Kutakuwa kuna haja pia ya kufuatilia kwa wataalam wa masuala ya nyota na bahati kujua ni kwanini ndugu wengi sana wa Hawa Ghasia wana bahati sana ya kupata kazi serikalini tena katika idara nyeti?
   FortJeasus likes this.
   SIJAHAKIKIWA!!!

  3. iron2012's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 16th February 2012
   Location : Dar es Salaam-Tanzania
   Posts : 336
   Rep Power : 558
   Likes Received
   65
   Likes Given
   65

   Default re: Siku CHADEMA wakichukua nchi, tutarajie haya...

   Quote By Tuko View Post
   Naamini CDM ni chama kitakachotawala kwa haki, na kuhakikisha kila nafasi ya utumishi wa umma inakuwa na mtu mwenye credibily. Kutokana na serikali ya CCM kuzitumia nafasi za kiutendaji serikalini kisiasa, ni wazi kabisa itakuwa ngumu kuendelea na watu wengi nchi itakapokombolewa. Kwa mantiki hiyo, CDM wakichukua nchi

   Ni majaji wachache sana watakaoqualify kuendelea...
   Ni Wakurugenzi wa wilaya wachache sana watakaoqualify kuendelea...
   Ni makamanda wachache sana wa polisi wa mikoa na ma-OCD watakaoqualify kuendelea...
   Ni mahakimu wachache sana watakaoqualify kuendelea...
   Ni makatibu wakuu wa wizara wachache sna watakaoendelea,
   Ni wakuu wa nyuo, wakurugenzi wa mashirika na maidara, wenyeviti wa bodi, makatibu tawala wachache sana watakaoqualify kuendelea...
   Wakuu wote wa wilaya na mikoa watakuwa discontinued...
   Majority ya usalama wa taifa na takukuru watakuwa discontinued...
   Nafasi ya Dk Hosea itakuwa wazi, ya msajili wa vyama itakuwa wazi, ya IGP itakuwa wazi, ya Manumba itakuwa wazi, za makamishna wote wa polisi zitakuwa wazi...

   Je CHADEMA kitapata watu wenye credibility wa kutosha kujaza nafasi hizo???
   ungekuwa rais sijui kama nchi hiyo ingekuwepo

  4. Shardcole's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 15th January 2012
   Posts : 10,133
   Rep Power : 51954449
   Likes Received
   2938
   Likes Given
   4

   Default

   Quote By ntamaholo View Post
   Wacha uongo wewe.

   hakimu, nakubaliana na wewe, lakini jaji, kamanda wa polisi, wakuu wa vyuo vya umma, wote wana harufu ya siasa pamoja na kwamba wana taaluma zao tena nzuri.

   1. Chukua mfano wa udsm, Mkandala aliteuliwa katika nafasi yake ya sasa akitokea REDET. Ni kupitia REDET alikuwa na kawaida ya kukisifia CCM, na ndiye anayetajwa kuunda ilani ya uchaguzi 2005. Baada ya J.K kupita, alipewa kama asante, na Mathew Luhanga akarudishwa COET kuwa mkuu wa kitivo. Siasa ndo ilifanya kazi.
   2. Majaji wote, pamoja na taaluma walizonazo, lakini mtu huwi jaji mpaka uteuliwe na uapishwe na RAIS.
   3. Makamanda wa polisi, wote file zao ziko ikulu, na kuchaguliwa kwao, lazima kuwa na uhusiano wa karibu sana na IJP, ambaye ni mteule wa Rais, hivyo kwa maneno mengine wanategemea hali ya siasa katika kazi zao. Ndio maana kwa baadhi ya maeneo, wamekuwa wakihamishwa mara moja ikiwa wameharibu michakato miovu ya CCM.
   4. Wakuu wa wilaya, hata mwenyewe unajua wanapatikanaje, wacha uvivu wa kufikiria.
   5. wakurugenzi, ni wateule wa TAMISEM-waziri husika. hivyo nao huharibu hata chaguzi nyingi kwa sababu hiyo. kwa maneno mengine ni wenye kadi za CCM
   6. Makatibu wa wizara wote wanateuliwa na kuapishwa na rais, ndo maana ni wachache walo safi. wana harufu ya CCM
   Good analysis.

  5. kajugu's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 16th April 2012
   Posts : 114
   Rep Power : 504
   Likes Received
   16
   Likes Given
   9

   Default re: Siku CHADEMA wakichukua nchi, tutarajie haya...

   rejea swali la mtoa mada kuwa chadema itapata wapi watu wenye credibility za kutosha kujaza nafasi ,we uko nchi gani?au Fiji?nchi imeishiwa watu wenye sifa?

  6. hans79's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 4th May 2011
   Posts : 3,685
   Rep Power : 1329
   Likes Received
   392
   Likes Given
   0

   Default

   Quote By kamau ngilisho View Post
   idara kma USALAMA WA TAIFA MAHAKAMA POLISI hazifanyi kazi wala kujihusisha na siasa bali kwa mujibu wa sheria.
   hao wote wangefanya kazi vyema pasingekuwepo na dhuluma za kiasheria tena wote hao chama kwanza wananchi baadae. Hivi ni kesi gani ya rushwa ambayo kigogo wa chama tawala kafikishwa kwenye sheria licha ya mikataba mikubwa mingi kuna rushwa?

  7. Tuko's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 29th July 2010
   Posts : 10,929
   Rep Power : 205698412
   Likes Received
   6794
   Likes Given
   6602

   Default re: Siku CHADEMA wakichukua nchi, tutarajie haya...

   Kama alivyosema FortJeasus kuwa wengi wanaopinga hili hawakuelewa point ilikuwa wapi. Ukweli upo na unabaki kuwa watendaji wengi serikalini ni wa viwango vya chini sana, ila wamepewa nafasi hizo kwa maslahi ya kisiasa na wanasiasa. Haiwezi kuwa kitu cha siku moja bali serikali yeyote makini (na hapa nimetumia CHADEMA kama mfano hai) itakayoingia madarakani haiwezi kuendelea kukumbatia watendaji wabovu kama kwani hawataisaidia katika kuleta maendeleo.

   Narudia tena kuwa asilimia kubwa ya watendaji katika nafasi za kuteuliwa, wamewekwa kwa masilahi ya siasa, na wengi wao wana uwezo mdogo kiutendaji.

   Kuna watu wanawatetea mahakimu na usalama wa taifa! Niwaambie tu kwamba zipo mahakama nchini ambazo hata uwe na viwango gani kitaaluma na kiutendaji, huwezi tia mguu unless you are politically compatible.

   Sasa mi niliongelea credibility, watu wanadhani nimeongelea kadi za vyama! Simaanishi kuwa CDM wakichukua nchi watawapa nafasi wanaCDM peke yao (at least siamini hivyo), but watatakiwa, kwa kuwa watakuwa wanahitaji watu makini kuendeleza nchi hii, nafasi zote za kiutendaji ambazo sasa zimekaliwa kisiasa, zichukuliwe na watu makini wasioangalia maslahi ya kisiasa.

   Swali langu ni kuwa, je zoezi hili litaendeshwaje kuwapata watu makini, bila kuvunja sheria au kusababisha manung'uniko?

  8. Massenberg's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 4th June 2011
   Posts : 468
   Rep Power : 696
   Likes Received
   265
   Likes Given
   0

   Default

   Quote By Tuko View Post
   Naamini CDM ni chama kitakachotawala kwa haki, na kuhakikisha kila nafasi ya utumishi wa umma inakuwa na mtu mwenye credibily. Kutokana na serikali ya CCM kuzitumia nafasi za kiutendaji serikalini kisiasa, ni wazi kabisa itakuwa ngumu kuendelea na watu wengi nchi itakapokombolewa. Kwa mantiki hiyo, CDM wakichukua nchi

   Ni majaji wachache sana watakaoqualify kuendelea...
   Ni Wakurugenzi wa wilaya wachache sana watakaoqualify kuendelea...
   Ni makamanda wachache sana wa polisi wa mikoa na ma-OCD watakaoqualify kuendelea...
   Ni mahakimu wachache sana watakaoqualify kuendelea...
   Ni makatibu wakuu wa wizara wachache sna watakaoendelea,
   Ni wakuu wa nyuo, wakurugenzi wa mashirika na maidara, wenyeviti wa bodi, makatibu tawala wachache sana watakaoqualify kuendelea...
   Wakuu wote wa wilaya na mikoa watakuwa discontinued...
   Majority ya usalama wa taifa na takukuru watakuwa discontinued...
   Nafasi ya Dk Hosea itakuwa wazi, ya msajili wa vyama itakuwa wazi, ya IGP itakuwa wazi, ya Manumba itakuwa wazi, za makamishna wote wa polisi zitakuwa wazi...

   Je CHADEMA kitapata watu wenye credibility wa kutosha kujaza nafasi hizo???
   Unasahau kuwa mfumo mpya utakakuwepo utamaanisha vyeo vingi ulivyovitaja hapo vitafutiliwa mbali kutokana na kutokuhitajika.

  9. Ralph Nicholz's Avatar
   Member Array
   Join Date : 18th January 2011
   Posts : 20
   Rep Power : 551
   Likes Received
   2
   Likes Given
   40

   Default re: Siku CHADEMA wakichukua nchi, tutarajie haya...

   Quote By njiwa View Post
   wakichukua nchi CDM "which is far away from reality " utaulizwa we dini gani..? unatokea mkoa gani... ndio mambo mengine yataendelea ..
   Aisee ukiitwa bundi itafaa zaidi kwani yeye ndie hana uwezo wa kuona mchana kweupe kama ulivyo wewe!

  10. Ralph Nicholz's Avatar
   Member Array
   Join Date : 18th January 2011
   Posts : 20
   Rep Power : 551
   Likes Received
   2
   Likes Given
   40

   Default re: Siku CHADEMA wakichukua nchi, tutarajie haya...

   Quote By Tuko View Post
   Swali langu ni kuwa, je zoezi hili litaendeshwaje kuwapata watu makini, bila kuvunja sheria au kusababisha manung'uniko?
   Bora umeeleza na watu wenye akili finyu waliokuwa wakipinga hoja yako waone aibu...umeonyesha uwezo wa kujenga hoja na kukitetea unachofikiria bila kuyumbishwa....pamoja na hayo Watumishi hawawezi kukosa sababu wapo watu wengi wanao weza kushika nyadhfa hizo na walio na misimamo na wanaopenda kulinda hadhi za taaluma zao ambao hawakupewa nafasi hizo kwasababu ya mamlaka za uteuzi kuogopa kuhatarisha maslahi yao!

  11. mtotowamjini's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 23rd April 2012
   Location : None of Your Business
   Posts : 4,542
   Rep Power : 1389
   Likes Received
   1120
   Likes Given
   29

   Default re: Siku CHADEMA wakichukua nchi, tutarajie haya...

   Quote By Tuko View Post
   Ni majaji wachache sana watakaoqualify kuendelea...
   Ni Wakurugenzi wa wilaya wachache sana watakaoqualify kuendelea...
   Ni makamanda wachache sana wa polisi wa mikoa na ma-OCD watakaoqualify kuendelea...
   Ni mahakimu wachache sana watakaoqualify kuendelea...
   Ni makatibu wakuu wa wizara wachache sna watakaoendelea,
   Ni wakuu wa nyuo, wakurugenzi wa mashirika na maidara, wenyeviti wa bodi, makatibu tawala wachache sana watakaoqualify kuendelea...
   Wakuu wote wa wilaya na mikoa watakuwa discontinued...
   Majority ya usalama wa taifa na takukuru watakuwa discontinued...
   Nafasi ya Dk Hosea itakuwa wazi, ya msajili wa vyama itakuwa wazi, ya IGP itakuwa wazi, ya Manumba itakuwa wazi, za makamishna wote wa polisi zitakuwa wazi..
   .

   Je CHADEMA kitapata watu wenye credibility wa kutosha kujaza nafasi hizo???
   Hizo nilizo highlight hapo juu ni lazima kabisa...mahakakma na polisi/intelligence inabidi kuna changes za ajabu wamewaonea sana cdm...yani hapo hatapona mtu na wengine na mahakamani watafikishwa...
   Every saint has a past, every sinner has a future' ...Oscar Wilde

   One man's good fortune is another man's misfortune

  12. Ruttashobolwa's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd February 2012
   Posts : 30,634
   Rep Power : 152353411
   Likes Received
   12183
   Likes Given
   12614

   Default

   Quote By Asnam View Post
   upotofu wa fikra.
   hiyo haitoshi,lazima ana matatizo ya kisaikolojia kabisa
   hivi sijui ameishia darasa langapi?

  13. bulylo's Avatar
   Member Array
   Join Date : 30th April 2012
   Posts : 11
   Rep Power : 482
   Likes Received
   0
   Likes Given
   0

   Default

   Quote By njiwa View Post
   wakichukua nchi CDM "which is far away from reality " utaulizwa we dini gani..? unatokea mkoa gani... ndio mambo mengine yataendelea ..
   Shame on you!

  14. Maundumula's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 4th November 2010
   Posts : 6,991
   Rep Power : 6903
   Likes Received
   2089
   Likes Given
   9836

   Default re: Siku CHADEMA wakichukua nchi, tutarajie haya...

   Kuna watu wengi wapo mstari wa mbele wanajiita makamanda.

   Kama ikitokea Chadema wamechukua nchi kutazuka vurugu kubwa sana za kugombania hizo nafasi nyeti, maana kila mtu atajiona yeye mchango wake mkubwa. "oooh mimi bodyguard wa Slaa" huyu nae "oooh mimi housegirl wa Josephine". Mwisho wake itakuwa vurugu mechi mtaani, usishangae kuona Lema mkuu wa TRA.

  15. Kimbunga's Avatar
   JF Platinum Member Array
   Join Date : 4th October 2007
   Location : Jimboni kusaka ridhaa
   Posts : 10,932
   Rep Power : 7194
   Likes Received
   5177
   Likes Given
   1697

   Default re: Siku CHADEMA wakichukua nchi, tutarajie haya...

   Quote By Feedback View Post
   Mkuu haya mambo ya kufuata protocal wakati mwingine ndiyo yanachelewesha maendeleo... kuna watu wakufukuzwa mara moja na wengine wa kujadiliwa.. angalia huyu police chief wa Malawi alifukuzwa siku mbili tu baada ya Banda kuwa rais, ina maana makosa yake yalikuwa yanajulikana before. Hata sisi kuna watendaji wa serikali watakaotimuliwa au kujiuzulu siku chache tu kama CDM itafanikiwa kutwaa madaraka na wanajijua kabisa.

   New Malawi president fires police chief

   Malawi's new President Joyce Banda has fired the nation's police chief and hired a new one,
   her office said on Monday, two days after she took office following her predecessor's death.

   Banda has "appointed commissioner Lot Dzonzi as the new inspector general of police with effect
   from April 8", replacing former top cop Peter Mukhito, said a statement from the office of the
   president and cabinet.
   Mkuu Feedback hiyo wala siiikatai. Ninachosema ni kwamba kusiwe na expectation kuubwa kwamba ndani ya siku mia moja basi nafasi zote zitakuwa wazi. Nimetolea mfano Majaji huwezi kuaamka na kuwafuta tu kazi kwa kuwa wewe umechukua dola; kuna mchakato wa kikatiba hapa (katiba ya sasa). Hao wengine kama IGP, Wakurugenzi, nk wanaweza kutolewa hata wote siku moja kwa kuwa ni wateule wa Rais na hakuna mchakato wowote wa kikatiba unaotakiwa kuwatoa (katiba ya sasa). Ila kiongozi makini hawezi kuingia tu na kuwatoa waoooote kwa wakati mmoja lazima aende taratibu. Hata Tanganyika ilivyopata uhuru haikufukuza wakoloni wote siku moja.
   Nimekuja mzee wenu, naomba ridhaa yenu.

  16. chakolo's Avatar
   Member Array
   Join Date : 6th February 2011
   Posts : 26
   Rep Power : 549
   Likes Received
   2
   Likes Given
   23

   Default re: Siku CHADEMA wakichukua nchi, tutarajie haya...

   Quote By ntamaholo View Post
   Wacha uongo wewe.

   hakimu, nakubaliana na wewe, lakini jaji, kamanda wa polisi, wakuu wa vyuo vya umma, wote wana harufu ya siasa pamoja na kwamba wana taaluma zao tena nzuri.

   1. Chukua mfano wa udsm, Mkandala aliteuliwa katika nafasi yake ya sasa akitokea REDET. Ni kupitia REDET alikuwa na kawaida ya kukisifia CCM, na ndiye anayetajwa kuunda ilani ya uchaguzi 2005. Baada ya J.K kupita, alipewa kama asante, na Mathew Luhanga akarudishwa COET kuwa mkuu wa kitivo. Siasa ndo ilifanya kazi.
   2. Majaji wote, pamoja na taaluma walizonazo, lakini mtu huwi jaji mpaka uteuliwe na uapishwe na RAIS.
   3. Makamanda wa polisi, wote file zao ziko ikulu, na kuchaguliwa kwao, lazima kuwa na uhusiano wa karibu sana na IJP, ambaye ni mteule wa Rais, hivyo kwa maneno mengine wanategemea hali ya siasa katika kazi zao. Ndio maana kwa baadhi ya maeneo, wamekuwa wakihamishwa mara moja ikiwa wameharibu michakato miovu ya CCM.
   4. Wakuu wa wilaya, hata mwenyewe unajua wanapatikanaje, wacha uvivu wa kufikiria.
   5. wakurugenzi, ni wateule wa TAMISEM-waziri husika. hivyo nao huharibu hata chaguzi nyingi kwa sababu hiyo. kwa maneno mengine ni wenye kadi za CCM
   6. Makatibu wa wizara wote wanateuliwa na kuapishwa na rais, ndo maana ni wachache walo safi. wana harufu ya CCM
   Nimeifurahia sana analysis yako. Imekaa ki- great thinker

  17. Masanilo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd October 2007
   Location : Swat valley, Keta Keta
   Posts : 22,185
   Rep Power : 85897705
   Likes Received
   4154
   Likes Given
   2484

   Default

   Quote By njiwa View Post
   wakichukua nchi CDM "which is far away from reality " utaulizwa we dini gani..? unatokea mkoa gani... ndio mambo mengine yataendelea ..
   Hey buddy! Stop believing everything your mum tells you!!

  18. Fitinamwiko's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 13th August 2012
   Location : Bagamoyo
   Posts : 4,507
   Rep Power : 0
   Likes Received
   1159
   Likes Given
   1979

   Post MAONI: Je CDM wakichukua nchi, matatizo yetu yatapungua ndani ya miaka mitano?

   CHANGE lilikuwa neno alilotumia Obama 2008, wamarekani wengi walikuwa desperate na hali ya uchumi. Watu waliamini Obama angebadili uchumi kwa kipindi kifupi, baada ya miaka zaidi ya miwili kupita, lawama zote zinaelekezwa kwake. Ukweli utabaki palepale, shimo alilochimba Rafiki wa JK (George Bush) kwa miaka 8, Obama asingeweza kulifukia ndani ya miaka minne.
   Hili naliona kutokea Tanzania, punde CDM wakinyakua nchi. Watu wengi tunaamini M4C, je ni lipi tofauti na Obama, CDM watafanya kuziba shimo linalochimbwa na CCM kwa zaidi ya miaka 50?

  19. mathcom's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 13th October 2012
   Location : Sinza Dar es Salaam
   Posts : 1,391
   Rep Power : 734
   Likes Received
   479
   Likes Given
   895

   Default Re: MAONI: Je CDM wakichukua nchi, matatizo yetu yatapungua ndani ya miaka mitano?

   Quote By Fitinamwiko View Post
   CHANGE lilikuwa neno alilotumia Obama 2008, wamarekani wengi walikuwa desperate na hali ya uchumi. Watu waliamini Obama angebadili uchumi kwa kipindi kifupi, baada ya miaka zaidi ya miwili kupita, lawama zote zinaelekezwa kwake. Ukweli utabaki palepale, shimo alilochimba Rafiki wa JK (George Bush) kwa miaka 8, Obama asingeweza kulifukia ndani ya miaka minne.
   Hili naliona kutokea Tanzania, punde CDM wakinyakua nchi. Watu wengi tunaamini M4C, je ni lipi tofauti na Obama, CDM watafanya kuziba shimo linalochimbwa na CCM kwa zaidi ya miaka 50?
   hata kama hawata maliza matatizo yote au mengi, watanzania wanataka kuona kuna maendeleo ya kwenda mbele wala sio kurudi nyuma! kama watapata ridhaa ya kuongoza tutaona hayo, kama wakishindwa basi tutarudi kwa mzee wetu CCM

  20. The Don's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd December 2011
   Posts : 3,234
   Rep Power : 1161
   Likes Received
   844
   Likes Given
   315

   Default re: Siku CHADEMA wakichukua nchi, tutarajie haya...

   Tupoooooo

  21. Nivea's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st May 2012
   Posts : 7,416
   Rep Power : 156372165
   Likes Received
   4558
   Likes Given
   5413

   Default Re: Siku CHADEMA wakichukua nchi, tutarajie haya...

   My kaka Tuko nakuona na siasa taratibu unakuja juu umehama chit chat siku hizi?

  Page 2 of 3 FirstFirst 123 LastLast

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...