JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: JAJI wa MAHANGA hakuwa na jinsi...

  Report Post
  Page 8 of 9 FirstFirst ... 6789 LastLast
  Results 141 to 160 of 164
  1. VUTA-NKUVUTE's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 25th November 2010
   Location : Where the truth is
   Posts : 4,453
   Rep Power : 94989366
   Likes Received
   5370
   Likes Given
   1255

   Default JAJI wa MAHANGA hakuwa na jinsi...

   Jaji Profesa Ibrahim Hamis Juma alikuwa Mkuu wa Kitivo cha Sheria-Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.Aliishia mwaka 2006,akimpisha Prof.Sifuni Ernest Mchome ambaye kwasasa yuko TCU.Jaji Juma ni rafiki wa karibu wa Rais Jakaya Kikwete.Ni Mkurya kama alivyo Mahanga.Jaji Juma alianza kuteuliwa,na Rais, kwenye Kamati ya Uchunguzi wa Mauaji ya Wafanyabiashara watatu,yale ya Zombe,iliyokuwa chini ya Uenyekiti wa Jaji Kipenka Mussa.

   Baadaye,mwaka 2008,akateuliwa kuwa Jaji wa Mahakama Kuu.Jaji Juma ni mtu wa msimamo.Ni mtu makini.Msimamo wake na umakini wake umemezwa na uhusiano wake wa karibu na Rais na ukabila wake na Mahanga.Hukumu ya leo haikushtua.Ameamua kadiri ya urefu wa kamba yake...
   Uongo huonekana na kuaminiwa haraka.Ukweli ndio mwisho wa yote!


  2. Idimi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 18th March 2007
   Location : Ikwiriri
   Posts : 7,383
   Rep Power : 85915103
   Likes Received
   1962
   Likes Given
   1002

   Default Re: JAJI wa MAHANGA hakuwa na jinsi...

   Quote By Amavubi View Post
   .......................leo kanya bata...............???
   B
   Bwahahahhh
   Makubwa
   A successful man is one who makes more money than his wife can spend. A successful woman is one who can find such a man!
   [email protected]

  3. VUTA-NKUVUTE's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 25th November 2010
   Location : Where the truth is
   Posts : 4,453
   Rep Power : 94989366
   Likes Received
   5370
   Likes Given
   1255

   Default Re: JAJI wa MAHANGA hakuwa na jinsi...

   Quote By Dallas Dullah View Post
   Mdau kiukweli ni kwamba.....

   Tanzania imeshaharibika ukiongea ukweli unatishiwakuuliwa kwa mfano ulichoandika wewe kipi sio sahihi.....maanake ni ushikaji kazini.....chapa mwendo mwanangu ukifa kama mwanaharakati hakuna shida tuko pamoja.....
   Hatishwi mtu hapa.Hii ni nchi yetu.Lazima tuipiganie...
   Uongo huonekana na kuaminiwa haraka.Ukweli ndio mwisho wa yote!

  4. Ngisibara's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd January 2009
   Posts : 1,434
   Rep Power : 939
   Likes Received
   243
   Likes Given
   148

   Default Re: JAJI wa MAHANGA hakuwa na jinsi...

   Quote By Bagumako Yoweli View Post
   wewe hujui unacho kisema,mimi nilikuwepo mwanzo mpaka mwisho yaani leo,Jaji alicho kifanya nikitu tofauti na unachokitetea wewe. Mfano ,jaji wakati anapitia maelezo ya mashahidi ya shahidi Rugema aliyekuwa shahidi wa 5 JAJI "shahidi rugema alisema yeye aliomba polisi wampe mfuko ambao yeye Rugema aliukagua na kukuta mihuri ya tumeya uchaguzi" lakini ukweli shahidi yule wakati anatoa maelazo hakusema hivyo kabisa! yeye alisema kuwa mfuko ule ulidondoka wenyewe bna kupasuka na mihuri kusambaa na ulirudia kusema hivyo mara 6na ukichanganya naile ya kuongozwa na wakili wake mara 2 zinakuwa mara 8, lakini jaji aliye na harufu ya STATE anasema kitu kingine. Huyo jaji sio wakutetea kabisa!!!.

   Kuumbua uongo wa hawa vodafasta inabidi sasa CDM kwenye kesi zote waende na Recorder

   SEMINA ELEKEZI, Mie ntakula mpaka kulee, wewe palee na nyie paleee, Mawaziri wangu angalieni msiingiliane mpaka tutakapokutana 2015


  5. Mikael P Aweda's Avatar
   JF Gold Member Array
   Join Date : 17th December 2010
   Posts : 2,935
   Rep Power : 237330233
   Likes Received
   3830
   Likes Given
   3533

   Default Re: JAJI wa MAHANGA hakuwa na jinsi...

   Quote By Dumela Mbegu View Post
   Hahahaaaaa waacheni wafu wawazike wafu wenzao. Kwenye hii kesi CDM haikumpa ushirikiano wakutosha Mpendazoe baada yakuona hoja zao hazina nguvu, wakamuacha peke yake katikati ya bahari ajifie mwenyewe. Na leo ndio kufa kwenyewe kwa Mpendazoe, hoja zake zilikuwa dhaifu sana sana.
   Mkuu naona unapotosha kwa makusudi. Nipigie simu nikupe namba za mpendazoe, umpigie halafu ukimaliza kuongea naye uje jamvini utuambie alichokuambia Mpendazoe.
   Mosi, Mpendazoe alikuwa akisaidiwa na makao makuu kwa namna nyingi. Au wewe ulitaka Dr Slaa na Mbowe waje mahakamani ndo kutoa ushirikiano?
   TANGANYIKA KWANZA

  6. Ngaliba Dume's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 6th October 2010
   Posts : 1,152
   Rep Power : 791
   Likes Received
   599
   Likes Given
   308

   Default Re: JAJI wa MAHANGA hakuwa na jinsi...

   Uyu Jaji ndo alipewa ujaji kwa kumbeba Ridhiwan pale Udsm..akapewa shavu Tume ya kurekebsha sheria na badae Mahakama kuu...huyu ni academician hakuwa court-based lawyer!LAKINI TUSHUKURU HATA MAHANGA HAKUWA NA FURAHA MANA NAFSI INAMSUTA!


  7. Ndinani's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 29th August 2010
   Posts : 4,132
   Rep Power : 1892
   Likes Received
   1108
   Likes Given
   279

   Default Re: JAJI wa MAHANGA hakuwa na jinsi...

   Hawa majaji wa VODA FASTA hawana vision kwani wanadhani kuwa hizi hukumu zao wakizipitisha ndio basi tena; wajue wazi kuwa when a new political dispensation will be put in place hizi hukumu zao utakuwa ushahidi tosha kuwa they were impartial in their rulings and hence unfit to continue serving on the bench!! Two judges will be marked for this impartiality nao ni huyu Juma na yule wa kesi ya Lema.

  8. Mikael P Aweda's Avatar
   JF Gold Member Array
   Join Date : 17th December 2010
   Posts : 2,935
   Rep Power : 237330233
   Likes Received
   3830
   Likes Given
   3533

   Default Re: JAJI wa MAHANGA hakuwa na jinsi...

   Habari hii inaweza kuwa na Chembe ya ukweli kwa sababu;
   Mosi, Jambo la kusikitisha asubuhi wakati napita segerea standi vijana 4 walinisimamisha wakanipa pole kisha wakaniambia, sisi tulishajua siku mbili kabla. Nikawauliza mlijuaje? Wakasema, kulikuwa na sherehe ya uhakika nyumbani kwa Mheshimiwa zaidi ya siku 2. Vijana wenzetu wa ccm waliokaribishwa wakatuambia Makongoro atapeta mahakamani.
   Vijana wakaendelea, vijana wenzetu wa ccm waliokaribishwa ndo waliotupa hiyo habari ya uwepo wa vinywaji na Sherehe isiyokuwa na harusi wala kipaimara ila maandalizi yao kwenda kushangilia mahakamani.
   My take;
   Naunganisha dot. Ukiunganisha habari hii na ile thread nyingine inayohusu Makongoro kufurahia hukumu akiwa Dodoma napata jibu.

  9. Gama's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 9th January 2010
   Posts : 6,177
   Rep Power : 1803
   Likes Received
   876
   Likes Given
   1099

   Default

   Quote By ruttashobolwa View Post
   kwa mwenendo wa kesi ulivyo kuwa, pamoja na ushahidi na shangaa huyu makongoro kushinda,yani katika kesi ambazo zilikuwa zinaonekana wazi kabisa CDM kushinda ni hii,kwani hata mtoto mdogo angejua tu hukumu inakuaje.
   Kwa hukumu nadhani tumeona jinsi ukweli unavyo pindishwa na mahakama zetu zisizo huru.
   Hii inanifanya nipate wasiwasi kwenye kesi ya jimbo la ubungo,kwani naona kama kuna kampango fulan hiv,na ndio njia wanataka kuitumia kuuwa CDM,lakin naamini mapambano hayatokoma kabisa ndio yanazidi kupamba moto!

   huyu ndugu anayejiita dume la chura sidhani kama anaelewa kinachoendelea nchini,leo hii mtu mwe utimamu wa akili sidhani kama anaweza kuropoka kama anvyo fanya dume la chura. hawezi kutaja hoja ata moja ambayo yeye dume la chura ana iona haina mashiko. hili ni jukwaa la kutoa mawazo yenye maana siyo kuropoka kama dume la chura.
   Dume la chura na kushauri urudi kule fb tafadhali,nahisi utasababisha ban kwa watu.
   sijasikia wanaJF wakilalamikia hukumu ya kesi ya kupinga ubunge jimbo la sumbawanga mjini!, is every one confotable?!, but why not confortable with segerea+ arusha?!

  10. carmel's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 24th August 2009
   Posts : 2,846
   Rep Power : 1204
   Likes Received
   235
   Likes Given
   132

   Default Re: JAJI wa MAHANGA hakuwa na jinsi...

   kesi za majimbo ya pembezoni chadema watashinda ili kuondoa minon'gono...ila hizi za majimbo ya katikati ya jiji kazi ipo....watch out for ubungo
   A gossip betrays a confidence; so avoid a man who talks too much.
   Proverbs 20:19


  11. silvemaps's Avatar
   Member Array
   Join Date : 26th March 2012
   Posts : 46
   Rep Power : 494
   Likes Received
   7
   Likes Given
   0

   Default Re: JAJI wa MAHANGA hakuwa na jinsi...

   chukua kesi hizo za uchaguzi kwa maelezo hayohayo wape majaji wa nje ya nchi CCM haitashinda hata kesi moja hapo.unajua hii nchi matumizi ya sheria even by 60% baaado sana. kwa kweli.watu wapo kishabiki sana badala ya kuusimamia ukweli.

  12. Kangura's Avatar
   Member Array
   Join Date : 20th August 2011
   Posts : 11
   Rep Power : 518
   Likes Received
   1
   Likes Given
   0

   Default Re: JAJI wa MAHANGA hakuwa na jinsi...

   Mwisho wa ubaya ni aibu! Hata KANU iliongoza kibabe kwa miongo kadhaa kabla ya kufutika kabisa kwenye ramaani.

  13. kirumonjeta's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 9th February 2008
   Location : Mogadishu
   Posts : 2,223
   Rep Power : 3076435
   Likes Received
   506
   Likes Given
   2228

   Default Re: JAJI wa MAHANGA hakuwa na jinsi...

   Dume la mbegu unakaribishwa,cdm
   ALIPO TUPO!!!!NYWELE NYEUPE,ROHO NYEUPE,IKULU NYEUPE,NJIA NYEUPEEEEEEE TO MAGOGONI

  14. Juma123's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 23rd January 2012
   Posts : 145
   Rep Power : 523
   Likes Received
   33
   Likes Given
   90

   Default Re: JAJI wa MAHANGA hakuwa na jinsi...

   Quote By Mwanaweja View Post
   Mungu atawalipia tusubirie mazuri sana kwa Mpendazoe maana hii ni baraka kwa dhuluma walizozifanya hata kama nikufahamiana au ukabila yote mema ajipange 2015

   Kura ZA hasira Kama ijumaa ya hasira ya egypt!!!!!! Ha ha ha ha ha haaaaaa

  15. Hothead's Avatar
   Member Array
   Join Date : 21st March 2012
   Posts : 55
   Rep Power : 496
   Likes Received
   21
   Likes Given
   12

   Default Re: JAJI wa MAHANGA hakuwa na jinsi...

   Iko siku haki itapatikana, hili ni suala la muda tu tuvute subra.

  16. Young zee's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 1st April 2012
   Posts : 386
   Rep Power : 561
   Likes Received
   100
   Likes Given
   39

   Default

   Quote By Mtanzania1 View Post
   Hoja dhaifu.......kwanini alipinga mahakamani????.......Tujifunze kukubali matokeo huo ndio ukomavu wa kisiasa
   Kuna kukubali matokeo na kuna kuridhika na matokeo. Unaridhika nayo kama haki imetendeka na ikaonekana imetendeka.

  17. Christiano Ronaldo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 14th February 2012
   Posts : 261
   Rep Power : 543
   Likes Received
   41
   Likes Given
   2

   Default Re: JAJI wa MAHANGA hakuwa na jinsi...

   Quote By meemba View Post
   mahanga,jaji na jk ni walewale,chama kilele.Haiwezekani mteule wa raisi aende kinyume na aliyemteua.
   kWA HIYO WALE MAJAJI WALIOAMUA KESI ZA SINGIDA, KASULU, SsUMBAWANGA, BIHARAMULO, WAO HAWAKUTEULIWA NA RAIS JK!!!!! TUSIJIDHALILISHE KWA HOJA MFILISI!

  18. admiral elect's Avatar
   Member Array
   Join Date : 30th November 2011
   Posts : 93
   Rep Power : 519
   Likes Received
   27
   Likes Given
   2

   Default Re: JAJI wa MAHANGA hakuwa na jinsi...

   Quote By MAMA POROJO View Post
   Makongoro Mahanga ni Mjaruo naona hauna data za kutosha mkuu.
   kewli tupu.hilo jina ni la kurudia shule pale bwitengi.kwanza wakurya hawaiti makongoro wala mahanga hilo alichukua jina la kiikoma ndo maana msemakweli alimweka katika walio fwaliofoji vyeti.kuhusu huyo prof rekodi zangu hazionyeshi kama kuna mkurya anaitwa hamisi juma itakuwa yale ya mahanga tu beside navojua mimi hakuna mkurya muislamu maana mkurya bila kimoro sawa na benki bila hela.
   THE WAVES AND THE WINDS ARE ALWAYS ON THE SIDE OF THE ABLEST NAVIGATORS

  19. VUTA-NKUVUTE's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 25th November 2010
   Location : Where the truth is
   Posts : 4,453
   Rep Power : 94989366
   Likes Received
   5370
   Likes Given
   1255

   Default Re: JAJI wa MAHANGA hakuwa na jinsi...

   Hapa ndipo ninapoikubali JF. Mambo haya yalishatabiriwa
   Uongo huonekana na kuaminiwa haraka.Ukweli ndio mwisho wa yote!

  20. incharge's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 19th January 2011
   Posts : 1,161
   Rep Power : 778
   Likes Received
   359
   Likes Given
   1981

   Default Re: JAJI wa MAHANGA hakuwa na jinsi...

   Quote By Christiano Ronaldo View Post
   kWA HIYO WALE MAJAJI WALIOAMUA KESI ZA SINGIDA, KASULU, SsUMBAWANGA, BIHARAMULO, WAO HAWAKUTEULIWA NA RAIS JK!!!!! TUSIJIDHALILISHE KWA HOJA MFILISI!
   you are very right ronaldo, our emotions should not override analysis

  21. isambe's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 14th February 2008
   Posts : 760
   Rep Power : 851
   Likes Received
   184
   Likes Given
   14

   Default Re: JAJI wa MAHANGA hakuwa na jinsi...

   Kwa hiyo yule wa IGUNGA wakati anapigiwa na huyo Muheshimiwa simu yake ilikuwa haina chaji?


  Page 8 of 9 FirstFirst ... 6789 LastLast

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...