Heshima mbele wakuu, Wenye taarifa na kinachojiri bungeni watujuze tafadhali huku umeme wameuchukua. natanguliza shukrani wanajanvi
Heshima mbele wakuu, Wenye taarifa na kinachojiri bungeni watujuze tafadhali huku umeme wameuchukua. natanguliza shukrani wanajanvi
Sisi wa mikoani tunawategemea mtupe updates.
Ndo 09:03, bunge ndo linaanza.
Wengine 2po mashambani huku simanjiro 2meshatoka a town mida hii
sikiliza live hapa TuneIn Web Tuner
SIKILIZA LIVE KUTOKA BUNGENI:
Leo ni siku iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu, je itaweka historia katika utawala wa Tanzania?
Karibu usikilize vipindi vya Bunge LIVE kutoka Dodoma, kupitia www.arushamambo.com click "Sikiliza Arusha Mambo FM..." Radio ikifunguka kwenye page ya tunein please click... to Like the radio.
Source: Arusha Mambo.
Endeleeni ku2pa wengine 2na sumu za kichina
Imekaa kisasa.
Arusha Mambo fm mko juu ile mbayaaa.. big up
Utakuwa wap milele? Kuna mbingu na jehanam, KAZI NI KWAKO.. mwamini Kristo akuokoe
naomba niwambe kwamba hoja ya zitto itawasilishwa bungeni Mchana baada ya Hoja ya Kamati za Kilimo na Maliasili
Tupo pamoja wadau, serikali legelege na yakimtandao lazima iwajibishwe, ili tuweze kupata maendeleo ya kweli yumechoshwa na porojo za Abunuas.
UPDATE
taarifa ya Maandishi ya kutaka kuleta hoja ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu (ibara 53A ya Katiba) imewasilishwa rasmi kwa Spika.na Mchana Leo HOJA ya kutaka Azimio la kura ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu itakabidhiwa kwa Spika (kanuni 133(2)(3)). 'Taarifa vs Hoja'
Follow Us Here