JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: NYARAKA: Omar Nundu ni msafi...

  Report Post
  Page 14 of 15 FirstFirst ... 412131415 LastLast
  Results 261 to 280 of 292
  1. Invisible's Avatar
   Robot Array
   Join Date : 11th February 2006
   Location : Here...!
   Posts : 9,652
   Rep Power : 100000
   Likes Received
   6823
   Likes Given
   11200

   Default NYARAKA: Omar Nundu ni msafi...

   Conclusion utaipata ukisha-download nyaraka hizi.

   Ficha Upumbavu wako; Usiifiche Hekima yako!
   24/7 Email SUPPORT: [email protected]  2. Mtu Mzima's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 4th October 2007
   Location : Loliondo
   Posts : 381
   Rep Power : 801
   Likes Received
   87
   Likes Given
   33

   Default re: NYARAKA: Omar Nundu ni msafi...

   Mchakato mzima ulivyoenda hadi kuwapa kazi CCCC hauna tofauti na Richmond.

   Ukisoma hizo barua na MOU

   Wizara nzima inatakiwa kuwajibika miradi yote miwili sio transparent inatakiwa isitishwe na wahusika wote wawajibishwe na wananchi kwa sababu mamlaka zote zimo ndani ya hilo tope
   Connect the dots...

  3. Mkandara's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd March 2006
   Location : T dot
   Posts : 16,574
   Rep Power : 124739544
   Likes Received
   8256
   Likes Given
   8156

   Default re: NYARAKA: Omar Nundu ni msafi...

   Quote By Mtu Mzima View Post
   Nchi imeoza.

   Pande zote 2 kuna tatizo. Kwanza ni kwa nini hiyo kazi isitangazwe wazi kampuni zishindane kama taratibu zinavyotaka.

   Inakuwaje wizara 1 inakua na makundi mawili kila moja linakimbiza dili kivyake hii pia ni dalili kuwa kuna harufu mbaya kwenye dili nzima.

   Lakini huyu Nunda ndio ametia fora hata aibu hana. Yuko tayari kukabidhi mradi pekee unaozalisha kwa wageni kwa miaka 45 kwa pesa ambazo naamini mradi ukikamilika gharama za ujenzi zinaweza kupatikana ndani ya mika 10.

   Kichekesho zaidi ni jinsi ujinga huu ulivyo wazi lakini mamlaka husika zimeshindwa kuwawajibisha wahusika.

   Kwa ushahidi huu naelewa sasa kwa nini hata magogoni wanajikanyaga.

   Kwa sasa hatima ya nchi hii ipo kwa Watanzania wenyewe. Hakuna tena uongozi jahazi la nchi linazama.
   Mkuu wangu labda nikuulize hivi. Huo mradi wa TAZARA wachina wanao kwa miaka mingapi hadi sasa? na Je, tumepoteza au tungefaidika vipi kama ungekuwa chini ya TRA.. je kama mradi ukiwa wa Bandari, serikali na sisi wananchi tunafaidika vipi kama sio kwa kupitia kodi wanazolipa? hivyo haijalishi kama shirika hili ni la Mchina, bandari au Karamagi kinachoingia ktk mfuko wetu ni kodi wanazotakiwa kulipia..Ukweli ni kwamba tutapoteza zaidi inapokuwa mikononi mwa Bandari maana wezi watupu wamejaa huko.

   Halafu nakuomba pia soma barua ya kwanza kabisa ktk mada hii inazungumzia hao MHCI wakiulizia nini maamuzi ya wizara kama bado tuko interested na investment yao ambayo inafuata Public Private Partnership act and Regulation ya mwaka 2011 au tutaendelea kutumia mkopo ule wa benki ya Exim toka China na wale CCCC, kama ndivyo basi ombi lao lichukulie null na void na wamejieleza vizuri kukubali matokeo ya uchaguzi wetu. Chaguo la Nundu inaelekea ni option ya pili ambayo wao wameiweka kujinadi ubora zaidi ya ile ya CCCC..Sasa kama kuna fitna na kumalizana hilo swala jingine.

   Tatizo la Nundu tunaweza kusema kwamba alikuwa na mpango na hili shirika la MHCI wakati kuna shirika jingine la CCCC ambalo ndilo limeweka mkataba na hata kupatikana kwa hizo Usd 600 millioni lakini jaribu sana kuzifuatilia hizi barua zote hutaona mahala wamepeleka nakala kwake. Kama vile walikuwa wakimkwepa toka mwanzo. Pili inanishangaza zaidi naposoma kwamba mkopo waliotoa benki unasema Usd 470 kama asilimia 90 hoja ya Candid Scope #3 wakati barua za serikali zinaonyesha usd 444 kama asilimia 85 hoja ya n00b #9. Tatu, kuna makadirio ya aina mbili moja ikisema Usd 610 na nyingine 523, sasa ipi nni ipi?

   Halafu elewa pia kwamba huo mkataba wa Nundu na HMCI tusingetoa hata cent moja wangegharamia wao kwa kila kitu halafu pia kulikuwa na mpango wa kuiboresha pia bandari ya Tanga. Swala la kujiuliza sisi ni:-
   1. Je, hizo gate mbili zinaweza ingiza kiasi gani cha faida kila mwaka baada ya matumizi, na hiyo faida kwa miaka 45 itakuwa kiasi gani tofauti na mkataba huu wa CCCC ambayo inatugharimu millioni 600 na bado hatujaweka gharama za uendeshaji na ukarabati. Bandari kama shirika lingepoteza kiasi gani cha fedha kutokana na mradi wa A au B
   2. Je, Kama Bandari yetu inafanya kazi kwa faida imekuwaje wameitumia serikali na shirika la CCCC kukopesha kiasi hicho cha fedha toka benki binafsi ya China na sio Banki ya dunia, Afrika au serikali ya China.
   Last edited by Mkandara; 24th April 2012 at 00:31.
   Exploration of reality

  4. Kaa la Moto's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 24th April 2008
   Location : Bristol
   Posts : 7,441
   Rep Power : 83685493
   Likes Received
   588
   Likes Given
   5401

   Default re: NYARAKA: Omar Nundu ni msafi...

   Mavituzi yote hadharani??
   Kudadadeki JF nyie hatari sana. Sasa wajiteteee kwa umma sio bungeni tena.
   wakati Cuf wanataka kuchukua nchi mwaka 2000 CCM walikuja na single ya kusema Cuf ni waislamu na kwa sasa wanadai sisi Chadema ni chama cha wakristo sasa CCM nacho ni cha watu gani? Watu wakajibu mashetaaaaaniiiiii.!---Wana Kigoma.

   ....Pamoja na kansa ya uongozi wa CCM watu wataendelea kukichagua,au watu wanaweza wakachoka na kusema potelea mbali wakachagua chama KINGINE....Julius. Kambarage. NYERERE"

  5. Papizo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 24th February 2008
   Location : What for??
   Posts : 3,989
   Rep Power : 243306
   Likes Received
   589
   Likes Given
   3088

   Default re: NYARAKA: Omar Nundu ni msafi...

   Hii ndio JF ninayoijua kitu kikimwaga ujue kipo na baada ya mda mfupi mtakuja kukisikia hadharani

  6. Candid Scope's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 8th November 2010
   Posts : 11,856
   Rep Power : 366017343
   Likes Received
   6654
   Likes Given
   4629

   Default re: NYARAKA: Omar Nundu ni msafi...

   Quote By Mkandara View Post
   Mkuu wangu labda nikuulize hivi. Huo mradi wa TAZARA wachina wanao kwa miaka mingapi hadi sasa? na Je, tumepoteza au tungefaidika vipi kama ungekuwa chini ya TRA.. je kama mradi ukiwa wa Bandari, serikali na sisi wananchi tunafaidika vipi kama sio kwa kupitia kodi wanazolipa? hivyo haijalishi kama shirika hili ni la Mchina, bandari au Karamagi kinachoingia ktk mfuko wetu ni kodi wanazotakiwa kulipia..Ukweli ni kwamba tutapoteza zaidi inapokuwa mikononi mwa Bandari maana wezi watupu wamejaa huko.

   Halafu nakuomba pia soma barua ya kwanza kabisa ktk mada hii inazungumzia hao MHCI wakiulizia nini maamuzi ya wizara kama bado tuko interested na investment yao ambayo inafuata Public Private Partnership act and Regulation ya mwaka 2011 au tutaendelea kutumia mkopo ule wa benki ya Exim toka China na wale CCCC, kama ndivyo basi ombi lao lichukulie null na void na wamejieleza vizuri kukubali matokeo ya uchaguzi wetu. Chaguo la Nundu inaelekea ni option ya pili ambayo wao wameiweka kujinadi ubora zaidi ya ile ya CCCC..Sasa kama kuna fitna na kumalizana hilo swala jingine.

   Tatizo la Nundu tunaweza kusema kwamba alikuwa na mpango na hili shirika la MHCI wakati kuna shirika jingine la CCCC ambalo ndilo limeweka mkataba na hata kupatikana kwa hizo Usd 600 millioni lakini jaribu sana kuzifuatilia hizi barua zote hutaona mahala wamepeleka nakala kwake. Kama vile walikuwa wakimkwepa toka mwanzo. Pili inanishangaza zaidi naposoma kwamba mkopo waliotoa benki unasema Usd 470 kama asilimia 90 hoja ya Candid Scope #3 wakati barua za serikali zinaonyesha usd 444 kama asilimia 85 hoja ya n00b #9. Tatu, kuna makadirio ya aina mbili moja ikisema Usd 610 na nyingine 523, sasa ipi nni ipi?

   Halafu elewa pia kwamba huo mkataba wa Nundu na HMCI tusingetoa hata cent moja wangegharamia wao kwa kila kitu halafu pia kulikuwa na mpango wa kuiboresha pia bandari ya Tanga. Swala la kujiuliza sisi ni:-
   1. Je, hizo gate mbili zinaweza ingiza kiasi gani cha faida kila mwaka baada ya matumizi, na hiyo faida kwa miaka 45 itakuwa kiasi gani tofauti na mkataba huu wa CCCC ambayo inatugharimu millioni 600 na bado hatujaweka gharama za uendeshaji na ukarabati. Bandari kama shirika lingepoteza kiasi gani cha fedha kutokana na mradi wa A au B
   2. Je, Kama Bandari yetu inafanya kazi kwa faida imekuwaje wameitumia serikali na shirika la CCCC kukopesha kiasi hicho cha fedha toka benki binafsi ya China na sio Banki ya dunia, Afrika au serikali ya China.

   Binafsi nimeshangazwa na hawa viongozi wa wizara hii kuanzia Nundu kuanza kumshambulia Naibu wake kwa kuitisha vyombo vya habari kwa ajili ya kumchafua wakati ni mtu aliye chini yake, kwa nini hakuyamaliza ofisini, na kama mkuu wake ana nafasi ya kumweka chini ili mambo yafanywe kwa kufuata mtiririko usio na migongano. Pigo lake ni Naibu wake kuvujisha barua hii ya siri na kuanikwa hapa JF kumwanika Nundu kutokana na Nundu kujitetea kwamba yu msafi. Hii ni dalili tosha kwamba wizara nyingi kuna migongano ya utendaji kati ya waziri na naibu waziri. Mfano ni Chami na Nyalandu kutoa kauli zinazopingana bungeni. Hata Kikwete amediriki kuropoka kitu siku za karibuni kuhusu migongano ya mawaziri wizarani na baadhi ya mawaziri kuogopa manaibu wao wasije wachukulia nafasi zao.

   Tukirudi kwenye mada, bado natafakari hii, lakini kwa maoni yangu mpaka sasa sioni utashi wa kujenga uchumi na maendeleo ya nchi kwa kutegemea kila mradi ufanywe kwa mikopo, iwe kutoka china au mashirika ya kimataifa ya misaada kama bank ya dunia. Kitanzi hiki ndicho kilicholishtua bunge juzi kuona kasi ya deni la taifa lilivyokua ghafya kwa kiwango cha kutisha. Rais Benjamin Mkapa alifanya jitihada kubwa kupunguza deni la taifa na hata kudiriki kuomba wahisani wafute baadhi ya madeni yaliyotukabili na alifanikiwa kwa hilo. Hali kadhalika alitilia mkazo maendeleo kuendeshwa kwa kutegemea zaidi kodi zetu, mfano ni maji ya Ziwa Nyanza kusambazwa mikoa ya Mwanza, Shinyanga, Tabora na baadaye hadi Dodoma. Hali kadhalika ujenzi wa Daraja la Tanzania-Msumbiji ambalo hakuna mkopo uliotumika ila kodi za wanchi. Kama tungekuwa makini alipoachia Makapa tungeweza kuendeleza jitihada hizo na deni la Taifa lisingekua ghafla kiasi hicho. Hata hivyo mikopo haiwezi kuepukia kwani hata nchi zilizoendelea ni jambo la kawaida kuendesha nchi kwa mikopo kwa asilimia fulani. Ila tusifanye mikopo ndiyo njia pekee ya kujenga uchumi na uendeshwaji wa serikali kwani tunajitia kitanzi na kila kinachokusanywa ni kwa ajili ya kurudisha mikopo na riba yake.

   Uendeshaji wa bandari zetu siwezi kuamini kama tunaweza kufikia kukopa kwa ajili ya upanuzi wake ukizingatia bandari kama ya Dar es Salaam ilivyo na soko kubwa la kupitishia bidhaa nyingi kwa kuhudumia nchi jirani kama Uganda, Burundi, Rwanda, Zaire, Malawi na Zambia. Juzi nilikuwa natoa ka-vehicle pale bandari ya Dar, sikuamini msongamano wa magari yanayoingia kila siku ambayo ni kwa nchi jirani, tatizo tu uzembe, ubinafsi na kudorora kwa uwajibikaji. Kama wahusika wangewajibika ipasavyo bandari ya Dar es Salaam pekee ni hazina kubwa ajabu, kama mimi nilitoa bajaji yangu kwa zaidi ya millioni 10, je kwa maelefu ya mabajaji yanayoingia kila siku ni mabilioni mangapi wanaingiza kwa siku? Hizo haziwezi kupanua na kuimarisha ubora wa bandari zetu hadi tukakope kwa wachina ambao wanaingiza bidhaa kwa nchi zao tu?

   Binafsi pamoja na unafuu wa mkataba wa Nundu, au vinginevyo, sijaona mantiki kiuchumi kutokana na uozo babu kubwa uliopo kwenye utendaji, kwani mabilioni yanaingia kila siku pale bandarini na sielewi yanakoishia. Ni udhaifu wa utendaji serikali wa kutokuwa na usimamizi stahiki na uzembe wa kutosimamia ipasavyo uwajibikaji katika wizara mbalimbali, na hivyo wahusika kubaki na jitihada za kukinga kila kinachowezekana kiingie mifukoni mwao kwa vile hakuna wa kumwajibisha na tunachofanya ni kelele kama za mbwa anayebwatuka bila kuuma.

  7. Jasusi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 5th May 2006
   Posts : 12,055
   Rep Power : 173664483
   Likes Received
   4953
   Likes Given
   15529

   Default re: NYARAKA: Omar Nundu ni msafi...

   Quote By Ribosome View Post
   Wewe biashara zako zote ziko wazi? nna uhakika una biashara nyingine hata mkeo hajui unafanya nini.

   Kuna biashara zinaanikwa njiani nazo ni za nyanya na vitunguu. Na kuna biashara ambazo hazitakiwi ziwekwe wazi.
   Ni kweli kabisa bibie, biashara za kifisadi haziwezi kuwekwa wazi.

  8. chama's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 6th August 2010
   Posts : 8,010
   Rep Power : 94047022
   Likes Received
   2391
   Likes Given
   1476

   Default re: NYARAKA: Omar Nundu ni msafi...

   Quote By Matola View Post
   Naomba kutofautiana na wewe Mkuu, wana CCM hawaathiriki kwa lolote kwenye hizi Rushwa zilizokithiri maana kwa mwanaCCM ni kwamba hii nchi uchumi unapaa na ilani ya CCM inatimizwa vyema kabisa, na kwenye ule uchaguzi wetu wa ndani hii inaitwa takrima.

   Acha unafki hiki ni kipindi ambacho either uko na sisi au uko na wao, huwezi kuishabikia CCM halafu ukadai eti kuna kitu kinakukera, huu ni wakati kwa Mzalendo wa kweli kuchaguwa upande wa kusimamia, usidhani inachezwa sindimba hapa, we mean Business.
   Huna sababu ya kumuita mtu mnafiki eti sababu haafikiani na Chadema au ameamua kubaki CCM siasa ni uamuzi wa binafsi siasa hazifuatwi kama mdundiko, nimeongea kama mtanzania, rushwa hizi wanaothirika ni watanzania wa kawaida hicho ndio nilichosema uamuzi wa kubaki CCM ni wangu jaribu kuuheshimu.

   Chama
   Gongo la Mboto DSM

  9. Pasco's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd September 2008
   Posts : 17,149
   Rep Power : 400120000
   Likes Received
   15967
   Likes Given
   73180

   Default

   Quote By Mkandara View Post
   Mkuu wangu labda nikuulize hivi. Huo mradi wa TAZARA wachina wanao kwa miaka mingapi hadi sasa? na Je, tumepoteza au tungefaidika vipi kama ungekuwa chini ya TRA.. je kama mradi ukiwa wa Bandari, serikali na sisi wananchi tunafaidika vipi kama sio kwa kupitia kodi wanazolipa? hivyo haijalishi kama shirika hili ni la Mchina, bandari au Karamagi kinachoingia ktk mfuko wetu ni kodi wanazotakiwa kulipia..Ukweli ni kwamba tutapoteza zaidi inapokuwa mikononi mwa Bandari maana wezi watupu wamejaa huko.

   Halafu nakuomba pia soma barua ya kwanza kabisa ktk mada hii inazungumzia hao MHCI wakiulizia nini maamuzi ya wizara kama bado tuko interested na investment yao ambayo inafuata Public Private Partnership act and Regulation ya mwaka 2011 au tutaendelea kutumia mkopo ule wa benki ya Exim toka China na wale CCCC, kama ndivyo basi ombi lao lichukulie null na void na wamejieleza vizuri kukubali matokeo ya uchaguzi wetu. Chaguo la Nundu inaelekea ni option ya pili ambayo wao wameiweka kujinadi ubora zaidi ya ile ya CCCC..Sasa kama kuna fitna na kumalizana hilo swala jingine.

   Tatizo la Nundu tunaweza kusema kwamba alikuwa na mpango na hili shirika la MHCI wakati kuna shirika jingine la CCCC ambalo ndilo limeweka mkataba na hata kupatikana kwa hizo Usd 600 millioni lakini jaribu sana kuzifuatilia hizi barua zote hutaona mahala wamepeleka nakala kwake. Kama vile walikuwa wakimkwepa toka mwanzo. Pili inanishangaza zaidi naposoma kwamba mkopo waliotoa benki unasema Usd 470 kama asilimia 90 hoja ya Candid Scope #3 wakati barua za serikali zinaonyesha usd 444 kama asilimia 85 hoja ya n00b #9. Tatu, kuna makadirio ya aina mbili moja ikisema Usd 610 na nyingine 523, sasa ipi nni ipi?

   Halafu elewa pia kwamba huo mkataba wa Nundu na HMCI tusingetoa hata cent moja wangegharamia wao kwa kila kitu halafu pia kulikuwa na mpango wa kuiboresha pia bandari ya Tanga. Swala la kujiuliza sisi ni:-
   1. Je, hizo gate mbili zinaweza ingiza kiasi gani cha faida kila mwaka baada ya matumizi, na hiyo faida kwa miaka 45 itakuwa kiasi gani tofauti na mkataba huu wa CCCC ambayo inatugharimu millioni 600 na bado hatujaweka gharama za uendeshaji na ukarabati. Bandari kama shirika lingepoteza kiasi gani cha fedha kutokana na mradi wa A au B
   2. Je, Kama Bandari yetu inafanya kazi kwa faida imekuwaje wameitumia serikali na shirika la CCCC kukopesha kiasi hicho cha fedha toka benki binafsi ya China na sio Banki ya dunia, Afrika au serikali ya China.
   Mkuu Mkandara, asante kwa kulisemea hili!.
   1. Gharama za kwanza za CCCC zilikuwa dola milioni 600 plus wajenge hizo gati mbili na kukarabati gati zingine zote kwa mchanganuo wa dola milioni 400 gati mpya na dola milioni 200 ukarabati!.

   2. TPA wakawaambia waachane na ukarabati hivyo CCCC wakaleta makadirio mengine ya dola milioni 400 kujenga hizo gati 2.

   3. Baada ya TPA kupata hayo makadirio wao TPA wakaandika barua wizarani kuwa wanataka udhamini wa serikali kuomba mkopo wa dola milioni 500!. Ina maana wao wameshaweka cha juu cha dola milioni 100!. Tena kimekuwa inserted kwa peni!.

   4. Waziri Mkulo nae baada ya kupokea barua ya TPA serikali sasa ndio ikaiandikia barua Exim Bank ya China kuomba mkopo wa Dola milioni 527 ikiwa na cha juu zaidi cha dola milioni 27 za "wakubwa"!.

   5. Ukisoma dokezo lenye dola milioni 600, 527 na 400 maneno mengine yote ni yale neno kwa neno!. Haiwezekani kuwepo kwa flactuations kubwa hivyo ya figures in terms of millions of dollars bila any explanations!.

   6.Ukisikia high level corruption ndio hii!. Mijitu mijizi inataka kuwaibia Watanzania, Nundu ameishtukia dili sasa ndio anapigwa vita kuzuia ulaji!.

   7. Wajameni hapo kuna MOU tuu, bado hakuna mkataba wowote!. Hakuna mkopo wowote! na hakuna ujenzi wowote!. Hizi zote ni harakati za kundi la mijizi ndidi ya harakati za wazalendo kuinusuru nchi!.

   Pasco.

  10. Gloria's Avatar
   Member Array
   Join Date : 5th April 2007
   Posts : 58
   Rep Power : 762
   Likes Received
   13
   Likes Given
   2

   Default re: NYARAKA: Omar Nundu ni msafi...

   Quote By Pasco View Post

   Asante Kaka Pasco, yaani hapa umetutafunia kilichobaki na kumeza tu lakini still watu wengine hawataelewa!

   Kimsingi mnyonge, mnyongeni lakini haki yake mpeni, Waziri Nundu ni wazi kabisa hapa anapambana na genge la wala rushwa kubwa na vita inapiganwa kona zote ie Kamati ya Miundo Mbinu ikiongoza na Serukamba wamekula mlungula, Naibu waziri Athumani Mfutakamba kala mlungula, Waziri wa Fedha Mustafa Mkulo kala mlungula, watendaji wakuu wizarani Saad Fungafunga et al wamekula mlungula, Watendaji wa TPA Ephraim Mgawe et al wamekua mlungula, Bodi wa TPA chini ya Raphael Mollel wamekula mlungula.

   Huyo Nundu atakuwa bonge la Bangusilo na katika mtandao huo wa juu hapo hutoki inaitwa "bumper to bumper!"
   Last edited by Gloria; 24th April 2012 at 12:11.
   You were united to your wife by the Lord. In God’s wise plan, when you married, the two of you became one person in his sight.

  11. mpingauonevu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 27th February 2012
   Posts : 594
   Rep Power : 614
   Likes Received
   304
   Likes Given
   229

   Default re: NYARAKA: Omar Nundu ni msafi...

   Quote By swait View Post
   Mkuu mpingauonevu,

   Nakubaliana na wewe. Tuna ugonjwa mmoja waTanzania, kuhukumu kwa kutumia mahakama ya magazeti. Watu hawataki kusikia kitu kingine zaidi ya waziri kujiuzulu.

   Hatuwezi kutumi mass ku-determine haki ya mtu. Waziri Nundu ni msafi, nimejiridhisha hivyo. Maelezo yake yamethibiti hivyo,ushahidi unaonesha hivyo. Kwa nini mnataka kuaminisha kila mtu ku-rely kwenye taarifa za magazetini na wanasiasa uchwara,wasioweza kujenga hoja juu ya misingi ya haki na uadilifu.

   Hakuna mantiki ya Waziri Nundu kujiuzulu, hana kosa la kumfanya ajiuzulu. Wengine siwezi kuwasemea. Haki lazima ifuatwe hata kama anayepewa hatumpendi.
   na sio hivyo tu mkuu, hebu jiulize james millya juzi alikuwa fisadi leo kajiunga na CDM ni mtakatifu. Nikawauliza watu je? Lowassa akijiunga na CDM watampokea! wakasema sana tena kwa shangwe! kwa hiyo akija CDM sio fisadi? shida ni kwamba watanzania hatujui tunataka nini! watu wanadhania kila kinachoandikwa ni sahihi! Gazeti la raia mwema limethibitika lilikuwa linaegemea upande unaompinga nundu! NI AIBU! kupambana na ufisadi sio kusingizia. Tofauti ya B200 ni kubwa sana kiasi cha kumnunua mtu yeyote. wanaompinga nundu wamenunuliwa na niwachumia tumbo. watu wakujiuzulu ni wengine ila nundu yuko poa!!! samahanini kwa usumbufu!!!!!!!!!!!
   "TANGANYIKA BILA ZANZIBAR INAWEZEKANA"

  12. wagaba's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd April 2012
   Posts : 814
   Rep Power : 653
   Likes Received
   194
   Likes Given
   196

   Default re: NYARAKA: Omar Nundu ni msafi...

   kweli huyu ni nundu haswa. sasa inakuwaje anatupa zigo kwa naibu wake! mbona ameshirikishwa ktk kila hatua na anajua yote yanayojiri. naibu hawezi kwenda kula bata China bila ya mkuu kuwa na habari, hata kama alikuwa likizo!
   hivi kumbe wakitaka kutoa dinner wana document kabisa!!! sasa wata document/rekodi hata mapaja ya kuku na prawns idadi uliyokula.
   kweli Afirka (TZ) tuna njaa

  13. Zion Train's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 5th June 2008
   Posts : 505
   Rep Power : 791
   Likes Received
   74
   Likes Given
   155

   Default re: NYARAKA: Omar Nundu ni msafi...

   dah watu wanataka kupiga bil 8 na ushee za kitanzania, zitto yuko sahii kabisa kumtaka Pinda ajiuzuru kama hawezi kuwawajibisha anaowasimamia, naona nakala karibia zote zinapita kwake, ndiyo tuseme hazioni, nchi imefikia pabaya kabisa.

   Quote By Pasco View Post
   Mkuu Mkandara, asante kwa kulisemea hili!.
   1. Gharama za kwanza za CCCC zilikuwa dola milioni 600 plus wajenge hizo gati mbili na kukarabati gati zingine zote kwa mchanganuo wa dola milioni 400 gati mpya na dola milioni 200 ukarabati!.

   2. TPA wakawaambia waachane na ukarabati hivyo CCCC wakaleta makadirio mengine ya dola milioni 400 kujenga hizo gati 2.

   3. Baada ya TPA kupata hayo makadirio wao TPA wakaandika barua wizarani kuwa wanataka udhamini wa serikali kuomba mkopo wa dola milioni 500!. Ina maana wao wameshaweka cha juu cha dola milioni 100!. Tena kimekuwa inserted kwa peni!.

   4. Waziri Mkulo nae baada ya kupokea barua ya TPA serikali sasa ndio ikaiandikia barua Exim Bank ya China kuomba mkopo wa Dola milioni 527 ikiwa na cha juu zaidi cha dola milioni 27 za "wakubwa"!.

   5. Ukisoma dokezo lenye dola milioni 600, 527 na 400 maneno mengine yote ni yale neno kwa neno!. Haiwezekani kuwepo kwa flactuations kubwa hivyo ya figures in terms of millions of dollars bila any explanations!.

   6.Ukisikia high level corruption ndio hii!. Mijitu mijizi inataka kuwaibia Watanzania, Nundu ameishtukia dili sasa ndio anapigwa vita kuzuia ulaji!.

   7. Wajameni hapo kuna MOU tuu, bado hakuna mkataba wowote!. Hakuna mkopo wowote! na hakuna ujenzi wowote!. Hizi zote ni harakati za kundi la mijizi ndidi ya harakati za wazalendo kuinusuru nchi!.

   Pasco.
   Love is my Religion

  14. Pasco's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd September 2008
   Posts : 17,149
   Rep Power : 400120000
   Likes Received
   15967
   Likes Given
   73180

   Default

   Quote By Gloria View Post
   Asante Kaka Pasco, yaani hapa umetutafunia kilichobaki na kumeza tu lakini still watu wengine hawataelewa!

   Kimsingi mnyonge, mnyongeni lakini haki yake mpeni, Waziri Nundu ni wazi kabisa hapa anapambana na genge la wala rushwa kubwa na vita inapiganwa kona zote ie Kamati ya Miundo Mbinu ikiongoza na Serukamba wamekula mlungula, Naibu waziri Athumani Mfutakamba kala mlungula, Waziri wa Fedha Mustafa Mkulo kala mlungula, watendaji wakuu wizarani Saad Fungafunga et al wamekula mlungula, Watendaji wa TPA Ephraim Mgawe et al wamekua mlungula, Bodi wa TPA chini ya Raphael Mollel wamekula mlungula.

   Huyo Nundu atakuwa bonge la Bangusilo na katika mtandao huo wa juu hapo hutoki inaitwa "bumper to bumper!"
   Gloria, namhurumia sana Nundu, kama ili EPA, Richmond, IPTL, Kagoda, Meremeta, Deep Green and the like, hao maofisa wote wa serikali na TPA ni ma agent tuu wa ma Cartell wenyewe, behind the scene ndio wamekaa ma Don wenyewe, sasa Nundu anataka kutibua deal za watu!, there is no way, he has to go!. Huwezi kutishia interest za Don alafu ulasurvive!. Masikini Nundu hakulijua hilo, akadhani anasaidia kumbe ndio anasokoteshwa kamba ya kujinyongea!.

  15. Ogah's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 10th March 2006
   Posts : 6,565
   Rep Power : 22246
   Likes Received
   1385
   Likes Given
   6173

   Default re: NYARAKA: Omar Nundu ni msafi...

   Quote By Pasco View Post
   ...................
   7. Wajameni hapo kuna MOU tuu, bado hakuna mkataba wowote!. Hakuna mkopo wowote! na hakuna ujenzi wowote!. Hizi zote ni harakati za kundi la mijizi ndidi ya harakati za wazalendo kuinusuru nchi!.

   Pasco.
   Mkuu Pasco.....naomba nirekebishe kama ninatafsiri vibaya maandishi yako...........je, ni maoni yako kuwa Mh. Nundu ni Mzalendo anayetaka kuinusuru nchi?

  16. Mkandara's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd March 2006
   Location : T dot
   Posts : 16,574
   Rep Power : 124739544
   Likes Received
   8256
   Likes Given
   8156

   Default re: NYARAKA: Omar Nundu ni msafi...

   Ogah,
   Mkuu unaipokea hii kutoka kwangu achana na Pasco tuseme humwamini. Hili deal nalijua sana lipo mujini na watu walisubiri tu kuvuta cha juu. Watu wanampalaumu Nundu kwa kumsema Naibu waziri wake lakini wanashindwa kuelewa kwamba ni yeye Nundu aliyetuhumiwa na Ufisadi kwanza. Walitoa habari za kwamba yeye Nundu amekawiza mradi wa Bandari kwa sababu anayo kampuni yake ya MHCI kinyume cha sheria na makubaliano. Na ndipo Nundu alipoingia ktk list ya mawaziri wanaotakiwa kujiuzuru.

   The fact ni kwamba hakuhusishwa kama waziri, na hata alipohusishwa alionekana mwiba na hivyo ukisoma kwa makini utagundua kwamba kuingia kwa MHCI isingetugharimu senti tano, ila tungekula kodi hivyo Ufisadi ni pale unapoligharimu taifa... Swali la kujiuliza ni hiyo miaka 45 tu ya uendeshaji wa gati hizo chini ya shirika hili la Kichina nini hasara zake. Na maadam Bandari nzima ipo chini ya seriokali binafsi yangu sioni tatizo hasa pale tunapoona waziri amefikiria hadio bandari za tanga na Mtwara..

   Hawa walioweka mkataba wa dollar za kimarekani millioni 600 kwa miaka 15, hawa ndio wangetuingiza ktk deni kwa sababu sioni mahala Bandari ndio mdaiwa isipokuwa serikali. Na hata madai yao kwamba Bandari inatengeneza faida sidhani kama ni ya kweli ukichukua kiasi cha fedha zinazotumika kila mwaka (matumizi) dhidi ya mapato. Kuna wafanyakazi wengi sana wasiokuwa na maana kabisa na believe me kama hao MHCI wangeingia na kuendesha hizo gati mbili zikishughulikiwa na watu wachache sana tena kwa ufanisi mkubwa tofauti na sisi tunavyofanya kazi. BTW, watu wengi hawafahamu CCCC ina ubia na nani (nyuma yab pazia) wangelijua hili sidhani kama mjadala huu ungefikia hapa tulipofikia..Kama kweli Nundu fisadi tuonyesheni ni wap alipofisadi maana sioni kabisa picha napoisoma barua ya MHCI inayosisitiza tuwape ujenzi huo.
   Exploration of reality

  17. Mwanitu's Avatar
   Member Array
   Join Date : 19th February 2010
   Posts : 32
   Rep Power : 607
   Likes Received
   2
   Likes Given
   6

   Default re: NYARAKA: Omar Nundu ni msafi...

   Tukiangalia vizuri tunaona pande zote mbili hazikufuata utaratibu wa uwazi katika kutenda.lakini madhara ambayo yangetokana na kufaulu kupitishwa mkataba wa kundi moja dhidi ya lingine kwa uchumi wetu ni tofauti sana.
   Nadhani mkataba wa miaka 45 haukubaliki kivyovyote vile. na hasa ukiwa na kipengele cha BOOT.

  18. Mkandara's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd March 2006
   Location : T dot
   Posts : 16,574
   Rep Power : 124739544
   Likes Received
   8256
   Likes Given
   8156

   Default re: NYARAKA: Omar Nundu ni msafi...

   Quote By Mwanitu View Post
   Tukiangalia vizuri tunaona pande zote mbili hazikufuata utaratibu wa uwazi katika kutenda.lakini madhara ambayo yangetokana na kufaulu kupitishwa mkataba wa kundi moja dhidi ya lingine kwa uchumi wetu ni tofauti sana.
   Nadhani mkataba wa miaka 45 haukubaliki kivyovyote vile. na hasa ukiwa na kipengele cha BOOT.
   Hicho kipengele cha BOOT kina athari gani ikiwa pato letu linatoka kwenye kodi tu..Ukichukua BOT na ukaachia Bandari wa operate wataharibu vitu chini ya miaka mitano aidha vifaa vitaibiwa au huduma mbovu si bora tuwakabidhi shirika linaloweza kuifanya kazi kwa ufanisi..Hawa jamaa hawachimbi dhahabu wala kuchukua wanyama ni wao kupewa kibali cha kuendesha biashara nchini kwa miaka 45.
   Exploration of reality

  19. Waberoya's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd August 2008
   Location : Busia-Uganda
   Posts : 7,364
   Rep Power : 3102567
   Likes Received
   2462
   Likes Given
   4498

   Default re: NYARAKA: Omar Nundu ni msafi...

   I can testify beyond reasonable doubt that Nundu is innocent!!!
   You are not supposed to be so blind with patrotism that you cant face reality. Wrong is wrong no matter who says it. Malcom X

  20. LOVI MEMBE's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 16th March 2012
   Posts : 1,085
   Rep Power : 710
   Likes Received
   167
   Likes Given
   8

   Default re: NYARAKA: Omar Nundu ni msafi...

   huyu usafi bila shaka ni mangumashi. hivi miaka 2 2 ameshanunua mahoteli ufukweni mwa indian ocean. moja ni nymbani hoteli. huyu naye akili yake imejikita kwenye wizi. watu wenye cv kubwa wakiitumia kuiba aaaaaaaa! mmekwisha

  21. fikirikwanza's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 25th January 2012
   Posts : 5,947
   Rep Power : 73145011
   Likes Received
   1368
   Likes Given
   105

   Default re: NYARAKA: Omar Nundu ni msafi...

   Hata kama angekuwa msafi, uwezo wake duni unamfanya achafuke. ndege, reli, bandari na bandarini kichefuchefu, sasa anamtaja naibu wake hilo tu linamtosha kwenda zake na usafi wake akasaidie familia yake kwenye masuala ya kifamilia.

  Page 14 of 15 FirstFirst ... 412131415 LastLast

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...