Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Mkuu wa Wilaya Biharamulo apewa Kichapo

    Report Post
    Page 2 of 2 FirstFirst 12
    Results 21 to 38 of 38
    1. #1
      Ta Kamugisha's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 17th May 2011
      Posts : 1,041
      Rep Power : 3608
      Likes Received
      267
      Likes Given
      23

      Default Mkuu wa Wilaya Biharamulo apewa Kichapo

      Amini usiamini Mkuu wa Wilaya ya Biharamulo (Mr. Kahindi) amepewa kichapo cha mwaka na Askari (JWTZ) baada ya kukamata Piki piki yao iliyokuwa inasafirisha mali za askari mwenzao ambae alikuwa amefia Hospitalini Bugando, hivyo waliamua kuisafirisha kuipeleka kwao na marehemu then yeye akaikamata. Baada ya kuikamata uzalendo ukawashinda wakampa kichapo kikali mpaka sasa amelezwa hosp ya Wilaya na yupo hooooooooiiiiiii.

      Source: Mwenyewe nipo hapa Biharamulo
      Last edited by Ta Kamugisha; 19th April 2012 at 22:16.
      Ta Muganyizi and Gagurito like this.
      " UOGA WAKO NDO UMASIKINI WAKO"

    2. FemaTV & Radio

    3. #21
      Michael Mwakyusa's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 18th March 2012
      Posts : 124
      Rep Power : 386
      Likes Received
      11
      Likes Given
      1

      Default

      Quote By james chapacha
      Isije ikawa ni walimu wanalipza kisasi!tangu lini mkuu wa wiliya akkamata toya?safi sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa a!
      Huyo mkuu naona unoko wa kimagambagamba ndio uliomponza tumwombee apone haraka ajiunge na peoples

    4. #22
      gonja's Avatar
      Member Array
      Join Date : 28th January 2011
      Posts : 38
      Rep Power : 428
      Likes Received
      3
      Likes Given
      0

      Default

      Aliechapika ni das sio dc.nina uhakika niko bmulo.amengoleka jino jana ndo kala kipigo cha soldiers kutoka kikosi cha 23 kj

    5. #23
      ELIESKIA's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 21st July 2011
      Posts : 107
      Rep Power : 417
      Likes Received
      14
      Likes Given
      0

      Default

      Bado mkuu wa wilaya ya Tanzania .tumechoka sasa

    6. #24
      jogi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 25th September 2010
      Posts : 3,992
      Rep Power : 1214
      Likes Received
      973
      Likes Given
      247

      Default

      Quote By MD25
      SAFI SANA...
      Kilichobaki ni kwa hawa ma askali wanaomlinda mzee wa maruani pale magogoni kumpiga risasi..
      Abdallah Zombe, itika naaam!
      BULOLE BUKOMBE likes this.

    7. #25
      kiroba's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 10th September 2011
      Posts : 208
      Rep Power : 430
      Likes Received
      66
      Likes Given
      19

      Default

      Quote By petrol
      Naomba yeyote anifafanulie: hivi kazi za wakuu wa wilaya ni nini kama shughuli zote za maendeleo ziko chini ya DED na wenyeviti wa wilaya au manispaa. Mtu akikosa kazi anajaribu kushika huku na huko angalao aonekane anafanya kitu hata kama hakina tija. Kwa nini alaumiwe. Matokeo yake ni kukutwa na dhoruba isiyotarajiwa.
      Kazi ya mkuu wa wilaya ni kukijenga chama ndni ya wilaya husika. Napia ni kuhakikisha unatengeneza mazingira ya kudhoofisha upinzani kwenye wilaya yako.

    8. Miaka 50

    9. #26
      MNYISANZU's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 21st October 2011
      Posts : 6,311
      Rep Power : 0
      Likes Received
      592
      Likes Given
      76

      Default Re: Mkuu wa Wilaya Biharamulo apewa Kichapo

      Bado hajafa tu huyo DC???

    10. #27
      Bosco Ntaganda's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 25th January 2012
      Location : DRC- MSITUNI
      Posts : 489
      Rep Power : 467
      Likes Received
      64
      Likes Given
      63

      Default Re: Mkuu wa Wilaya Biharamulo apewa Kichapo

      mbona habari zinapotosha? aliyepigwa ni yupi sasa, dc ama das? chonde chonde waandishi wa habari!!

    11. #28
      MNYISANZU's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 21st October 2011
      Posts : 6,311
      Rep Power : 0
      Likes Received
      592
      Likes Given
      76

      Default Re: Mkuu wa Wilaya Biharamulo apewa Kichapo

      Quote By jogi
      Abdallah Zombe, itika naaam!
      Maaskari wetu inabidi wawaige wale wa Congo walivyomwondoa Kabila 1.

    12. #29
      Original's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 18th March 2012
      Posts : 324
      Rep Power : 426
      Likes Received
      66
      Likes Given
      265

      Default Re: Mkuu wa Wilaya Biharamulo apewa Kichapo

      Safi sana vijana JWTZ, mgevunja mbavu na miguu kabisa. Na sasa tutawapa kazi ya kuwapiga bakaro mafisadi wote mkianza na baba la mafisadi Mkapa.

    13. #30
      gonja's Avatar
      Member Array
      Join Date : 28th January 2011
      Posts : 38
      Rep Power : 428
      Likes Received
      3
      Likes Given
      0

      Default

      Quote By kichuki
      mbona habari zinapotosha? aliyepigwa ni yupi sasa, dc ama das? chonde chonde waandishi wa habari!!
      ni das aliepigika sio dc.

    14. #31
      Gagurito's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th February 2011
      Location : Gangilonga....
      Posts : 5,265
      Rep Power : 1456
      Likes Received
      693
      Likes Given
      696

      Default Re: Mkuu wa Wilaya Biharamulo apewa Kichapo

      Quote By Ta Kamugisha
      Amini usiamini Mkuu wa Wilaya ya Biharamulo (Mr. Kahindi) amepewa kichapo cha mwaka na Askari (JWTZ) baada ya kukamata Piki piki yao iliyokuwa inasafirisha mali za askari mwenzao ambae alikuwa amefia Hospitalini Bugando, hivyo waliamua kuisafirisha kuipeleka kwao na marehemu then yeye akaikamata. Baada ya kuikamata uzalendo ukawashinda wakampa kichapo kikali mpaka sasa amelezwa hosp ya Wilaya na yupo hooooooooiiiiiii.

      Source: Mwenyewe nipo hapa Biharamulo
      good news! na watapigika sana mwaka huu, wananchi tushachoka na mapembe yao, mwaka wa 50 sasa tunanyanyasika dah! thanx jwtz
      The God who gave us life, gave us liberty at the same time.

    15. #32
      Bosco Ntaganda's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 25th January 2012
      Location : DRC- MSITUNI
      Posts : 489
      Rep Power : 467
      Likes Received
      64
      Likes Given
      63

      Default Re: Mkuu wa Wilaya Biharamulo apewa Kichapo

      Quote By Original
      Safi sana vijana JWTZ, mgevunja mbavu na miguu kabisa. Na sasa tutawapa kazi ya kuwapiga bakaro mafisadi wote mkianza na baba la mafisadi Mkapa.
      aliyepigwa ni yupi mkuu? ama nawewe unashangilia tu kama mbio za mwenge?

    16. #33
      Bosco Ntaganda's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 25th January 2012
      Location : DRC- MSITUNI
      Posts : 489
      Rep Power : 467
      Likes Received
      64
      Likes Given
      63

      Default Re: Mkuu wa Wilaya Biharamulo apewa Kichapo

      Quote By gonja
      ni das aliepigika sio dc.
      ahsante kwa taarifa rasmi kamanda

    17. #34
      TEMILUGODA's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th February 2012
      Posts : 954
      Rep Power : 557
      Likes Received
      134
      Likes Given
      1

      Default

      Quote By sangija
      Yes,zawadi stahiki juu ya kuingilia kazi zisizo muhusu!!! Wanaviburi sana kwa kuwa wameteuliwa ma mkuu wa kaya,so hawatishiki kabisa,kichapo ni zawadi tosha!!!
      Alikosa semina elekezi hivyo hajui utawala bora.APUMZIKE KWA AMANI

    18. #35
      Job K's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 4th October 2010
      Posts : 1,550
      Rep Power : 748
      Likes Received
      266
      Likes Given
      254

      Default Re: Mkuu wa Wilaya Biharamulo apewa Kichapo

      JWTZ wengi wako upande wetu. Akipatikana tu wa kutuhamasisha tukaingia barabarani mchezo umekwisha! NATAMANI WAMPE KICHAPO NA MH. PUNDA!

    19. #36
      Shine's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th February 2011
      Posts : 9,177
      Rep Power : 2427
      Likes Received
      944
      Likes Given
      377

      Default

      Quote By spencer
      mwache APUMZIKE KWA AMANI
      Mwache apate utam wa wanachopa wanaoandama kwa amani na kufanywa wao ni wavamizi kwa kupigwa na inapokuwa haitoshi wanatumia risasi za moto

    20. #37
      Shine's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th February 2011
      Posts : 9,177
      Rep Power : 2427
      Likes Received
      944
      Likes Given
      377

      Default

      Quote By Hoho
      Hao maskari nawapa hongera sana wafanyehivyo hata wanapo onamali za uma zina chukuliwa wagawe kichapo kama huyo mkuu wa (w)
      Mbona hata mafisadi na vibaka wasingekuwepo!

    21. #38
      Shine's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th February 2011
      Posts : 9,177
      Rep Power : 2427
      Likes Received
      944
      Likes Given
      377

      Default Re: Mkuu wa Wilaya Biharamulo apewa Kichapo

      Nasubiri siku watakayompa kipigo jk ndo niamini wamechoshwa na hali ya hii nchi

    Page 2 of 2 FirstFirst 12

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...