| Find/Invite Friends | Register | Calendar | Search | Today's Posts | Mark Forums Read |
| FAQ | Members List | Bongo Flava | Zilipendwa | Taarab | Injili |
|
|
#1 | |||||||||||
|
||||||||||||
|
Views: 1274
|
||||||||||||
|
#2
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Ndugu ndio maana kwenye ile hoja ya ip attacking jf nilimuuliza mtu can we be profesional nilichosema pale nilimaanisha kama vitu ni profesional waache profesional wanaojua waongee na wawa shauri kutokana na uelewa wao na mambo hayo --
__________________
I.T. Specialist and Digital Security Consultant |
|
#3
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
Mbali na elimu ya fani hii au ile kuna kitu kingine muhimu ambacho viongozi wengi wana upungufu nacho; UWEZO WA KUZALIWA NAO katika kutoa uamuzi na kutekeleza uliyoamua. hayo mawili yanakwenda pamoja na kwa maoni yangu, utapata mwongozo wa hayo kutoka Shule/Elimu lakini atakuwa bora yule aliezaliwa na kuondokea kuwa na POWER hiyo toka udogo wake naamini kuna viongzi wengi Duniani waliothibitisha hivyo akiwemo Abaham Lincon (USA) na Mzee Jomo Kenyata(kenya).nk. |
|
#4
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
Kasheshe,
Mkuu ktk hili nadhani unajaribu ku spin the issue kwa sababu tunachozungumza hapa ni hili swala la mitambo ya Dowans.. Kuna issue mbili hapa ambazo unajaribu kuziunganisha Short na Long term strategies.. Kwanza hakuna mwananchi anayepinga umuhimu wa Umeme na kwa nini serikali yetu imeshindwa kutekeleza long term plan ya kuzalisha umeme..Hilo halina ubishi wala mjadala iwe kwa wanasiasa, wasomi au wananchi kabuntas kama sisi.. mahitaji ya UMEME hayana elimu ya art wala Uhandisi isipokuwa ni chombo gani kinahitajika..tatizo ipo ktk utekelezaji wa short term plan ambayo tayari imekwisha fanyiwa kazi na hao hao wasomi wahandisi unaowazungumza.. wametumia art kutuzuga wananchi wote. sasa sijui walisomea art au Uhandisi. Mkuu wangu kinachogomba hapa labda nikiweke sawa.. ni Hivi kama sisi tumekwenda kwa daktari na ametuandikia dawa ya maleria iwe Chloroquine, hakuna anayepinga maamuzi hayo, isipokuwa tunachopinga ni maamuzi ya mtu alioyekwenda dukani kununua dawa hiyo..Kwanza kanunua dawa toka kwa mlanguzi feki - made in India kwa gharama ambayo ni kubwa..Kinachogomba zaidi ni madai yake yanayolenga zaidi sababu za maradhi yetu na somo zito kuhusiana na Maleria wakati sisi tunachouliza ni kidogo sana why.. kinahusu hiyo dawa sio maradhi yetu..hatupati jibu! Nachoomba hawa wahandisi unaotaka kuwasifia watueleze kwa undani kuhusu hii mitambo ya Dowans na sio kiza kinachotuandama, hilo tunafahamu toka mwanzo na ndio maana serikali iliwapa go ahead Tanesco kununua mitambo ya dharura badala yake wao wakatufungashia mitambo ya mashinga!.. Sasa nani artist hapa ikiwa huyo msomi mwenyewe anatumia art kufanya maamuzi yanayohitaji elimu yake..Kulikuwa hakuna wakati una viongozi wsomi na wahandisi kama unavyotaka kuliko wakati wa Mkapa lakini ndio wakati Umeme,Maji na vitu vyote vimetupwa nje ya elimu zao..walichofikiria ni UTAJIRI!.. na ktk swala la mitambo ya Dowans kinaendelea hapa ni imani hiyo ya UTAJIRI..imani ambayo wananchi tumechoka nayo! kwa nini hawa wasomi hawaelewi hilo? So artist can be anyone, msomi, mwanasiasa na hata raia asokuwa na elimu..Ni kipaji kinachotegemea wajinga wangapi wanaingia!
__________________
Exploration of reality |
|
#5
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Heshima mbele, yaani nilichoeleza ndio exactly unachofanya... post yako imejaa siasa sana, najua wewe umesoma arts... hivyo ni fani yako! Maswali yote ya msingi uliyonayo ukipeleka TANESCO wanakupa majibu yote bila hata kukupa tarehe... Kuacha nchi kuongozwa zaidi na siasa... itatumaliza. |
|
#6
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
Hakuna cha short term wala long term strategies, issue ni kuwa mpaka sasa tumeshindw kuonyesha uwezo wetu si kwa viongozi wala wahandisi!
Kama alivyosema mtoa maada kuna tatizo pengine kwenye mifumo ya elimu, elimu means to solve problems, not bla bla. Mpaka leo sijajua tangu enzi za Nyerere kwa nini tuna tatizo hili?? LABDA MSIO JUA, WATAALAMU WETU WA UMEME WENGI NI WALE WENYE UWEZO MAALUMU/VIPAJI MAALUMU. WENGI WAMEMALIZA ILBORU, KIBAHA, MZUMBE NA TABORA BOYS! HAWA WENGI HUSOMA ELECTRICAL ENGINEERING! LAZIMA KUNA TATIZO SEHEMU!!!!!!!!!!lazima
__________________
‘’I have come to the conclusion that politics are too serious a matter to be left to the politicians’’. Charles De Gaulle (1890 - 1970) |
|
#7
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
Kasheshe,
Mkuu wangu acha matusi, na wewe umesomea kitu gani! Kama hao Tanesco wangekuwa wamesomea Uhandisi basi wasingemleta huyo mzungu kutoka ng'ambo kuitazama hiyo mitambo..walishindwa kipi ambacho hakikuwa ktk elimu yao au ndio mzungu kasema!
__________________
Exploration of reality |
|
#8
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Tangu sakata hili lianze,,, ni kina nani wame-be-interviewed.... ni wanasiasa tu... Hakuna hata interview moja iliyofanywa kwa ERB etc... au kwa mhandisi wowote... Nakuambia nyererea alianza kukosea pale University of East Africa, sisi badala ya kuanza na Wahandisi na Madakrai sisi tulianza na wanasiasa... angalia enrolment yetu... arts ni asilimia kubwa sana... Angalia wanafunzi wanavyofeli hesabu... Nakubwambia hilo ndio Tatizo... jamii inawasikiliza wanasiasa, wana-arts sana kuliko wahandisi, wahasibu... etc... |
|
#9
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
This is Jamii Forums....soma madhumuni yake na kwa nini ipo hivi ilivyo.... |
|
#10
|
||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
|
||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
«
Previous Thread
|
Next Thread
»
Tuma Ukurasa huu kwa rafiki yako! All times are GMT +3. The time now is 12:17 AM.
Powered by JamiiForums.com
Copyrights reserved to JamiiForums.com | ||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||