Nini chanzo cha mijadala mingi isiyoisha? Je ni mfumo wetu wa Elimu? - Page 6 - JamiiForums |The Home of Great Thinkers

Go Back   JamiiForums |The Home of Great Thinkers > Public Forums > Jukwaa la Siasa

Jukwaa la Siasa Tanzania & World Politics General Discussion Forum. You need to be registered in order to post your comment(s)

Reply
 
LinkBack Thread Tools Rate Thread Display Modes
Old 8th March 2009, 04:36 PM  
Nini chanzo cha mijadala mingi isiyoisha? Je ni mfumo wetu wa Elimu?
Kasheshe Kasheshe is offline 8th March 2009, 04:36 PM

Wanabodi,

Naanza kushitukia kwamba kuna mambo yamekuwa yakijadiliwa muda mrefu na wakati mwingine hata hayana tija, wakati mwingine yaki-engage mahakama, serikali na bunge!

Je hii haiwezeki kuwa ni mojawapo za athari ya kusomesha wataalamu wa sayansi(arts) jamii wengi!

Je suala la TANESCO kuonekana la kisiasa ndio dalili za mfumo huo wa elimu kuwa na waatalaamu wa arts zaidi kuliko wahandisi?

Ninachalea kusema haya kwa kuwa hoja ya TANESCO inaonekana kutosikilizwa kabisa. concern yao ya kuwepo umeme usiotosha mahitaji na kwamba serikali imekuwa ikijivutavuta kuwekeza haionekani kuonekana machoni mwa wanasiasa... nini tatizo?

Kasheshe's Avatar
Kasheshe
JF Premium Member
Points: 301,365, Level: 100 Points: 301,365, Level: 100 Points: 301,365, Level: 100
Activity: 13% Activity: 13% Activity: 13%
Join Date: Fri Jun 2007
Location: Bububu
Posts: 2,579
Thanks: 221
Thanked 204 Times in 114 Posts
Views: 1292
Reply With Quote
  #51  
Old 10th March 2009, 10:40 AM
Kasheshe's Avatar
Kasheshe Kasheshe is offline
Kasheshe a responsible citizen!
JF Premium Member
Points: 301,365, Level: 100 Points: 301,365, Level: 100 Points: 301,365, Level: 100
Activity: 13% Activity: 13% Activity: 13%
 
Join Date: Fri Jun 2007
Location: Bububu
Posts: 2,579
Thanks: 221
Thanked 204 Times in 114 Posts
Rep Power: 28
Kasheshe will become famous soon enoughKasheshe will become famous soon enoughKasheshe will become famous soon enoughKasheshe will become famous soon enoughKasheshe will become famous soon enoughKasheshe will become famous soon enoughKasheshe will become famous soon enoughKasheshe will become famous soon enough
Default Re: Nini chanzo cha mijadala mingi isiyoisha? Je ni mfumo wetu wa Elimu?

Quote:
View Post
Sina taabu na Mwangwini,

Ila ni kwa nini wawe watawala tu tangu Uhuru na leo ni karibu 50 years??

Kwa kuwa basi tangu Uhuru tumetawaliwa na Maraisi na PM wote Ngwuni..basi sasa tuwape pia nafasi Natural Scientists ili tulinganishe!

Hii ndo hoja yangu!

Au Natural Scientists hawana interest na hiki cheo cha juu??

It is fair enough tuwape nafasi halafu tupime matokeo!

Huenda Blaa Blaa Blaa na Maneno mengi bila vitendo Tanzania vitapungua!

Sii mbaya Kujaribu!

Je Natural Scientists Mpo? Akina Fundi Mchundo Mnasemaje?

Mpira uko kwenu!!!

Mnasemaje?
Kwa bahati mbaya sana ni % ndogo sana ya ma-natural scientists wanakuwa tayari ku-lead organisations and political organs.
Sababu ni moja kwa sababu ya upungufu wao wanakuwa siku zote busy kutenda kazi zao (natural jobs, udaktari, uhandisi mitambo, vyuma etc)... mfano tuna upungufu wa madakrati Medical Doctors ni vigumu, hao wachache ku-offer kwa ajili ya kuongoza sehemu zingine... wahandisi hivyo hivyo.

Kwa nini? kwa sababu kazi zao haziwezi fanywa na mtu yeyote isipokuwa wale waliokula...form V & VII science, miaka minne hadi mitano ya university...

Tofauti na field zingine unaweza zuka kutoka kokote kule bado uweze ku-deliver.

Lakini nakuhakikishia kila pale nilipoona CEO anayetoka kwenye natural science... performance zao zimekuwa nzuri sana.

Na hili ndio chimbuko la wana-science jamii kujaza mashule mengi ya sayansi jamii... HGK, HKF, etc... kwenye taifa.
Reply With Quote
  #52  
Old 10th March 2009, 10:57 AM
Ndahani's Avatar
Ndahani Ndahani is offline
Ndahani has no status.
JF Premium Member
Points: 122,975, Level: 100 Points: 122,975, Level: 100 Points: 122,975, Level: 100
Activity: 19% Activity: 19% Activity: 19%
 
Join Date: Tue Jun 2008
Location: Somewhere
Posts: 1,474
Thanks: 165
Thanked 465 Times in 302 Posts
Rep Power: 24
Ndahani will become famous soon enoughNdahani will become famous soon enoughNdahani will become famous soon enoughNdahani will become famous soon enoughNdahani will become famous soon enoughNdahani will become famous soon enoughNdahani will become famous soon enoughNdahani will become famous soon enough
Default Re: Nini chanzo cha mijadala mingi isiyoisha? Je ni mfumo wetu wa Elimu?

Quote:
View Post
Kasheshe,
Mkuu ktk hili nadhani unajaribu ku spin the issue kwa sababu tunachozungumza hapa ni hili swala la mitambo ya Dowans..
Kuna issue mbili hapa ambazo unajaribu kuziunganisha Short na Long term strategies..
Kwanza hakuna mwananchi anayepinga umuhimu wa Umeme na kwa nini serikali yetu imeshindwa kutekeleza long term plan ya kuzalisha umeme..Hilo halina ubishi wala mjadala iwe kwa wanasiasa, wasomi au wananchi kabuntas kama sisi.. mahitaji ya UMEME hayana elimu ya art wala Uhandisi isipokuwa ni chombo gani kinahitajika..tatizo ipo ktk utekelezaji wa short term plan ambayo tayari imekwisha fanyiwa kazi na hao hao wasomi wahandisi unaowazungumza.. wametumia art kutuzuga wananchi wote. sasa sijui walisomea art au Uhandisi.

Mkuu wangu kinachogomba hapa labda nikiweke sawa.. ni Hivi kama sisi tumekwenda kwa daktari na ametuandikia dawa ya maleria iwe Chloroquine, hakuna anayepinga maamuzi hayo, isipokuwa tunachopinga ni maamuzi ya mtu alioyekwenda dukani kununua dawa hiyo..Kwanza kanunua dawa toka kwa mlanguzi feki - made in India kwa gharama ambayo ni kubwa..Kinachogomba zaidi ni madai yake yanayolenga zaidi sababu za maradhi yetu na somo zito kuhusiana na Maleria wakati sisi tunachouliza ni kidogo sana why.. kinahusu hiyo dawa sio maradhi yetu..hatupati jibu!

Nachoomba hawa wahandisi unaotaka kuwasifia watueleze kwa undani kuhusu hii mitambo ya Dowans na sio kiza kinachotuandama, hilo tunafahamu toka mwanzo na ndio maana serikali iliwapa go ahead Tanesco kununua mitambo ya dharura badala yake wao wakatufungashia mitambo ya mashinga!..
Sasa nani artist hapa ikiwa huyo msomi mwenyewe anatumia art kufanya maamuzi yanayohitaji elimu yake..Kulikuwa hakuna wakati una viongozi wsomi na wahandisi kama unavyotaka kuliko wakati wa Mkapa lakini ndio wakati Umeme,Maji na vitu vyote vimetupwa nje ya elimu zao..walichofikiria ni UTAJIRI!.. na ktk swala la mitambo ya Dowans kinaendelea hapa ni imani hiyo ya UTAJIRI..imani ambayo wananchi tumechoka nayo! kwa nini hawa wasomi hawaelewi hilo?
So artist can be anyone, msomi, mwanasiasa na hata raia asokuwa na elimu..Ni kipaji kinachotegemea wajinga wangapi wanaingia!
Kazi kweli kweli. Kinachonisikitisha ni kuwa Tanesco ambayo ni kweli imesheheni wahandisi, ila imekuwa haiwatumii kama inavyotakiw au inawatumia wakati kuna mizengwe ambayo wanasiasa wanajua bila wahandisi mambo yao hayataenda. Mara nyingi mambo ya kitaalamu wanayoyashauri huwa hayasikilizwi.Master plan ya umeme TZ si ipo? Wahandisi walijiandaa kukabiliana na ongezeko la matumizi ya umeme kwa utaratibu huo mzuri tu,ila wanasiasa wanataka kula humo.Wamesahau kama wanatakiwa kuifuata master plan ili kuachana na kuhangaika na emergency kila mwaka.
Ninachojua mimi wahandisi wa Tanzania ni bora Botswana, Dubai, South Africa na kwingineko lakini sio hapa nyumbani.Sijui tutang'amua lini kwamba kama hatutaki kuutumia utaalamu wao hatutapata maendeleo ya kudumu...ilivyosasa, nahisi hatuna shida na utaalamu wao kabisa.Tutaendelea kuwaazima wahindisi kutoka India waendelee kutujengea high rise buildings in town.
Reply With Quote
  #53  
Old 10th March 2009, 02:15 PM
Kasheshe's Avatar
Kasheshe Kasheshe is offline
Kasheshe a responsible citizen!
JF Premium Member
Points: 301,365, Level: 100 Points: 301,365, Level: 100 Points: 301,365, Level: 100
Activity: 13% Activity: 13% Activity: 13%
 
Join Date: Fri Jun 2007
Location: Bububu
Posts: 2,579
Thanks: 221
Thanked 204 Times in 114 Posts
Rep Power: 28
Kasheshe will become famous soon enoughKasheshe will become famous soon enoughKasheshe will become famous soon enoughKasheshe will become famous soon enoughKasheshe will become famous soon enoughKasheshe will become famous soon enoughKasheshe will become famous soon enoughKasheshe will become famous soon enough
Default Re: Nini chanzo cha mijadala mingi isiyoisha? Je ni mfumo wetu wa Elimu?

Quote:
View Post
Kazi kweli kweli. Kinachonisikitisha ni kuwa Tanesco ambayo ni kweli imesheheni wahandisi, ila imekuwa haiwatumii kama inavyotakiw au inawatumia wakati kuna mizengwe ambayo wanasiasa wanajua bila wahandisi mambo yao hayataenda. Mara nyingi mambo ya kitaalamu wanayoyashauri huwa hayasikilizwi.Master plan ya umeme TZ si ipo? Wahandisi walijiandaa kukabiliana na ongezeko la matumizi ya umeme kwa utaratibu huo mzuri tu,ila wanasiasa wanataka kula humo.Wamesahau kama wanatakiwa kuifuata master plan ili kuachana na kuhangaika na emergency kila mwaka.
Ninachojua mimi wahandisi wa Tanzania ni bora Botswana, Dubai, South Africa na kwingineko lakini sio hapa nyumbani.Sijui tutang'amua lini kwamba kama hatutaki kuutumia utaalamu wao hatutapata maendeleo ya kudumu...ilivyosasa, nahisi hatuna shida na utaalamu wao kabisa.Tutaendelea kuwaazima wahindisi kutoka India waendelee kutujengea high rise buildings in town.
Jamani... TANESCO ina all operation na strategic plans both short term and long term.. tatizo serikali yenu haitoi fedha za kutekeleza hizo plans... in short hao magwini hawaelewi mpaka umeme ukatike ndio wanaelewa.

Kumbukeni kipindi cha Mh. Ben Mkapa 10years hakuna investment kubwa ilifanyika kwenye power sector... matokeo yake mwaka 2005/2006 mukaonja joto ya jiwe... ndio ikazalisha richmond etc.

Tatizo sayansi jamii ndio ina power kubwa ya kuamua mambo... siku hizi wana-uhuru mpaka wa kusanifu barabara na madaraja... ati mtu anasimama anasema tuweke barabara za fly over... kwa feasibility study gani?
Reply With Quote
  #54  
Old 10th March 2009, 03:55 PM
Mzalendohalisi Mzalendohalisi is offline
Mzalendohalisi has no status.
JF Premium Member
Points: 430,274, Level: 100 Points: 430,274, Level: 100 Points: 430,274, Level: 100
Activity: 0% Activity: 0% Activity: 0%
 
Join Date: Sun Jun 2007
Posts: 3,708
Thanks: 36
Thanked 12 Times in 12 Posts
Rep Power: 30
Mzalendohalisi will become famous soon enoughMzalendohalisi will become famous soon enoughMzalendohalisi will become famous soon enoughMzalendohalisi will become famous soon enoughMzalendohalisi will become famous soon enoughMzalendohalisi will become famous soon enoughMzalendohalisi will become famous soon enoughMzalendohalisi will become famous soon enough
Default Re: Nini chanzo cha mijadala mingi isiyoisha? Je ni mfumo wetu wa Elimu?

Quote:
View Post
Jamani... TANESCO ina all operation na strategic plans both short term and long term plans.. tatizo serikali yenu haitoi fedha za kutekeleza hizo plans... in short hao magwini hawaelewi mpaka umeme ukatike ndio wanaelewa.

Kumbukeni kipindi cha Mh. Ben Mkapa 10years hakuna investment kubwa ilifanyika kwenye power sector... matokeo yake mwaka 2005/2006 mukaonja joto ya jiwe... ndio ikazalisha richmond etc.

Tatizo sayansi jamii ndio ina power kubwa ya kuamua mambo... siku hizi wana-uhuru mpaka wa kusanifu barabara na madaraja... ati mtu anasimama anasema tuweke barabara za fly over... kwa feasibility study gani?
Kasheshe,

Kama hawa Ngwini ndo mchawi basi sii tuwapige chini angalau kwa muda?

Watawala wamesomea ngwini alafu wanatuendesha kama gari bovu na blaa blaa nyingi!!

Yaani wala sina la kusema!
__________________
Uadilifu Kiwe Kigezo Muhimu Zaidi Kuwa Kiongozi Tanzania Kwa Sasa!
Reply With Quote
  #55  
Old 10th March 2009, 05:42 PM
Kasheshe's Avatar
Kasheshe Kasheshe is offline
Kasheshe a responsible citizen!
JF Premium Member
Points: 301,365, Level: 100 Points: 301,365, Level: 100 Points: 301,365, Level: 100
Activity: 13% Activity: 13% Activity: 13%
 
Join Date: Fri Jun 2007
Location: Bububu
Posts: 2,579
Thanks: 221
Thanked 204 Times in 114 Posts
Rep Power: 28
Kasheshe will become famous soon enoughKasheshe will become famous soon enoughKasheshe will become famous soon enoughKasheshe will become famous soon enoughKasheshe will become famous soon enoughKasheshe will become famous soon enoughKasheshe will become famous soon enoughKasheshe will become famous soon enough
Default Re: Nini chanzo cha mijadala mingi isiyoisha? Je ni mfumo wetu wa Elimu?

Quote:
View Post
Kasheshe,

Kama hawa Ngwini ndo mchawi basi sii tuwapige chini angalau kwa muda?

Watawala wamesomea ngwini alafu wanatuendesha kama gari bovu na blaa blaa nyingi!!

Yaani wala sina la kusema!
Mzalendohalisi,

Si unajua demokrasia tulizoletewa na wajomba wa marekani na ulaya ambazo tumezikubali na kuzikumbatia zinasema wengi wape!!! majority wins...

Sasa walishaandaa mazingira wawepo madarakani milele... wahitimu wa sayansi ya jamii ni zaidi ya 80%... si ushindi wa kishindo huo tayari...

Ndio maana ni less than 5% ya wanasiasa na waandishi wa habari ambao wamesoma press release ya TANESCO.

Lakini stori walizoandika... huwezi amini.
Reply With Quote
  #56  
Old 11th March 2009, 06:20 PM
JokaKuu JokaKuu is offline
JokaKuu has no status.
JF Premium Member
Points: 970,785, Level: 100 Points: 970,785, Level: 100 Points: 970,785, Level: 100
Activity: 8% Activity: 8% Activity: 8%
 
Join Date: Mon Jul 2006
Posts: 3,389
Thanks: 298
Thanked 432 Times in 244 Posts
Rep Power: 111
JokaKuu is a glorious beacon of lightJokaKuu is a glorious beacon of lightJokaKuu is a glorious beacon of lightJokaKuu is a glorious beacon of lightJokaKuu is a glorious beacon of lightJokaKuu is a glorious beacon of lightJokaKuu is a glorious beacon of lightJokaKuu is a glorious beacon of lightJokaKuu is a glorious beacon of lightJokaKuu is a glorious beacon of lightJokaKuu is a glorious beacon of light
Default Re: Nini chanzo cha mijadala mingi isiyoisha? Je ni mfumo wetu wa Elimu?

..naona Ban Ki-Moon kalikoroga kwelikweli.

Quote:

Woes mount at UN office over Tibaijuka demotion

Abiya Ochola

UN-Habitat Director General Anna Tibaijuka could have been demoted due to her efforts to restore order at the UN Office in Nairobi.

It has also emerged that UN Secretary-General Ban Ki-moon did not consult his Special Adviser on Gender Issues and the Advancement of Women, Ms Rachel Mayanja.

The demotion has also opened up administrative problems at the UN Office in Nairobi (UNON), with issues of who will be in charge when new Director General Achim Steiner is out of station.

Dr Anna Tibaijuka, UN-Habitat Executive Director. UN chief Ban Ki-moon replaced Tibaijuka as the UNON Director-General, last week. Photo: File

According to correspondence in our possession, Dr Tibaijuka could have been hounded out as punishment for her dedication to restore order.

"It would be a paradox to treat her this way and punish her for her efforts to restore order and decency in administration at the Nairobi duty station," wrote Mozambican Permanent Representative to Unep and Un-Habitat.

An investigation by American media agency Inner City Press (ICP) revealed that Mayanja was not informed of the changes.

Asked whether Mr Ban consulted her before demoting one of his most senior female officials, she said: "I am not very familiar with this issue. I need to look into it and get properly informed before answering you."

Rotation principle

In demoting Tibaijuka, Ban espoused what he termed the principle of rotation, but questions are being raised as to the selective application of the principle.

Tibaijuka, a Tanzanian, has headed UNON for two and half years, while the head of UN Office in Geneva, a Russian, Mr Sergei Ordzhonikidze, has been head of station for seven years.

"If there is a policy of rotation, it is selective, it appears," observes ICP.

Tibaijuka’s demotion came after a memo changing the requirements for holding the office to fit in her successor.

In a UN memo dated April 28, last year, Ban stated, "The Office (UNON) is headed by a Director-General, at the Under-Secretary-General level, who is the most senior Under-Secretary-General among the Heads of the United Nations Programmes headquartered at the duty station, namely, Unep and UN-Habitat."

But in a new memo, called bulletin in UN circles, which came into effect on March 1, Ban quietly changed the clause omitting "most senior". It reads: "The office is headed by a Director-General, at the Under-Secretary-General level, designated by the Secretary-General from among the heads of United Nations Programmes headquartered at the duty station, namely, Unep and UN-Habitat."

Had the UN been strict acoording to the original bulletin, Mr Steiner would not have become UNON chief because with six years experience as an Under Secretary-General, Tibaijuka is his senior.

Tibaijuka is still the executive director of UN-Habitat in Nairobi.

Administrative troubles

According to ICP, Steiner is said to have, immediately upon appointment, run into administrative troubles when he tried to appoint the Officer-In-Charge (OIC).

"The Under Secretary General for Management Angela Kane demanded that the former DG (Tibaijuka) serve as OIC, not realising the legal contradictions in the new hastily prepared bulletin.

The former DG expressed the legal impossibility of her serving as OIC for the new DG, but her concerns were left unanswered," ICP says.

In the impending confusion, Steiner attempted to identify OIC by approaching the Assistant Secretary-General for UN-Habitat Inga Klevby, who allegedly refused on grounds that she saw no statutory basis or administrative guidelines to serve in that capacity.
Reply With Quote
  #57  
Old 13th March 2009, 12:41 AM
Mchukia Fisadi's Avatar
Mchukia Fisadi Mchukia Fisadi is offline
Mchukia Fisadi is Thinking of 2010
JF Premium Member
Points: 331,236, Level: 100 Points: 331,236, Level: 100 Points: 331,236, Level: 100
Activity: 12% Activity: 12% Activity: 12%
 
Join Date: Thu Apr 2008
Location: Southern china
Posts: 2,612
Thanks: 1,077
Thanked 357 Times in 191 Posts
Rep Power: 27
Mchukia Fisadi will become famous soon enoughMchukia Fisadi will become famous soon enoughMchukia Fisadi will become famous soon enoughMchukia Fisadi will become famous soon enoughMchukia Fisadi will become famous soon enoughMchukia Fisadi will become famous soon enoughMchukia Fisadi will become famous soon enoughMchukia Fisadi will become famous soon enough
Default Re: Nini chanzo cha mijadala mingi isiyoisha? Je ni mfumo wetu wa Elimu?

Quote:
Quote:
View Post
Kazi kweli kweli. Kinachonisikitisha ni kuwa Tanesco ambayo ni kweli imesheheni wahandisi, ila imekuwa haiwatumii kama inavyotakiw au inawatumia wakati kuna mizengwe ambayo wanasiasa wanajua bila wahandisi mambo yao hayataenda. Mara nyingi mambo ya kitaalamu wanayoyashauri huwa hayasikilizwi.Master plan ya umeme TZ si ipo? Wahandisi walijiandaa kukabiliana na ongezeko la matumizi ya umeme kwa utaratibu huo mzuri tu,ila wanasiasa wanataka kula humo.Wamesahau kama wanatakiwa kuifuata master plan ili kuachana na kuhangaika na emergency kila mwaka.
Ninachojua mimi wahandisi wa Tanzania ni bora Botswana, Dubai, South Africa na kwingineko lakini sio hapa nyumbani.Sijui tutang'amua lini kwamba kama hatutaki kuutumia utaalamu wao hatutapata maendeleo ya kudumu...ilivyosasa, nahisi hatuna shida na utaalamu wao kabisa.Tutaendelea kuwaazima wahindisi kutoka India waendelee kutujengea high rise buildings in town.
Jibu la swali lako analo injinia Stela Manyanya yule mama mbunge wa wakina mama aliyekuwa kwenye tume ya Mwakyembe.
Muulize kwa nini aliamua kuacha kazi ya uinjinia Tanesco na kwenda Dodoma. Tena alipoona kama anaweza kurudishwa kazini Tanesco siku moja, akajiwahi kwa kuwaandikia barua kwamba wamkome hana haja na kazi yao tena. Muulize atakupa jibu
__________________
If OUR God offends you, then I suggest you consider another part of the world as your new home, because OUR God is part of our culture.
Reply With Quote
  #58  
Old 13th March 2009, 07:34 PM
Zakumi's Avatar
Zakumi Zakumi is offline
Zakumi has no status.
JF Senior Expert Member
Points: 155,800, Level: 100 Points: 155,800, Level: 100 Points: 155,800, Level: 100
Activity: 8% Activity: 8% Activity: 8%
 
Join Date: Wed Sep 2008
Location: Mtoni
Posts: 2,078
Thanks: 127
Thanked 220 Times in 147 Posts
Rep Power: 26
Zakumi will become famous soon enoughZakumi will become famous soon enoughZakumi will become famous soon enoughZakumi will become famous soon enoughZakumi will become famous soon enoughZakumi will become famous soon enoughZakumi will become famous soon enoughZakumi will become famous soon enough
Default Re: Nini chanzo cha mijadala mingi isiyoisha? Je ni mfumo wetu wa Elimu?

Inaaminika kuwa ni rahisi sana kwa mtu aliyesomea injinia au sayansi kubadilisha profession yake. Lakini watu wa fani zisizo za sayansi wana kazi kubwa kubadili fani zao kwenda kwenye sayansi.

Kwa mtaji huu nchi ni lazima ibadilike. Miaka ya zamani nchi iliweza kuwabana wana-sayansi wake kubakia katika kile walichosoma. Lakini kwa miaka ya sasa nchi haiwezi kumudu kufanya hivyo.
__________________
If you don't take time for wellness, you are going to have to take time for sickness.
Reply With Quote
Reply

Bookmarks

Tags
cha, chanzo, elimu, isiyoisha, je, mfumo, mijadala, mingi, nini, wetu

Currently Active Users Viewing This Thread: 1 (0 members and 1 guests)
 
Thread Tools
Display Modes Rate This Thread
Rate This Thread:

Posting Rules
You may not post new threads
You may not post replies
You may not post attachments
You may not edit your posts

BB code is On
Smilies are On
[IMG] code is On
HTML code is Off
Trackbacks are Off
Pingbacks are Off
Refbacks are On

Similar Threads
Thread Thread Starter Forum Replies Last Post
Hotuba za Rais kila mwezi JokaKuu Jukwaa la Siasa 681 2nd December 2009 08:38 AM
Budget Mbadala 2008/09 Kahangwa Jukwaa la Siasa 1 18th June 2009 03:09 PM
Bajeti ya Serikali 2008/09 - Exclusive Thread Steve Dii Jukwaa la Siasa 262 29th July 2008 11:30 AM
Your opinion please! Bubu Ataka Kusema Habari na Hoja mchanganyiko 4 11th June 2008 01:29 PM
Mapambano ya Polisi na MajambaziArusha Yapamba moto! Pinokyo Jukwaa la Siasa 34 10th May 2008 01:07 AM

Tuma Ukurasa huu kwa rafiki yako!

All times are GMT +3. The time now is 03:21 PM.

Powered by JamiiForums.com
Copyrights reserved to JamiiForums.com