filikunjombe njoo peoples power. Come come.
Huku ndio kunakufaa kusemea huo uozo wa Kletocracy government.
Sasa mambo yameiva!
Ni nani atakuwa Waziri Mkuu mpya wa JK?
Never give up your right!
Nimeona, vijana wamebadilika, wanataka maendeleo!
Tatizo yuko na wachafu.... hili ni jembe iko siku litakuja home...
The world suffers a lot. Not because of the violence of bad people, but because of the silence of good people!
gud gud
Mnakumbuka ile ya ,,"nawajua wala rushwa kwa majina"?
,,,,,,,,Jisachi
Nadhani Lukuvi ndo anapaswa kuthibitisha kama mawaziri wengi si wezi ?
IT IS TO THOSE WITHOUT TEETH GOD GIVES MEAT
Hizi biti tumezizoea wasitufanye watoto,
tunataka kitu kinachobeba maji saiv....
Wapige kura ya kutokuwa na imani na serikali nje ya hapo ni porojo na kutuzingua tu.
Ni kweli Filipkunjombe asipochemka huko chini kunatisha, Mzee Nyimbo anazidi kubatiza watu kwa jina la CDM, hivyo akaze kamba umma huko kwake umeshaamka
Big up Mh Filikunjombe umeonesha jinsi gani unavyoweka masilahi ya taifa mbele
Sio mawaziri, rais ndiye anayeongoza kwa kuibaka nchi na safari zake nyiiiingiiii zisizo na maana yoyote. Kaenda Brazil kumsalimia rais mstaafu Lula na kupewa jezi na Maximo, rais anachemka sijaona!
Hizi safari zina tija gani? Kwa nini serikali haitaki kutupa mchanganuo wa gharama zote za safari tangu Dec. 2005 alipoingia Magogoni mpaka sasa na tulichokipata kutokana na hizi safari ili tujue kama ni kweli anakwenda kutalii tu au la?!
Mbona naye hatembelewi kama anavyowatembelea? Sanasana amekuja Waziri Mkuu wa Somalia tena kwa masaa tu na kuondoka zake!
Kama baba anafuja unategemea watoto wafanye nini?
Kwa kuwaendekeza mawaziri kama Lukuvi ni janga kwa Taifa hili, anachojua ni kutetea vitu hata ambavyo havina msingi utadhani serikali imeundwa na malaika ambao hawakosea,hawali wala kutoa rushwa, wawajibikaji (Mwinyi,Mponda,Malima,Mkulo & co.????) na kufanya mambo mengine yasiyo na manufaa kwa taifa..
Nadhani anafanya hivi sijui ili kumfurahisha aliyemteua na kusahau hata huyo aliyemteua ana watu waliomchagua pale na kumbe wa muhimu ni wale waliomchagua bosi wake na si vinginevyo..!
Mh.Fili anafanya kazi ambayo tume ya maadili ya viongozi imewashindwa au kwa uoga au kwa kutokuwa na nguvu za kisheria kuwabana hao viongozi walafi na wafujaji wa mali za umma kwa bahati nzuri sheria ya kuunda hiyo tume imepitishwa na wabunge wengi wa CCM kwa kujua au kutokujua....
Kwa kuwa msamiati wa uwajibikaji kwao haupo kabisa..TAKUKURU nayo iko ICU-Kiutendaji inasubiri vijikesi vya laki moja watu wanafungia mpaka safari ..
kwa kifupi bila mfumo bora,imara na unaojitegemea kufanya kazi tutendelea kusikia hizi hadithi za ubadhirifu na hatua kali za kukomesha haya hazichukuliwi..!Nafasi nyingine adhimu watanzania tunapata kiujua kiundani serikali ambayo miaka 7 iliyopita walikuwa na wimbo mzuri wa 'Maisha bora kwa kila mtanzania..' ambao ukiwakumbusha leo ulipoishia waliotunga wanakutolea macho,dharau na kebehi..
Fikiria kwa u-makini...!
ccm umekosa mvuto.anataka kuhamia cdm.karibu 2takupa ubalozi
Mawaziri wengi ni majambazi sugu wa pesa zetu.
Naona Godbless Lema reborn katika bunge, siku mahakama ikimrudisha watakuwa wameshaumana vya kutosha!!
Filikunjombe anafahamu kazi yake ni nini..
Verbal Diarrhea Dehydrates Human Dignity
Tundu Lissu kasema yote. Now they know what to do.
Follow Us Here