JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Upotoshaji huu wa Gazeti la Jambo Leo ni mpaka lini?

  Report Post
  Page 1 of 5 123 ... LastLast
  Results 1 to 20 of 95
  1. Ngaliba Dume's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 6th October 2010
   Posts : 1,167
   Rep Power : 802
   Likes Received
   617
   Likes Given
   322

   Default Upotoshaji huu wa Gazeti la Jambo Leo ni mpaka lini?

   Leo ktk gazeti la Jambo Leo, ukurasa wa kwanza kuna kichwa cha habari kinachosema CHADEMA Inahusishwa na mashetani, na eti Dr.Slaa ana jini lake linalomsaidia mambo yake ya kisiasa, pia ktk dini hiyo kiongozi wa kanisa Katoliki duniani Pope naye yumo.

   Mwandishi amekwenda mbali zaidi kwa kumuhusisha Marehemu Kanumba na hiyo dini ya mashetani. Katika kujenga hoja amewaonyesha viongozi mbalimbali wa Dunia kuwa ni waumini wa dini hyo ya kishetani.

   Nimesikitishwa na umbumbumbu wa mwandishi, ujengaji wake wa hoja na zaidi kuwadhalilisha watu bila ushahidi wa kimantiki..msingi wa hoja yake kuwa CHADEMA na Dr. Slaa ni wafuasi wa shetani ni aina ya salamu ya vidole viwili inayotumiwa na CHADEMA, kuwa ni salamu ya kishetani na hivo CHADEMA ni ya mashetani na Dr. Slaa ana jini linalomlinda.

   Kwa kweli huu ni upotoshaji mkubwa,haupaswi kuachwa,kulivamia pia kanisa kwa kumuhusisha kiongoz wao ni upotoshaji,ni kuuambia umma kuwa wote walio chini ya kiongozi huyo (Pope) nao ni waabudu sanamu!huu ni uzushi,uzandiki na ukomo wa uelewa wa mambo ya kidunia.

   MY TAKE:...Alama ya "V" inayotumiwa na CHADEMA haina uhusiano na mashetani. Miaka mingi iliyopita, Jemedari wa vita toka Urumi(Roma) Julius Caiser aliwavamia maadui zake na kuwapiga kwa kusafiri umbali mrefu, alipofika ktk himaya ya adui aliua na kuteketeza kila kilicho cha adui..kufikisha ujumbe kwa walio Rome na Senator J.Caiser alisema "Veni,Vidi,Vici" = "I came,I saw,I conquered".. Hii ndo ikawa alama ya ushindi,na J.Caiser alipopita mbele za watu alikunja vidole kwa alama ya V kama tafsiri ya ushindi, na askari wote waliopigana ktk vita hvyo waliwekewa alama ya "V" tatu ktk mabega yao kama alama ya ushujaa,na toka hapo V ikawa alama ya cheo ktk jeshi...

   Kumbe alama ya V kwa CHADEMA si ushetani, haina mahusiano na mashetani...ni alama ya "Victory"...mashabiki wa mpira hutmia, wachezaji na hata makocha wao (japo wengine hufikili kuwa wanamanisha watashnda goli mbili).,si CHADEMA peke yao! JAMBO LEO Lisigeuke kuwa udaku, lisidhalilishe dini na viongozi wa watu, wajiheshimu! Wasitumike..kuna mbinu nyingi za kuibana Chadema lakn si kwa mtindo huo! kweli CHADEMA imewabana na bado kidogo mtaachia...NAWASILISHA


  2. domo bwakubwaku's Avatar
   Member Array
   Join Date : 2nd March 2011
   Posts : 82
   Rep Power : 564
   Likes Received
   29
   Likes Given
   0

   Default Re: Upotoshaji huu wa Gazeti la Jambo Leo ni mpaka lini?

   magamba at work haya mambo wanaayaanzisha wenyewe mwisho yankulaga kwao hivi tukianza kuwataja waumini wa freemasons hapa mjini mbona magamba watakimbia

  3. Njowepo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 26th February 2008
   Location : Santiago
   Posts : 8,572
   Rep Power : 22381
   Likes Received
   1250
   Likes Given
   1121

   Default Re: Upotoshaji huu wa Gazeti la Jambo Leo ni mpaka lini?

   Labda walikosa heading ya maana wakaon iyo itauza!
   WB Tanzania lead economist Jacques Morisset said the GDP doubled in 10 years, but it has failed to produce any significant decline in poverty levels.

  4. qq.com's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 9th January 2012
   Posts : 372
   Rep Power : 999
   Likes Received
   121
   Likes Given
   90

   Default Re: Upotoshaji huu wa Gazeti la Jambo Leo ni mpaka lini?

   Nani mmiliki wa gazeti hili?
   @FFID9M N=DEND9

  5. Kombo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 29th October 2010
   Posts : 1,822
   Rep Power : 929
   Likes Received
   476
   Likes Given
   41

   Default Re: Upotoshaji huu wa Gazeti la Jambo Leo ni mpaka lini?

   Hii ni hatari, huyo mhariri aliyeidhinisha huo upuuzi uchapwe ni balaa kubwa zaidi! Sijui wanatumia nini kufikiri hawa majitu!


  6. Mukalunyoisa's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 16th March 2012
   Posts : 139
   Rep Power : 520
   Likes Received
   20
   Likes Given
   2

   Default Re: Upotoshaji huu wa Gazeti la Jambo Leo ni mpaka lini?

   Basi hata mmlikiwa gazeti naye ni freemason

  7. Ulukolokwitanga's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 18th September 2010
   Location : ndzengelendete
   Posts : 6,475
   Rep Power : 14235
   Likes Received
   3885
   Likes Given
   614

   Default Re: Upotoshaji huu wa Gazeti la Jambo Leo ni mpaka lini?

   Vijana waliomkamata Ghadafi na kumuua kule Libya walikuwa wanashangilia kwa kuonyesha alama ya V... Je nao ni Freemasonry??
   Watanzania wote ni kama NYUMBU, tunafuata matukio na kusahau nini kilitokea jana

  8. Babuu Rogger's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 16th November 2011
   Posts : 626
   Rep Power : 636
   Likes Received
   120
   Likes Given
   5

   Default Re: Upotoshaji huu wa Gazeti la Jambo Leo ni mpaka lini?

   Hili gazeti linatumiwa sana na MAGAMBA baada ya kuona gazeti la Uhuru halisomwi tena.

  9. CAMARADERIE's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd March 2011
   Location : 1 Luthuli Street
   Posts : 4,314
   Rep Power : 2881
   Likes Received
   1706
   Likes Given
   1169

   Default Re: Upotoshaji huu wa Gazeti la Jambo Leo ni mpaka lini?

   Quote By qq.com View Post
   Nani mmiliki wa gazeti hili?
   Dr Ridhiwani Kikwete LLB,LLM,LLD

   Tanganyika
  10. Molemo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 24th September 2010
   Posts : 13,190
   Rep Power : 146133715
   Likes Received
   8483
   Likes Given
   618

   Default

   Quote By qq.com View Post
   Nani mmiliki wa gazeti hili?
   Juma Pinto

  11. Mvaa Tai's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 11th August 2009
   Location : Kunduchi
   Posts : 4,736
   Rep Power : 33554
   Likes Received
   2174
   Likes Given
   1733

   Default Re: Upotoshaji huu wa Gazeti la Jambo Leo ni mpaka lini?

   Na jeshini mtu mwenye cheo cha "vv" inamaanisha ana mashetani mawili...lol. CCM wapo katika wakati mgumu Watanzania tushirikiane kuikataa katakata CCM
   Mtoto wa jirani yako ni sawa na mwanao, hivyo hivyo hata kwa mke wa jirani yako!!!

  12. Kintiku's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd February 2011
   Posts : 513
   Rep Power : 654
   Likes Received
   217
   Likes Given
   175

   Default Re: Upotoshaji huu wa Gazeti la Jambo Leo ni mpaka lini?

   Watu wanaposikia kuwa kuna hatua UKIMWI hushambulia mishipa ya fahamu, yaani mtu anakuwa na ''afya'' yake tu lakini kichwani anakuwa dakika tatu. Hali hii ikimpata mtu watu huwa hawaelewei hatua aliyopo mtu huishia tu kusema ''siku hizi fulani simuelewi ana mambo fulani ya ajabu sijui nini kimempata".

  13. DALLAI LAMA's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 31st January 2012
   Posts : 8,261
   Rep Power : 23104955
   Likes Received
   2145
   Likes Given
   0

   Default Re: Upotoshaji huu wa Gazeti la Jambo Leo ni mpaka lini?

   V stand instead of VICTORY.wameishiwa propaganda

  14. NasDaz's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 6th May 2009
   Location : Ushenzini
   Posts : 7,154
   Rep Power : 274997020
   Likes Received
   4231
   Likes Given
   4108

   Default Re: Upotoshaji huu wa Gazeti la Jambo Leo ni mpaka lini?

   TATIZO ni kwamba umesoma mwenyewe na kuchambua mwenyewe na kila mmoja anatakiwa ku-comment ulichoandika wewe!
   1. Sometimes this world needs crazy decisions and crazy decision makers if that's only what it takes to make it the better place for the mankind.

  15. Mungi's Avatar
   JF Gold Member Array
   Join Date : 23rd September 2010
   Location : JF
   Posts : 16,732
   Rep Power : 201413717
   Likes Received
   9023
   Likes Given
   5180

   Default Re: Upotoshaji huu wa Gazeti la Jambo Leo ni mpaka lini?

   Aliyewakaribisha Freemason Tanzania ni Benjamin Mkapa.
   Kikwete na Sheikh Yahya, Kapuya, Membe, Mengi, Magufuli, Mkono, Mwale, Lowassa ni baadhi tu ya mamembers wa Freemason.
   Wana Lodge yao maeneo ya Ngaramtoni panaitwa Masonic Lodge.

   CHADEMA inawanyima usingizi magamba wamebaki wanahaha tu.

   Wao wana fedha za Freemason

   Sisi tuna Mungu tusiogope tutashinda!

  16. Mkirua's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 9th September 2010
   Location : Kirua Vunjo (K.V-LONDON)
   Posts : 5,685
   Rep Power : 2186648
   Likes Received
   2457
   Likes Given
   947

   Default Re: Upotoshaji huu wa Gazeti la Jambo Leo ni mpaka lini?

   Hiki kijarida sijawahi kunkinunua hata kukisoma
   The world suffers a lot. Not because of the violence of bad people, but because of the silence of good people!

  17. Bangoo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 4th November 2011
   Posts : 5,591
   Rep Power : 6492
   Likes Received
   985
   Likes Given
   0

   Default Re: Upotoshaji huu wa Gazeti la Jambo Leo ni mpaka lini?

   Waandishi makanjanja,
   mnatumwa mumcha
   fue docta na chadema!
   Na mnamuweka na papa!
   Nyie hamna adabu.
   Mmetafuta mbinu nyingi
   za kumchafua lakini docta
   hachafukiki. Tena watakao
   soma watawaona ni
   makanjanja!

  18. lukindo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 20th March 2010
   Posts : 3,725
   Rep Power : 1342
   Likes Received
   1527
   Likes Given
   2078

   Default Re: Upotoshaji huu wa Gazeti la Jambo Leo ni mpaka lini?

   Quote By Ngaliba Dume View Post
   Leo ktk gazeti la Jambo Leo,ukurasa wa kwanza kuna kichwa cha habari kinachosema Chadema Inahusishwa na mashetani,na eti Dr.Slaa ana jini lake linalomsaidia mambo yake ya kisiasa,pia ktk dini hiyo kiongozi wa kanisa Katoliki duniani Pope naye yumo. Mwandishi amekwenda mbali zaidi kwa kumuhusisha Marehemu Kanumba na hiyo dini ya mashetani.Katika kujenga hoja amewaonyesha viongozi mbalimbali wa Dunia kuwa ni waumini wa dini hyo ya kishetani..Nimesikitishwa na umbumbumbu wa mwandishi,ujengaji wake wa hoja na zaidi kuwadhalilisha watu bila ushahidi wa kimantiki..msingi wa hoja yake kuwa Chadema na Dr.SLAA ni wafuasi wa shetani ni aina ya salamu ya vidole viwili inayotmiwa na Chadema,kuwa ni salamu ya kishetani na hivo Chadema ni ya mashetani na Dr.Slaa ana jini linalomlinda.. Kwa kweli huu ni upotoshaji mkubwa,haupaswi kuachwa,kulivamia pia kanisa kwa kumuhusisha kiongoz wao ni upotoshaji,ni kuuambia umma kuwa wote walio chini ya kiongozi huyo (Pope) .....
   .....
   .....
   .....
   kuna mbinu nyingi za kuibana Chadema lakn si kwa mtindo huo!kweli Chadema imewabana na bado kidogo mtaachia...NAWASILISHA
   Quote By qq.com View Post
   Nani mmiliki wa gazeti hili?
   Quote By CAMARADERIE View Post
   Dr Ridhiwani Kikwete LLB,LLM,LLD
   ukiunganisha hizi dots zote huwezi kumuweka nje Sheikh Yahaya na kama unavyojua hawa jamaa kwenye mtandao huu hawaamini kitu kingine chochote mbali ya mashetani kuwa ndio chanzo cha mafanikio. Hivyo wakiona mtu yeyote anaelekea kufanikia katika jambo lolote ni lazima wayaongee mambo haya wazi wazi kudhiirisha wanachokiamini.

   Fanya mambo yako mengine, achana na hao. Kibaya pesa ilishaingia mikononi mwao!  19. peter tumaini's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd February 2012
   Location : DSM
   Posts : 575
   Rep Power : 614
   Likes Received
   87
   Likes Given
   54

   Default Re: Upotoshaji huu wa Gazeti la Jambo Leo ni mpaka lini?

   hana uelewa na alichokiandika.

  20. KakaJambazi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 5th June 2009
   Posts : 11,038
   Rep Power : 119107424
   Likes Received
   3678
   Likes Given
   3133

   Default Re: Upotoshaji huu wa Gazeti la Jambo Leo ni mpaka lini?

   Mbona hata marehemu AA Karume alionyesha vidole hivyo? a-google aone na atuambia kama na yeye ni freemason.


  Page 1 of 5 123 ... LastLast

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...