JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Upotoshaji huu wa Gazeti la Jambo Leo ni mpaka lini?

  Report Post
  Page 4 of 5 FirstFirst ... 2345 LastLast
  Results 61 to 80 of 95
  1. Ngaliba Dume's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 6th October 2010
   Posts : 1,153
   Rep Power : 792
   Likes Received
   599
   Likes Given
   308

   Default Upotoshaji huu wa Gazeti la Jambo Leo ni mpaka lini?

   Leo ktk gazeti la Jambo Leo, ukurasa wa kwanza kuna kichwa cha habari kinachosema CHADEMA Inahusishwa na mashetani, na eti Dr.Slaa ana jini lake linalomsaidia mambo yake ya kisiasa, pia ktk dini hiyo kiongozi wa kanisa Katoliki duniani Pope naye yumo.

   Mwandishi amekwenda mbali zaidi kwa kumuhusisha Marehemu Kanumba na hiyo dini ya mashetani. Katika kujenga hoja amewaonyesha viongozi mbalimbali wa Dunia kuwa ni waumini wa dini hyo ya kishetani.

   Nimesikitishwa na umbumbumbu wa mwandishi, ujengaji wake wa hoja na zaidi kuwadhalilisha watu bila ushahidi wa kimantiki..msingi wa hoja yake kuwa CHADEMA na Dr. Slaa ni wafuasi wa shetani ni aina ya salamu ya vidole viwili inayotumiwa na CHADEMA, kuwa ni salamu ya kishetani na hivo CHADEMA ni ya mashetani na Dr. Slaa ana jini linalomlinda.

   Kwa kweli huu ni upotoshaji mkubwa,haupaswi kuachwa,kulivamia pia kanisa kwa kumuhusisha kiongoz wao ni upotoshaji,ni kuuambia umma kuwa wote walio chini ya kiongozi huyo (Pope) nao ni waabudu sanamu!huu ni uzushi,uzandiki na ukomo wa uelewa wa mambo ya kidunia.

   MY TAKE:...Alama ya "V" inayotumiwa na CHADEMA haina uhusiano na mashetani. Miaka mingi iliyopita, Jemedari wa vita toka Urumi(Roma) Julius Caiser aliwavamia maadui zake na kuwapiga kwa kusafiri umbali mrefu, alipofika ktk himaya ya adui aliua na kuteketeza kila kilicho cha adui..kufikisha ujumbe kwa walio Rome na Senator J.Caiser alisema "Veni,Vidi,Vici" = "I came,I saw,I conquered".. Hii ndo ikawa alama ya ushindi,na J.Caiser alipopita mbele za watu alikunja vidole kwa alama ya V kama tafsiri ya ushindi, na askari wote waliopigana ktk vita hvyo waliwekewa alama ya "V" tatu ktk mabega yao kama alama ya ushujaa,na toka hapo V ikawa alama ya cheo ktk jeshi...

   Kumbe alama ya V kwa CHADEMA si ushetani, haina mahusiano na mashetani...ni alama ya "Victory"...mashabiki wa mpira hutmia, wachezaji na hata makocha wao (japo wengine hufikili kuwa wanamanisha watashnda goli mbili).,si CHADEMA peke yao! JAMBO LEO Lisigeuke kuwa udaku, lisidhalilishe dini na viongozi wa watu, wajiheshimu! Wasitumike..kuna mbinu nyingi za kuibana Chadema lakn si kwa mtindo huo! kweli CHADEMA imewabana na bado kidogo mtaachia...NAWASILISHA

  2. mbongopopo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 24th January 2008
   Posts : 1,100
   Rep Power : 998
   Likes Received
   199
   Likes Given
   202

   Default Re: Upotoshaji huu wa Gazeti la Jambo Leo ni mpaka lini?

   sijaona jina la mwandishi, Y?????
   ^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^ ^^^
   SIPENDI MATAPELI WASIOJUA KUTAPELI YAANI WANAOTAKA KUNIFANYA MIMI MJINGA LIVE KAMA WAANDIKA UONGO MITANDAONI NA UKIWA KATIKA MAONGEZI NAO
   ^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^ ^^^

  3. MwanaHaki's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 17th October 2006
   Posts : 2,272
   Rep Power : 85933878
   Likes Received
   573
   Likes Given
   461

   Default Re: Upotoshaji huu wa Gazeti la Jambo Leo ni mpaka lini?

   Hakuna accountability kwenye media. Si mnakumbuka walipoandika kwamba Dr. Slaa ameiba mke wa mtu? Hiyo kesi iliishia wapi? CCM inaendelea kujichafua (TENA KWA KODI ZETU) kwa mambo hayo. Jambo Leo ndio wale wale walioandika kuhusu Dr. Slaa kupora mke wa mtu. Nashangaa kwa nini hawakupelekwa MCT wakasulubiwe kwa Kaizari!
   Speaking Openly, without fear!

  4. Tiba's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 15th July 2008
   Posts : 4,449
   Rep Power : 204554474
   Likes Received
   2826
   Likes Given
   1533

   Default Re: Upotoshaji huu wa Gazeti la Jambo Leo ni mpaka lini?

   Quote By Ngaliba Dume View Post
   Leo ktk gazeti la Jambo Leo,ukurasa wa kwanza kuna kichwa cha habari kinachosema Chadema Inahusishwa na mashetani,na eti Dr.Slaa ana jini lake linalomsaidia mambo yake ya kisiasa,pia ktk dini hiyo kiongozi wa kanisa Katoliki duniani Pope naye yumo. Mwandishi amekwenda mbali zaidi kwa kumuhusisha Marehemu Kanumba na hiyo dini ya mashetani.Katika kujenga hoja amewaonyesha viongozi mbalimbali wa Dunia kuwa ni waumini wa dini hyo ya kishetani...
   Huko ni kutapatapa. Siku CHADEMA inazinduliwa pale mnazi mmoja, nilikuwepo.

   Mzee Mtei alikuja na slogani kwamba Chadema Vema na hiyo alama ya vidole kwa Chadema ilikuwa inamaanisha vema. Ukiona gazeti la chama kinachojiita kikongwe kinaanza kuandika habari taka, ujue hiyo ndio bye bye!!!! Tiba

  5. Tumaini Makene's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 6th January 2012
   Posts : 2,558
   Rep Power : 167117415
   Likes Received
   5690
   Likes Given
   1701

   Default Re: Upotoshaji huu wa Gazeti la Jambo Leo ni mpaka lini?

   Wakuu

   Sitaenda kwa undani sana juu ya stori hiyo kwa sasa (kwa sababu kadhaa kutopreempty masuala mengine). Lakini natumaini wahusika watakuwa wanafutailia mjadala huu katika forums mbalimbali ambako stori yao inajadiliwa.

   Just simple thinking, kwa hiyo wale wapiganaji wote kwenye majeshi yetu wenye alama ya V katika mabega yao kama utambulisho wa vyeo vyao ni wanachama wa kundi lolote la Masonics? Au wakubwa wao wanaowavalisha ndiyo mabosi wao katika Masonics?

   Kwa hiyo huwa wanawavalisha utambulisho wa ufuasi wa Papa na makundi ya Masonics? So wanaowavalisha c wanakuwa ndiyo wafuasi wakubwa zaidi maana wanatoa mpaka vyeo kwa hao wenzao wa chini, si ndiyo, kwa logic ya stori hiyo...Haya...

   Alisema Shafi Adam Shafi kwenye Kitabu chake cha Kuli, "YANA MWISHO HAYA".

   Waambieni tatizo kubwa litakalowaondoa madarakani ni kutojua wajibu wao kwa wananchi na kushindwa kabisa kuwatumikia. Kuiandama taasisi ya CHADEMA na viongozi wake kwa sasa haiwezi kabisa kusaidia badala yake inazidi kuongeza chuki ya wananchi dhidi ya hiyo serikali. Maana CHADEMA si chanzo cha matatizo yanayoisumbua nchi kutokana na uongozi mbovu.

   Kuiandama CHADEMA kwa kuizulia masuala ya uongo, uzushi, umbea, propaganda zingine za hatari kabisa hata kuhatarisha msatakabali wa wananchi, hakuisafishi CCM, wala hakutaiponya serikali hii dhaifu.

   Tumikieni wananchi, piganieni na wapeni haki zao na matumaini yao. Watawapenda. Lakini kinyume chake ni kwamba wataendelea kuwapenda CHADEMA na viongozi wake maana wamejitoa kuwapigania na kuwatumikia.

   Hizi ni dalili nzuri. Ni ishara nzuri sana za watu wanaolalama, wanaoanguka. Ni vyema watetezi wao wakawa makini katika kutafuta hoja na namna ya kuwatetea na kuwabeba. Maana si kila mzigo unabebeka na si kila mtuhumiwa anaweza kutetewa.
   Last edited by Tumaini Makene; 16th April 2012 at 23:07.
   "Nothing in the world is more dangerous than sincere ignorance and conscientious stupidity." Martin Luther King

  6. wakuwaza's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 16th April 2011
   Posts : 293
   Rep Power : 592
   Likes Received
   46
   Likes Given
   29

   Default Re: Upotoshaji huu wa Gazeti la Jambo Leo ni mpaka lini?

   Quote By gmkilalu View Post
   Kwani mtu ukiwa Freemasory ni tusi?
   Siyo tusi, ni uongo. Nyakati nyingi uongo huuma kuliko tusi. Unaweza kutukanwa tusi lakini likawa ndio ukweli wenyewe.

  7. kookolikoo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 9th March 2012
   Posts : 2,506
   Rep Power : 988
   Likes Received
   369
   Likes Given
   287

   Default

   Quote By wakuwaza View Post
   Siyo tusi, ni uongo. Nyakati nyingi uongo huuma kuliko tusi. Unaweza kutukanwa tusi lakini likawa ndio ukweli wenyewe.
   ukweli kuhusu mapungufu unayojijua unayo siku zote huuma kuliko uongo

  8. wakuwaza's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 16th April 2011
   Posts : 293
   Rep Power : 592
   Likes Received
   46
   Likes Given
   29

   Default Re: Upotoshaji huu wa Gazeti la Jambo Leo ni mpaka lini?

   Quote By FREDOMFIGHTER View Post
   Mmiliki wa gazeti hili Rizwan Kikwete baba yake mzazi analindwa na majini aliyopewa na Sheikh Yahya Husein. Yeye mwenyewe Sheikh Yahya ndiye aliuamtangazia umma wa Watanzania kuwa ameamua kumpa JK ulinzi wa majini na habari hizi hazijawahi kukanushwa. Hivyo kama kuna mtu ana sifa ya kuwa Freemason kwa kigezo cha kuwa na majini basi ni Kikwete, na kama kuna chama chenye sifa ya kuwa cha kishetani basi ni CCM, kuna wabunge kupitia chama hicho ambao ni wachawi maarufu mpaka kufikia kiwango cha uprofesa kwenye fani hiyo ya uwanga na uchawi.
   Kuna wengine CCM ambao ni wabunge lakini poa ni waganga. Hata katika kampeni za Arumeru Mashariki Lusinde alitamka hivi: "...Maji Marefu kuna wabunge wa Chadema umewalea sana. Wewe ndio uliwachanja chale mpaka matakoni....!" Ni Chama cha waganga!?
   FREDOMFIGHTER likes this.

  9. Highlander's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th February 2012
   Posts : 3,153
   Rep Power : 1121
   Likes Received
   1060
   Likes Given
   1285

   Default Re: Upotoshaji huu wa Gazeti la Jambo Leo ni mpaka lini?

   Tafadhali naomba mtu anielekeze namna ya kuweka photo hapa kwenye JF. Kuna research ndogo niliifanya 1988 kuhusu Freemason nataka kushare vitu fulani nanyi. Upotoshaji si huo tu mliousoma katika Jambo Leo. Yapo mengine ambayo pia si sahihi katika ile article ya "Freemason Inside Out." Freemason wanatafuta kujiassociate na Israel zaidi kuliko Egypt, na wanafanya hivyo kwa kusambaza false information kwa matumaini ya kufuta dhana ibada za mashetani. Ukristo na Uislam vimefanya kazi nzuri sana ya kufanya dunia ichukie ibada za mashetani ambazo Freemason wanahusishwa nazo.

   Kuna watu wenye akili nyingi sana kule ambao wamebobea katika disinformation.

   Ukiwatazama Freemason from an accademic point of view, wala hawana nia mbaya katika kuwapo kwao, kwani wanania kutenda mema (moral good), kwanza miongoni mwao wenyewe walio katika dini hiyo, lakini baadaye katika jamii ya binadamu kwa ujumla. Pia wanaamini katika kuwapo kwa Mungu mmoja mwenye nguvu nyingi, Mungu muumba, japo njia ya kumfikia si katika Yesu au mawaidha ya Mtume Muhammad (SAW) kama tunavyoambiwa na Ukristo na Uislamu.

   Tatizo la freemason huanza katika kulindana. Wanaapa kulindana hata kama mwenzao kafanya mavi. Pia wana tatizo la kupendeleana, kiasi kwamba katika mazingira ya kazi ambako freemason mmoja ana cheo kikubwa, basi pale ujuzi huwa hauna maana kushinda kuwa freemason. Unaweza ukawa na degree na kazi yako ikafanywa na Freemason mwenye certificate. Yote hiyo ikiwa katika dhana ya kulindana. Katika mazingira ya tender za kibiashara katika nchi, kampuni yenye Freemason inaweza ikapewa upendeleo wa tender, na kampuni ambayo si ya freemason ikakosa tender hiyo hata kama ina expertise bora kuliko ile ya freemason.
   Yaani dhana ya kulindana inazusha tatizo kwa watu wengine kiasi kwamba ina-erode ile dhana ya kutenda mema kwa wabnadamu wote.

   Naomba mtu anielekeze jinsi ya kuweka picha humu tafadhali niwape nilichojifunza 1988. Asanteni. Unaweza kunipa utaalamu huo wa kuweka picha humu hata kwa kuniPM.
   Last edited by Highlander; 17th April 2012 at 00:13.

  10. dosama's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 25th December 2010
   Posts : 777
   Rep Power : 705
   Likes Received
   359
   Likes Given
   1

   Default Re: Upotoshaji huu wa Gazeti la Jambo Leo ni mpaka lini?

   Niwapongezr kanisa kwa misingi mizuri sio watu wa kukurupuka kama wale walio mtuma mwandishi huwezi sikia wataandamana kupinga udharirishaji huu ila yupo anayewapigania ndo atajibu.

   Hili gazeti toka linaanzishwa mlengo wake ulishaonekana ni wakimagamba na udini wa upande wa pili alwayz ni dr Slaa na Kanisa napenda ifike kipindi wakristu tuingie kwenye vitendo kama Mwingira ndo dawa yao kwani waliotoa reseni hawaoni au wako Brazil kwenye ziara na Vasco Dagama

  11. mpayukaji's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 31st October 2010
   Posts : 950
   Rep Power : 1045
   Likes Received
   339
   Likes Given
   1498

   Default Re: Upotoshaji huu wa Gazeti la Jambo Leo ni mpaka lini?

   Hiyo ni kazi ya nyemelezi kama Charles Charles, Deo Balile, Jackton Manyerere na madodoki mengine yanayotumiwa na mafisadi kudanganya watu ili yashibe mabaki ya ufisadi.

  12. lukindo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 20th March 2010
   Posts : 3,427
   Rep Power : 1275
   Likes Received
   1426
   Likes Given
   2009

   Default Re: Upotoshaji huu wa Gazeti la Jambo Leo ni mpaka lini?

   Quote By mpayukaji View Post
   Hiyo ni kazi ya nyemelezi kama Charles Charles, Deo Balile, Jackton Manyerere na madodoki mengine yanayotumiwa na mafisadi kudanganya watu ili yashibe mabaki ya ufisadi.
   nikiwaangalia hawa jamaa nashindwa kuelewa watakuwa wanasimamia nini miaka 10 ijayo maana wengi ni vijana bado!

   Kwenye siasa hakuna urafiki wala uadui wa kudumu lakini kwenye habari (journalism) maandishi yao hayafufiki na wasisahau hilo

  13. lwakaja's Avatar
   Member Array
   Join Date : 25th November 2011
   Posts : 60
   Rep Power : 514
   Likes Received
   19
   Likes Given
   139

   Default Re: Upotoshaji huu wa Gazeti la Jambo Leo ni mpaka lini?

   kwa vyovyote vile CCM hamtangoka mwaka huu ata mkipotosha vipi watu wameelevuka ata muwadanganye vipi JAMBO TZ

  14. babujii's Avatar
   Member Array
   Join Date : 5th April 2012
   Posts : 95
   Rep Power : 503
   Likes Received
   11
   Likes Given
   39

   Default Re: Upotoshaji huu wa Gazeti la Jambo Leo ni mpaka lini?

   Asante kaka kwa kuliona hilo, mwandishi anataka kutuaminisha kuwa hata wanajeshi wetu wenye vyeo vya ukoplo usu,koplo,sajenti na stafu sajenti wooooote na wale wa magereza na polisi pia nao ni mashetani? au wooote tunaotumia mausi katika kii bodi nasi ni mashetani? nafikiri hata yeye anaabudu huko maana naamini huwa anashika mouse kila anpotumia computer yake. UTAAHIRA BWANA una gharama kweli

  15. Tina's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 9th July 2007
   Posts : 549
   Rep Power : 22639
   Likes Received
   493
   Likes Given
   24

   Default Re: Upotoshaji huu wa Gazeti la Jambo Leo ni mpaka lini?

   Kuna thread ilianzishwa hapa na watu kuthibitisha hili gazeti la JamboLeo kununuliwa na mafisadi na hii habari ni chuki ya mafisadi baada ya Lowassa kuumbiwa na Kadinali Pengo baada ya kujichomeka kule Ifakara na kutoa hotuba mahala ambako mgeni rasmi alikua mzee Mwinyi. Fanyeni utafiti mutagundua hilo gazeti sasa limegeuka mdomo wa mafisadi na limekua likuwashambulia wote wanaochukia ama kuwabana mafisadi. Angalieni matoleo ya nyuma hadi hili la kukashifu Kanisa na Chadema.

  16. Fred Katulanda's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 1st April 2011
   Location : Mwanza, Tanzania
   Posts : 227
   Rep Power : 585
   Likes Received
   264
   Likes Given
   69

   Default Re: Upotoshaji huu wa Gazeti la Jambo Leo ni mpaka lini?

   Mwandishi wa Habari hii ni Willy Edward ndiye ambaye jina lake limeandikwa hapo.

  17. Lorah's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd August 2008
   Posts : 1,113
   Rep Power : 894
   Likes Received
   173
   Likes Given
   172

   Default Re: Upotoshaji huu wa Gazeti la Jambo Leo ni mpaka lini?

   Quote By Highlander View Post
   Tafadhali naomba mtu anielekeze namna ya kuweka photo hapa kwenye JF. Kuna research ndogo niliifanya 1988 kuhusu Freemason nataka kushare vitu fulani nanyi. Upotoshaji si huo tu mliousoma katika Jambo Leo. Yapo mengine ambayo pia si sahihi katika ile article ya "Freemason Inside Out." Freemason wanatafuta kujiassociate na Israel zaidi kuliko Egypt, na wanafanya hivyo kwa kusambaza false information kwa matumaini ya kufuta dhana ibada za mashetani. Ukristo na Uislam vimefanya kazi nzuri sana ya kufanya dunia ichukie ibada za mashetani ambazo Freemason wanahusishwa nazo.

   Kuna watu wenye akili nyingi sana kule ambao wamebobea katika disinformation.

   Ukiwatazama Freemason from an accademic point of view, wala hawana nia mbaya katika kuwapo kwao, kwani wanania kutenda mema (moral good), kwanza miongoni mwao wenyewe walio katika dini hiyo, lakini baadaye katika jamii ya binadamu kwa ujumla. Pia wanaamini katika kuwapo kwa Mungu mmoja mwenye nguvu nyingi, Mungu muumba, japo njia ya kumfikia si katika Yesu au mawaidha ya Mtume Muhammad (SAW) kama tunavyoambiwa na Ukristo na Uislamu.

   Tatizo la freemason huanza katika kulindana. Wanaapa kulindana hata kama mwenzao kafanya mavi. Pia wana tatizo la kupendeleana, kiasi kwamba katika mazingira ya kazi ambako freemason mmoja ana cheo kikubwa, basi pale ujuzi huwa hauna maana kushinda kuwa freemason. Unaweza ukawa na degree na kazi yako ikafanywa na Freemason mwenye certificate. Yote hiyo ikiwa katika dhana ya kulindana. Katika mazingira ya tender za kibiashara katika nchi, kampuni yenye Freemason inaweza ikapewa upendeleo wa tender, na kampuni ambayo si ya freemason ikakosa tender hiyo hata kama ina expertise bora kuliko ile ya freemason.
   Yaani dhana ya kulindana inazusha tatizo kwa watu wengine kiasi kwamba ina-erode ile dhana ya kutenda mema kwa wabnadamu wote.

   Naomba mtu anielekeze jinsi ya kuweka picha humu tafadhali niwape nilichojifunza 1988. Asanteni. Unaweza kunipa utaalamu huo wa kuweka picha humu hata kwa kuniPM.

   KWA MAELEZO YAKO YAKULINDANA BASI ccm NDO FREEMASON...KWELI KABISA..
   Highlander likes this.

  18. Lorah's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd August 2008
   Posts : 1,113
   Rep Power : 894
   Likes Received
   173
   Likes Given
   172

   Default Re: Upotoshaji huu wa Gazeti la Jambo Leo ni mpaka lini?

   KIJANA WANGU NAMTUMAGA ACHUKUE MAGAZETI AINA ZOTE ILA HAJAWAHI KUNILETEA HUYU jambo ITABIDI NIMPANDISHE MSHAHARA SASA HIVI... NIMWELEWA.

  19. Highlander's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th February 2012
   Posts : 3,153
   Rep Power : 1121
   Likes Received
   1060
   Likes Given
   1285

   Default Re: Upotoshaji huu wa Gazeti la Jambo Leo ni mpaka lini?

   Quote By Molemo View Post
   Juma Pinto
   huyo ni mhariri tu

  20. davidie's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 10th October 2011
   Posts : 329
   Rep Power : 574
   Likes Received
   49
   Likes Given
   5

   Default Re: Upotoshaji huu wa Gazeti la Jambo Leo ni mpaka lini?

   ok 'v' ya chadema umeitafsiri uonavyo wewe na je dole gumba la ccm maana yake nini? au ok kwa kila jambo iwe wizi, uongo, uchawi, uuaji.

  21. mjuaji's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 6th April 2012
   Posts : 166
   Rep Power : 516
   Likes Received
   22
   Likes Given
   0

   Default Re: Upotoshaji huu wa Gazeti la Jambo Leo ni mpaka lini?

   hata kama DR SLAA mbwa 2015 tutampa tu URAIS mpakeni tu matope ukweli tunauuuuuuuuuuuujua

  Page 4 of 5 FirstFirst ... 2345 LastLast

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...