Maximo alikua nomaaaaa!!
Jk jana amewasili nchini Brazil, cha kushangaza nchi nyingi zimewakilishwa na mawaziri wa mambo ya nje au mawaziri wa uwekezaji. Mfano ni Marekani na baadhi ya nchi za Africa, Jk huoni aibu.
Hospital ya Tumbi haina x ray kwa mwaka mzima sasa, kifaa kilichoharibika kinagharimu 37m lakini yeye anatoa rambirambi 10m afu zinatafunwa na wajanja. Tanzania tunakosa priority.
Afu mtu anakuja kumtetea eti JK ni Masiha ebu tuache kuchezea jina la Mungu na kumsafisha huyu mzembe. Hakuna hata siku mmoja hapa duniani atakayefanananishwa na Yesu.
Mwenye data aniwekee hapa. Hivi Marais wa awamu zote wa nchi hii kila mmoja alifanya ziara ngapi za kikazi na binafsi nje ya nchi akiwa madarakani? Nataka kucomment
Mbona hakupokelewa na mwenyeji wake? Hata Brazil nao wamemuchoka! Eti atakutana na watu maarufu!
anaenda kusainiwa Autograph na Ronaldinho.
fari ya ngapi hii? kweli rais wetu mzururaji
UTUMISHI WA HAKI, NI SULUHISHO LA MAOVU YOTE
Hivi kwanini Rais wetu anazurura kila siku kwa kutumia kodi zetu lakini Watanzania hatuchukui hatua yoyote tunaishia kulalamika???
Last edited by Angel Msoffe; 16th April 2012 at 08:00.
Hivi kule Brazil summer imeshaanza tayari?
"Wisdom is not a product of schooling, but of the lifelong attempt to acquire it"
Duh... Nimeamini ule msemo wa 'kichwa-nazi'
...anatutafutia pesa tusife njaa jamani. Huyo ni baba mhangaikaji.
vasco da gama hashauriki wala hajifunzi ,madudu yale yale always , inabidi siku moja tumpokee apo uwanja wa ndege na mabango ya kupinga izo safari
CHADEMA mwendo mdundo - T 2015 CDM
jamani juzi mtoto wa mkulima kasema serikali imeishiwa sasa hebu nijibuni hizi za kusafiria kapata wapi? au amekopa? au ni ofa kapewa?manake kaenda na mkewe sasa najiuliza nauli ya ndege watu 2, kula, malazi pamoja na wapambe wao ni sh ngapi wametumia? halafu tunaambiwa serikali imefilisika. kweli hatuongopewi?
Mil 300 hizoo zinayeyuka zingetufà sana kutoa elimu ya uraia.
lakini hebu mnsaidie mm mnake ni mshamba wa haya mambo. ni nani anayepanga ratiba ya raisi? je kwenye diary yake huwa anaratiba ya mwaka au huwa zinaibukaga tu pasi mpango? na je yeye anaweza kuziahirisha au hawezi? na wakati zinapangwa zinakuwa na fungu la pembeni au ni fungu hili hili la bajeti ya nchi kwa kawaida?
Botswana raisi max anatakiwa asafiri na watu 8 WHILE waziri ni watu 4!
Uliza utitiri wa watu anao enda nao JK
No wonder kila safari yake huwa inatughalimu atleast 300millions
WB Tanzania lead economist Jacques Morisset said the GDP doubled in 10 years, but it has failed to produce any significant decline in poverty levels.
Follow Us Here