Re: Fatma Mwasa RC Tabora atemea cheche wazembe

By
Entuntumuki
Amewadhalilisha, Walimu wakuu, Ma-DEO, Ma Afisa Mipango n.k. Mbele ya wanafunzi! Kwanini awafokee watu (tena wenye umri mkubwa kama wa baba yake) mbele ya wanafunzi hata kama kuna tatizo?
Watanzania wenzangu na tukubali kunapokuwa na tatizo.....jumba bovu namna ile hao unaowaita watu wazima hawakuliona??? Watoto hawafundishwi..... Hakuna vyoo..... Na hela washapatiwa !!!!!!!!!!!!!!!!!
Kawafokea au kawaaambia ukweli with a tone of authority??? Kama tutawatetea hata watendaji wa aina ile kwetu maendeleo yatakuwa ndoto
Mytake; Wakuu wengine na waige mfano huu wa mama Mwasa
Hegemony is unlikely ever to be complete (A. Gramsci)
Follow Us Here