Inavyoonekana Mh. Nassari atatoa kura yake kwa William Malecela kwa Ubunge wa East Africa
Malecela kafika Nyumbani kaanza kujitangaza Vizuri
Inavyoonekana Mh. Nassari atatoa kura yake kwa William Malecela kwa Ubunge wa East Africa
Malecela kafika Nyumbani kaanza kujitangaza Vizuri
sawa ndio inavyotakiwa, nyote mnajenga nyumba moja
Our job is not to make up anybody's mind, but to open minds and to make the agony of the decision-making so intense you can escape only by thinking. ~Author Unknown
Kama watakuwepo wagombea watakaosimamishwa na CHADEMA, wanachadema wote tutawapa kura watu wetu.
Mtaji mkubwa kabisa wa CCM katika chaguzi zake ni umaskini na ujinga wa watanzania. CCM haitafanya kosa la kuyamaliza matatizo hayo kwa kuwa kwa kufanya hivyo watakuwa wamehatarisha nafasi yao ya kuendelea kutawala
Wametuonyesha Jeuri ya ukaburu,tuwaonyeshe jeuri ya Umkhontho we sizwe kupitia Red Brigade.Tukiwaonyesha woga wetu, itakua silaha imara zaidi kwao kutumaliza-Ben Saanane
but kura ni siri ya mtu
CCM na CDM vyote ni vyama vya siasa vinavyoongozwa na wanasiasa; tofauti yao kubwa ni moja kwamba kimoja kina dola kingine kinataka kushika dola.
kweli kuna sababu ya kutolewa tongo tongo tujulishe kuhusu kanuni tafadhali
Mzee wa Sauti ya Umeme anajua mtaji wa kura uko wapi...........!! CCM watagawana kura then CDM watadecide!!!
"The Only Necessary for the Triumph of Evil is for Good Men to do Nothing" Edmund Burke (1729 - 97)
wagombea kupitia CCM watapigiwa kura na bunge zima (yaani wapiga kura ni wabunge wa CCM + upinzani)
Halikadhalika wagombea kutoka kambi ya Upinzani yaani CHADEMA,CUF,NCCR,TLP,UDP nk watapigiwa kura na bunge zima (wapiga kura ni wabunge wa CCM+ wabunge kutoka upinzani)
Ina maana nafasi 8 za CCM bunge zima litapiga kura kuwachagua na pia nafasi 1 ya upinzani itapigiwa kura na bunge zima
Ofcourse kilichonifanya nisigombee nafasi hii ni kwamba kanuni ni mbovu haziongozi uchaguzi ambao ni objective.Jumuiya ya Afrika mashariki iko katika mchakato wa kurekebisha kanuni hizi ,Unfortunately,mchakato haujakamalika kabla ya uchaguzi huu
Kwa kanuni hizi utaona wabunge wa CCM hawatapiga kura kwa kuangalia uwezo wa mgombea kutoka upinzani bali wanapiga kura kukomoa chama fulani kwa mfano CHADEMA
Willy Malecela,waambie wabunge kutoka CCM safari hii wawe objective.Historia ya uchaguzi wa EALA mwaka 2006 haiwaweki ccm katika upande bora katika vipaumbele vya taifa na maslahi yetu huko EALA.N
Walimchagua Fortunatus Masha wa TLP ili kuiadhibu chadema ilikuw na mgombea bora (kama kawaida).Mgombea wetu alikuwa Prof.Baregu ambaye mwenyekiti wa CCM kwa kofia ya Urais leo amemuapisha kuwa mjumbe wa Tume ya katiba.Yaani leo prof.baregu anaonekana competent kiasi cha kuaminika kwamba anaweza kusimamia issue nzito yenye maslahi ya kitaifa.lakini mwaka 2006 alikuwa haaminiki,alikuwa below mgombea wa TLP.Angalia unafiki huu wa CCM.Siwachani/sipigi vijembe...huu ndiyo ukweli(calling a spade by it's name)
Wametuonyesha Jeuri ya ukaburu,tuwaonyeshe jeuri ya Umkhontho we sizwe kupitia Red Brigade.Tukiwaonyesha woga wetu, itakua silaha imara zaidi kwao kutumaliza-Ben Saanane
CCM na CDM vyote ni vyama vya siasa vinavyoongozwa na wanasiasa; tofauti yao kubwa ni moja kwamba kimoja kina dola kingine kinataka kushika dola.
Mnahangaika bure mbona tayari Baharia ameshaenguliwa?
CCM na CDM vyote ni vyama vya siasa vinavyoongozwa na wanasiasa; tofauti yao kubwa ni moja kwamba kimoja kina dola kingine kinataka kushika dola.
hapa nanusa mchezo wa kuzungukana, cdm inaweza kukubaliana na kundi moja kuungana mkono.. cdm wakampa huyo mgombea wa ccsm kura lakini wabunge wa upande wa pili wakaazimia ndani vikao vyao vya chimwaga kukipa chama gani. Mwisho wa siku cdm kitabaki mdomo wazi, na ni ukweli mtupu mgombea wa csm hawezi kushinda bila kura za cdm
"Chadema kinatumia alama ya vidole viwili kama manati, manati kamwe haiwezi kuua tembo" Livingstone Lusinde (2012)
Follow Us Here