JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Rais jintao atembelea udsm

  Report Post
  Results 1 to 5 of 5
  1. Mpambanaji K's Avatar
   Member Array
   Join Date : 29th December 2008
   Posts : 87
   Rep Power : 678
   Likes Received
   2
   Likes Given
   0

   Default Rais jintao atembelea udsm

   Rias wa china alipanga kuongea na wasomi wachuo UDSM. serikali kwa sababu inayojua yenyewe ikaamua kuhamishia mdahalo huo ukumbi wa diamond jubilee na sio nkrumah kama livyokuwa imepangwa. Serilaki ya china ilishagharamia ukarabati wa ukumbi wa nkrumah

   Kituko kikubwa ni pale serikali kupitia Uongozi wa chuo ulipoamua kuchagua wanafunzi na walimu wenye mawazo ''mazuri'' kama wawakilishi wa chuo.

   Hakuna mtu yeyote kati ya wale wenye uwezo wa kuhoji mambo bali ni wapambe wa serikali tu ndio waliochaguliwa kwenda kuonana na jintao.


  2. MzalendoHalisi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 24th June 2007
   Posts : 4,260
   Rep Power : 1592
   Likes Received
   222
   Likes Given
   536

   Default Re: Rais jintao atembelea udsm

   Waliogopa washenzi wasiende kumrushia kiatu!

   Haha ha ha!
   Uadilifu Kiwe Kigezo Muhimu Zaidi Kuwa Kiongozi Tanzania Kwa Sasa!

  3. #3
   Opaque's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 24th October 2008
   Posts : 1,146
   Rep Power : 899
   Likes Received
   307
   Likes Given
   95

   Default Re: Rais jintao atembelea udsm

   Re: Rais jintao atembelea udsm
   Nadhani title ingerekebishwa kidogo, ili ijulikane kuwa hakutembelea UDSM ingawa kulikuwa na mipango atembelee hapo. Anyway, tushukuru walau Nkurumah imekarabatiwa kidogo !!
   Picha ya Lissu inatakiwa iwekwe kwenye kuta za maofisi - by Okwi Boban Sunzu (JF Member)

  4. Next Level's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 17th November 2008
   Location : Pwani
   Posts : 3,146
   Rep Power : 1301
   Likes Received
   99
   Likes Given
   42

   Default Re: Rais jintao atembelea udsm

   Lakini mkuu mbona heading yako inatofautiana na ulichoandika ndani......iedit iendane na yaliyo ndani mkuu!
   “When the missionaries came to Africa they had the Bible and we had the land. They said ''Let us pray'' we closed our eyes. When we opened them we had the Bible and they had the land.
   - Rev.Bishop Desmond Tutu.

  5. green29's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 4th July 2007
   Location : Oldonyo Lengai
   Posts : 316
   Rep Power : 802
   Likes Received
   4
   Likes Given
   0

   Default Re: Rais jintao atembelea udsm

   Quote By mpambanaji k View Post
   Rias wa china alipanga kuongea na wasomi wachuo UDSM. serikali kwa sababu inayojua yenyewe ikaamua kuhamishia mdahalo huo ukumbi wa diamond jubilee na sio nkrumah kama livyokuwa imepangwa. Serilaki ya china ilishagharamia ukarabati wa ukumbi wa nkrumah

   Kituko kikubwa ni pale serikali kupitia Uongozi wa chuo ulipoamua kuchagua wanafunzi na walimu wenye mawazo ''mazuri'' kama wawakilishi wa chuo.

   Hakuna mtu yeyote kati ya wale wenye uwezo wa kuhoji mambo bali ni wapambe wa serikali tu ndio waliochaguliwa kwenda kuonana na jintao.
   Inaonekana the meeting ni too ceremonial ngoja hao madogo waliowawakilisha wakale msosi then warudi kuja kusoma. MSiwe na wasiwasi Nyie wengine mtamuona Jintao kwenye TV. Kama kuna issue za kuhoji serikali endeleeni kuzipitisha hapa kwenye forums zitawafikia walengwa bila shida.  Similar Topics

  1. Rais wa Sudan Kusini Atembelea Israel
   By Kinyungu in forum International Forum
   Replies: 38
   Last Post: 3rd January 2012, 15:09
  2. Replies: 8
   Last Post: 6th August 2011, 11:09
  3. Replies: 0
   Last Post: 5th August 2011, 21:52
  4. UDSM hawamtaki rais mpya aliechaguliwa
   By Wizzo in forum Jukwaa la Elimu (Education Forum)
   Replies: 23
   Last Post: 21st June 2011, 19:11
  5. CUF wamtaka Jintao Z'Bar
   By Mpita Njia in forum Jukwaa la Siasa
   Replies: 43
   Last Post: 18th February 2009, 15:58

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...