Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Mapungufu ya JK: Constructive Criticisim!

    Report Post
    Page 2 of 10 FirstFirst 1234 ... LastLast
    Results 21 to 40 of 183
    1. #1
      Pasco's Avatar
      JF Premium Member Array
      Join Date : 22nd September 2008
      Posts : 9,839
      Rep Power : 7368
      Likes Received
      6152
      Likes Given
      22273

      Default Mapungufu ya JK: Constructive Criticisim!

      Wanabodi,
      Baada ya kujadili mazuri na mafanikio ya rais wetu, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete, kila kwenye mafanikio hapakosi matatizo, mapungufu au changamoto ambazo zikifanyiwa kazi zinabadilisha hali iliyopo sasa na kutupeleka hali bora zaidi.

      Katika kujadili mapungufu, nawaombeni sana tujadili kwa nidhamu na staha kwa kuzingatia huyu tunayemjadili ni rais wetu, hivyo sitegemei kuona lugha za kebehi, machukizo, matukano, au maudhi, kwa kifupi lugha zozote ambazo hazina staha!.

      Katika kujadili mapungufu, madhaifu, matatizo na changamoto zinazomkabili rais Jakaya Kikwete, nawaombeni tujadili kwa spirit ya constructive criciticism kwa kueleza mapungufu hayo in good faith kwa nia ya kujenga na sio kubomoa.

      Watanzania tumekuwa ni watu wa kilalamika na kunung'unika wakati wote bila kuchukua hatua zozote positive za kurekebisha!. Naomba hii thread sio thread ya malalamiko au manunguniko dhidi ya JK bali thread ya kutoa ushauri nini cha kufanyika!.

      Kwa kuanzia moja ya mapungufu makubwa ya JK ni mtu wa huruma iliyopitiliza mipaka matokeo yake kutafsiriwa kama ni weakness, yaani "JK ni rais dhaifu", weak!, asiyeweza kufanya maamuzi magumu!.

      Mfano wa kwanza wa udhaifu huu wa huruma uliyopitiliza ni pale alipoyasamehe yale majizi ya EPA kwa kuyaruhusu yarudishe fedha yalizo kwiba kwa exchange ya kusemehewa na kutofikishwa mahakamani!. Hata Spika Sitta pia alimlaumu rais JK kwa upole huu!. Lingekuwa ni bunge makini, imperchment process ingeanzia pale pale right away kwa sababu rais hana mamlaka ya kuizuia sheria kuchukua mkondo wake!, huu ni uvunjaji wa katiba ya JMT!.

      Ni upole huo huo ndio unaopelekea hajamwajibisha Waziri wa Afya na naibu wake kwa sababu anawahurumia!.

      Ushauri ni kwa JK kuwa bold na kufanya maamuzi magumu!. Mfano kwenye huu mgomo wa sasa, siungi mkono JK kuitikia shinikizo la madaktari na wanaharakati kumwajibisha Mponda na naibu wake, hiyo nayo ni weakness. Bold decision ni wahusika watakaosabisha kifo chochote, kupandishwa kizimbani kwa murder!.

      JK anatakiwa kupunguza huruma na upendo wa mshumaa kumulikia wenzake huku yeye kwake kunateketea!. Huruma na upendo alioisha uonyesha sasa unatosha!. JK anatakiwa awe mkali kama alivyokuwa Nyerere watu kujua wamefutwa kazi ni kupitia taarifa ya habari ya saa 2:00 usiku ya RTD tena ikisomwa na David Wakati!.(RIP).

      Ni huruma na upendo huu uliopitiliza ndio unapelekea kuwahurumia baadhi ya mawaziri na wasaidizi wake ambao hawamsaidii hivyo kuendelea kuwabeba!.

      Kwa vile JK hawezi kufanya kila kitu, piga chini wale wote ambao hawakusaidii hata ikibidi kumpiga chini Pinda, piga chini ili uliokoe taifa katika kipindi hiki chako cha miaka 3 kilichobakia!.

      Nawatakia majadiliano mema.

      Natanguliza shukrani kwa kuzingatia spirit ya constructive criticisim in good faith kwa nia ya kujenga na sio kubomoa!.

      Wasalaam

      Pasco wa jf.

      NB. Kama hauwezi constructive criticisim unaweza kujisomee tuu na kuishia zako bila kuchangia, kwani sio lazima uchangie kila thread!.
      Last edited by Pasco; 2nd February 2013 at 06:06.

    2. Miaka 50

    3. #21
      kalukamise's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 4th May 2011
      Posts : 357
      Rep Power : 676
      Likes Received
      74
      Likes Given
      111

      Default Re: Mapungufu ya JK: Constructive Criticisim!

      yes hasimamii kile anachokiamini..........uongozi wowote kwanza unakuwa na vision halafu unaisuport kwa mission kabambe..
      Pasco likes this.

    4. #22
      Sumba-Wanga's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 2nd February 2011
      Location : Gambushi
      Posts : 3,984
      Rep Power : 1216
      Likes Received
      774
      Likes Given
      679

      Default Re: Mapungufu ya JK: Constructive Criticisim!.

      Quote By Kongosho
      aliingia kwenye urais bila vission wala mission.
      Hili ni pungufu kubwa sana hata katika maisha ya mtu mmoja mmoja.

      Katika ngazi ya uraisi ni balaa zaidi.

      Cha kumsaidia, walio karibu naye wampe vission japo ya muda huu mchache uliobaki.
      Bora achegue hata sekta moja aiendeleze japo akitoka tumkumbuke kwa hilo.

      Sasa hivi tutamkumbuka sikui kwa kitu gani labda safari za nje.
      This is very true.
      watanzania tumeishia kuwa kama kuku wanaotolewa kwenye banda wahangaike kujitafutia ridhiki ya kila siku.
      Jamani, urais sio mchezo mdogo, stay away from Ikulu, sio kila mtu anaweza kwenda pale.
      Pasco likes this.
      "A man's or woman's best or worst choice in life is his or her spouse"

    5. #23
      Sumba-Wanga's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 2nd February 2011
      Location : Gambushi
      Posts : 3,984
      Rep Power : 1216
      Likes Received
      774
      Likes Given
      679

      Default Re: Mapungufu ya JK: Constructive Criticisim!

      Quote By Pasco
      Mkuu Kongosho, mission na vission ni ile ilani ya uchaguzi aliyoinadi na kuchaguliwa. He had a mission ya maisha bora kwa kila Mtanzania na vision Tanzania yenye neema inawezekana kupitia ari mpya, kasi mpya, na nguvu mpya!. Watendaji aliowategemea ndio wamemwangusha!.
      Sikubaliani na wewe kwamba watendani wamemwangusha. He did not show the way. he is AN executive presIdent na kila kitu kinamtegemea YEYE kuonyesha njia. Mbaya zaidi, institutions ambazo zinge sprear head maendeleo zime cease na zinahitaji start kick kila wakati.

      Ni rahisi sana kuongoza USA kwa kuwa institutions zipo na zinafanya kazi zake kama kawaida, kuliko Tanzania ambako institutions nyingi hazifanya kazi inavyotakiwa. Kwa maana hiyo, rais anatakiwa kuwa kama day worker, kila siku kusimamia watu.
      Last edited by Sumba-Wanga; 7th March 2012 at 16:41.
      Pasco, Cisauti and CHADOH like this.
      "A man's or woman's best or worst choice in life is his or her spouse"

    6. #24
      Masaningala's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 19th November 2010
      Location : Kansay
      Posts : 275
      Rep Power : 638
      Likes Received
      57
      Likes Given
      103

      Default Re: Mapungufu ya JK: Constructive Criticisim!

      Mtu unacho kioo mkononi, je utashindwa kuona uchafu wa uso wako? Au uchafu wa nguo ulizovaa? Malalamiko ya wananchi kupitia magazeti, television na mitandao ya kijamii ni kioo tosha lakini hakimsaidii JK. Maandamano toka nyanja zote bado zinagonga mwamba kwa JK kujirekebisha. Hitimisho la hili ni ushari wa BURE kuwa ameshindwa na ajiuzuru yeye na watu wake aliowaweka madarakani. Hakuna ushauri mwingine. La sivyo kama hataki kujiuzulu basi akubali matokeo magumu kutoka kwa wananchi. Alikotoka ni karibu kuliko anakokwenda.
      Pasco likes this.

    7. #25
      Zion Daughter's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 9th July 2009
      Location : Mlimani
      Posts : 7,594
      Rep Power : 13884
      Likes Received
      3253
      Likes Given
      1768

      Default Re: Mapungufu ya JK: Constructive Criticisim!

      Safari za nje ya nji zipungue.Sometimes anaambata na umati wa watu na wote wanagharamiwa na kodi ya wananchi.Sometimes kuna safari amabazo waziri wa mambo ya nje au mawaziri husika wanaweza kuwakilisha na wapunguze idadi ya wasindikizaji.
      Pasco and Cisauti like this.

      The POWER of LOVE !!!!

      Its true that we don't know what we have got until we lose it and we don't know what we have been missing until it arrive.

    8. FemaTV & Radio

    9. #26
      Pasco's Avatar
      JF Premium Member Array
      Join Date : 22nd September 2008
      Posts : 9,839
      Rep Power : 7368
      Likes Received
      6152
      Likes Given
      22273

      Default

      Quote By kuzou
      aliingia ikulu na marafiki wengi nakuacha urafiki uendeleee,raisi ni msikivu sana anasikiliza sana mpaka umbea,majungu.
      Kazou, kwenye hili la JK kuwa ni msikivu sana na kusikiliza mpaka umbeya na majungu, naomba nimtetee!. Angesikiliza mpaka umbea na majungu, saa hizi angeshasikia watu kibao wana...a debe!. Hata jf ingeshafingwa zamani!.

      Kati ya madhaifu ya JK ni mapuuza!. Naamini kabisa kuna vitu anaambiwa afanye kwa maslahi ya taifa, anasikiliza tuu na hafanyi!. Naamini baada ya ule mgomo wa kwanza, baada ya kamati ya bunge kurudisha majibu, walitoa mapendekezo fulani na kumpigia JK usiku huo huo na kumwambia!. Alisikiliza and he did nothing!. Pinda baada ya kuwatimua Mama Nyoni na Dr. Mtasiwa, alimshauri JK kuwatimua watu fulani, JK did nothing!. Kiukweli JK sio msikivu kabisa!.

      Kwa vile msingi wa thread hii ni constructive criticisim. JK lazima sio tuu awe msikivu zaidi bali pia awe mtekelezaji promptly baadhi anayotasikia!.

      Tuchukue fursa hii kwa kuwa msikivu kwenye baadhi ya mambo kikiwemo kilio cha katiba mpya na kuwakaribisha wapinzani Ikulu kuwasikiliza na kutekeleza ushauri wao!.

      Pia tumpongeze kwa kutosikiliza majungu pale ikulu, kwa nature ya watu wa ukanda Pwani. majungu ni jadi yao!. Tunamshukuru JK anatoka ukanda huo na wapika majungu wamefunga breki!.

    10. #27
      Matola's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 18th October 2010
      Posts : 12,513
      Rep Power : 19750
      Likes Received
      5432
      Likes Given
      3638

      Default Re: Mapungufu ya JK: Constructive Criticisim!

      Quote By Kongosho
      Duh, sasa MMU na Chit Chat nako tumwage mapweint.

      Afu, bye bwana naogopa kuchakachua hapa. Hii ina maslah kwa taifa, kwa uchakachuzi njoo kule kwetu.
      Sina lengo la kuchakachuwa hii thread, ila naogopa nikimtaja tu Lowasa kwamba awajibishwe na ndiye anayesababisha JK aonekane legelege basi hapo Pasco mishipa yote itamsimama kuanza utetezi wakati hii thread ametaka tuseme udhaifu wa JK.
      Pasco likes this.

    11. #28
      bilabaye's Avatar
      Member Array
      Join Date : 2nd August 2009
      Location : Kwangu
      Posts : 45
      Rep Power : 508
      Likes Received
      8
      Likes Given
      34

      Default Re: Mapungufu ya JK: Constructive Criticisim!

      Weakness na Huruma can never be used interchangeably. He is weak that's it. Kwamba kuwasamehe wezi wa EPA ni huruma! Pasco you are not serious. Sorry, nimekaidi maombi yako ya kutolaumu.
      Pasco likes this.

    12. #29
      Mjanga's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 13th February 2011
      Location : "MWILINI MWANGU"
      Posts : 774
      Rep Power : 573
      Likes Received
      107
      Likes Given
      22

      Default Re: Mapungufu ya JK: Constructive Criticisim!

      Hii ni ilani ya Chama!
      pamoja nayo bado yeye kama kiongozi mkuu wa Nchi,
      bado alipaswa/anapaswa kuongoza nchi kwa Vision na Mission Binafsi
      yenye kujenga nchi!

      Kimsingi, yawezekana alikuwa nayo na ndo haya yanayopelekea mapungufu yake kuonekana!

      kimsingi, mtu ambaye hana uwezo wa kuona mbali, usaidiwa kwa kupewa MIWANI
      itakayomwezesha kuona mbali, kwa huyu yeye anajisaidia kwa kujipa miwani ya Kuona Karibu!

      Hata mwalimu mzuri, ni yule anayeacha wanafunzi wake wanatoa mawazo yao
      kisha yeye utumia mapungufu yao kuwaweka sawa! huyu ameshindwa, hata tukikesha naye!

      Ni wakati sasa Watanzania kujifunza hili kutokurudia haya Makosa ya
      kuchagua kiongozi asiyeweza kuona mbali!


      Quote By Pasco
      Mkuu Kongosho, mission na vission ni ile ilani ya uchaguzi aliyoinadi na kuchaguliwa. He had a mission ya maisha bora kwa kila Mtanzania na vision Tanzania yenye neema inawezekana kupitia ari mpya, kasi mpya, na nguvu mpya!. Watendaji aliowategemea ndio wamemwangusha!.
      Pasco likes this.
      "A broken heart won't heal if you keep on giving it to the same person that broke it"


    13. #30
      only83's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 15th October 2010
      Location : Dodoma-Mjengoni
      Posts : 4,157
      Rep Power : 1846
      Likes Received
      1431
      Likes Given
      1539

      Default Re: Mapungufu ya JK: Constructive Criticisim!

      Kwangu mimi JK anaonekana amechoka na anatamani 2015 ifike haraka awaachie li-nchi lenu likiwa limechoka.

      Sijui kwa hakika kama tatizo la JK ni huruma au uoga..nadhani anatatizo kubwa zaidi,nalo ni kutojali na kuchukulia mambo kirahisi.

      Nahisi pia kuwa wasaidizi wake uwa hawampi taarifa za kutosha..na kama wanampa taarifa za kutosha basi wanampa ambazo si sahihi. Kama wanampa taarifa kuwa bwana mkubwa wananchi wanafurahi na wanasema maisha ni mazuri na wanakushukuru sana kwanini asiwe hivi alivyo? Mtu asiyejali, anacheka kwa kila kitu.

      Ukiwa na wasaidizi wanaokupa propaganda badala ya uhalisia lazima uwe kama JK... Ukiwa na wasaidizi wasiotaka kutenganisha kazi za chama na serikali haya lazima yatokee na bado hapa ni mwanzo kabisa. Nina hakika inawezekana wakati mwingine wanampa taarifa halisia na zakutosha isipokuwa wanapojadiliana wanamuonyesha mambo si magumu kiasi hicho..wanaweza sema hawa madaktari wanasukumwa na CHADEMA hawa na kuna kijana mmoja sio dokta anaitwa Ulimboka tumpige yule watarudi tu, ngoja tuwatishe kama usipofika ofisini tutakufuta watarudi wote muheshimiwa subiri uone.. kwa siasa hizi huyu jamaa ataendelea kufanya vibaya milele.
      Pasco, Cisauti and CHADOH like this.
      "Problems can not be solved by the same level of thinking that created them"
      "Matatizo hayawezi kutatuliwa na uwezo ule ule mdogo wa watawala wa CCM walioyasababisha"




    14. #31
      NdasheneMbandu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd January 2012
      Posts : 940
      Rep Power : 0
      Likes Received
      294
      Likes Given
      8

      Default

      Quote By Pasco
      Kazou, kwenye hili la JK kuwa ni msikivu sana na kusikiliza mpaka umbeya na majungu, naomba nimtetee!. Angesikiliza mpaka umbea na majungu, saa hizi angeshasikia watu kibao wana...a debe!. Hata jf ingeshafingwa zamani!.

      Kati ya madhaifu ya JK ni mapuuza!. Naamini kabisa kuna vitu anaambiwa afanye kwa maslahi ya taifa, anasikiliza tuu na hafanyi!. Naamini baada ya ule mgomo wa kwanza, baada ya kamati ya bunge kurudisha majibu, walitoa mapendekezo fulani na kumpigia JK usiku huo huo na kumwambia!. Alisikiliza and he did nothing!. Pinda baada ya kuwatimua Mama Nyoni na Dr. Mtasiwa, alimshauri JK kuwatimua watu fulani, JK did nothing!. Kiukweli JK sio msikivu kabisa!.

      Kwa vile msingi wa thread hii ni constructive criticisim. JK lazima sio tuu awe msikivu zaidi bali pia awe mtekelezaji promptly baadhi anayotasikia!.

      Tuchukue fursa hii kwa kuwa msikivu kwenye baadhi ya mambo kikiwemo kilio cha katiba mpya na kuwakaribisha wapinzani Ikulu kuwasikiliza na kutekeleza ushauri wao!.

      Pia tumpongeze kwa kutosikiliza majungu pale ikulu, kwa nature ya watu wa ukanda Pwani. majungu ni jadi yao!. Tunamshukuru JK anatoka ukanda huo na wapika majungu wamefunga breki!.
      Pasco, lazima ukubali ukweli kwamba Kikwete aliingia Ikulu bila kuwa na vision na mission yeye kama yeye. This implies that hana hata legacy yoyote anayotaka kuacha nyuma baada ya urais wake kwisha. Alidhani nchi inaweza kuongozwa kirahisi tu kwa kujaza washkaji zake. Ukweli ni kwamba urais unahitaji KICHWA chako kwanza, kitu ambacho sina uhakika kama Kikwete alijua hivyo. Yeye alijua akiteua maprofesa nchi ingesonga mbele huku yeye akizunguka dunia.

      USHAURI:
      . Rais aache urafiki kwenye jambo ambalo lina maslahi pana kwa umma. Waziri au kiongozi yeyote mbovu awajibishwe mara moja na kupisha wengine.

      . Uteuzi wa mawaziri na watendaji kazini uzingatie uwezo na siyo urafiki.

      . Aache kuwaingilia kazi mawaziri wake na kuwaruhusu wafanye kazi kwa mujibu wa sheria. Mfano, kitendo cha kumwita Dr. Magufuli mbabe wakati abatekeleza sheria ni kuwavunja moyo wasaidizi wake.

      . Apunguze tabia ya kutembea nje za nchi ili apunguze gharama zisizo na maana na apate muda wa kuwatumikia wananchi wake.
      Pasco likes this.

    15. #32
      kilolambwani's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd December 2010
      Posts : 370
      Rep Power : 570
      Likes Received
      65
      Likes Given
      65

      Default Re: Mapungufu ya JK: Constructive Criticisim!

      Aliingizwa na kundi la watu kwa maslahi yao, kwahiyo yeye hajui mpaka leo kwamba pale Ikulu hasa anatakiwa afanye nini!!!!!!!!!!!!!!

      Hana Vision wala mission na alishawahi kusema kuwa vitu vingine amevikuta tu kwenye Ilani ya Uchaguzi, havijui na hakupanga kuvitekeleza.
      Pasco likes this.

    16. #33
      Safari_ni_Safari's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th October 2007
      Location : Kibaruani
      Posts : 11,914
      Rep Power : 24137
      Likes Received
      4640
      Likes Given
      2628

      Default Re: Mapungufu ya JK: Constructive Criticisim!

      Nadhani amekuwa kama wacheza mpira wetu.........kuamini kuwa imani asilia na kumwachia mungu inasaidia kuzishinda changamoto....ikiwa hata tatizo la umeme alisema ni la Mungu na sio yeye
      Pasco likes this.

      Soki Ozali Mwasi Yaka, Soki Ozali Mobali Koya Te


    17. #34
      jouneGwalu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th April 2011
      Location : Studio
      Posts : 2,340
      Rep Power : 969
      Likes Received
      1311
      Likes Given
      1755

      Default Re: Mapungufu ya JK: Constructive Criticisim!

      Quote By Pasco
      Mkuu Kongosho, mission na vission ni ile ilani ya uchaguzi aliyoinadi na kuchaguliwa. He had a mission ya maisha bora kwa kila Mtanzania na vision Tanzania yenye neema inawezekana kupitia ari mpya, kasi mpya, na nguvu mpya!. Watendaji aliowategemea ndio wamemwangusha!.
      Duh!
      Siamini kama na wewe Pasco unanunua huo utumbo...
      Kwa mara ya kwanza nimeanza kuelewa mjadala wako na MTM..



      Ok, sawa "JK ameangushwa"
      sasa itasaidia nini sisi kuorodhesha mapufu yake hapa??
      Sababu hao "watendaji" aliowategemea ni bado anawategemea....
      Kwa maana yako ni kuwa JK yupo chini kaanguka na hatoamka sababu bado yupo na watendaji walewale...
      Haitafaa kitu kwa miaka hii 3 iliyobaki.
      Pasco and TUMBIRI like this.
      Music affect the lives!!

    18. #35
      crazyworld's Avatar
      Member Array
      Join Date : 13th December 2011
      Posts : 15
      Rep Power : 378
      Likes Received
      5
      Likes Given
      1

      Default Re: Mapungufu ya JK: Constructive Criticisim!

      Quote By zumbemkuu
      1, hasimamii kile anachokisema (kwa ufupi ni muongo)
      2, ni mtu kigeugeu
      3, anajifanya msikivu sana kumbe mnafiki.
      4, ni mdini mkubwa.
      5. hajui ni kwanini yupo ikulu na wala hajui majukumu ya mtu anayefika ikulu ni yapi. (anafikiri ikulu ni dangulo au soko la maharamia)

      Nakuunga mkono zumbemkuu.
      Wakati wa mgomo wa madaktari alikaa kimya na ulipoisha akaibuka na kusema hautatokea tena lakini ndani ya chini ya wiki mbili toka aseme hivyo madaktari wamegoma!! Akheri angeendelea kukaa kimya
      Pasco likes this.

    19. #36
      Waberoya's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd August 2008
      Location : Busia-Uganda
      Posts : 5,948
      Rep Power : 1742
      Likes Received
      1518
      Likes Given
      2835

      Default Re: Mapungufu ya JK: Constructive Criticisim!

      Pasco and Kaunga like this.
      You are not supposed to be so blind with patrotism that you cant face reality. Wrong is wrong no matter who says it. Malcom X

    20. #37
      OLESAIDIMU's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd December 2011
      Posts : 1,242
      Rep Power : 732
      Likes Received
      494
      Likes Given
      470

      Default Re: Mapungufu ya JK: Constructive Criticisim!

      1. Unakusanya maoni au unamshauri kushughulika na madaktari mkuu ?????

      2. Naona kama kuna mada juu ya mada hapa

      3. Sijui kwa nini umeamua kuiita "constructive criticism" ??? Before whose eyes in this multiparty era!!!!!!

      4. Tuanze na hayo kabla ya kuanza hiyo task ulotoa
      Pasco likes this.
      Hegemony is unlikely ever to be complete (A. Gramsci)

    21. #38
      Waberoya's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd August 2008
      Location : Busia-Uganda
      Posts : 5,948
      Rep Power : 1742
      Likes Received
      1518
      Likes Given
      2835

      Default Re: Mapungufu ya JK: Constructive Criticisim!

      Quote By Pasco
      Mkuu Kongosho, mission na vission ni ile ilani ya uchaguzi aliyoinadi na kuchaguliwa. He had a mission ya maisha bora kwa kila Mtanzania na vision Tanzania yenye neema inawezekana kupitia ari mpya, kasi mpya, na nguvu mpya!. Watendaji aliowategemea ndio wamemwangusha!.
      hizi sentensi huwa zinasemwa sana na majuha wa CCM

      Juzi mnyika kasema hivi hivi
      leo ww unasema hivi hivi

      kesho sijui nani atasema

      You are dead wrong my dear pasco........all i can say no is think again and you have a room to correct that view!
      Pasco, Henge and zumbemkuu like this.
      You are not supposed to be so blind with patrotism that you cant face reality. Wrong is wrong no matter who says it. Malcom X

    22. #39
      crazyworld's Avatar
      Member Array
      Join Date : 13th December 2011
      Posts : 15
      Rep Power : 378
      Likes Received
      5
      Likes Given
      1

      Default Re: Mapungufu ya JK: Constructive Criticisim!

      Quote By zumbemkuu
      1, hasimamii kile anachokisema (kwa ufupi ni muongo)
      2, ni mtu kigeugeu
      3, anajifanya msikivu sana kumbe mnafiki.
      4, ni mdini mkubwa.
      5. hajui ni kwanini yupo ikulu na wala hajui majukumu ya mtu anayefika ikulu ni yapi. (anafikiri ikulu ni dangulo au soko la maharamia)

      Zumbemkuu nimekubaliana nawe.
      Alisema wakati madakatari walipogoma alikaa kimya akaenda Davos kula kuku. Waliporejea kazini akijitokeza na kusema atahakikisha mgomo hautatokea tena. Leo hii tunashuhudia chini ya wiki mbili baada ya kauli hiyo wamegoma na yuko kimya. Sijui anajiandaa kwenda kula kuku tena wapi!!!

    23. #40
      Henge's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 14th May 2009
      Posts : 5,440
      Rep Power : 1674
      Likes Received
      918
      Likes Given
      1673

      Default Re: Mapungufu ya JK: Constructive Criticisim!

      Quote By Waberoya
      hizi sentensi huwa zinasemwa sana na majuha wa CCM

      Juzi mnyika kasema hivi hivi
      leo ww unasema hivi hivi

      kesho sijui nani atasema

      You are dead wrong my dear pasco........all i can say no is think again and you have a room to correct that view!
      Huwa inaniuzi sana hiyo kauli, yeye ndo ameteua vichwa hivyo kwanini aseme vinamwangusha wakati anauwezo wa kuwatoa na kubadili vichwa vingine HUU NI UTETEZI WAKIJINGA SANA.
      JAMAA HAJIWEZI KABISAA NA MIMI NAMSAMEHE BURE!
      Pasco likes this.
      TUKIWAKAMATA MAFISADI NCHI ITAYUMBA by PINDA

    Page 2 of 10 FirstFirst 1234 ... LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...