Kufa na Kupona kwa CCM..
Kufa na Kupona kwa CCM..
...Kijana za LEO LEO WE KWELI KILAZA.....
Umejigamba unakuja kumwaga ukweli hapa mbona hujaja na huo ukweli na pc ulizodai za Ufisadi wangu..
Nina mashaka na uelewa wako... Na inawezekana una matatizo ya akiji...
.... Mademu gani waliwahi kuwa na Inbox zangu...? Nyie kweli vilaza na wala hamjui mtendalo...
Poleni Vilaza wa Udaku nyie....
Humu ndani tuna wakina Mh Kigwangwala,Mh Zitto,Mh Mnyika,na Dr Slaa,wala hawajiiti Mheshimiwa,wewe kadiwani tu,tena ka kijijini eti Mh,ukiupata huo uenyekiti utajiita nani,ACHA UPUUZI KIJANA!
Tete teeee heeeee teeeheeeee
huyu ndo zake akielezwa ukweli huwa hajibu hata siku moja zaidi ya kukuuliza maswali ya kipumbavu,kama hilo la kula hela za wanakijiji anataka mm nilete documents anataka niziweke vp wakati inafahamika? Suala la umri ni kwamba wewe sambala unajua kabisa hujazaliwa 84,walozaliwa 84 drs la saba walimaliza 99 au 2000 kipindi ambacho wewe ulikuwa mtu mzima tayari!
..... Haya umesinda wewe na udaku wako....
Siwezi jibishana na mtu ambaye hana data
Nimesema hii ni vita ya msituni sijui kama tuna waeza ku declare mshindi kwa sasa. Unaweza shangaa jamaa anafanya shambulio kubwa la kushtukiza!
Mkuu Sambala tuachane na hayo turudi kwenye thread yako; ulikuwa unataka kuliambia nini jukwaa? Manake kichwa cha habari hakisomeki vizuri japokuwa kinafanya mtu akifungue lakini ndani unakuta hakuna kitu. Inaonyesha kama UVCCM kuelekea 2012, ni uchaguzi bila shaka. Haya tuambie sasa muktadha wa thread yako.
CCM na CDM vyote ni vyama vya siasa vinavyoongozwa na wanasiasa; tofauti yao kubwa ni moja kwamba kimoja kina dola kingine kinataka kushika dola.
ZA LEOLEO ni mnafiki mtu kuwa mfuasi wa kigwangalla ni kosa au kwa kuwa wewe unatumiwa na msomali bashe, usitudanganye humjui comrade sambala huyo ni mpigania haki za wanyonge
Follow Us Here