JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Maandamano anayo yapenda Kikwete

  Report Post
  Results 1 to 6 of 6
  1. TIQO's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 8th January 2011
   Posts : 13,870
   Rep Power : 8826
   Likes Received
   1922
   Likes Given
   220

   Default Maandamano anayo yapenda Kikwete   Hawa ni wanaharakati walio andamana mpaka Ikulu jana kukumbushia azimio la Msumbiji mwaka 2003 juu yaongezeko la chakula mpaka kufikia bajeti ya 10%.   Rais hakuona nongwa kuwakaribisha kabisa lkulu hata maafande makunja hawakuwabughudhi kabisa sijui lkulu iliandaa haya maandamano maana sio kawaida.   Rais anafrahia maandamano hayo pembeni ni waziri wa Chakula inaonyesha ni mpango mzima. Serikali inapenda maandamano ya aina hii na si yale ya kuitaka serikali ifanye maamuzi magumu kwa manufaa ya wananchi.
   Mwisho wa Ubaya Aibu.

  2. democratic's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st November 2011
   Posts : 1,645
   Rep Power : 947
   Likes Received
   290
   Likes Given
   63

   Default Re: Maandamano anayo yapenda Kikwete

   teh teh teh teh,kwi,kwi kwi uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii,bab a mwanaasha bwana.................

  3. chama's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 6th August 2010
   Posts : 8,021
   Rep Power : 94047012
   Likes Received
   2387
   Likes Given
   1476

   Default Re: Maandamano anayo yapenda Kikwete

   Haya si maandamano; mh. Raisi aliwapokea wanaharakati waliomfikishia ujumbe sawa na alivyompokea mh. Mbowe na wanaharakati wengine wa Chadema.

   Chama
   Gongo la Mboto DSM
   VGL likes this.

  4. lukindo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 20th March 2010
   Posts : 3,275
   Rep Power : 1240
   Likes Received
   1363
   Likes Given
   1947

   Default Re: Maandamano anayo yapenda Kikwete

   Inachekesha kweli na ndio maana naye anacheka.

   Maandamano ya wenye shibe wakilalamika njaa!


  5. TIQO's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 8th January 2011
   Posts : 13,870
   Rep Power : 8826
   Likes Received
   1922
   Likes Given
   220

   Default Re: Maandamano anayo yapenda Kikwete

   Quote By chama View Post
   Haya si maandamano; mh. Raisi aliwapokea wanaharakati waliomfikishia ujumbe sawa na alivyompokea mh. Mbowe na wanaharakati wengine wa Chadema.

   Chama
   Gongo la Mboto DSM
   Mkuu hawa waliandamana mpaka Ikulu na kama unavyo ona mabango hayo sijui CUF na CHADEMA siku ile walibeba mabango
   Mwisho wa Ubaya Aibu.


  6. TIQO's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 8th January 2011
   Posts : 13,870
   Rep Power : 8826
   Likes Received
   1922
   Likes Given
   220

   Default Re: Maandamano anayo yapenda Kikwete

   Quote By lukindo View Post
   inachekesha kweli na ndio maana naye anacheka.

   Maandamano ya wenye shibe wakilalamika njaa!

   Hawa wamesha shiba miaka 20 mbele
   Mwisho wa Ubaya Aibu.


  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...