Maelezo hapo chini nimeyatoa kwa KICHUGUU kwenye thread yenye kichwa chenye maneno Administrator wa JF ni Mkali.
Nataka TUJUKUMBUSHE ambao hatujachangia (mie pia bado) kuwa mkono mtupu haulambwi. Kazi wanayofanya hawa jamaa si ndogo. Kuna muda nilikuwa na matatizo ya computer, basi Invisible aliichukulia kama ni shida yake. Akawa tayari hata kunitafutia watu waje warekebishe matatizo kwenye computer yangu. Kama CCM wangelijali watu wao walau nusu ya hii basi tungelikuwa mbali. Sasa na yote haya jamaa kujitolea, nafikiri hizi mashine zinahitaji matengenezo ya aina mbalimbali na kuifanya iwe up-to-date. Na kila mtu anajua kuwa kila miezi mitatu, vinatoka vitu vipya na bei yake si znuri sana. Hivyo kama hujasaidia JF basi shime shime tuchangie BANDUGU.
Kwa maana hii mchango na mimi mwaka huu naanza kuchangia.
Invisible nilikuahidi kuwa ntaleta mchango wangu mwenyewe nikiwa Dar ila naona sintaweza au nikaja mwisho wa mwaka. Pesa kidogo tayari zipo Dar na hapo Sister wangu atakuleteeni. Unaweza kunitumia anwani yenu na nani wa kumuona ili akija akupatieni hako kamchango kiduchu!!!Niandikie kwenye PM.
NB:- Mods, baadaye waweza zichanganya na ile ya Kichuguu.
Quote: Napenda kuapa kuwa JF ni forum ambayo inaendeshwa vizuri sana. Admin wa JF ana-respond kwa kila ombi in time. Kukitokea out-of-direction thread, anaishugulikia ipasavyo kabla hijawa kero kwa forum nzima. Ilivyofika wakati wa kipindi cha holidays ali-respond vizuri tukawa na skin ya Chrsimas halafu ikaja skin ya New Year na leo skin yetu ya Tanzania Tanzania Nakupenda kwa Moyo Wote imerudi tena. Nahisi amejenga system nzuri sana kwa kutumia OOP akaweka na objetcs nzuri sana kiasi kuwa haoni ugumu kubadili mambo ikiwa lazima.
Kwa vyovyote vile, ameweka muda wake mwingi ili kuifanya JF iwe sehemu nzuri ya mtu kutumia muda wake hata kama hupendezwi na yanayoongelewa. Mod anastahili pongezi nyingi sana.
__________________ .... hata kama akitambika uchi huyu mwakyembe, ukweli utabaki pale pale kuwa yeye nimiongoni mwa wale wabunge waliokula milioni 5 za rostam wakati wa kampeni (By: Game Theory)
Last edited by Sikonge; 15th February 2010 at 07:02 PM..
Naona JF watu waoga sana kutoa michango.
Jamani hii forum kuindesha nigarama sana wakuu tujitolee kuchangia japo kiduchu hata mwenye 500 inapokelewa tu naomba tujitahidi kuchangia ili twendelee kuburudika.
__________________ Ukiuza utumbo usiogope nzi. Chuda Raha

Mkuu Fide, wadau sijui wanafikiria kuchangia mpaka atoe mamilioni vile......! something is better than none....so kama ulivyosema kila member kwa mfano akitoa 500....kwa member zaidi ya 10,000 tunapata 5m mkuu....ambayo angalau itasaidia kuwapunguzia makali kina max for at least 5months!
Inabidi wadau tutambue kuwa kadiri tunavyofurahia hii forum ilivyokuwa faster, inavyotupa habari motomoto etc tujue mambo hayo yana gharama kuyamaintain katika kiwango tunanachotaka....so the need ya kuunganisha nguvu zetu!
__________________ “Without leaps of imagination, or dreaming, we lose the excitement of possibilities. Dreaming, after all, is a form of planning - GLORIA STEINEM.
Alafu mkuu Next Level wengine wanajua kuwa akina Invisible na mods wanalipwa kwa kazi nzito wanayo ifanya hapa JF kumbe wanajitolea tu hakuna wanacho pata wanajitolea tu kwani na sisi tukijitolea kuchangia angalau Tsh. 500/= kuna kitu utakuwa umepungukiwa?
Watanzania tujaribu kubadilika jamani kutoa si utajili ni moyo tu.
__________________ Ukiuza utumbo usiogope nzi. Chuda Raha
Alafu mkuu Next Level wengine wanajua kuwa akina Invisible na mods wanalipwa kwa kazi nzito wanayo ifanya hapa JF kumbe wanajitolea tu hakuna wanacho pata wanajitolea tu kwani na sisi tukijitolea kuchangia angalau Tsh. 500/= kuna kitu utakuwa umepungukiwa?
Watanzania tujaribu kubadilika jamani kutoa si utajili ni moyo tu.
Nimesoma leo hii forum yakuchangia ila kuna kitu ambacho haki add up.. first post ya invisible alisema kuna wanachama kama 2000, kila mtu akitoa Tsh 10,000 a year that is Tsh 20,000,000!! sio kwamba nasema tusitoe ila kama tunatoa inabidi tupewe mahesabu yanayokamilika. 20 Mil Tsh ni nyingi sana ni almost $16000 or Ł15000...
Mimi binafsi sijui how much it cost to host a website/forum in Tanzania but with $16000 or Ł15000 a year that is too much.. and i do believe that is what it turn off people.. maana hii inasound like business now, a place to get full time income...
sorry if i am being so straight forward but things doesn't add up!!! and also i don't understand are these people (invisible etc) doing this as their daily job?
Ukweli ni kuwa siku za nyuma tulijaribu sana kuwafahamisha members kuwa JF haiendeshwi kwa fedha za watu flani bali kwa kujitolea.
Tukatanabaisha wazi kuwa wanachama na wote wenye mapenzi mema inabidi watambue kuwa tuna mzigo mkubwa wa kubeba kwa niaba yao.
Nyakati hizotulikuwa na wanachama waliojisajili karibia 2,000 hivi na tukasema endapo kila mwanachama (aliyejisajili) angechangia Tshs 10,000/= basi ilimaanisha kuwa tungepata Tshs 20,000/= ambayo kwa wakati huo ingetosheleza kuiendesha JF kwa karibia mwaka mzima bila wasiwasi.
Maisha yakabadilika, Server tuliyokuwa nayo ilikuwa ndogo sana kumbe kulinganisha na uhitaji wa watanzania, balaa lilionekana wazi Mwezi Februari pale Mhe. Lowassa alipokuwa akijieleza Bungeni... Server ikachemsha kubeba mzigo mkubwa.
Kwa wakati huo tukaona ni vema tukaangalia namna ya kuweza kuwashirikisha wanachama juu ya ugumu tunaokumbana nao... Tukalazimika kununua server kubwa zaidi mbili na zenye back up za kila baada ya masaa 6 kwa nyakati tofauti. Tukiwa na uwezo wa kufanya hosting hata BURE kwa website za watanzania.
Hilo likasaidia japo kwa gharama ambazo zilitoka mfukoni mwa mwanachama mmoja! Ndiyo, kulipia server hizo kila mwezi ni karibia $900 na ameendelea kufanya hivyo kwa imani kuwa kuna siku mambo yataenda sawa.
JF inahitaji SANA michango ya watanzania na wote wenye mapenzi mema.
Kuna wanachama ambao humu mnawaona wana usernames ambazo ni bolded, hawa ni Premium Members. Hawa walau wamechangia kwa kiwango cha kuanzia $5 na wawili walau $300 tangu JF inaanzishwa mwaka 2006 (ikijulikana kama JamboForums).
Tangu JF inaanza (2006) mpaka sasa, tumekwishapokea jumla ya US$ 1,450/= toka kwa wanachama waliojisajili na wasiojisajili.
Wengi wa waliohitaji kuchangia walikuwa wanatuma barua pepe nasi tunawapa maelekezo juu ya namna ya kutufikishia michango hiyo.
Ukweli ni kwamba kwa wasio wanachama wa JF wakiwa wanasoma hapa wanaona matangazo mengi ya Google kuliko wanachama waliojisajili.
Dhamira yetu si kuweka matangazo haya ya Google kwani hayaingizi kwa kiwango kikubwa hivyo, watu hawabonyezi matangazo hayo na hivyo income yake inategemea pale mtu atakapokosea akabonyeza tangazo ndipo tupate vijisenti kidogo kwa clicks hizo. Gharama za uendeshaji bado zinatoka mfukoni mwa mtu mmoja mpaka sasa na baadhi ya Premium Members ambao wameendelea kuona umuhimu wa kufanya hivyo.
Mpaka sasa JF ina wanachama waliojisajili karibia 8,000. Endapo waliojili hawa wangechangia walau Tshs 10,000/= kwa mwaka basi inamaanisha JF ingetengeneza Tshs 80,000,000/= kwa mwaka na hivyo tusingeweka matangazo KABISA na tungejitahidi kupata moderators ambao watakuwa wanalipwa kwa kazi yao na wangeifanya kwa umakini mkubwa zaidi.
Ukiangalia katika historia ya Forums nyingi, huwa zinashindwa kuhimili traffic inapokuwa kubwa kutokana na servers kuhitaji umakini zaidi na Forum owners hujikuta wanaona ni mzigo usio na faida hivyo forums hizo kufa.
Tumshukuru Maxence kwa kuendelea kulipia gharama hizi kila mwezi kwa kujitolea mpaka sasa huku akilipia na Chat Server (IRC Server).
Wapo wanachama kama Ogah, Nyambala, SteveD, FairPlayer, Mchukia Fisadi na Phillemon Mikael ambao huchangia walau kila wanapopata wasaa... Hawa nao wamesaidia kwa kiwango kikubwa katika jitihada za kuhakikisha JF inakuwa hewani. Bila kuwasahau wadau waliochangia walau $200 hivi initially kama Mtanzania, Field Marshal ES na Halisi.
Ninachoamini binafsi ni kitu kimoja, Tshs 5,000/= kwa mwaka inawezekana kabisa kwa watanzania tulio na uwezo wa kuingia mtandaoni. Na uzuri, benki zetu Tanzania zinaruhusu mtu ku-deposit Tshs 5,000/= kama kiwango cha chini.
Endapo kuna mwanachama anaguswa (kutoka moyoni) na angependa kuiwezesha JF kuendelea kusimama imara na kufanya vema zaidi bila mizengwe ya kifedha, basi anaweza kukubali kuchangia Tshs 5,000/= walau kwa mwaka.
Benki zetu (hapa naongelea NBC na CRDB kwa haraka) hazikulazimishi unayetuma hela kuandika jina lako la kweli bali lile ambalo ungependa mpokeaji alitambue.
Kwa walio Tanzania wanaweza kuichangia JF kwa kutuma katika akaunti za NBC au CRDB.
Akaunti ambazo tangu awali tulipendekeza zitumiwe ni za Maxence Melo (as the JF Founder) na tukawaomba wanaotuma waandike Nicks za kuweza kutanabaisha kuwa wao ndio walotuma.
Michango inaweza kutumwa kwa njia kuu nne:
Kwa walio nje wanaweza kutumia PayPal au Credit Cards au Debit Cards kwa kufuata link hii ( JamiiForums |The Home of Great Thinkers) iliyo kwenye sahihi yangu (linapoonyesha dole gumba) na pindi mchangiaji anapoweka chochote tunakuwa notified nasi tunafanya kuwasiliana na mhusika ili aweze kupandishwa kwenda katika group la Premium Members.
Njia ya pili ni kutumia Western Union au Money Gram na kutuma kwenda kwa Maxence Melo wa Dar es Salaam.
Njia ya tatu ni kutumia Bank accounts za Maxence kama ifuatavyo:
Ikumbukwe, SI LAZIMA kuandika jina lako la kweli na SI LAZIMA kwenda mwenyewe bank kutuma pesa hizo (kwani unaweza kumpa unayemwamini na kumpa account details na jina lako ambalo ungependa aandike).
Tunaweza kuandika mengi lakini ukweli unabakia pale kuwa JF inahitaji michango yenu kwa sana tu.
Kwa wenye maswali zaidi wanaweza kuwasiliana na Maxence kupitia namba yake ya simu +255713444649.
Nasikitika kuwa yawezekana hata hivi natembeza bakuli
Nimesoma leo hii forum yakuchangia ila kuna kitu ambacho haki add up.. first post ya invisible alisema kuna wanachama kama 2000, kila mtu akitoa Tsh 10,000 a year that is Tsh 20,000,000!! sio kwamba nasema tusitoe ila kama tunatoa inabidi tupewe mahesabu yanayokamilika. 20 Mil Tsh ni nyingi sana ni almost $16000 or Ł15000...
Mimi binafsi sijui how much it cost to host a website/forum in Tanzania but with $16000 or Ł15000 a year that is too much.. and i do believe that is what it turn off people.. maana hii inasound like business now, a place to get full time income...
sorry if i am being so straight forward but things doesn't add up!!! and also i don't understand are these people (invisible etc) doing this as their daily job?
Nimejaribu kuangalia ulichoandika na kuoanisha na kilichoandikwa na Invisible (hasa niliyoyawekea rangi, na mengine ku-bold nikaona huenda hukuelewa.
Uanachama ndani ya JF ni BURE, na mengine yote unayoweza kufanya via JF ni BURE. Hakuna anayelazimishwa kuchangia JF, bali post ya Invisible ilikuwa inaonyesha uhalisia wa mambo. Tena post hiyo ni wakati JF ina wanachama almost 8,000 na sasa ni zaidi ya 12,000 kwa maana kuwa traffic imeongezeka zaidi.
Nini kinaku-turn off? Unajua Wikipedia wanavyopata michango toka kwa Jamii (community)? Ni kwa njia ya Jamii kuona kuwa inanufaika nayo na pindi wakiomba michango basi inakuwa ni makusanyo makubwa kuliko maelezo. Mtafurahi tukiweka matangazo kibao kila baada ya post ili kutafuta faida? Nadhani HAPANA, ndio maana tunakubali maumivu tu kwa kupunguza matangazo hayo na kuacha nafasi ya watu kuandika na kusoma bila bughudha.
Ukweli ni kuwa, JF kwa sasa imefikia kuwa na hits 40mil kwa mwezi, kama server yake ingekuwa ndogo basi ingekwisha chemsha siku nyingi.
Tatizo kubwa ni kuwa kila tunayem-approach kwa ajili ya kuweka matangazo JF au kuifadhili JF basi anakuwa na masharti ambayo nikuhakikishie yataondoa dhana ya 'kumkoma nyani' au 'kuwa na uhuru wa kuongea bila kumwangalia mtu usoni'. Tumejaribu kwingi lakini masharti yao yanakatisha tamaa!
Serikali yetu yenyewe ilisema tukiwa na vikundi tukaomba mikopo tutawezeshwa (ahadi za JK), tuliambiwa tupeleke proposal na hatukusita kufanya vile lakini tangu mwaka jana mwishoni mpaka leo response hakuna.
JF ingejiendesha yenyewe kwa wanachama kuchangia chochote (simply fikiria mtu achangie Tshs 5,000/= kwa mwaka, kiasi ambacho naamini hata wewe unakimudu). Tatizo ni kuwa wengi hawana moyo wa kutoa! Bado wanasema "Anzisheni Tv ya wana JF, Anzisheni gazeti la wana JF n.k.
Just angalia tangu 2009 imeanza ni wangapi wamechangia JF, tena wengine kwa kiwango kikubwa sana na zaidi ya mara moja... Unaweza kusoma hapa:
Watu tunapenda kila kitu BURE, kuna gharama zake ila kuna wachache waliojitolea kuhakikisha hata ulichoandika hapo juu kinawezekana... Ni hao kwenye post ya juu, wanastahili pongezi sana!
Binafsi naamini kila anayeingia mtandaoni anaweza kuzichanga na kufikisha Tshs 5,000 kwa mwaka. Haijalishi uwe umejisajili ama hujajisajili, unaweza kuchangia JF na njia zote zimewekwa wazi.
Simu yangu huwa iko hewani 24hrs na wengi wanaweza kukiri kuwa huwasiliana nami nami huwapa options zote za kuchangia.
__________________ Welcome to JF Phase II...
Contact me:
Mobile: +255713444649
Email: maxence@maxence.co.tz
Pls DO NOT send me Job applications... Read adverts carefully!
Watanzania tunapenda sana vya bure; hatujui bure ni very expensive.
Itafaa kama wanachama wengi zaidi watajitolea na kisha ndio tuombe uwajibikaji toka kwa hao wanaoendesha hii JF.
Wanachama tujitolee lakini pia waendeshaji wawe wanatuambia hata kama ni mara moja kwa miezi sita jinsi pesa tunazojitolea zinavyotuma na kama zinatosha au hazitoshi. Transparency ni muhimu sana ili kuondoa hisia hisia, majungu na uwongo mwingine.
Nimesoma leo hii forum yakuchangia ila kuna kitu ambacho haki add up.. first post ya invisible alisema kuna wanachama kama 2000, kila mtu akitoa Tsh 10,000 a year that is Tsh 20,000,000!! sio kwamba nasema tusitoe ila kama tunatoa inabidi tupewe mahesabu yanayokamilika. 20 Mil Tsh ni nyingi sana ni almost $16000 or Ł15000...
Mimi binafsi sijui how much it cost to host a website/forum in Tanzania but with $16000 or Ł15000 a year that is too much.. and i do believe that is what it turn off people.. maana hii inasound like business now, a place to get full time income...
sorry if i am being so straight forward but things doesn't add up!!! and also i don't understand are these people (invisible etc) doing this as their daily job?
Hiyo yenye rangi ya KIJANI ndiyo PURE mentallity za wapenda vya bure. Ungelisoma ujumbe wangu wa kwanza kabisa na maelezo ya Kichuguu, ungeliona wazi kabisa kuwa hiyo pesa haitoshi.
Wee na kuandika kwako Kiingereza (naona umesoma eti) katika JF umeona pesa zahitajika ku-host website peke yake? Hapa umeshaambiwa kuwa JF iko sehemu sita tofauti duniani. Pili data/maelezo yote ya zamani yanatunzwa. Hebu niambie hizo Hard Discs zinazohitajika ni TBs ngapi? Maana hapa hatuongelei tena Gigabytes. Pitia kwenye EBAY.COM na angalia vifaa vya computer bei zake zilivyo.
Pia kumbuka hivi vifaa wanapofanyia kazi akina Invisible, inabidi vilipiwe umeme, vifanyiwe marekebisho, up-to-date kwa kuweka vifaa vipya, gharama za ofisi, maji .....na wao kama watu inabidi wakale POLISI ehhh?
Khaa, watu wanapenda MTEREMKO hadi inaleta RAHA. Kwa mtindo huu, Tanzania bado sana sana. Kusaidia kitu kidogo kama elfu tano kashaona analiwa, na unajiona MJANJA kuwa "UMEWASHTUKIA".
Uanachama ndani ya JF ni BURE, na mengine yote unayoweza kufanya via JF ni BURE. Hakuna anayelazimishwa kuchangia JF, bali post ya Invisible ilikuwa inaonyesha uhalisia wa mambo. Tena post hiyo ni wakati JF ina wanachama almost 8,000 na sasa ni zaidi ya 12,000 kwa maana kuwa traffic imeongezeka zaidi.
Ukweli ni kuwa, JF kwa sasa imefikia kuwa na hits 40mil kwa mwezi, kama server yake ingekuwa ndogo basi ingekwisha chemsha siku nyingi.
Max,
Hiyo idadi ya watu inaleta faraja sana sana. Kweli kama pesa zingelipatikana za kutosha, my wish was to have cheap internet cafe in as many places as possible in Tanzania. Kama tungelifikia walau kila KATA ya Tanzania iwe na mtandao na watu wanasoma JAMIIFORUMS, basi tungeliibadilisha hii Tanzania kwa SPEED kubwa sana. Ila ukisikia mtu anasema kuwa eti fedha nyingi sana na haoni maana ya kuchangia, kweli hadi mikono inaanguka. Uzuri ni kuwa tumekula chumvi za wastani na hali kama hizo tumeshaziona sana. Imesemwa "If you find a path with no obstacles, it probably doesn’t lead anywhere." Tena heri angelikaa kimya tu, na siyo kuja hapa kutumia vya watu na kuanza kusema "michango ya hiari" ni mingi sana. Tangu lini Michango ya hiari ikawa mingi? KELELE ZA CHURA HAZIMZUII TEMBO KUNYWA MAJI. JF SONGA MBELE.....
NB: Jamani, nakumbuka mie simo kwenye listi ya Wachangiaji bado. Ila ntajitahidi mwezi ujao iwe isiwe mchango wangu ufike. Mungu kanijalia kipaji cha Kuchelewa, ila siku zote huwa nawahi ile inasema dakika za majeruhi. Kabla mwaka haujaisha, mchango wangu utafika.
__________________ .... hata kama akitambika uchi huyu mwakyembe, ukweli utabaki pale pale kuwa yeye nimiongoni mwa wale wabunge waliokula milioni 5 za rostam wakati wa kampeni (By: Game Theory)
Watanzania tunapenda sana vya bure; hatujui bure ni very expensive.
Itafaa kama wanachama wengi zaidi watajitolea na kisha ndio tuombe uwajibikaji toka kwa hao wanaoendesha hii JF.
Wanachama tujitolee lakini pia waendeshaji wawe wanatuambia hata kama ni mara moja kwa miezi sita jinsi pesa tunazojitolea zinavyotuma na kama zinatosha au hazitoshi. Transparency ni muhimu sana ili kuondoa hisia hisia, majungu na uwongo mwingine.
Mtu akitaka kujua specs za Dedicated Servers anaweza kuangalia hata hapa mkuu:
JF ina server mbili zinazoiendesha, lakini server kuu ina specs hizi:
Processor: Dual Intel Quad Core 'Nehalem'
Xeon 5520, 8 x 2.26GHz + HT Hard disk drive: 2 x 250GB RAM: 12GB DDR3 Port: 1 GigE (1000Mbit) port Monthly transfer: 10TB Managed services: Fully Managed (Tunalipia kampuni maalum ya kuiangalia 24/7 $180 kwa mwezi) IP addresses: 8Nr
Unaweza ku-google na kuangalia server yenye features hizo ina bei gani.
Monitoring server tunalipa $299 tu kwani haina madude meeengi. Ina software maalum kulinda server kuu. Siku za nyuma tulikuwa tunatumiwa attacks (httpd) lakini baada ya kununua server hii tatizo liliisha.
Hivyo ni rahisi mtu kujua tunalipia kiasi gani kwa mwezi na kuangalia michango inayotolewa ni kiasi gani na kuoanisha... Bahati mbaya mi si accountant ningeweza kuandika vema zaidi ya hivi!
Hiyo yenye rangi ya KIJANI ndiyo PURE mentallity za wapenda vya bure. Ungelisoma ujumbe wangu wa kwanza kabisa na maelezo ya Kichuguu, ungeliona wazi kabisa kuwa hiyo pesa haitoshi.
Wee na kuandika kwako Kiingereza (naona umesoma eti) katika JF umeona pesa zahitajika ku-host website peke yake? Hapa umeshaambiwa kuwa JF iko sehemu sita tofauti duniani. Pili data/maelezo yote ya zamani yanatunzwa. Hebu niambie hizo Hard Discs zinazohitajika ni TBs ngapi? Maana hapa hatuongelei tena Gigabytes. Pitia kwenye EBAY.COM na angalia vifaa vya computer bei zake zilivyo.
Pia kumbuka hivi vifaa wanapofanyia kazi akina Invisible, inabidi vilipiwe umeme, vifanyiwe marekebisho, up-to-date kwa kuweka vifaa vipya, gharama za ofisi, maji .....na wao kama watu inabidi wakale POLISI ehhh?
Khaa, watu wanapenda MTEREMKO hadi inaleta RAHA. Kwa mtindo huu, Tanzania bado sana sana. Kusaidia kitu kidogo kama elfu tano kashaona analiwa, na unajiona MJANJA kuwa "UMEWASHTUKIA".
Max,
Hiyo idadi ya watu inaleta faraja sana sana. Kweli kama pesa zingelipatikana za kutosha, my wish was to have cheap internet cafe in as many places as possible in Tanzania. Kama tungelifikia walau kila KATA ya Tanzania iwe na mtandao na watu wanasoma JAMIIFORUMS, basi tungeliibadilisha hii Tanzania kwa SPEED kubwa sana. Ila ukisikia mtu anasema kuwa eti fedha nyingi sana na haoni maana ya kuchangia, kweli hadi mikono inaanguka. Uzuri ni kuwa tumekula chumvi za wastani na hali kama hizo tumeshaziona sana. Imesemwa "If you find a path with no obstacles, it probably doesn’t lead anywhere." Tena heri angelikaa kimya tu, na siyo kuja hapa kutumia vya watu na kuanza kusema "michango ya hiari" ni mingi sana. Tangu lini Michango ya hiari ikawa mingi? KELELE ZA CHURA HAZIMZUII TEMBO KUNYWA MAJI. JF SONGA MBELE.....
NB: Jamani, nakumbuka mie simo kwenye listi ya Wachangiaji bado. Ila ntajitahidi mwezi ujao iwe isiwe mchango wangu ufike. Mungu kanijalia kipaji cha Kuchelewa, ila siku zote huwa nawahi ile inasema dakika za majeruhi. Kabla mwaka haujaisha, mchango wangu utafika.
Hapa hakuna story nyingi. Tuchangie kwa anayeijua wikipedia kila siku inachangiwa huwa haina mwenyewe ni ya watu na inapendwa. Mwenyewe mwanachama.
Hakikisha zinafanya kazi hizo hela, uliyosema na kweli server bado inahitajika nafasi kubwa sana ili tusonge.
Wengi wa walio Tanzania wamekuwa wakichangia kwa kutuma Vocha za simu na wengine kwa njia ya M-Pesa.
Endapo mtu angependa kuchangia kwa kutumia akaunti ya benki na si kwa credit card bado nina account ya Benki ya Marekani ambayo nimeifungua mahsusi kwa ajili ya JF.
Options zote zinawezekana tu.
__________________ Welcome to JF Phase II...
Contact me:
Mobile: +255713444649
Email: maxence@maxence.co.tz
Pls DO NOT send me Job applications... Read adverts carefully!