TiGo Maps
    Show/Hide This

    Topic: Hili nalo lakuangalia upya, liko katika dunia ya wastaarabu.

    Report Post
    Results 1 to 2 of 2
    1. #1
      Amanikavu's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 26th January 2012
      Posts : 147
      Rep Power : 346
      Likes Received
      27
      Likes Given
      170

      Default Hili nalo lakuangalia upya, liko katika dunia ya wastaarabu.

      Jamani hili lilisha letwa humu ikaonekana kama ni kuingilia utu wa mtu binfsi. Lakini tunahitaji kujua raisi na familia yake hadharani, anawatoto wangapi kwa mfano, hili ni muhimu sana. mimi nakatwa kodi, NSSF mwisho watoto wa 4. Sasa kama kiongozi anazaidi wanahudumiwa na nani, manake naskia ni zaidi ya nane, hili halituumizi sisi wengine kwa namna yoyote, uzazi wa mpango vipi? si matumizi mabaya ya fedha za umma. Hapana hili liiangaliwe upya.


    2. #2
      only83's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 15th October 2010
      Location : Dodoma-Mjengoni
      Posts : 2,964
      Rep Power : 1074
      Likes Received
      839
      Likes Given
      829

      Default Re: Hili nalo lakuangalia upya, liko katika dunia ya wastaarabu.

      Wazo jema,ngoja tusubiri mawazo ya wadau....
      "Tulianza na MUNGU, tunaendelea na MUNGU, tutamaliza na MUNGU"
      Vua GAMBA vaa GWANDA

      Movement For Change(M4C)

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...