TiGo Says
    Show/Hide This

    Topic: AMIMI USIAMINI - Hii ndiyo fomu ya kuombea viza ya kuja Tanzania!

    Report Post
    Page 1 of 4 123 ... LastLast
    Results 1 to 30 of 108
    1. #1
      Massenberg's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 4th June 2011
      Posts : 441
      Rep Power : 516
      Likes Received
      251
      Likes Given
      0

      Default AMIMI USIAMINI - Hii ndiyo fomu ya kuombea viza ya kuja Tanzania!

      Mara nyingi huwa tunazungumzia namna ambavyo nchi ya Tanzania inaendeshwa katika utaratibu wenye kutia aibu na fedheha kwa taifa na wananchi wake na inastaajabisha pale unapotafiti aina ya watu wenye madaraka ukilinganisha na uwezo wao.

      Atachment iliyopo kwenye mada hii ndiyo fomu raia wa kigeni anayojaza pale anapoomba viza ya kuja nchini kwetu. Ni ukurasa mmoja tu ambao sehemu anayojaza ni theluthi moja tu ya kurasa hiyo.

      Kwa wale ambao mmewahi kuomba viza kwenda nchi zingine naamini mtaweza kulinganisha information unazotakiwa kutoa kuhusu wewe ni nani na unafanya nini, una mahusiano gani, viambatanisho muhimu, n.k.

      Ukiangalia fomu hii unaweza sasa kuelewa ni kwa nini hapa nchini kuna raia wengi wa kigeni ambao hawakupaswa kuingia nchini, watu ambao wasingethubutu kuomba viza nchi zingine, lakini kwa vile serikali imeifanya nchi kuwa shamba la bibi kwa kupitia upumbavu wa namna hii, matokeo yake ni nchi kudharaulika.

      Hii ndiyo fomu iliyobuniwa na wataalam wetu waliopo uhamiaji>
      Jioneeni wenyewe!
      Attached Files

    2. #2
      Kigogo's Avatar
      JF Premium Member Array
      Join Date : 14th December 2007
      Location : Calabash
      Posts : 5,534
      Rep Power : 1668
      Likes Received
      703
      Likes Given
      195

      Default Re: AMIMI USIAMINI - Hii ndiyo fomu ya kuombea viza ya kuja Tanzania!

      hivi tanzania ni nchi serious kwa mawazo yako??
      ______________________________ _
      Niko tayari kufa huku nimesimama kuliko kuishi huku nimepiga magoti....

    3. #3
      King Kong III's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 15th October 2010
      Posts : 5,520
      Rep Power : 1489
      Likes Received
      1145
      Likes Given
      84

      Default Re: AMIMI USIAMINI - Hii ndiyo fomu ya kuombea viza ya kuja Tanzania!

      Kuna jamaa m1 nshamsahau alishawahi kusema wataalamu na wasomi ndio wanaoifirisi hii nchi.

    4. #4
      mcShayo's Avatar
      Member Array
      Join Date : 23rd November 2010
      Posts : 37
      Rep Power : 386
      Likes Received
      3
      Likes Given
      0

      Default Re: AMIMI USIAMINI - Hii ndiyo fomu ya kuombea viza ya kuja Tanzania!

      Maaaavi kweli ......kwa style hii wachina watauza vibanio na penseli kule kariakoo kishenzi.....hakyamungu serikali yetu imejaa mazezeta!!...

    5. #5
      Companero's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th July 2008
      Posts : 3,750
      Rep Power : 0
      Likes Received
      457
      Likes Given
      524

      Default Re: AMIMI USIAMINI - Hii ndiyo fomu ya kuombea viza ya kuja Tanzania!

      "Each generation must, out of relative obscurity, discover its mission, fulfil it, or betray it"/Kila kizazi, katika utata wa kipindi chake, lazima kiutambue wajibu wake na kiutekeleze au kiusaliti - Frantz Fanon

    6. #6
      usininukuu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 8th August 2011
      Posts : 363
      Rep Power : 414
      Likes Received
      40
      Likes Given
      84

      Default Re: AMIMI USIAMINI - Hii ndiyo fomu ya kuombea viza ya kuja Tanzania!

      Mmh! hii kali

    7. #7
      22nd's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 1st August 2010
      Posts : 486
      Rep Power : 492
      Likes Received
      99
      Likes Given
      148

      Default Re: AMIMI USIAMINI - Hii ndiyo fomu ya kuombea viza ya kuja Tanzania!

      ninavyojua mimi ni kwamba ukiwa raia wa kigeni unalipia dola 100 pale airport bila maswali au longolongo, au hii kuomba visa imeanza jana?
      " Not Everybody knows how to make me want It"

    8. #8
      PapoKwaPapo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th June 2008
      Location : uswazi
      Posts : 342
      Rep Power : 597
      Likes Received
      17
      Likes Given
      4

      Default Re: AMIMI USIAMINI - Hii ndiyo fomu ya kuombea viza ya kuja Tanzania!

      Quote By Massenberg View Post
      Mara nyingi huwa tunazungumzia namna ambavyo nchi ya Tanzania inaendeshwa katika utaratibu wenye kutia aibu na fedheha kwa taifa na wananchi wake na inastaajabisha pale unapotafiti aina ya watu wenye madaraka ukilinganisha na uwezo wao.
      Atachment iliyopo kwenye mada hii ndiyo fomu raia wa kigeni anayojaza pale anapoomba viza ya kuja nchini kwetu. Ni ukurasa mmoja tu ambao sehemu anayojaza ni theluthi moja tu ya kurasa hiyo. Kwa wale ambao mmewahi kuomba viza kwenda nchi zingine naamini mtaweza kulinganisha information unazotakiwa kutoa kuhusu wewe ni nani na unafanya nini, una mahusiano gani, viambatanisho muhimu, n.k.
      Ukiangalia fomu hii unaweza sasa kuelewa ni kwa nini hapa nchini kuna raia wengi wa kigeni ambao hawakupaswa kuingia nchini, watu ambao wasingethubutu kuomba viza nchi zingine, lakini kwa vile serikali imeifanya nchi kuwa shamba la bibi kwa kupitia upumbavu wa namna hii, matokeo yake ni nchi kudharaulika.
      Hii ndiyo fomu iliyobuniwa na wataalam wetu waliopo uhamiaji>
      Jioneeni wenyewe!
      Mkuu mbona ingekuwa heri kama ungelikuwa unajaza yote, Siku moja nilifika hapo kumuombea rafiki yangu visa..tatizo likaja hakujua nini cha kujaza basi nikaenda mapokezi kuuliza nijaze nini hapa? kuna mama mmoja nimemsahau jina akaniambia hapo hakuna umuhimu wa kujaza.....sehemu yenyewe inahusiana na details za msafiri au muombaji wa visa, aisee nilicheka sana.

      History is the nightmare which I am trying to awake. D H Laurence.

    9. FJM is online now
      FJM
      #9
      FJM's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th April 2011
      Posts : 3,654
      Rep Power : 1272
      Likes Received
      2668
      Likes Given
      2315

      Default Re: AMIMI USIAMINI - Hii ndiyo fomu ya kuombea viza ya kuja Tanzania!

      Hii ni scandal! Kwanini waziri wa mambo ya ndani asitangaze kabisa kuwa hakuna haja ya visa wageni waingie tuu. Aibu!

    10. #10
      mandieta's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 20th February 2012
      Posts : 593
      Rep Power : 0
      Likes Received
      106
      Likes Given
      0

      Default Re: AMIMI USIAMINI - Hii ndiyo fomu ya kuombea viza ya kuja Tanzania!

      china ni nchi ya pili kwa ukumbwa wa kiuchumi duniani,so hata wakiuza vibanio na pencil k,koo ni poa tuu,bcoz hatuna uwezo wa kuvitengeneza,tumekalia wimbo wa "ufisadi ufisadi"this is a magic county bwana,kila ki2 zero ingawa tuna utajiri mkubwa wa madini!

    11. #11
      Kiranga's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th January 2009
      Posts : 8,145
      Rep Power : 17496
      Likes Received
      2244
      Likes Given
      248

      Default Re: AMIMI USIAMINI - Hii ndiyo fomu ya kuombea viza ya kuja Tanzania!

      Hakuna haja ya ukiritimba. Wangekuwa na form ya kijitabu cha kurasa kumi kuomba visa mngewasema wanakimbiza watalii, wanafuja fedha na maliasili.

      Wamekuja na form simple ya kurasa moja mnawasema. Wewe ulitaka information gani zaidi hapo?

      Kama unajali sana watu wanavyoingia Tanzania kitu cha kuangalia ni jinsi hati za kusafiria za Tanzania (passports) zinavyogawiwa ovyo kama njugu. Hizi habari za visa nchi ambayo hata haina border control ni kichekesho tu.
      It is hard not to argue about right and wrong- The 20 Difficulties.

    12. #12
      Ringo Edmund's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 10th May 2010
      Location : MDAWI
      Posts : 2,242
      Rep Power : 952
      Likes Received
      576
      Likes Given
      176

      Default Re: AMIMI USIAMINI - Hii ndiyo fomu ya kuombea viza ya kuja Tanzania!

      mbona hata hiyo inatumika kwa wale wasiojua kula na kipofu?

      KAMA HUJUI WEWE NI NANI WATU WATAKUITA KWA JINA LOLOTE.
      BY ME.

    13. #13
      only83's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 15th October 2010
      Location : Dodoma-Mjengoni
      Posts : 2,978
      Rep Power : 1078
      Likes Received
      840
      Likes Given
      833

      Default Re: AMIMI USIAMINI - Hii ndiyo fomu ya kuombea viza ya kuja Tanzania!

      Da hii ni kali mkuu....nadhani kwa hali hii nchi inaweza kuwa imeuzwa muda mrefu.
      "Tulianza na MUNGU, tunaendelea na MUNGU, tutamaliza na MUNGU"
      Vua GAMBA vaa GWANDA

      Movement For Change(M4C)

    14. #14
      BADILI TABIA's Avatar
      JF Premium Member Array
      Join Date : 13th June 2011
      Location : DUNIANI
      Posts : 6,138
      Rep Power : 1728
      Likes Received
      1504
      Likes Given
      636

      Default Re: AMIMI USIAMINI - Hii ndiyo fomu ya kuombea viza ya kuja Tanzania!

      i see...................
      Uliyeokota nae kuni ndiye wa kuota nae moto...............

    15. #15
      Massenberg's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 4th June 2011
      Posts : 441
      Rep Power : 516
      Likes Received
      251
      Likes Given
      0

      Default

      Quote By PapoKwaPapo View Post
      Mkuu mbona ingekuwa heri kama ungelikuwa unajaza yote, Siku moja nilifika hapo kumuombea rafiki yangu visa..tatizo likaja hakujua nini cha kujaza basi nikaenda mapokezi kuuliza nijaze nini hapa? kuna mama mmoja nimemsahau jina akaniambia hapo hakuna umuhimu wa kujaza.....sehemu yenyewe inahusiana na details za msafiri au muombaji wa visa, aisee nilicheka sana.
      Angalia kwenye hiyo fomu hata sehemu ambazo unatakiwa kujaza maelezo marefu kidogo, mfano hapo kwenye Date and place of birth au hapo kwenye Residence address; hivi nafasi ndogo kama hiyo mtu unajaza kitu gani ambacho kitasomeka kwa urahisi?

    16. #16
      Massenberg's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 4th June 2011
      Posts : 441
      Rep Power : 516
      Likes Received
      251
      Likes Given
      0

      Default

      Quote By Kiranga View Post
      Hakuna haja ya ukiritimba. Wangekuwa na form ya kijitabu cha kurasa kumi kuomba visa mngewasema wanakimbiza watalii, wanafuja fedha na maliasili.

      Wamekuja na form simple ya kurasa moja mnawasema. Wewe ulitaka information gani zaidi hapo?

      Kama unajali sana watu wanavyoingia Tanzania kitu cha kuangalia ni jinsi hati za kusafiria za Tanzania (passports) zinavyogawiwa ovyo kama njugu. Hizi habari za visa nchi ambayo hata haina border control ni kichekesho tu.
      Kujijibu mwenyewe swali lako kwamba mimi ninataka information gani zaidi hapo, nenda mtandaoni katafute fomu za viza za nchi zingine halafu utaelewa tunachokijadili.

    17. #17
      babuwaloliondo's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 14th March 2011
      Posts : 171
      Rep Power : 397
      Likes Received
      46
      Likes Given
      207

      Default Re: AMIMI USIAMINI - Hii ndiyo fomu ya kuombea viza ya kuja Tanzania!

      yaani hii inchi aibu tupu, sijui nani katuloga
      The hottest places in hell are reserved for those who in times of great moral crisis maintain their neutrality.- JFK

    18. #18
      Mabwepande's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 17th February 2012
      Posts : 230
      Rep Power : 0
      Likes Received
      31
      Likes Given
      0

      Default Re: AMIMI USIAMINI - Hii ndiyo fomu ya kuombea viza ya kuja Tanzania!

      Inatia uchungu kwa kweli.. Ndiyo maana takataka za kila aina zinaingia nchi.. Yani masharti ya kwenda kukopa mkopo benki ni magumu kuliko kuomba visa.

    19. #19
      ritz's Avatar
      JF Premium Member Array
      Join Date : 1st January 2011
      Location : Republic of Nauru
      Posts : 6,803
      Rep Power : 6890
      Likes Received
      1553
      Likes Given
      105

      Default Re: AMIMI USIAMINI - Hii ndiyo fomu ya kuombea viza ya kuja Tanzania!

      Quote By King Kong III View Post
      Kuna jamaa m1 nshamsahau alishawahi kusema wataalamu na wasomi ndio wanaoifirisi hii nchi.
      Mmmm!!!!
      Nyunyu likes this.
      "Kuna kontena la futi 40 lilobeba karatasi za kupigia kura limekamatwa Tunduma" Dk W. Slaa

    20. #20
      Raia Fulani's Avatar
      JF Premium Member Array
      Join Date : 12th March 2009
      Posts : 7,029
      Rep Power : 2043
      Likes Received
      661
      Likes Given
      386

      Default Re: AMIMI USIAMINI - Hii ndiyo fomu ya kuombea viza ya kuja Tanzania!

      hivi, hiyo fomu imeanza kufanya kazi mwaka huu? Au mleta mada utuambie tusiyojua

    21. #21
      Massenberg's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 4th June 2011
      Posts : 441
      Rep Power : 516
      Likes Received
      251
      Likes Given
      0

      Default

      Quote By Raia Fulani View Post
      hivi, hiyo fomu imeanza kufanya kazi mwaka huu? Au mleta mada utuambie tusiyojua
      Kwa haraka haraka tu, mfano nenda kwenye tovuti ya ubalozi wa Tanzania Uingereza halafu nenda section ya viza, click hapo kisha utapata sehemu ya ku-download hiyo fomu. Imekuwa hivyo ilivyo kwa miaka kadhaa sasa.

    22. #22
      sosoliso's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th May 2009
      Posts : 435
      Rep Power : 547
      Likes Received
      159
      Likes Given
      80

      Default Re: AMIMI USIAMINI - Hii ndiyo fomu ya kuombea viza ya kuja Tanzania!

      yaani sie kila ki2 ni ovyo 2 jamani.. kila ki2..!

    23. #23
      Polisi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 22nd November 2010
      Posts : 758
      Rep Power : 530
      Likes Received
      88
      Likes Given
      24

      Default Re: AMIMI USIAMINI - Hii ndiyo fomu ya kuombea viza ya kuja Tanzania!

      we ****, ingekuwa vema kama ungetuwekea na visa application za nchi nyingine angalau mbili ili tuone tofauti. kwa sisi ambao hatujawahi kuziona fomu za nchi nyingine tunaweza kudhani hii ya tanzania ndo the best form ever
      ''Taabu Huisha Bali Ujinga Hudumu''

    24. #24
      MTAZAMO's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 8th February 2011
      Posts : 2,033
      Rep Power : 785
      Likes Received
      593
      Likes Given
      62

      Default Re: AMIMI USIAMINI - Hii ndiyo fomu ya kuombea viza ya kuja Tanzania!

      Ipo shallow kupitiliza!! Kwa ulimwengu wa sasa ulivyochafuka ni hatari mno!

    25. #25
      Massenberg's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 4th June 2011
      Posts : 441
      Rep Power : 516
      Likes Received
      251
      Likes Given
      0

      Default

      Quote By Polisi View Post
      we ****, ingekuwa vema kama ungetuwekea na visa application za nchi nyingine angalau mbili ili tuone tofauti. kwa sisi ambao hatujawahi kuziona fomu za nchi nyingine tunaweza kudhani hii ya tanzania ndo the best form ever
      Naamini great thinker yeyote anafahamu kuwa fomu za viza za nchi yoyote huwa zinapatikana kwenye tovuti ya ubalozi wa hiyo nchi, sijui wewe.

    26. #26
      ritz's Avatar
      JF Premium Member Array
      Join Date : 1st January 2011
      Location : Republic of Nauru
      Posts : 6,803
      Rep Power : 6890
      Likes Received
      1553
      Likes Given
      105

      Default

      Quote By Massenberg View Post
      Mara nyingi huwa tunazungumzia namna ambavyo nchi ya Tanzania inaendeshwa katika utaratibu wenye kutia aibu na fedheha kwa taifa na wananchi wake na inastaajabisha pale unapotafiti aina ya watu wenye madaraka ukilinganisha na uwezo wao.

      Atachment iliyopo kwenye mada hii ndiyo fomu raia wa kigeni anayojaza pale anapoomba viza ya kuja nchini kwetu. Ni ukurasa mmoja tu ambao sehemu anayojaza ni theluthi moja tu ya kurasa hiyo.

      Kwa wale ambao mmewahi kuomba viza kwenda nchi zingine naamini mtaweza kulinganisha information unazotakiwa kutoa kuhusu wewe ni nani na unafanya nini, una mahusiano gani, viambatanisho muhimu, n.k.

      Ukiangalia fomu hii unaweza sasa kuelewa ni kwa nini hapa nchini kuna raia wengi wa kigeni ambao hawakupaswa kuingia nchini, watu ambao wasingethubutu kuomba viza nchi zingine, lakini kwa vile serikali imeifanya nchi kuwa shamba la bibi kwa kupitia upumbavu wa namna hii, matokeo yake ni nchi kudharaulika.

      Hii ndiyo fomu iliyobuniwa na wataalam wetu waliopo uhamiaji>
      Jioneeni wenyewe!
      Mkuu, hivi umeishawahi kuziona fomu za kuombea Viza za China au Korea?

    27. #27
      Gamba la Chuma's Avatar
      Member Array
      Join Date : 11th February 2012
      Posts : 18
      Rep Power : 376
      Likes Received
      8
      Likes Given
      0

      Default Re: AMIMI USIAMINI - Hii ndiyo fomu ya kuombea viza ya kuja Tanzania!

      Inasikitisha. Watanzania hatuna utaifa na hatupendani ndio maana tunajiona kama ni wakarimu sana kwa wageni. Wenzetu wanapendana na wana utaifa, ndio maana wanalinda sana mambo yao na hadhi ya watu wao. Nilitaka kulifanyia kazi suala hili, lakini nikagundua nchi yetu kila kona iko hovyohovyo; uhamiaji, tra, tbs, madini, bot, tanapa, bandari yaani kila sehemu ni hovyo. Mbaya zaidi hata TISS wanafanya siasa, na hawana uzalendo tena.
      Arumeru Kula CCM, KURA Chadema !

    28. #28
      mabush star's Avatar
      Junior Member Array
      Join Date : 5th February 2012
      Posts : 9
      Rep Power : 317
      Likes Received
      0
      Likes Given
      0

      Default Re: AMIMI USIAMINI - Hii ndiyo fomu ya kuombea viza ya kuja Tanzania!

      well done muchunguzi wetu kwani si rahisi kuditekti yote haya kama machache au la
      infwact bwana you' re a great thinker!!
      kiip it ap,...

    29. #29
      satellite's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 18th November 2010
      Location : HOMELAND SECURITY
      Posts : 449
      Rep Power : 469
      Likes Received
      80
      Likes Given
      45

      Default Re: AMIMI USIAMINI - Hii ndiyo fomu ya kuombea viza ya kuja Tanzania!

      [QUOTE=Gamba la Chuma;3359079]Inasikitisha. Watanzania hatuna utaifa na hatupendani ndio maana tunajiona kama ni wakarimu sana kwa wageni. Wenzetu wanapendana na wana utaifa, ndio maana wanalinda sana mambo yao na hadhi ya watu wao. Nilitaka kulifanyia kazi suala hili, lakini nikagundua nchi yetu kila kona iko hovyohovyo; uhamiaji, tra, tbs, madini, bot, tanapa, bandari yaani kila sehemu ni hovyo. Mbaya zaidi hata TISS wanafanya siasa, na hawana uzalendo tena.[/QUOTE

      Kuja Tanzania ni kama vile unampeleka mtoto kindergaten za kata akaanze kusoma maana wanajali mshiko tu ila kama ni chizi,taahira wao hilo hawajari

    30. #30
      LoyalTzCitizen's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 15th September 2010
      Location : Lashkar Gah,Helmand Province
      Posts : 1,364
      Rep Power : 676
      Likes Received
      103
      Likes Given
      115

      Default Re: AMIMI USIAMINI - Hii ndiyo fomu ya kuombea viza ya kuja Tanzania!

      Quote By Gamba la Chuma View Post
      Inasikitisha. Watanzania hatuna utaifa na hatupendani ndio maana tunajiona kama ni wakarimu sana kwa wageni. Wenzetu wanapendana na wana utaifa, ndio maana wanalinda sana mambo yao na hadhi ya watu wao. Nilitaka kulifanyia kazi suala hili, lakini nikagundua nchi yetu kila kona iko hovyohovyo; uhamiaji, tra, tbs, madini, bot, tanapa, bandari yaani kila sehemu ni hovyo. Mbaya zaidi hata TISS wanafanya siasa, na hawana uzalendo tena.
      Hata sifahamu kabisa kama hao viongozi nao wanajiita ni viongozi wth!? hili linchi limeoza!! flippin helll!!
      "A government that robs Peter to pay Paul can always depend on the support of Paul.." (GB Shaw)

    Page 1 of 4 123 ... LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...