Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Matrekta ya 'Kilimo Kwanza' yanaozea Dodoma

    Report Post
    Page 2 of 2 FirstFirst 12
    Results 21 to 36 of 36
    1. #1
      tatanyengo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 30th March 2011
      Posts : 931
      Rep Power : 599
      Likes Received
      220
      Likes Given
      186

      Default Matrekta ya 'Kilimo Kwanza' yanaozea Dodoma

      Kama ilivyo kawaida serikali yetu huanzisha mipango kabambe ambayo kwa sababu moja au nyingine utekelezaji wake huwa mgumu.Miaka michache iliyopita serikali ilikuja na mpango wa KILIMO KWANZA. Ili kukamilisha azma hiyo power tilers na matrekta yaliagizwa kwa wingi nchini ili wakulima waweze kuyanunua.

      Jambo la kusikitisha ni kwamba yale yaliyopelekwa kwenye 'yard' ya Dodoma ni mengi na hayanunuliwi. Kwa sasa yamesongwa na kufunikwa na nyasi ndefu. Inasikitisha, na pengine naweza kusema serikali ilikurupukia mpango huo.
      'Our Problems can be solved,our challenges can be met'- Obama

    2. Miaka 50

    3. #21
      Mwanakili90's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th November 2010
      Posts : 1,553
      Rep Power : 752
      Likes Received
      201
      Likes Given
      3

      Default

      Quote By Raia Mwema
      Tafadhali, mtoa hoja uko wapi? Niko Dodoma sema yako wapi? Nikashuhudie na kuondoa kiwingu cha siasa hapa JF
      Nimeku inbox fata hayo maelekezo then utafika.

    4. #22
      Biro's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 27th August 2010
      Location : Kulwisi
      Posts : 108
      Rep Power : 464
      Likes Received
      8
      Likes Given
      7

      Default Re: Matrekta ya 'Kilimo Kwanza' yanaozea Dodoma

      Quote By Mlangaja
      Mimi nipo Dodoma nathibitisha kwamba yapo. Area D barabara ya kwenda Morogoro sehemu inayoitwa Njedengwa. Yapo mengi sana tu.
      Kimsingi mpango wa trekta ungeliwezesha taifa sana katika mambo ya uchumi. Lakini ugumu unakuja pale ambapo unalima halafu mipaka ya nchi inafungwa na hawa viwavi jeshi. Hivi ni nani anayetaka hasara. Mimi ninunue trecta huku nikijua kabisa, nachezea shilingi kwenye mdomo wa choo? Haiwezekani hata kidogo.
      Wengi tunapenda sana kutumia mashine kwenye kilimo lakini sera za nchi hii ni kama moshi ndani ya tembe siku ya mvua kubwa. Sheria zinazunguka tu, hazieleweki kabisa.
      Unajua miaka haifanani, serikali ingekuwa na sera za kuwalinda watu wake, mfano umelima mwaka wa kwanza na umepata hasara. Kimsingi kungekuwa na tathmini na serikali ione ni kwa namna gani inaweza kumsaidia mtu huyu lakini ndo kwanza wanachelea kumpokonya kila kitu. Haya ndiyo matokeo yake. Nakwambia watashusha bei lakini bado yataoza.
      mliokuwa mnaulizia yapo wapi mmepewa data, nendeni huko mlikoambiwa harafu mje mkanushe hapa. tujue mbivu na mbichi

    5. #23
      omujubi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th December 2011
      Location : Bumbire Island
      Posts : 1,604
      Rep Power : 697
      Likes Received
      657
      Likes Given
      1660

      Default Re: Matrekta ya 'Kilimo Kwanza' yanaozea Dodoma

      kama ulikuwa ukifuatilia suala hili kwa karibu nadhani ulisikia majina yaliyokuwa linked na hii biashara maana wengine tayari wapo mahakamani kwa makosa ya kusababisha hasara kama hayo matrekta yatakavyoozea hapo yalipo. Na hata ulisikia 'ugomvi' baina ya haohao waibaji!

      Mimi ninachojiuzila (of course wote tunajua) inakuwaje serikari ilishatangaza kujitoa kwenye ufanyaji wa biashara alafu inapitia mlango wa nyuma kwa jina la SUMA JKT ambapo nimeona hata magaqri yao hayana namba za 'JW' bali 'T123 ABC' kama za walipa kodi wengineo wa mtaani.

      Daima Muda umekuwa lafiki wa wasema ukweli na naamini hautawatupa hata kwenye jambo hili
      Quote By tatanyengo
      Kama ilivyo kawaida serikali yetu huanzisha mipango kabambe ambayo kwa sababu moja au nyingine utekelezaji wake huwa mgumu.Miaka michache iliyopita serikali ilikuja na mpango wa KILIMO KWANZA. Ili kukamilisha azma hiyo power tilers na matrekta yaliagizwa kwa wingi nchini ili wakulima waweze kuyanunua.

      Jambo la kusikitisha ni kwamba yale yaliyopelekwa kwenye 'yard' ya Dodoma ni mengi na hayanunuliwi. Kwa sasa yamesongwa na kufunikwa na nyasi ndefu. Inasikitisha, na pengine naweza kusema serikali ilikurupukia mpango huo.

    6. #24
      Mwanakili90's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th November 2010
      Posts : 1,553
      Rep Power : 752
      Likes Received
      201
      Likes Given
      3

      Default Re: Matrekta ya 'Kilimo Kwanza' yanaozea Dodoma

      kwa faida ya wanajf,

      Ile yadi niya bwana mmoja anayejulikana kama MAIMU,AMBAYE alitajwa kama mwekezaji na mmiliki wa sehemu ya eneo ambapo wakazi wa njedengwa walibomolewa nyumba zao.

      Pia anatajwa kutoka kijiji kimoja na naibu ambaye mlikuwa mnasema ni mchapakazi (Mwanri) na kunataarifa kuwa yeye ndiye aliyempa mchongo wa matrecta hayo.

      Historia inaonesha katika ukumbi ambao ccm waliutumia kumpendekezea kikwete awe raisi,na bilali awe mgombea mwenza mwanzoni ulikuwa ni ghala la maindi,na huyu bwana (MAIMU) ndio aliyepigiwa upatu ili apate dili ilo la kuhamisha maindi na kuwezesha kufanyika kwa mkutano huo pale kizota.
      Sabasaba likes this.

    7. #25
      Mtoboasiri's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th August 2009
      Location : Am at Large!
      Posts : 3,615
      Rep Power : 0
      Likes Received
      1155
      Likes Given
      747

      Default

      Quote By fofofo
      Taarifa imejaa porojo, usanii ni kama imetoka mtaa wa mchikichini karikaoo kwa wauza mitumba.
      Maswali yenu na mwenzako yamejibiwa, tena kwenye thread hii hii (achilia mbali habari kama hizi zilizoandikwa kwenye gazeti - tena la serikali Daily News wiki iliyopita). Na kuna thread nyingine inayotoa tangazo la punguzo la bei za matrekta yaliyoletwa kwenye huo "mpango" wa kilimo kwanza, sasa kama yananunulika bei itapunguzwa? Wapunguze na bei ya Umeme basi.

      Hata kama ni ajira yenu kuitetea serikali hii (ambayo hata mwehu anajua kuwa imeshindwa ku-perform kwa practically kila jambo) basi angalau mjenge hoja, sio kung'ang'aniza hata visivyong'ang'anizika!

    8. FemaTV & Radio

    9. #26
      MWEEN's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th February 2010
      Location : Nainokanoka
      Posts : 315
      Rep Power : 555
      Likes Received
      89
      Likes Given
      175

      Default Re: Matrekta ya 'Kilimo Kwanza' yanaozea Dodoma

      "Kilimo kwanza" was never intended to help the Tanzanian peasant. Ni mpango ulioandaliwa na wafanyabiashara ili kujinufaisha na mafungu ya pembejeo. Hakuna utaalamu wa kilimo au mifugo uliohusishwa kwenye andiko lote la mpango huu. Wapo wanaojiita Agroeconomists (sio wataalamu wa kilimo wala mofugo bali wachumi wa kilimo na mifugo) na wale wanaojiita Entrepreneurs (S&M enterprises) na walaji wakubwa wa TCCIA.

      Serikali iliingizwa mkenge nao wakaenda kichwa kichwa.
      "To argue with a person who has renounced the use of reason is like administering medicine to the dead."
      Thomas Paine

    10. #27
      OTIS's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 7th September 2011
      Posts : 1,918
      Rep Power : 773
      Likes Received
      477
      Likes Given
      202

      Default Re: Matrekta ya 'Kilimo Kwanza' yanaozea Dodoma

      Huyo jamaa aliona atauza matrekta kisa kilimo kwanza.
      Kilimo kwanza sio matrekta pekee
      OTIS
      ONLY THE ILLUMINATI SUCCEED
      (OTIS)

    11. #28
      Mtoboasiri's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th August 2009
      Location : Am at Large!
      Posts : 3,615
      Rep Power : 0
      Likes Received
      1155
      Likes Given
      747

      Default

      Quote By Biro
      mliokuwa mnaulizia yapo wapi mmepewa data, nendeni huko mlikoambiwa harafu mje mkanushe hapa. tujue mbivu na mbichi
      Warudi wakati wamepewa za uso? Kwa hili hutawaona tena hapa kwa ID yeyote!

    12. #29
      MANI's Avatar
      JF Platinum Member Array
      Join Date : 22nd February 2010
      Location : CHINI YA MBUYU
      Posts : 1,915
      Rep Power : 954
      Likes Received
      569
      Likes Given
      631

      Default Re: Matrekta ya 'Kilimo Kwanza' yanaozea Dodoma

      Quote By Biro
      mliokuwa mnaulizia yapo wapi mmepewa data, nendeni huko mlikoambiwa harafu mje mkanushe hapa. tujue mbivu na mbichi
      Mkuu tatizo ni kuwa tuna wakina Tomaso wengi sana humu.
      " TANZANIA BILA CCM INAWEZEKANA"

    13. #30
      ndyoko's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd November 2010
      Posts : 4,505
      Rep Power : 1706
      Likes Received
      1199
      Likes Given
      1916

      Default Re: Matrekta ya 'Kilimo Kwanza' yanaozea Dodoma

      Mi najiandaa kununua moja kwa bei ya seli kazole
      “If you can not get what you love, then love what you have”

    14. Re: Matrekta ya 'Kilimo Kwanza' yanaozea Dodoma
      Mi najiandaa kununua moja kwa mfumo wa seli kazole
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd November 2010
      Posts : 4,505
      Rep Power : 1706
      Likes Received
      1199
      Likes Given
      1916

      Default"https://www.jamiiforums.com/clear.gif" alt="Reply With Quote" />data-cfstyle="display:none" id="progress_3214518" style="display:none;visibility:hidden;" data-cfsrc="template/JamiV1/default/misc/progress.gif" alt="" /> Reply With Quote


    15. #32
      ndyoko's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd November 2010
      Posts : 4,505
      Rep Power : 1706
      Likes Received
      1199
      Likes Given
      1916

      Default Re: Matrekta ya 'Kilimo Kwanza' yanaozea Dodoma

      Walidhani kwa kuyaweka barabarani, kwenye kiwanja cha mtu anayejijengea shule yake, yangenunuliwa wapi bwana, huyo aliyewadanganya ameshakula 10%, maisha yanaendelea
      “If you can not get what you love, then love what you have”

    16. #33
      Ileje's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 20th December 2011
      Posts : 1,028
      Rep Power : 580
      Likes Received
      403
      Likes Given
      106

      Default Re: Matrekta ya 'Kilimo Kwanza' yanaozea Dodoma

      Quote By Raia Mwema
      Niko Dodoma ni mji mdogo mbona sijaona matrekta hayo yapo eneo gani la Dodoma na mimi nikajionee sasa hivi kama ni kweli. Nitauliza na wahusika kama nitawakuta
      Angalia mbele, siyo kuweka macho yako utosini!

    17. dkn
      #34
      dkn's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 7th October 2010
      Posts : 124
      Rep Power : 462
      Likes Received
      18
      Likes Given
      35

      Default Re: Matrekta ya 'Kilimo Kwanza' yanaozea Dodoma

      Hapo umenena, huwezi kuweka investment ya hela kwenye kilimo pale unapofanikiwa kupata mazao serikali inapanga bei za ajabu na kibaya zaidi mipakani wanazuia wananchi wasiuze mazao yao nje. Upuuzi mtupu umejaa, kuwe na open/free market na serikali inunue mazao na kuhifadhi kama kutatokea janga la njaa na wananchi pia siyo wajinga hivyo kuuza kila kitu. Wananchi wapatiwe mikopo ya pembejeo na madawa na soko liwe huru uchumi utakuwa haya mambo ya kuleta tractors bila kuwa na strategy ya masoko ya mazao yetu tofauti na hapo utasikia serikali inadaiwa kulipa madeni ya IMF. WB kwa matreka yalisomama na kuozea chini.

    18. #35
      Ringo Edmund's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 10th May 2010
      Location : MDAWI
      Posts : 3,670
      Rep Power : 1361
      Likes Received
      885
      Likes Given
      586

      Default Re: Matrekta ya 'Kilimo Kwanza' yanaozea Dodoma

      kuna watu wanafikiri kwa kutumia ma.vi na si m.akalio tu.

      oo lete ushahidi oo mimi nipo dodoma oo lete picha.

      sasa lete ubishi tukupe namba ya maimu huyu mchaga alikuwa anataka kujenga shule hapa kushindana na mchaga mwenzake mmanga mwenye shule ya martin luther pale kisasa akachemsha alijenga fensi barabarani ikapigwa x akasalimuamri hiyo yadi kaachia mafisadi wameweka matrekta lukuki pale na kupitia haohao ndio wamefukuza watu kule njedengwa.

      mkiipenda ccm yenu msijekutetea upuuzi humu.

      nina hasira ningewachapa vibao pu.....fu.
      ​kusema ni fedha na kusikilizwa ni zahabu.

    19. #36
      Tinker's Avatar
      Member Array
      Join Date : 30th December 2011
      Posts : 67
      Rep Power : 386
      Likes Received
      26
      Likes Given
      20

      Default Re: Matrekta ya 'Kilimo Kwanza' yanaozea Dodoma

      mwenye majibu ni mtoto wa mkulima

    Page 2 of 2 FirstFirst 12

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...