Habari kutoka source ya kuaminika zinasema jk yuko kwenye meeting na dr slaa ikulu mida hii
My take:naona jk anajaribu kuomba ushauri nchi imekuwa ngumu last wek ilikuwa Mbowe, leo Dr Slaa
Picha bidae
Ni kitu chema kama wanakutaka kwa maendeleo ya watz na nchi kwa ujumla.
Kikwete afanye ustaarabu aachie maradaka. Hiyo tu ndo suluhisho yasimkute ya Ghadafi
wananchi wamechoka na uvumilivu naye unakwisha
KAFU kweli hawatalia na wao wanataka ?
JK anawezaje kukutana na Chama cha msimu ? Chama cha Kikanda ? Chama cha ruzuku ? Ana hofu gani ?
CCM hawana thamani sawa na ngozi ya nguruwe maana huwezi kuitumia kuwamba ngoma au kulalia kama kirago.
Yetu macho
Rais Jk kakutana na Chadema Ikulu na Slaa ndani?
"Mimi ndio Rais wenu"-JK
Wanamagamba watapiga sana kelele Slaa is Slaa hamtamuweza
JF the best place to be. and the POWER of God be with us all the time.
aisee! tunasubiri picha
"watakaotubeza na kututukana wasameheni wanahitaji ukombozi wa fikra" Mh.G.Lema
Namsubili Pasco wa JF azidi kuumbuka na ripoti zake za Kizandiki eti kwa nini Dr Slaa na JK hawakusalimiana kwenye msiba wa Regia! mijitu mingine hovyo kweli kweli.
"If u pick a wrong fight, at least pick a right weapon"
picha puliz
Niliishawaambia umuhimu wa DR kwenye nchi hii nilijua lazima mtabisha sana lakini nilishukuru na nnashukuru kuwa JK analifahamu hilo. Time will tell.
Ni mkutano kati ya Rais na Slaa ama ni mkutano kati ya Rais na viongozi wa CDM akiwemo Katibu Mkuu? Mbona mkutano wa usiku au wanakutana kunywa kahawa ya jioni?
Naona usalama wa taifa wanampa picha halisi juu ya mwenendo wa siasa hapa nchini,tuache ushabiki bila ku reconcile na cdm na dola kuendeleza mtindo wa kutumia vyombo vya dola,Ya Misri,Tunisia nk.hayako mbali.Kila mtz anaamini cdm ndiyo suluhisho la matatizo yake
Pasco yuko wapi? Sasa hakuna haja yakupanda juu ya kaburi kuitafuta picha.
Gazeti la Mwananchi kesho ''SLAA AKUBALI YAISHE''
"watakaotubeza na kututukana wasameheni wanahitaji ukombozi wa fikra" Mh.G.Lema
Dr kata kilimilimi wote wanaochonga wabaki midomo wazi kama milango ya police 4j4hd
Dk Slaa ni mtu makini na anacheza na mind za magamba kwa sababu magamba wamepiga kelele oo mara sijui hamtambui oo sas dr kaenda kukutana ja JK ili kidomo domo kiishe kabla hawahjazusha ,emngine makubwa ambayo hata haya exist
JF the best place to be. and the POWER of God be with us all the time.
Leo ha2oni juice, jk
kawanyima!
Taifa hili ni letu sote hatuwezi kuwaacha watu wachache waandike katiba kama wanavyotaka wote lazima tushiriki.
Kwa kweli nimeipenda hii. Kwa watu wasiofuatilia vizuri watafurahia picha na wataenda kulala vizuri. Vyombo vya habari vilivyotaka picha vitapamba kurasa zao kwa picha hiyo lakini hawatauliza walizungumza nini. Yawezekana ni ultimatum ya aina fulani?
Fikiria kwamba wameamua kuweka msimamo wao wazi kwa JK baada ya chai, na kupiga picha na mbwebwe nyingine kuwa "ukiunda tume ya Katiba na ikaanza kazi kabla mabadiliko ya sheria ya mchakato wa katiba hayajafanyika kama tulivyopendekeza basi CDM itajitoa na tutahamasisha wananchi kutoshiriki". Msimamo wa aina hiyo haukuwa na mtu mwingine wa kuuweka wazi mbele ya JK kama Slaa.
Think about it.
Binafsi naamini, sasa CDM imejiweka mahali ambapo CCM haikutarajia - imewarushia CCM kamba yenye fundo!
Usiku huu ujumbe wa CDM ukiongozwa na mwenyekiti wake Freeman Aikael Mbowe umekutana na Rais ikulu kwa mwendelezo wa mazungumzo kuhusu katiba mpya.
wengine waliokuwemo kwenye ujumbe huo ni pamoja na katibu mkuu Dr Wilibrod Slaa na Makam mwenyekiti zanzibar.
My take.hii ndio siasa kwani siasa sio uadui.hivi ndio kumuenzi Rejia kwa vitendo kwani yeye ndio mwanzilishi wa hoja ya cdm kukutana na Rais.
source:michuzi blog.
lakini mbona hii ya leo imekuwa kimya kimya sana?
"watakaotubeza na kututukana wasameheni wanahitaji ukombozi wa fikra" Mh.G.Lema
Namuona Rais wa Watanzania na jk
Invisible, asante kwa taarifa hii.WanaJF wenzangu, ile much anticipated photo ya wakisalimiana, nilioitafuta kwa udi na uvumba, hatimaye nimeiona!. Roho yangu imetulia, tuliyoyasema kule nyuma hatimaye yametimia!
Thread ya kutimia iko mbioni kupanda.
wale wote mlionitukana sana pale mwanzo nilipoeleza Chadema Yakubali Yaishe!, Yamtambua Rasmi JK!.
Mlio hai niombeni msamaha, waliotamgulia nimeshawasamehe!
Follow Us Here