JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Kutoka viwanja vya Karimjee, Buriani kwa Mh Regia Mtema

  Report Post
  Page 1 of 22 123 11 ... LastLast
  Results 1 to 20 of 422
  1. Josephine's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 5th September 2010
   Posts : 786
   Rep Power : 845
   Likes Received
   808
   Likes Given
   164

   Default Kutoka viwanja vya Karimjee, Buriani kwa Mh Regia Mtema

   Watu ni wengi wameanza kujitokeza,waheshimiwa wabunge,viongozi wa serikali ngazi mbalimbali,na wananchi kwa ujumla wakiungana na wanafamilia pamoja na wanachadema.

   Mda si mrefu mwili wa marehemu utawasili ndani ya viwanja hivi.

   Napenda kuwakaribisha nyote,zoezi hili halitachukua mda mrefu zaidi ya masaa 2.na baadae safari ya kuelekea Ifakara.

   Mshumaa wetu umezima.

   Kwa picha bonyeza link hii chini:

   PICHA: Yaliyojiri Karimjee katika kumuaga Regia Mtema  2. Molemo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 24th September 2010
   Posts : 12,479
   Rep Power : 110913977
   Likes Received
   7293
   Likes Given
   578

   Default re: Live: Ndani ya viwanja vya Karimjee, Buriani kwa Mh Regia Mtema

   Asante sana mama yetu Josephine.Tafadhali tujulishe kila kitakachoendelea

  3. PakaJimmy's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 29th April 2009
   Posts : 16,218
   Rep Power : 16106726
   Likes Received
   8132
   Likes Given
   3624

   Default re: Live: Ndani ya viwanja vya Karimjee, Buriani kwa Mh Regia Mtema

   Lete habari Mammy yetu!
   Sisi tulioko kisogoni mwa nchi tunategemea sana posts zenuili kwa njia moja ama nyingine tushiriki msiba huu mzito wa rafiki yetu!
   RIP REGIA!


   Mgaza jm likes this.
   "The only thing that walks back from the tomb with the mourners and refuses to be buried is the character of a man.
   What a man is, survives him... it can never be buried"
   (GENEKAI-Jamiiforums, 4th November 2010 07:32PM).
   [email protected]

  4. #4
   Pasco's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd September 2008
   Posts : 15,492
   Rep Power : 269294192
   Likes Received
   13239
   Likes Given
   60586

   Default re: Live: Ndani ya viwanja vya Karimjee, Buriani kwa Mh Regia Mtema

   Asante sana Josephine.
   Pamoja sana!
   Rip. Regia!.

  5. #5
   Rejao's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 4th May 2010
   Location : Long Street
   Posts : 9,113
   Rep Power : 25818
   Likes Received
   3595
   Likes Given
   3074

   Default re: Live: Ndani ya viwanja vya Karimjee, Buriani kwa Mh Regia Mtema

   Asante kwa taarifa. Apumzike kwa amani


  6. ndetichia's Avatar
   JF Gold Member Array
   Join Date : 18th March 2011
   Location : Mwime - Buswangili
   Posts : 26,937
   Rep Power : 98146677
   Likes Received
   4251
   Likes Given
   377

   Default re: Live: Ndani ya viwanja vya Karimjee, Buriani kwa Mh Regia Mtema

   ngoja tuanze kujongea hapo karimjee

  7. Kachanchabuseta's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 8th March 2010
   Posts : 7,266
   Rep Power : 2009
   Likes Received
   622
   Likes Given
   1432

   Default re: Live: Ndani ya viwanja vya Karimjee, Buriani kwa Mh Regia Mtema

   Apumzike kwa Amani our beloved Regia

  8. #8
   Ritz's Avatar
   JF Tanzanite Member Array
   Join Date : 1st January 2011
   Location : Republic of Nauru
   Posts : 33,568
   Rep Power : 95729342
   Likes Received
   15878
   Likes Given
   2057

   Default re: Live: Ndani ya viwanja vya Karimjee, Buriani kwa Mh Regia Mtema

   Asante kwa taarifa! Msalimie Jombii wetu!

  9. Edmond's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 7th October 2010
   Posts : 355
   Rep Power : 605
   Likes Received
   51
   Likes Given
   32

   Default re: Live: Ndani ya viwanja vya Karimjee, Buriani kwa Mh Regia Mtema

   Duh its too sad, RIP Late Hon Regia Mtema

  10. mtu chake's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 20th August 2010
   Location : Kivu
   Posts : 2,492
   Rep Power : 1925
   Likes Received
   1183
   Likes Given
   2010

   Default re: Live: Ndani ya viwanja vya Karimjee, Buriani kwa Mh Regia Mtema

   Tunashukuru kwa taarifa...
   @@

  11. #11
   n00b's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 10th April 2008
   Posts : 924
   Rep Power : 28495
   Likes Received
   2071
   Likes Given
   226

   Default re: Live: Ndani ya viwanja vya Karimjee, Buriani kwa Mh Regia Mtema

   Mhe. Waziri Mkuu ndo anawasili. Zitto kishawasili na viongozi wengine wamefika

  12. zululima's Avatar
   Member Array
   Join Date : 22nd July 2011
   Location : tz dar es salaam
   Posts : 84
   Rep Power : 509
   Likes Received
   14
   Likes Given
   257

   Default re: Live: Ndani ya viwanja vya Karimjee, Buriani kwa Mh Regia Mtema

   Hakika kitachoagwa ni mwili tu lakini matendo yake yatadumu milele. kalale pema peponi mpendwa shujaa wetu REGIA MTEMA. POLENI WANA JF WENZANGU, WANA FAMILIA, WANA CHADEMA NA WATANZANIA WOTE.

  13. Preta's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 28th November 2009
   Location : yaeda chini
   Posts : 19,702
   Rep Power : 172828073
   Likes Received
   12068
   Likes Given
   10236

   Default re: Live: Ndani ya viwanja vya Karimjee, Buriani kwa Mh Regia Mtema

   R.I.P Regia....ni ngumu kuamini kama ni kweli unaondoka namna hii.....
   Life is too short to waste time hating anyone.........

  14. Mwanajamii's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 5th March 2008
   Posts : 7,085
   Rep Power : 1906
   Likes Received
   29
   Likes Given
   13

   Default karimjee hivi sasa

   rest in peace dada.hadi sasa wabunge wengi sana wameshawasili,viongozi wa serikali,vyama vya siasa ndugu jamaa na marafiki.makam wa rais ataongoza shughuli.wapo mawaziri wengi sana.pinda ndo anaingia.

  15. PakaJimmy's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 29th April 2009
   Posts : 16,218
   Rep Power : 16106726
   Likes Received
   8132
   Likes Given
   3624

   Default re: Live: Ndani ya viwanja vya Karimjee, Buriani kwa Mh Regia Mtema

   Quote By n00b View Post
   Mhe. Waziri Mkuu ndo anawasili. Zitto kishawasili na viongozi wengine wamefika
   Noob pia unaaminika sana kwa live coverage!..keep it up!
   Nyunyu likes this.
   "The only thing that walks back from the tomb with the mourners and refuses to be buried is the character of a man.
   What a man is, survives him... it can never be buried"
   (GENEKAI-Jamiiforums, 4th November 2010 07:32PM).
   [email protected]

  16. Josephine's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 5th September 2010
   Posts : 786
   Rep Power : 845
   Likes Received
   808
   Likes Given
   164

   Default

   Quote By ritz View Post
   Asante kwa taarifa! Msalimie Jombii wetu!
   Mwanangu nipe pole.
   Ratiba inakaribia kuanza,
   mhe Waziri Mkuu na mama Tunu Pinda wameshawasili.
   Mvaa Tai, zumbemkuu and Memo like this.

  17. Mwanajamii's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 5th March 2008
   Posts : 7,085
   Rep Power : 1906
   Likes Received
   29
   Likes Given
   13

   Default Re: karimjee hivi sasa

   hamad rashid yumo

  18. Mwanajamii's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 5th March 2008
   Posts : 7,085
   Rep Power : 1906
   Likes Received
   29
   Likes Given
   13

   Default Re: karimjee hivi sasa

   kafulila

  19. Puppy's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 6th October 2011
   Posts : 1,658
   Rep Power : 813
   Likes Received
   419
   Likes Given
   60

   Default Re: karimjee hivi sasa

   Vipi kuna TV itakayoonesha japo niwah nikaangalie?

  20. Erickb52's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 1st November 2010
   Location : Ngarenaro
   Posts : 18,350
   Rep Power : 78668994
   Likes Received
   11146
   Likes Given
   17197

   Default Re: karimjee hivi sasa

   Tumuombee apokelewe kwa Mungu wetu na apumzike kwa Amani!
   Kujipenda ni Pamoja na Kuutunza Mwili wako!
   Acha Ngono,UKIMWI unaua!


  Page 1 of 22 123 11 ... LastLast

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...