JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: KAFULILA aeleze alipata wapi Shahada ya "BBA" na Mwaka gani

  Report Post
  Page 12 of 13 FirstFirst ... 210111213 LastLast
  Results 221 to 240 of 241
  1. malagarasi's Avatar
   Member Array
   Join Date : 6th December 2011
   Posts : 12
   Rep Power : 510
   Likes Received
   3
   Likes Given
   0

   Default KAFULILA aeleze alipata wapi Shahada ya "BBA" na Mwaka gani

   Katika hali isiyokuwa ya kawaida, imenishangaza kuona kafulila akiwa amelidanganya bunge la Tanzania na Dunia nzima kuwa yeye ni Graduate wa BBA(UDSM), huku ikijulikana kuwa hakumaliza chuo bali alifukuzwa akiwa mwaka wa kwanza ambapo alikuwa anasoma Evening class udsm. Tunamtaka atueleze hiyo BACHELOR OF BUSINESS ADMINISTRATION aliipata wapi na mwaka gani?

   Aidha Bunge nalo linashangaza kwa kukubali kudanganywa kirahisi, hivi ina maana Bunge letu huwa haliagizi wabunge wake wakawasilisha vyeti vyao ili kuvihakiki? Tunataka Bunge nalo litueleze ukweli juu ya Shahada ya BBA ya David Kafulila imetoka wapi?

   Huu ni ufisadi mwingine, Kinachoeleweka Kafulila ni Form six leaver tu. Mbaya zaidi Bunge limechapisha sifa za kitaaluma za kafulila na kuweka kwenye website kuwa kafulila ni graduate wa BBA,aliipata wapi na lini? Ufisadi hadi kwenye kughushi elimu! maajabu haya. Twende UDSM wakatueleze kafulila alimaliza lini? Na Bunge litueleze wamepata wapi wasifu huo wa elimu ya Kafulila kama siyo ufisadi?

  2. Jiwe la Ukara's Avatar
   Member Array
   Join Date : 15th July 2011
   Posts : 44
   Rep Power : 536
   Likes Received
   31
   Likes Given
   0

   Default Re: KAFULILA aeleze alipata wapi Shahada ya "BBA" na Mwaka gani

   Salutation Honourable Member picture
   First Name: David
   Middle Name: Zacharia
   Last Name: Kafulila
   Member Type: Constituency Member
   Constituent: Kigoma Kusini
   Political Party: NCCR-MAGEUZI
   Office Location: Box 22 Uvinza, Kigoma
   Office Phone: +255 716 426220
   Ext.:
   Office Fax:
   Office E-mail: [email protected]
   Member Status: Current Member
   Start date:
   End date:
   Date of Birth 15 February 1982
   EDUCATIONS
   School Name/Location Course/Degree/Award Start Date End Date Level
   Uvinza Primary School Primary Education 1991 1996 PRIMARY
   Kiganamo Primary School, Kasulu Primary Education 1997 1997 PRIMARY
   Chumvi Secondary School, Uvinza O-Level Education 1998 2001 SECONDARY
   Shinyanga Secondary School A-Level Education 2002 2004 HIGH SCHOOL
   National Democratic Institution (NDI) - 2009 2009 CERTIFICATE
   Fedrick Elbert Stiftung (Foundation) FES - 2007 2007 CERTIFICATE
   University of Dar Es Salaam BBA 2011 2013 NOT COMPLETED
   University of Dar es Salaam BBA 2006 2008
   CERTIFICATIONS
   Certification Name or Type Certification No. Issued Expires
   No items on list
   EMPLOYMENT HISTORY
   Company Name Position From Date To Date
   The Parliament of Tanzania Member - Kigoma South Constituency 2010 2015
   NCCR-Mageuzi Director 2009 2010
   MRD Director 2009 2010
   POLITICAL EXPERIENCE
   Ministry/Political Party/Location Position From To
   NCCR-Mageuzi Party Secretary General 2009
   CHADEMA Information Officer 2008
   CHADEMA Information Officer - Youth 2007
   PUBLICATIONS
   Description Published Date
   No items on list
   SPECIAL SKILLS
   Skill Name or Description Years Experience Acquired Through Skill Level
   No items on list
   RECOGNITIONS
   Recognition Type Recognition Date Reason Action Taken Issued by
   No items on list

  3. Jiwe la Ukara's Avatar
   Member Array
   Join Date : 15th July 2011
   Posts : 44
   Rep Power : 536
   Likes Received
   31
   Likes Given
   0

   Default Re: KAFULILA aeleze alipata wapi Shahada ya "BBA" na Mwaka gani

   Haya mwisho wa ubishi ni hu hapa!

  4. OPTIMUS TZ's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 30th January 2012
   Posts : 391
   Rep Power : 578
   Likes Received
   60
   Likes Given
   1

   Default Re: KAFULILA aeleze alipata wapi Shahada ya "BBA" na Mwaka gani

   Wazazi hapa mna leta double standards akiwa gamba kachakachua ni ishu lakini wengine shega ni mambo binafsi haiko poa mbunge ni mwakilishi wa watu na kama kachakachua kumjadili imo na pili kuchakachua vyeti ni kosa la jinai; nchi hii bwana watu wanapuuza hata elimu na muunga mkono mtoa hoja dogo aseme kasoma wapi na lini tutamng'ang'ania mpaka kieleweke

  5. OPTIMUS TZ's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 30th January 2012
   Posts : 391
   Rep Power : 578
   Likes Received
   60
   Likes Given
   1

   Default Re: KAFULILA aeleze alipata wapi Shahada ya "BBA" na Mwaka gani

   Wazazi hii CV mimi sijaielwe wa hivi vyuo au NGO;
   National Democratic Institution (NDI) - 2009 2009 CERTIFICATE
   Fedrick Elbert Stiftung (Foundation) FES

   Halafu bunge hawaulizi Certificate za kitu gani? kweli hili taifa mwisho na bado anasoma BBA? Kafulila mzazi hii haijakaa sawa

  6. Kimbunga's Avatar
   JF Platinum Member Array
   Join Date : 4th October 2007
   Location : Jimboni kusaka ridhaa
   Posts : 10,994
   Rep Power : 7213
   Likes Received
   5186
   Likes Given
   1702

   Default Re: KAFULILA aeleze alipata wapi Shahada ya "BBA" na Mwaka gani

   Quote By OPTIMUS TZ View Post
   Wazazi hii CV mimi sijaielwe wa hivi vyuo au NGO;
   National Democratic Institution (NDI) - 2009 2009 CERTIFICATE
   Fedrick Elbert Stiftung (Foundation) FES

   Halafu bunge hawaulizi Certificate za kitu gani? kweli hili taifa mwisho na bado anasoma BBA? Kafulila mzazi hii haijakaa sawa
   Mkuu mtu akitaka kunonesha CV yake utakuta anaweka shule za msingi hata tatu kama alihama toka shule moja kwenda nyingine! Si ajabu pia kukuta vikozi vya siku moja navyo vinawekwa.
   Nimekuja mzee wenu, naomba ridhaa yenu.

  7. KASIGAZI's Avatar
   Member Array
   Join Date : 25th May 2011
   Posts : 32
   Rep Power : 542
   Likes Received
   2
   Likes Given
   2

   Default Re: KAFULILA aeleze alipata wapi Shahada ya "BBA" na Mwaka gani

   Quote By leloson View Post
   nataka kufaham wewe uliyewasilisha hii mada una level gan ya elimu, manaake you presented non-sense,
   nenda fb kwa wenzako
   Mimi nafikiri sio fair kupuuza hoja ya malagalasi. Suala la Kafulila kupiga kazi haliwezi kuhalalisha ufisadi wake ktk elimu. Kama anafanya kazi vizuri basi ijulikane kwamba anafanya kwa kutumia elimu gani- ni vizuri tu. Pia, hoja ya malagalasi haimlazimu kueleza kiwango chake cha elimu- mlengwa hapa ni kafulila. Ushabiki katika kuchangia hoja si jambo zuri maana lazima litachakachua haki. Shida si kafulila tu ni pamoja na mafisadi wengine ili kujenga Tanzania iliyo safi. Sasa kweli kama makamanda wetu wa ufisadi kama kafulila wakionesha ufisadi wa namna nyingine si wataonesha hakuna anliye serious? Asante sana bwana malagalasi

  8. Mpanzi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 11th January 2011
   Posts : 742
   Rep Power : 703
   Likes Received
   358
   Likes Given
   17

   Default Re: KAFULILA aeleze alipata wapi Shahada ya "BBA" na Mwaka gani

   Kafulila alianza BBA mwaka 2006, akaahirisha mwaka 2008 wakati huo akiwa afisa habari wa CHADEMA kwa sababu anazozijua yeye, hakudisco wala kufukuzwa, ameanza tena mwaka jana na anatarajia kumaliza mwakani, ni kawaida mtu kuweka katika CV nn anachofanya, utakuata mtu anafanya PHD anaandika PHD candidate, BBA ya kafulila imeandikwa not completed acheni uzushi
   Last edited by Mpanzi; 18th April 2012 at 15:06.

  9. bona's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 6th November 2009
   Location : tanzania
   Posts : 3,427
   Rep Power : 1301
   Likes Received
   1169
   Likes Given
   4101

   Default Re: KAFULILA aeleze alipata wapi Shahada ya "BBA" na Mwaka gani

   nimeshtushwa kidogo na watu tunaompinga kwa nguvu mtoa mada, mada ni kama soko, ukiweka mada nzuri itapimwa na kutolewa majibu na kama ni sahihi basi aliyekua anabisha atazodoka na ukweli utapatikana kushambuliana bila kutoa majibu ya ku adress mada haitaifanya mada au umaarufu wake ufifie au wa mtoa mada, nadhan cha kufanya mwenye data au yeye mwenyewe huyo kafulila ni kujiweka wazi na kuthibitisha tu kua yeye ni graduate na pumba na mchele utajulikana!

   hata kama anafanya vizuri vipi sio kigezo cha kumteteta kama alifoji vyeti, hilo ni kosa la jinai na linatakiwa likemewe na raia yoyote mpenda nchi hii ifike mbali!
   ... if it is a Miracle, any sort of evidence will answer, but if it is a Fact, proof is necessary.

  10. Naytsory's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd November 2011
   Posts : 1,147
   Rep Power : 976
   Likes Received
   181
   Likes Given
   10

   Default Re: KAFULILA aeleze alipata wapi Shahada ya "BBA" na Mwaka gani

   Sidhani kufahamu ukweli wa BBA ya Kafulila kutatatua matatizo ya watanzania kwa kiasi gani, lakini pia hafanyi kazi katika field hiyo. Sioni sababu ya kujadili hili labda kama una zako unazojua mwenyewe.

  11. Nyabhurebheka's Avatar
   Member Array
   Join Date : 11th April 2011
   Posts : 72
   Rep Power : 556
   Likes Received
   21
   Likes Given
   1

   Default Re: KAFULILA aeleze alipata wapi Shahada ya "BBA" na Mwaka gani

   Mzee hizo ni chuki binafsi hazifai kujadiliwa humu jamvini

  12. Myelife's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 1st January 2012
   Posts : 130
   Rep Power : 530
   Likes Received
   38
   Likes Given
   3

   Default

   Quote By Naytsory View Post
   Sidhani kufahamu ukweli wa BBA ya Kafulila kutatatua matatizo ya watanzania kwa kiasi gani, lakini pia hafanyi kazi katika field hiyo. Sioni sababu ya kujadili hili labda kama una zako unazojua mwenyewe.
   Hii yako ni research juu ya thesisis! Kwani unadhani matatizo ya tz yanaletwa na nini!!!, poor decision making na irrespetive desicion makers ambao ni akina Kafulila, hili si suala la kisiasa bali academic perspective. And forever and ever there in no half truth and call spade a spade

  13. LOVI MEMBE's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 16th March 2012
   Posts : 1,085
   Rep Power : 710
   Likes Received
   167
   Likes Given
   8

   Default Re: KAFULILA aeleze alipata wapi Shahada ya "BBA" na Mwaka gani

   15 February 1982
   EDUCATIONS
   School Name/Location Course/Degree/Award Start Date End Date Level
   Uvinza Primary School Primary Education 1991 1996 PRIMARY
   Kiganamo Primary School, Kasulu Primary Education 1997 1997 PRIMARY
   Chumvi Secondary School, Uvinza O-Level Education 1998 2001 SECONDARY
   Shinyanga Secondary School A-Level Education 2002 2004 HIGH SCHOOL
   National Democratic Institution (NDI) - 2009 2009 CERTIFICATE
   Fedrick Elbert Stiftung (Foundation) FES - 2007 2007 CERTIFICATE
   University of Dar Es Salaam BBA 2011 2013 NOT COMPLETED
   University of Dar es Salaam BBA 2006 2008
   CERTIFICATIONS
   hii ndio cv ya kafulila acheni ngonjera za kupakazia watu . hebu soma ni wapi alipodeclare ana degree ya BBA. MSIPENDE KUPIGA MIDOMO BILA KUPIGA MSWAKI.
   Quote By malagarasi View Post
   Katika hali isiyokuwa ya kawaida, imenishangaza kuona kafulila akiwa amelidanganya bunge la Tanzania na Dunia nzima kuwa yeye ni Graduate wa BBA(UDSM), huku ikijulikana kuwa hakumaliza chuo bali alifukuzwa akiwa mwaka wa kwanza ambapo alikuwa anasoma Evening class udsm. Tunamtaka atueleze hiyo BACHELOR OF BUSINESS ADMINISTRATION aliipata wapi na mwaka gani?

   Aidha Bunge nalo linashangaza kwa kukubali kudanganywa kirahisi, hivi ina maana Bunge letu huwa haliagizi wabunge wake wakawasilisha vyeti vyao ili kuvihakiki? Tunataka Bunge nalo litueleze ukweli juu ya Shahada ya BBA ya David Kafulila imetoka wapi?

   Huu ni ufisadi mwingine, Kinachoeleweka Kafulila ni Form six leaver tu. Mbaya zaidi Bunge limechapisha sifa za kitaaluma za kafulila na kuweka kwenye website kuwa kafulila ni graduate wa BBA,aliipata wapi na lini? Ufisadi hadi kwenye kughushi elimu! maajabu haya. Twende UDSM wakatueleze kafulila alimaliza lini? Na Bunge litueleze wamepata wapi wasifu huo wa elimu ya Kafulila kama siyo ufisadi?

  14. Thanda's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 6th April 2012
   Location : Multiple Destination
   Posts : 1,917
   Rep Power : 1744
   Likes Received
   586
   Likes Given
   1552

   Default Re: KAFULILA aeleze alipata wapi Shahada ya "BBA" na Mwaka gani

   Mara nyingine tujenge hoja za msingi tunapochambua wasifu wa mtu yeyote au kiongozi..Basically, Inawezekana Kafulila anayo hiyo degree. kwani ni ajabu kwa yeye just having his bachelor? hebu rudia kupitia huo wasifu wake. 2006-2008,2011-2013
   Hapa inawezekana alisoma lakini hakumaliza, alikatiza hivyo akarudia 2011-2013...kwa kawaida BBA ni 4yrs ktk Public Universities, siku hizi wamepunguza hadi miaka 3
   Uwezekano mwingine ni ule wa kuhama na credit kujiunga chuo kingine...ila kwa KFL yeye ameamua kubakia pale pale UDSM na ameonesha NOT COMPLETED kwa maana bado ni mwanafunzi.Anasoma saa ngapi si kazi yako kujua, kwani hawa wabunge wengine na mawaziri wanaoitwa Hon:Dr... .... wamesoma saa ngapi? Unamfahmu Dr Henry Shekifu...hii ni ya jana tu huko bungeni, Unamfahamu Prospective Dr Herald Hunter?hii ni miaka mitatu ijayo.Asingekuwa mbunge saa ngapi mngeuliza elimu yake?......Utandawazi umetushinda na ndio maana tunaamini utandawizi.....Elimu zetu huenda hatujamfikia KFL..anyway, je wajua hata "exposure" tu ni elimu?..TUJENGE HOJA JUU YA MSINGI NA SI MSINGI JUU YA HOJA....

  15. Thanda's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 6th April 2012
   Location : Multiple Destination
   Posts : 1,917
   Rep Power : 1744
   Likes Received
   586
   Likes Given
   1552

   Default Re: KAFULILA aeleze alipata wapi Shahada ya "BBA" na Mwaka gani

   Ok basi, tuseme KFL ameongopa...na kama hajasoma au hasomi UDSM tulikabe koo Bunge lilipata wapi huo wasifu wake,Pia tuwaulize UDSM kama hawajawahi kuiona CV yake, sidhani kama anaweza kuwa na ujasiri wa kudanganya kwani bungeni kuna wasomi waelewa kuliko yeye.

  16. Noboka's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th November 2011
   Posts : 1,021
   Rep Power : 2485
   Likes Received
   385
   Likes Given
   53

   Default Re: KAFULILA aeleze alipata wapi Shahada ya "BBA" na Mwaka gani

   Kumbe alitia mguu kabisa UDSM, aaaah suala ana cheti gani si mhimu sana kwa sasa Tz. Waziri wa fedha ni Pr. Mkullo, uchumi ukoje? Haya basi Kafulila hada degree, ana cheti cha Kidato cha 6, unaona shughuli yake? au umetumwa?

  17. stroke's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 17th February 2012
   Posts : 5,322
   Rep Power : 1561
   Likes Received
   1625
   Likes Given
   272

   Default Re: KAFULILA aeleze alipata wapi Shahada ya "BBA" na Mwaka gani

   prove it kwamba hana..tuoneshe list ya wahitimu mwaka huo alioutaja kama hayupo tutaamini

  18. stroke's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 17th February 2012
   Posts : 5,322
   Rep Power : 1561
   Likes Received
   1625
   Likes Given
   272

   Default Re: KAFULILA aeleze alipata wapi Shahada ya "BBA" na Mwaka gani

   nilivyosoma hapo nimeona BBA - 2011- 2013 -NOT COMPLETED That means to be completed..kama unayozunguzia ni hiyo iliyoandikwa 2006-2008- basi ujue kua hakuna degree ya miaka miwili hapa duniani...kunauwezekano kuwa ni printing error kwa IT technicians wa Bunge..ambayo ni jambo la kawaida..na sidhani mtu kama yeye anaweza kuuudangaya uma kuwa kasoma chuo kikubwa kama hicho na wadau wa chuo hicho wakae kimya tu kuvumilia uongo huo..hapa ninachoona ni printing error..hakuna cha ziada..mengineyo porojo tu..

  19. Wingu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 14th January 2011
   Posts : 4,327
   Rep Power : 1419
   Likes Received
   350
   Likes Given
   41

   Default Re: KAFULILA aeleze alipata wapi Shahada ya "BBA" na Mwaka gani

   Mmekosa vitu vya kufuatilia mtu kaandika not completed unataka nini tena.Eti kadanganya labda ni upeo wao mdogo wakutokujua kusoma ndo unaokuangaisha uliochanganyika na unafiki na umbea.

  20. Gagurito's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 11th February 2011
   Location : Gangilonga....
   Posts : 5,600
   Rep Power : 9948556
   Likes Received
   755
   Likes Given
   728

   Default Re: KAFULILA aeleze alipata wapi Shahada ya "BBA" na Mwaka gani

   Naombeni Cv ya komba.

  21. kanga's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 13th January 2011
   Posts : 984
   Rep Power : 751
   Likes Received
   395
   Likes Given
   429

   Post Re: KAFULILA aeleze alipata wapi Shahada ya "BBA" na Mwaka gani

   Kama Kafulila amefoji ni ufisadi pia kama ufisadi wowote ule na kumtetea hap JF ni utovu wa maadali.Jf ni jamvi jema lenye kuibua great thinkers siyo usanii.Kafulila amekuwa stadi kuelezea mapungufu katika tasnia mbalimbali na tunaamini ni msafi kama sivyo ndivyo is absolutely liable for any foggery.

  Page 12 of 13 FirstFirst ... 210111213 LastLast

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...