Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Tunakusanya Kero ambazo ungependa zisemewe Bungeni na Nje ya Bunge na Viongozi wa CHADEMA

    Report Post
    Page 1 of 24 12311 ... LastLast
    Results 1 to 20 of 477
    1. #1
      Regia Mtema's Avatar
      R I P Array
      Join Date : 21st November 2009
      Posts : 2,988
      Rep Power : 1111
      Likes Received
      763
      Likes Given
      397

      Default Tunakusanya Kero ambazo ungependa zisemewe Bungeni na Nje ya Bunge na Viongozi wa CHADEMA

      Wakuu habari! Nimatumaini yangu kuwa tunaendelea vizuri na majukumu yetu ya kila Siku.

      Nimeamua kuanzisha Uzi huu kwa lengo la kukuza ya kero,maoni,ushauri na chochote toka kwenu ili tuweze kuyasimamia ndani na nje ya Bunge.Kwa kutambua kuwa wanaJF wamesambaa kila mahali,maofisini,mashuleni,mit aani,majumbani na huko kote kuna kero mbalimbali zinazohitaji attention ya Serikali lakini mambo hayaendi na ungpenda kuona suala hilo linafanyiwa Kazi na hivyo unapendekeza Kambi ya Upinzani izibebe na kuzisimamia. Basi tafadhali toa kero,maoni,ushauri au hata mapendekezo yako hapa.

      Tafadhali kero ziwe za kijamii na sio za mtu binafsi.

      Natanguliza Shukrani zangu za dhati kwa Ushirikiano wenu.

      Wenu katika Ujenzi wa Taifa
      Regia Mtema
      Kilombero For Change(K4C)-Mfuko wa Maendeleo Kilombero

    2. Miaka 50

    3. #2
      King Kong III's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 15th October 2010
      Location : Enaboishu-Umenyeni
      Posts : 11,908
      Rep Power : 5059
      Likes Received
      3198
      Likes Given
      2635

      Default Re: Tunakusanya Kero ambazo ungependa zisemewe Bungeni na Nje ya Bunge na Viongozi wa CHADEMA

      Anza na hili la Nyumba za Umma waliojiuzia bei rahisi Vigogo wa serikali na wafanyabiashara wakubwa tena kwa bei rahisi,chonde chonde anza na hilo kwani lina-effect uchumi wa nchi na tumeona viongozi wa serikali wanakaa hotelin na kua na ofisi hoteli coz nyumba za kukaa hawana kwa sababu mafisadi wamejiuzia,hili mliwekee priority ya kwanza tunahitaji nyumba zote zirudishwe serikalini na sio kua za watu binasfi

    4. #3
      Edson's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 7th March 2009
      Posts : 7,308
      Rep Power : 0
      Likes Received
      1799
      Likes Given
      433

      Default Re: Tunakusanya Kero ambazo ungependa zisemewe Bungeni na Nje ya Bunge na Viongozi wa CHADEMA

      alhamisi ya maswali na majibu muulize pinda...ni kwanini laurence Masha hajatoka kwenye nyumba ya serikali na sasa amemweka kimada wake Miriam chengwile anaishi hapo??...hahaaha najua atalia lakini akupe jibu
      I'm Naturaly Evasive..

    5. #4
      PakaJimmy's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th April 2009
      Posts : 14,689
      Rep Power : 22520
      Likes Received
      6346
      Likes Given
      2834

      Default Re: Tunakusanya Kero ambazo ungependa zisemewe Bungeni na Nje ya Bunge na Viongozi wa CHADEMA

      Kero kubwa sana kwa sasa ni hii ya nyie Wabunge kujiongezea maslahi peke yenu, huku shule hazina madawati, wala maabara!

      Mna raha gani na hizo hela wakati wanaowazunguka wanaomboleza na kuteseka kwa mlo mmoja?..Au kwa vile mnaishi masaki na Mbezi Beach, hivo mnahisi majirani mlio nao pale ndivyo Watanzania wote walivyo?

      Futeni hizo posho ziende kusaidia mambo yanayokera wananchi!...Kero hii naitoa tu, siamini kama utaifikisha mahala husika!
      kiraia, Sikonge, Ngongo and 13 others like this.
      "The only thing that walks back from the tomb with the mourners and refuses to be buried is the character of a man.
      What a man is, survives him... it can never be buried"
      (GENEKAI-Jamiiforums, 4th November 2010 07:32PM).
      [email protected]

    6. #5
      Mkeshaji's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 7th January 2011
      Location : This is Anfield
      Posts : 3,634
      Rep Power : 1372
      Likes Received
      1091
      Likes Given
      318

      Default Re: Tunakusanya Kero ambazo ungependa zisemewe Bungeni na Nje ya Bunge na Viongozi wa CHADEMA

      Mifuko ya hifadhi hasa NSSF wahakikishe kuwa wanachama wao wanafaidika na michango wanayoitoa kwa kuwapatia mikopo, siyo kupeleka mabilioni ya wanachama wake kwa watu ambao wala hawajui pesa hizo zimetoka wapi, mfano kwa nini wafanyabiashara binafsi wanapewa mikopo na nssf lakini mwanachama hapewi?

      Kwanini mabilioni ya wanachama yanapelekwa kwenye miradi hasa ya majengo wakati wanachama hawafaidiki? Hatutaki majibu ya longolongo kwani tumekuwa tukiahidiwa kwa zaidi ya miaka mi5 sasa wakati hatuoni utekelezaji.

      Tunahitaji kufaidika na michango yetu sasa badala ya kusubiri "pensheni" ambayo unalipwa kiduuuuuchu miaka michache kabla ya kufa.
      You'll never walk alone - LFC.

    7. FemaTV & Radio

    8. #6
      WildCard's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 22nd April 2008
      Posts : 6,453
      Rep Power : 1979
      Likes Received
      1797
      Likes Given
      59

      Default Re: Tunakusanya Kero ambazo ungependa zisemewe Bungeni na Nje ya Bunge na Viongozi wa CHADEMA

      Kero zangu kubwa ni:
      -Uwekezaji kwenye SIASA. WAnasiasa kulipana kama akina Lionel Messi, Rihana,...
      -Kale ka utaratibu kalikoko kwenye KATIBA za vyama vyetu vya SIASA ka kufukuzana uanachama na Katiba yetu ya JMT.
      -VITI MAALUM vya UBUNGE na vile 10 vya Rais.
      -Idadi kubwa ya majimbo ya uchaguzi. kila Halmashauri/Manispaa/Mji/Makundi maalum yawe na Mbunge mmoja.
      -Teuzi zisizothibitishwa na zisizo na kikomo zinazofanywa na Rais.

    9. #7
      Mkwe21's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th April 2011
      Posts : 912
      Rep Power : 759
      Likes Received
      212
      Likes Given
      165

      Default Re: Tunakusanya Kero ambazo ungependa zisemewe Bungeni na Nje ya Bunge na Viongozi wa CHADEMA

      Kero yangu Kubwa ni huu Ujenzi wa barabara za jiji ambao hauzingatii usanifu wa aina yoyote!!

      Barabara zinajengwa bila usimamizi na kusababisha kuharibika baada ya muda Mfupi sana!! Barabara kama hizi unakuta zinatumia pesa Nyingi ambazo hazina manufaa!! Mfano barabara ya Kigogo first inn Kuja Mburahati hadi Kagera!! Ujenzi wa barabara hii Uligarimu Hela Nyingi ila wakati wa ujenzi nilikuwa napita ila kulikuwa hakuna usimamizi wa aina yoyote!! Hivyo Mkandarasi alikuwa anaweka udongo Mzuri Juu ya marundo ya Taka yaliyokuwepo Tangu enzi ya barabara ikiwepo kipindi Haina Lami!! Sasa ile barabara imekuwa ni Mashimo Matupu!! Full Kuharibika!!

      Tunaomba hawa manispaa ya Kinondoni ni Nini wanafanya ili waweze Kusimamia ubora wa Kazi na Usanifu wa Hizi barabara? Hadi Kero!! Ndugu Mbunge jitahidi kufuatilia hili, Kwani huyu Mkandarasi anaonekana ametuzidi Maarifa kwa kazi zake Mbovu!!

      "Hari Sigh"
      Regia Mtema and Molemo like this.

    10. #8
      mikatabafeki's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th December 2010
      Posts : 4,840
      Rep Power : 1397
      Likes Received
      766
      Likes Given
      1463

      Default Re: Tunakusanya Kero ambazo ungependa zisemewe Bungeni na Nje ya Bunge na Viongozi wa CHADEMA

      ​napenda sana juhudi zako na wenzio kama chama ila tatizo serikali mnayoiambia ni kiziwi sijui mtaanza vip kuzibua masikio yao kwanza ndo muwaambie
      when love goes wrong,nothing goes right.

    11. #9
      Speaker's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th August 2010
      Posts : 6,171
      Rep Power : 4560
      Likes Received
      1997
      Likes Given
      5021

      Default Re: Tunakusanya Kero ambazo ungependa zisemewe Bungeni na Nje ya Bunge na Viongozi wa CHADEMA

      Kero kwangu kubwa ni hii:-
      1.Je,serikali ime wekeza kwenye ujenzi wa hospitali huko india?
      Kama ndio,kwanini ndugu zetu wanao ugua magonjwa makubwa hawa pelekwi
      kwenye hiyo "hospitali yetu" ilhali nyie wabunge hata mkiugua malaria "mbili" mna kimbizwa huko?

      2.Kama hatujawekeza huko,kwanini nyie wabunge mkienda kutibiwa hamrudi mkawa na hamu ya
      kuona hospitali kama za huko india zikejengwa hapa?

      3. 1 na 2 yanazaa swali la tatu,...kwanini serikali ina dharau taaluma za watanzania?
      Juzi hapa madaktari wanafunzi walipo kua wanadai haki zao walipewa kisha waka timuliwa,...
      Je,...wana mpango wa kutuletea wahindi waje kututibu au ?Maana hata hawa walio kua wana
      kuangalia usoni tu na kukupa panadol wamewatimua ili tufe zaidi.

      4. Kwanini uhuru wa kujieleza ume bakwa na serikali?
      Ndo kusema demokrasia mda wake umeisha Tanzania na tunaelekea kwenye udikteta au?
      Nasema hivi kwa sababu UDSM wanafunzi walifukuzwa bila makosa,viongozi wa wanafunzi waka fuatilia
      nao wamepewa barua za "expulsion from the university" leo,...na tangazo limewekwa la vitisho kwamba
      "hakuna haki ya kukusanyika popote pale",...hii ni tanzania kweli?

      Aghr,nimechoka kuandika.
      Mjinga mpe cheo...

    12. #10
      Acha Dhambi's Avatar
      Member Array
      Join Date : 19th October 2010
      Posts : 73
      Rep Power : 449
      Likes Received
      10
      Likes Given
      1

      Default Re: Tunakusanya Kero ambazo ungependa zisemewe Bungeni na Nje ya Bunge na Viongozi wa CHADEMA

      hatima ya walimu ngazi ya cheti, diploma na shahada walio hitimu mwaka jana mpaka leo awajaajiriwa na serikali ndiye mwajiri wake shule zimeshafunguliwa lakini hakuna walimu na wao wako mtahani kulikoni serikalini mbona kimya kingi?

    13. #11
      WildCard's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 22nd April 2008
      Posts : 6,453
      Rep Power : 1979
      Likes Received
      1797
      Likes Given
      59

      Default Re: Tunakusanya Kero ambazo ungependa zisemewe Bungeni na Nje ya Bunge na Viongozi wa CHADEMA

      Quote By feis buku
      utazitaja zoote lakini hamna kitakachofanyika! viongozi wetu ni maua mazuri yapendeezaa ukiyatazamaa yanameremeta..........
      KATIBA MPYA haitayaacha haya. Yananikera sana. Kwa mfano Kilombero sasa ina Wabunge wawili, Regia na yule tapeli wa CCM kwa gharama za walipakodi wa TANZANIA!
      ALAIN JA and kitukipya like this.

    14. #12
      mwl frank's Avatar
      Member Array
      Join Date : 11th July 2011
      Posts : 51
      Rep Power : 408
      Likes Received
      7
      Likes Given
      0

      Default

      nahisi kama umechanganya mada mkuu,hizo zako zingeelekezwa kwenye mabadiliko ya katiba!

    15. #13
      plawala's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 10th January 2011
      Posts : 627
      Rep Power : 549
      Likes Received
      56
      Likes Given
      1

      Default Re: Tunakusanya Kero ambazo ungependa zisemewe Bungeni na Nje ya Bunge na Viongozi wa CHADEMA

      1. Kupungua uwajibikaji kwa upande wa serikali na kutumia kukomoa kama njia njia ya kutatua migogoro inayotokana na kutokuwajibika kwenyewe,mfano sakata la madaktari walio katika mafunzo-MNH,migogoro mbalimbali katika vyuo vikuuu

      2.Kuadimika mara kwa mara kwa nishati ya mafuta pindi EWURA inaposhusha bei ya hiyo nishati

      3.Mfumuko wa bei za bidhaa muhimu
      Regia Mtema likes this.

    16. #14
      Regia Mtema's Avatar
      R I P Array
      Join Date : 21st November 2009
      Posts : 2,988
      Rep Power : 1111
      Likes Received
      763
      Likes Given
      397

      Default Re: Tunakusanya Kero ambazo ungependa zisemewe Bungeni na Nje ya Bunge na Viongozi wa CHADEMA

      Quote By WildCard
      KATIBA MPYA haitayaacha haya. Yananikera sana. Kwa mfano Kilombero sasa ina Wabunge wawili, Regia na yule tapeli wa CCM kwa gharama za walipakodi wa TANZANIA!
      WC,Kilombero ina Wabunge 4,Vitimaalum 3, Suzan Kiwanga-CHADEMA,Getrude Lwakatare-CCM,Regia Mtema-CHADEMA na huyo mwingine wa Jimbo.
      Kilombero For Change(K4C)-Mfuko wa Maendeleo Kilombero

    17. #15
      WildCard's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 22nd April 2008
      Posts : 6,453
      Rep Power : 1979
      Likes Received
      1797
      Likes Given
      59

      Default Re: Tunakusanya Kero ambazo ungependa zisemewe Bungeni na Nje ya Bunge na Viongozi wa CHADEMA

      Quote By mwl frank
      nahisi kama umechanganya mada mkuu,hizo zako zingeelekezwa kwenye mabadiliko ya katiba!
      Tuziseme sasa maana huenda KATIBA yenyewe isije mapema. Kero zingine ni:
      -Ongezeko la kila mara la Mikoa , Wilaya, Tarafa, Kata na vijiji ambalo linaambatana na ongezeko la wakuu wake.
      -Huduma mbaya kabisa za ELIMU, AFYA, MAHAKAMA, POLISI.
      -Mfumuko mbaya kabisa wa gharama za maisha na anguko takatifu la shilingi yetu.
      -Serikali kubwa na vyombo duni kabisa vya DOLA kama PCCB, UwT, EWURA,...
      - Ongezeko la Watu matapeli, wezi, mafisadi wenye nguvu kabisa kuliko DOLA.

    18. #16
      mtengwa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 20th August 2011
      Location : dar es salaam
      Posts : 539
      Rep Power : 499
      Likes Received
      61
      Likes Given
      1

      Default Re: Tunakusanya Kero ambazo ungependa zisemewe Bungeni na Nje ya Bunge na Viongozi wa CHADEMA

      Kero kubwa ni kwa serikal ku2mia nguvu kuzima migogoro kati yake na wanajamii kama wanafunzi na wamachnga wanaodai haki zao

    19. FJM
      #17
      FJM's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th April 2011
      Posts : 7,168
      Rep Power : 2567
      Likes Received
      5318
      Likes Given
      4585

      Default Re: Tunakusanya Kero ambazo ungependa zisemewe Bungeni na Nje ya Bunge na Viongozi wa CHADEMA

      Regia, kwa miaka mingi sasa kila tunapopata matokeo ya mtihani (i.e STD 7, Form IV etc) utasikia wizara inasema kuwa baadhi ya wanafunzi wamefutiwa matokeo ya kwa sababu ya udanganyifu. Kwa maneno mengine watoto hao walipata mtihani. Je, nani amepewa jukumu la kusimamia hii mtihani ili isi-leak? Wizara imefanya nini kukomesha kabisa (sio kupunguza - kukomesha) huu ugonjwa?

      Hatua kama ya kufukuza watoto/kuwafutia mtihani sio sahihi kwa sababu:
      (a) wao sio chanzo cha ku-leak, hivyo ni sawa na ku-deal na matokeo badala ya chanzo cha tatizo
      (b) kuwafutia mtihani kwa sababu ya uzembe wa 'security' ni kuwaonea kwa sababu jukumu la kuchunga mtihani ni la serikali,
      (c) kuna hatari ya kuongezeka kwa vijana mtaani kwa sababu unapomfutia mtihani anakwenda wapi?
      (d) Ni lini waziri au wakubwa toka wizara ya Elimu watawajibika kwa kutotunza mtihani ipasavyo? Ushahidi upo maana kitendo cha kuwafukuza watoto kwa madai ya kudanganya tafsiri yake ni kwamba wizara inakubali imeshindwa kutunza mtihani na hivyo ume-leak. Uwajibikaji muhimu. Kama waziri hawezi kusimamia mtihani ana umuhimu gani wa kuwepo ofisini?

      Jambo jingenie, Serikali imekuwa inaimba wimbo wa Kilimo kwanza, na kama tujuavyo vijana ndio taifa la kesho. Sasa serikali inafanya nini kuhakikisha vijana wanapata msingi mzuri ili kesho ikifika wawezi kutimiza dhana ya kilimo kwanza?

      La mwisho (kwa sasa) nini vision ya nchi hii? Serikali ya CCM ina vision gani kwa Tanzania? wamefanya nini katika kufikia hiyo vision? Na kama hiyo vision ipo elimu yetu inahusikaje (ki-mfumo) kuhakikisha inajenga vijana (wanafunzi) ambao wataweza ku-realize hiyo vision. Kwa mfano, kama mpango ni wa kuifanya Tanzania iwe manufacturing base kwa Africa, je elimu inayotolewa itamwezesha mwanafunzi kutimiza hayo malengo?

    20. #18
      WildCard's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 22nd April 2008
      Posts : 6,453
      Rep Power : 1979
      Likes Received
      1797
      Likes Given
      59

      Default Re: Tunakusanya Kero ambazo ungependa zisemewe Bungeni na Nje ya Bunge na Viongozi wa CHADEMA

      Quote By Regia Mtema
      WC,Kilombero ina Wabunge 4,Vitimaalum 3, Suzan Kiwanga-CHADEMA,Getrude Lwakatare-CCM,Regia Mtema-CHADEMA na huyo mwingine wa Jimbo.
      Unaona sasa! SIASA imekuwa kitega uchumi cha nguvu.
      Regia Mtema likes this.

    21. #19
      kkitabu's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 27th December 2011
      Posts : 108
      Rep Power : 395
      Likes Received
      24
      Likes Given
      1

      Default Re: Tunakusanya Kero ambazo ungependa zisemewe Bungeni na Nje ya Bunge na Viongozi wa CHADEMA

      Watumishi wa umma kupandishiwa mishahara lakini bado wanalipwa kwa rates za zamani (hawajarekebishiwa mishahara yao)
      Regia Mtema and MWASAMAJENDA like this.

    22. #20
      Speaker's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th August 2010
      Posts : 6,171
      Rep Power : 4560
      Likes Received
      1997
      Likes Given
      5021

      Default Re: Tunakusanya Kero ambazo ungependa zisemewe Bungeni na Nje ya Bunge na Viongozi wa CHADEMA

      Quote By FJM
      Regia, kwa miaka mingi sasa kila tunapopata matokeo ya mtihani (i.e STD 7, Form IV etc) utasikia wizara inasema kuwa baadhi ya wanafunzi wamefutiwa matokeo ya kwa sababu ya udanganyifu. Kwa maneno mengine watoto hao walipata mtihani. Je, nani amepewa jukumu la kusimamia hii mtihani ili isi-leak? Wizara imefanya nini kukomesha kabisa (sio kupunguza - kukomesha) huu ugonjwa?

      Hatua kama ya kufukuza watoto/kuwafutia mtihani sio sahihi kwa sababu:
      (a) wao sio chanzo cha ku-leak, hivyo ni sawa na ku-deal na matokeo badala ya chanzo cha tatizo
      (b) kuwafutia mtihani kwa sababu ya uzembe wa 'security' ni kuwaonea kwa sababu jukumu la kuchunga mtihani ni la serikali,
      (c) kuna hatari ya kuongezeka kwa vijana mtaani kwa sababu unapomfutia mtihani anakwenda wapi?
      (d) Ni lini waziri au wakubwa toka wizara ya Elimu watawajibika kwa kutotunza mtihani ipasavyo? Ushahidi upo maana kitendo cha kuwafukuza watoto kwa madai ya kudanganya tafsiri yake ni kwamba wizara inakubali imeshindwa kutunza mtihani na hivyo ume-leak. Uwajibikaji muhimu. Kama waziri hawezi kusimamia mtihani ana umuhimu gani wa kuwepo ofisini?

      Jambo jingenie, Serikali imekuwa inaimba wimbo wa Kilimo kwanza, na kama tujuavyo vijana ndio taifa la kesho. Sasa serikali inafanya nini kuhakikisha vijana wanapata msingi mzuri ili kesho ikifika wawezi kutimiza dhana ya kilimo kwanza?

      La mwisho (kwa sasa) nini vision ya nchi hii? Serikali ya CCM ina vision gani kwa Tanzania? wamefanya nini katika kufikia hiyo vision? Na kama hiyo vision ipo elimu yetu inahusikaje (ki-mfumo) kuhakikisha inajenga vijana (wanafunzi) ambao wataweza ku-realize hiyo vision. Kwa mfano, kama mpango ni wa kuifanya Tanzania iwe manufacturing base kwa Africa, je elimu inayotolewa itamwezesha mwanafunzi kutimiza hayo malengo?

      Yes,
      nadhani hili liunganishwe na swali kwanini migomo inatokea vyuoni?
      Wasitafute umaarufu kwa kufukuza watu huku wakishindwa kutoa haki.
      Mjinga mpe cheo...

    Page 1 of 24 12311 ... LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...