Re: Tunakusanya Kero ambazo ungependa zisemewe Bungeni na Nje ya Bunge na Viongozi wa CHADEMA
Jeshi la police lina kero nyingi.
Ni kwanini mtu anatuhumiwa ushahidi hakuna anawekwa mahabusu na hatoki mpaka atoe hongo.
Mbona UK au Rwanda askari wanakupeleleza bila ya mtuhumiwa kujua na wakikusanya ushahidi wote ndio wanakukamata.
Napendekeza Katiba mpya itamke wazi kama askari hana ushahidi basi asimkamate mtuhumiwa kwani ni uonevu na kupoteza muda na mali pia.
Magerezania na mahabusu watu wengi wamejaa kwa kesi za chuki na kubambikiwa hili naona ni kero kubwa sana. kwani wafungwa wanamaliza pesa ya Jamhuri wakila,wakiugua, wakifa.
If you can imagine it, you can achieve it; if you can dream it, you can become it.
Follow Us Here