Regia haya ya katazamaji sijui tuyaite ni kero au maoni au mchanganyiko wa mani na kero. Zaidi zinajikita kwenye matumizi ya TEKNOLOJIA na mwsho la posho.
TEKNOLOJIA
observation yangu a wanasiasa wengi wanangea Teknolojia mdomoni tu lakini hawajui itatatuae matatizo ya jamii
Googlemap
Ramani za google ni driving force kupata taarifa za sekta mbali mbali.Inashangza wakati wansiasa wetu wanaimba sayansi na teknolojia hata jiji la dar lenyewe ni sehemu ndogo sana tu bara bara na mitaa ndio zimeanishwa. Kama nyie Chadema mna halmashauri Onyeshini mfano wa kuingiza detail zote za ramani za maeneo yenu kwenye gogle na sio zikae makabatini. Vile vile wabunge mwambinei mama Tibaijuka pale wizara ya ardhi anatakiwa kuwa na kitengo cha googlemap japo kwa miaka mitatu ili zoezi la kuingiza detail za tanzania lifanikiwe. kuingiza majina ya vijiji barabara,wilaya na maeneo mengine muhimu ni bure. Itapendza detail za tanzana wilaya na mikoa kufika 2015 ziwe zimekamilika. Karne hii sio ya kuweka ramani makabatini.
Hii nilijaribu uandika wa urefu na upana kwenye chapisho hili
Hivi sasa kuna gari zinazotumia umeme Je wabunge na wizara huska zinajua?
Kama kweli wote tunaamini tuko kwenye karne ya sayansi a tenolojia basi mtakubalina nai kuwa sasa kua gari mabo znatumia umeme na sio mafuta. Na nyingine ni Hybrid. Sasa kwa serikali je wana taarifa za magari haya.Je kwa nini hawaafirri japo kuleta gari mbili au tatu kwa majaribio kuone utendaji wake kazi na ufanisi . Hapa hasa ni wizara ya sayansi a tenolojia au wzara ya mazingira. Kama ni watu wanaonkwenda na wakati basi tunataka tusikie wana mpango gani.
Ukiondoa magari ya umeme kuna kero je shangingi ndio standard gari analotaiwa kupanda nakutuia waziri? Kutoka masaki kwenda posta. Hivi mawazri na watendaji wengine wanana wamedharirishwa wakitumia japo VITARA au hata gari ndogo. Je si busara 50% ya VX za seriali zikiuzwa na kununua gari zinatumia mafuta kiodgo. Kufupisha hadithi soma hi kero/maoni wenye uzi huu
Yaani Naomba mkiweza waulzieni Je waziri na watendaji wengine wanajisiiai wanaptomua gari inayotumia zaidi ya lita 200 kwa wiki wakiwa jijini wakati wangewewza kutumia gari inayoweza kutumia lita hata 100 wa wiki?
ELIMU
Kuna shule hazina maabara,kama maabara zipo basi hazina vifaaa . kuna shule hazina waalimu wa sayansi . ICT(TENOHAMA) ina toa fursa za kufukia mapungufu haya. Je serialina wanasiasa wetu wanayajua.......
How?
Ni kiasi cha wizira au Idara, NGO au Mbunge au hata shule binafsi au hata mtu binafsi anayejihusiha na elimu kutafuta mwalimu mzuri wa somo fulani na watalmu wa kurekodi video, Kurekodi video akifunidisha au akifanya practical ya somo fulani. Then kutoa kuuza copi ya DVD kwa shule na wanafunzi. Shule zitahitajika kununa TV na DVD player kwa ajili hii. Naamini shule nyingi zinavyo hivi vifaa . One time cost inafanya kazi kwa miaka kadhaa. Wanafuzi na wazazi wanatkiwa kujua video sio lazima iwe ya kanumba .
Faida zake nini
- Tatizo la maabara litakuwa limekiwisha na hakuna ulazima shule kuwa na maabarabadla yake wanaweza kuwa video room ya wanafuzi kuona kila practical inafanyikaje. kama shule haina mwalim au zile topic ngumu practical. One time cost. na hivyo ufanisi na matoek ya mwnaafunzi kuboreka.
- kwa mwanafuzi itasaidia akiwa nyumbani anaweza kuona zaidi ya video ya anumba. anaweza kuona video ya lawas of motion.zaidi kuelew kama hakuelewa mwalimu darsani. mwnafuzi kuuliza maswali na kuongeza ubora wa elimu. Kuona kwenye video chemical distalltion process inavyofanyika ni tofauti na kusoma kwenye kitabu
Unaweza kuipata hii kiukamilifu kwenye uzii huu.
MICHEZO
Je kwenye mashindano ya london 2012 olympic tunajatarajia kupata medali ngapi na za aina gani.Je tumeridhka na kushiriki si kushindana .
Serikali kupitia JWTZ, JKT isaidie kutafta kuibua na kuedeleza vipaji ?
Michezo mbali mbali ina nafasi kubwa ya kuzalisha nyota lakini tumelalala. Kwa nini
JWTZ au JKT Kigamboni isianzishe chuo cha kuongelea. Kuna vijana nawaona wanakimbiza na viongozi wa fery sababu wanapenda kuchezea maji. Vijana wale ujuzi wao ukitumiwa mapena wakapata wakufunzi wazuri Tanzania itakuwa mbali kimchezo.
JWTZ JKT Mkoni Arusha ianishe kituo cha mafunzo na mazoezi ya riadha ambapo wanafunzi wa shule mbali mbali za primary na sekondary wanaweza kuhudhuria kwa muda fulani na
JWTZ JKT Mwanza wanaweza kushirikiana na wavuvi. Kule kun watu wanapiga kasia . Pia Kuna watu pia wanaendesha basikeli kama kina armstrong
POSHO NA MASLAHI YA WANASIA VS WATENDAJI
Wanasiasa wakiwemo wabunge wanatakiwa kutambua kuwa wao ni watchdog na sio watendaji. Kwa mana hiyo mafao na mapato ya mbunge kwa logicla nyepesi hayatakwiwi kuziki mapatao ta afisa Elimu , kilimo, mifugo Maji, Madini,Mhandisi,RPC, Mganga mkuu wa mkoa.
Kwangu naona ni kero kubwa kuona mbunge anastahiki za juu kuliko afisa elimu . kilimo au mifugo , n.k wa mkoa . Na kero zaidi sijasikia wabunge wakihoji kutaka watu hawa amabo ni watendaji mafao yao yangezewe. Maana ni watu hawa ndio wanataiwa kuleta changes kwenye jamii a sio wanasiasa. Tunaomba wabunge wastopishe kufanya Siasa ndio ajira inayolipa zaidi badala yake wafanya utendaji. Ni kero mbunge kuwa ndio mfanyakazi wa umma anayepokea mshahara mkubwa wilayani au mkoani na sio Afisa kilimo, mifugo au maji RPC etc . Jribuni kungalia na kulinganisha hata huko majuu hali ikoje.....
Ngoja niishie hapa .........
Follow Us Here