Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Tunakusanya Kero ambazo ungependa zisemewe Bungeni na Nje ya Bunge na Viongozi wa CHADEMA

    Report Post
    Page 15 of 24 FirstFirst ... 51314151617 ... LastLast
    Results 281 to 300 of 477
    1. #1
      Regia Mtema's Avatar
      R I P Array
      Join Date : 21st November 2009
      Posts : 2,988
      Rep Power : 1111
      Likes Received
      763
      Likes Given
      397

      Default Tunakusanya Kero ambazo ungependa zisemewe Bungeni na Nje ya Bunge na Viongozi wa CHADEMA

      Wakuu habari! Nimatumaini yangu kuwa tunaendelea vizuri na majukumu yetu ya kila Siku.

      Nimeamua kuanzisha Uzi huu kwa lengo la kukuza ya kero,maoni,ushauri na chochote toka kwenu ili tuweze kuyasimamia ndani na nje ya Bunge.Kwa kutambua kuwa wanaJF wamesambaa kila mahali,maofisini,mashuleni,mit aani,majumbani na huko kote kuna kero mbalimbali zinazohitaji attention ya Serikali lakini mambo hayaendi na ungpenda kuona suala hilo linafanyiwa Kazi na hivyo unapendekeza Kambi ya Upinzani izibebe na kuzisimamia. Basi tafadhali toa kero,maoni,ushauri au hata mapendekezo yako hapa.

      Tafadhali kero ziwe za kijamii na sio za mtu binafsi.

      Natanguliza Shukrani zangu za dhati kwa Ushirikiano wenu.

      Wenu katika Ujenzi wa Taifa
      Regia Mtema
      Kilombero For Change(K4C)-Mfuko wa Maendeleo Kilombero

    2. Study Abroad

    3. #281
      vngenge's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 19th April 2011
      Posts : 294
      Rep Power : 467
      Likes Received
      51
      Likes Given
      42

      Default Re: Tunakusanya Kero ambazo ungependa zisemewe Bungeni na Nje ya Bunge na Viongozi wa CHADEMA

      Jamani tunaomba muiulize serikali kwa nini katika vyuo vyake vinachelewa kutoa vyeti kwa wahitimu wakati wao wenyewe hawazikubali trancripts?. Hawaoni kuwa wanawanyima fursa wahitimu kuajiriwa au kupata stahili zao ikiwamo kupanda cheo na stahili mbalimbali ikiwemo nyongeza ya mshahara kulingana na elimu?. Hizi ajira kwa vijana zinazosistizwa itawezekanaje kama watu wamehitimu then hawana vyeti?. Kuna sababu gani za msingi katika karne hii ya digital kukaa miaka mitatu bila kutoa cheti, case T.I.A toka mwaka 2009. Hii imekuwa kero jamani kila tunapokwenda kuomba kazi wantaka cheti, na nyie hamtoi hivi mnatutakia mema kweli?.

    4. #282
      morenja's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd February 2012
      Posts : 294
      Rep Power : 426
      Likes Received
      56
      Likes Given
      8

      Default Re: Tunakusanya Kero ambazo ungependa zisemewe Bungeni na Nje ya Bunge na Viongozi wa CHADEMA

      tunaomba mheshimiwa mbunge wa arusha mjini .godbless lema .atusaidie kusimamisha kelele za muziki unaopigwa kwenye club ya usiku ya active club iliyopo mbauda kata ya sombetini .kwani tumelalamika kwa mtendaji kata ,mkurugenzi wa jiji ,kamanda wa polisi mkoa ,nakumalizia kwa tume ya sheria na haki za binadamu ..bila ya mafanikio yeyote,mwaka wa sita sasa ,tunaadhirika tuu .chadema na mh Lema tusaidie people's power juu juu zaidi

    5. #283
      morenja's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd February 2012
      Posts : 294
      Rep Power : 426
      Likes Received
      56
      Likes Given
      8

      Default Re: Tunakusanya Kero ambazo ungependa zisemewe Bungeni na Nje ya Bunge na Viongozi wa CHADEMA

      tunaomba chadema wauendeleze uzi huu .wa hayati mtema .kama sehemu ya kumuenzi .

    6. #284
      kinampanda's Avatar
      Junior Member Array
      Join Date : 4th May 2010
      Posts : 8
      Rep Power : 460
      Likes Received
      0
      Likes Given
      0

      Default Re: Tunakusanya Kero ambazo ungependa zisemewe Bungeni na Nje ya Bunge na Viongozi wa CHADEMA

      kero zangu ni hizi zifuatazo:
      1.wakufunzi kutolipwa fedha za likizo(ubaguzi uliopo kati ya watumishi waliopo chini katibu mkuu na tamisemi kwani hawa wenzetu wa tamisemi kabla ya kuondoka wanalipwa pesa zao tofauti na sisi wa katibu mkuu)
      2.waraka wautmishi uliotolewa kwa wakufunzi vyuo mpaka sasa vyuo vingi hawajanza kuutumia,tangi mwezi wa 7 mwaka jana mpaka leo kimya tuna barua tu za kupandishwa madaraja hayo lakini mpaka leo hatujalipwa,bwana zito tusaidie kutusemea hapo bungeni
      3.

    7. #285
      mtoto wa mama's Avatar
      Member Array
      Join Date : 11th January 2011
      Posts : 92
      Rep Power : 441
      Likes Received
      6
      Likes Given
      31

      Default Re: Tunakusanya Kero ambazo ungependa zisemewe Bungeni na Nje ya Bunge na Viongozi wa CHADEMA

      rest in peace sister

    8. Miaka 50

    9. #286
      ABUMAN's Avatar
      Member Array
      Join Date : 8th December 2010
      Posts : 49
      Rep Power : 437
      Likes Received
      4
      Likes Given
      5

      Default Re: Tunakusanya Kero ambazo ungependa zisemewe Bungeni na Nje ya Bunge na Viongozi wa CHADEMA

      Quote By Regia Mtema
      Wakuu habari! Nimatumaini yangu kuwa tunaendelea vizuri na majukumu yetu ya kila Siku.

      Nimeamua kuanzisha Uzi huu kwa lengo la kukuza ya kero,maoni,ushauri na chochote toka kwenu ili tuweze kuyasimamia ndani na nje ya Bunge.Kwa kutambua kuwa wanaJF wamesambaa kila mahali,maofisini,mashuleni,mit aani,majumbani na huko kote kuna kero mbalimbali zinazohitaji attention ya Serikali lakini mambo hayaendi na ungpenda kuona suala hilo linafanyiwa Kazi na hivyo unapendekeza Kambi ya Upinzani izibebe na kuzisimamia. Basi tafadhali toa kero,maoni,ushauri au hata mapendekezo yako hapa.

      Tafadhali kero ziwe za kijamii na sio za mtu binafsi.

      Natanguliza Shukrani zangu za dhati kwa Ushirikiano wenu.

      Wenu katika Ujenzi wa Taifa
      Regia Mtema

      UNYONYAJI NA UTUMWA MAMBOLEO UNAOFANYWA NA WAHINDI KWA WATANZANIA WASIO WAHINDI

      (WAHINDI NA UFISADI WA RASILIMALI WATU)

      Napenda kuchukuwa fursa hii adhiim kuwatanabaisha Watanzania hasa mawaziri wa wizara husika juu ya madhila yanayotokana na ndugu zetu Wahindi kwa Watanzania wenzao ambao si Wahindi.Hili lisipofanyiwa kazi sikumoja yatatokea kama yale yaliyowahi tokea afrika ya kusini, mara baada ya wazawa kuona nafasi za kazi nyingi wanapewa wageni na wao wakishinda vijiweni wakati sifa na uwezo wa kufanya hizo kazi wakiwa nao.

      Siku hizi imefikia wakati inatangazwa nafasi ya kazi kama ilivyotokea katika kampuni moja ya madawa Tanga ambayo iliorodhesha miongoni mwa sifa ya mwombaji awe anajua kuzungumza kihindi,sasa huo kama si ubaguzi nini hasa.

      Serikali inahitajika kuwaandalia sera Wananchi wake amabayo itapelekea kuwawezesha kupata kazi wao katika makampuni mbali mbali ya wawekezaji kutokana na sifa zao za kitaaluma na uwezo wao,na pasiwepo mgeni kutoka nje kuchukua nafasi ya kazi ambayo wapo Watanzania wenye sifa na uwezo wa kuifanya hiyo kazi tena kwa ufanisi mkubwa kwa kufanya hivyo Serikali itakuwa inalinda soko la ajira kwa kutoa kipaumbele kwa Wananchi wake kwanza na pakikosekana mwanachi mwenye sifa ndani ya Tanzania paangaliwe kwa Watanzaniia walio nje na hapo pia pakikosekana ndio angaliwe raia wa kigeni,hili pia litaweza kuepusha athari za Wahindi kuitawala Tanzania kama sehem zinazoshikilia uchumi wa nchi yetu zitakuwa zimeachwa zote ziwe mikoni mwao kama inavyotokea kwa baadhi ya mataifa.

      Wahindi kwa maelfu wamejazana katika ofisi nyingi hasa za Makampuni ya Wahindi wenzao au ya waarabu,ni nadra kwa Mhindi kukutwa katika ofisi ya Mzungu au Muafrika kutokana na kutokubalika kwa hulka zao hasa hulka ya fitna,Wahindi wanaubaguzi uliochupa mipaka na wanapendelea sana fitna na majungu kiasi kwamba kila ambaye ameshawahi kufanya kazi katika kampuni inayomilikiwa na Wahindi au kuwa na wafanyakazi Wahindi ataungana na Mimi, utakuta mfanyakazi asiye Mhindi anatumika kama Mashine na si kama Binaadam, hatakiwi kupata mapumziko ya haina yoyote akiwa kazini, hatakiwi kula wala kwenda msalani, na kazi yoyote nzuri basi hiyo imefanywa na Mhindi na hata kama imefanywa na asiye Mhindi na kazi yoyote ile yenye mwishilio mbaya hata kama imefanywa na Mhindi atatafutwa wa kusukumiwa nayo Mhindi huwa ni mtu kamili hakosei.

      Kuna kampuni moja ya Wahindi ipo katika barabara ya Nyerere ukipita muda wa asubuhi wale wafanyakazi wasio wahindi wanakunywa chai wakiwa wamesimama tena wakiwa nje na hiyo chai wanahudumiwa na Mama ntilie kupitia nje ya uzio Wahindi wakiwa ndani.

      Kuna kazi nyingi za kitalaam zinafanywa na wasio Wahindi ila pesa anayolipwa huyo aliyoifanya ni ndogo ukilinganisha na pesa inayoingia katika kampuni hiyo ya Wahindi,na hili linatokana na mizengwe ambayo Wahindi wengi wamekuwa wakiitoa,kwa sasa Tanzania karibu taaluma zote zimevamiwa na Wahindi ni taaluma chache sana ambazo bado zimesalimika kwa kiasi fulani ingawa si sana,Wahindi wengi wanatumia vyeti vinavyotia mashaka katika kujipatia kazi za kitaalam na hili limefanya baadhi ya nchi za mashariki ya kati wameanza kukataa wafanyakazi toka India kutokana na utumiaji wa vyeti hivyo,na katika hili Serikali inahitajika kulifuatilia kuhakiki hivyo vyeti na hili linawezekana kwa kuwatumia watanzania waadilifu kuandaa sera hiyo na kuisimamia,kwani uhakiki wa yeti kama unafanyika katika taasisi za umma lengo na madhumuni ni kuwa na watu waliokabidhiwa majukumu ambao na sifa na uwezo kutekeleza hayo majukumu kwa ustawi wa taifa letu na kwa kuzingatia mchango wa taasisi binafsi katika ukuaji wa taifa ni muhimu kwa serikali kulifanyia kazi hili.

      Taaluma ambayo imeathirika sana na wafanyakazi kutoka India ni taaluma ya habari na mawasiliano na tatizo hili linawakosesha Watanzania wengi wenye sifa kupata ajira, tatizo lengine ni la kampuni nyingi za Wahindi kutozingatia na kufuata sheria na kanuni za ajira, na hata ikitokea wafanyakazi wakafuatilia watu wa wizara husika wakija katika kampuni husika moja ya hulka ya Kihindi ya mizengwe inatumika na Watanzania wengi wanaendelea kuumia kutokana na tamaa ya watu wachache wanaojali maslahi ya matumbo yao na kwa upande wa maslahi kampuni za Wahindi zinaongoza kwa kutoa maslahi duni kwa wafanyakazi wasio Wahindi na ni kampuni hizo hizo ndizo zinazongoza kwa kuwa na kesi za kufukuza wafanyazi tena bila ya kufuata taratibu,kama msomaji utataka kulifanyia tahakiki hili tembelea ofisi za mabaraza ya usuluhishi wizara ya kazi au ofisi za NSSF za wilaya mbalimbali utakuta wengi ya wafanyakazi wenye madai ni kutoka katika hizo kampuni za Wahindi.

      Wengi ya Wahindi katika hizo ofisi hawana vibali halali vya kufanyia kazi hapa Tanzania,na mbali ya kukosa sifa halali ya kazi ya kitaalam wanayofanya,mara nyingi huwezi kuwakuta kwa miguu au katika mabasi ya daladala Wahindi hao huwa wanatembea katika makundi kuanzia wawili na kuendelea wakiwa katika magari ya hizo kampuni au pikipiki hasa za kutoka india na hili linafanyanyika kukwepa kukamatwa na watu wa idara ya uhamiaji kati ya hao kunakuwa na mmoja ambaye anakuwa ameshaanza kukifaham Kiswahili na ikitokea sababu ya kupelekea kukamatwa Wahindi huwa wazuri na wepesi wa kutumia hulka ya zengwe,na hata ikitokea watu wa idara ya uhamiaji kupata taarifa ya kuwepo Wahindi wanaoishi kinyume na taratibu na sheria za nchi huoni wakiwachukulia hatua.

      Wahindi walio wengi wana uraia zaidi wa nchi moja,utakuta mhindi kutoka India anapassport ya Tanzania wakati Mtanzania mzawa hana na linalowapelekea wafanikiwe ni tabia yao ya kutumia zengwe.

      Kwa upande wa ulipaji kodi na misamaha na marejesho pia serikali inatakiwa iwe makini sana kwa makampuni haya kwa kuwa tabia na hulka zao zinatia shaka sana na hasa kwa tabia ya kutokupenda kuwaajiri Watanzania ambao si Wahindi,na pia katika kodi ya pesa ya pato la Wahindi wenye kufanya kazi wanapotuma pesa kwenda inchini India pia upungufu wa pesa za kigeni hasa dola ya Kimarekani unachangiwa na kiasi kikubwa na utumwaji wa pesa hizo kwa njia stahiki na njia batili kwenda India na katika benki za nchi mbalimbali na hili serikali inatakiwa kuwashirikisha wazalendo wenye uchungu na uadilifu mkubwa na wenye kutanguliza maslahi ya nchi na si vinginevyo.

      Upande wa ajira mbali na makampuni mengi ya Wahindi kutanguliza uhindi pia katika makapuni mengi ambayo yameshikiliwa na kuendeshwa na Wahindi wamiliki wakiwa si Wahindi hasa makampuni ya Waarabu kama ilivyo kampuni moja ya uuzaji wa mazao ya nafaka na matunda na koni Wahindi wamekuwa wakitumia fursa zao kuwafukuzisha kazi wafanyakazi ambao si Wahindi na nafasi hizo kuchukuliwa na Wahindi toka India na hili limekuwa likifanyika na athari imeshakuwa kubwa kupita haya maelezo.

      Na kampuni nyingi ambazo awali hazikuwa na Wahindi mara baada ya kuchukuliwa au kuwa na wafanyakazi Wahindi maslahi ya wafanyakazi yameshuka badala ya kupanda mfano kuna kampuni moja ya Ulinzi yenye makao makuu Kinondoni ambayo mwanzoni ilikuwa inamilikiwa na Wazungu mara baada ya kuchukiliwa na Wahindi mambo yamebadilika na yamekuwa magumu hasa kwa walinzi ambao awali walikuwa wanalipwa mshahara mkubwa lakini baada ya kuchukuliwa na Wahindi malipo hivi sasa ni nusu ya ule mshahara wa zamani na mazingira ya kazi yakiwa yaleyale na mara nyengine ugumu wa kazi ukiongezeka.

      Athari ya Wahindi imekuwa kubwa katika idara mbalimbali na imepelekea Watanzania wengi wenye makampuni mbalimmbali ambao si Wahindi kukosa zabuni mbali mbali kutokana na kukosa hulka kama makampuni mengi ya Wahindi yanavyofanya na hili limetamalaki katika idara nyingi za serikali.

      Ushauri wangu kwa Watanzania wenzangu ni kutanguliza uadilifu katika kuyatekeleza majukumu yetu ya kila siku na si vinginevyo na kuwaangamiza Watanzania wenzetu wasio na hatia katika kupata haki mbali mbali kama wanavyopata Wahindi kupata haki za watu wengine kwani malipo yake ni kuuza utu wetu na uhuru wa nchi yetu.

    10. #287
      Chakunyuma's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 10th April 2011
      Location : Masasi
      Posts : 751
      Rep Power : 560
      Likes Received
      134
      Likes Given
      283

      Default Re: Tunakusanya Kero ambazo ungependa zisemewe Bungeni na Nje ya Bunge na Viongozi wa CHADEMA

      Swali wakuu sasa ni nani atayachukua haya na kuyawasilisha?
      "global human society based on poverty for many and prosperity for a few, characterised by islands of wealth, surrounded by a sea of poverty, is unsustainable" T.Mbeki

    11. #288
      Maundumula's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 4th November 2010
      Posts : 4,896
      Rep Power : 3090
      Likes Received
      1324
      Likes Given
      5608

      Default Re: Tunakusanya Kero ambazo ungependa zisemewe Bungeni na Nje ya Bunge na Viongozi wa CHADEMA

      Mimi naomba Bungeni mpeleke mambo yafuatayo

      1. Swala la mgombea binafsi , hii katika nyanja zote kutoka mtaani, udiwani,ubunge hadi urais
      2. MAwaziri wasiwe wanasiasa tena wawe wataalam wafanye kazi
      3. Serikali iwekeze kwenye customer service katika sehemu zake za kutoa huduma ,iwe hospitali, wizarani kwakuwa huduma zipo poor na ikiwezekana waweke PD kwa wafanyakazi wao ili wapimwe kupitia suggestion boxes na interactions na wenzao

    12. #289
      yakowazi's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 9th February 2012
      Location : mtaani
      Posts : 115
      Rep Power : 390
      Likes Received
      9
      Likes Given
      0

      Default Re: Tunakusanya Kero ambazo ungependa zisemewe Bungeni na Nje ya Bunge na Viongozi wa CHADEMA

      napendekeza pawe na bunge dogo ambalo litawahusisha maraisi wetu na mawaziri wakuu wastaafu ili waweze kumshauri raisi aliyeko madarakani pale nchi yetu inapopata misukosuko yeyote ya kitaifa kwa kuwa huwa wao wakuwepo kwenye nafasi zajuu katika taifa letu na kwakuwa nchi inaendelea kuwahudumia

    13. #290
      morenja's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd February 2012
      Posts : 294
      Rep Power : 426
      Likes Received
      56
      Likes Given
      8

      Default Re: Tunakusanya Kero ambazo ungependa zisemewe Bungeni na Nje ya Bunge na Viongozi wa CHADEMA

      mimi naomba mbunge wa arusha mjini .mh godbless lema ,atuondolee kelele zinazo tokana na kupigwa muziki .kwenye kumbi ya muziki ya active club uliopo mbauda kata ya sombetini ,maana tumelalamika mpaka tumechoka ,kuanzia kwa katibu mtendaji kata, diwani wa ccm ,mkurugenzi wa jiji ,kamanda wa polisi arusha ,na kumalizia tume ya sheria na haki za binadamu arusha ,lakini wapi bado kelele zinaendelea kuutumiza .mwaka wa 6 sasa ..atulali vema .

    14. #291
      mmaroroi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 8th May 2008
      Posts : 2,181
      Rep Power : 999
      Likes Received
      104
      Likes Given
      79

      Default Re: Tunakusanya Kero ambazo ungependa zisemewe Bungeni na Nje ya Bunge na Viongozi wa CHADEMA

      1. nyumba za serikali zilizogawiwa zirudishwe
      2. Wakuu wa Wilaya/Mikoa wachaguliwe
      3. Wateuzi wa Rais wadhibitishwe na Bunge
      4. Kifungu kinachozuia Rais kushitakiwa kwenye Katiba ifutwe
      5. Wakuu wa Vyuo vya Elimu ya juu wasiteuliwe kisiasa
      6. Chadema ijieneze vijijini nchi nzima
      7. Chadema ijiandae kuweka wagombea wa ngazi zote nchi nzima ikijiandaa kuchukua nchi
      8. Chadema iwe makini na mamluki ndani ya chama
      9. Viongozi wa vyombo vya ulinzi wanaoshabikia siasa waondolewe.

    15. #292
      The hammer's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 17th May 2011
      Location : Tanzania
      Posts : 120
      Rep Power : 429
      Likes Received
      31
      Likes Given
      17

      Default Re: Tunakusanya Kero ambazo ungependa zisemewe Bungeni na Nje ya Bunge na Viongozi wa CHADEMA

      Kero ni nyingi sana ntajaribu kutaja chache kwa ufupi
      1: Usimamizi hafifu wa sheria, kumbuka nchi yoyote iliyoendelea sheria sinasimamiwa kikamilifu bila kujali mtu na cheo chake.
      2: Msongamano wa magari mijini bila kuona hatua dhahiri za kutatua tatizo hilo kwa dhati hata kwny miji inayokua haina hata habari hiyo.
      3: Ubora wa hospitali zetu na vifaa na rasilimali watu(madakatri)hawatoshi,na wajenge uwezo ktk magonjwa yasiyotibika hapa nchini.
      4: Elimu yetu iliyopitwa na wakati ifanyiwe mabadiliko ktk mitaala na shule za sec za serikali za kata zisitishwe kujengwa ili zilizop ziboreshwe zaidi na kufikia viwango na ubora unaohitajika.
      5: Viwanja vya ujenzi wa nyumba vipimwe na viwepo kwa kwa mtu anayehitaji kwa haraka bila rushwa,na usafi wa mazingira uboreshwe (drainage system)kwani kipindi cha mvua uchafu ni mwing sana(watu hutapisha vyoo vyao)Sheria iwe kali na isimamiwe ipasavyo katika hili kulinda afya za watu..
      6: Sheria za kulinda MALIASILI ZETU ZIWE KALI ZAIDI NA ZIFUATWE NA KUTEKELEZWA.
      7: POSHO ZA VIKAO MIKUTANO nk zisizidi KIMA CHA CHINI CHA MFANYAKAZI.
      8: Wafanyakaz serikalini waajiriwe kulingana na fani walizosomea.
      9: Usalama barabarani hawafanyi kazi ipasavyo hivyo sheria ifuatwe

    16. #293
      morenja's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd February 2012
      Posts : 294
      Rep Power : 426
      Likes Received
      56
      Likes Given
      8

      Default Re: Tunakusanya Kero ambazo ungependa zisemewe Bungeni na Nje ya Bunge na Viongozi wa CHADEMA

      vipi !? Mbona tunawaeleza kero zetu hamchukui kuzifanyi kazi .kuna kama hii.yangu ya kelele za muziki .hapa active club arusha .kwani jambo hili ni swala lipo kinyume na sheria ni kiasi cha viongozi wasio wala rushwa .kuagiza mkurugenzi asimamishe upigwaji huo wa muziki kwa kelele ,mpaka kumbi hiyo .itakapo weka sound proof system kama sheria anivyo agiza ,mbona amchukui hatua !!,mbunge wetu wa chadema ,napenda kutoa onyo tuliikataa ccm kwa sababu kama hizi .kupuuzia kero na kuchukua muda mrefu bila kutatua kero zetu ,

    17. #294
      Mkirua's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 9th September 2010
      Posts : 3,384
      Rep Power : 1027
      Likes Received
      1160
      Likes Given
      595

      Default Re: Tunakusanya Kero ambazo ungependa zisemewe Bungeni na Nje ya Bunge na Viongozi wa CHADEMA

      Quote By Chakunyuma
      Swali wakuu sasa ni nani atayachukua haya na kuyawasilisha?
      Swali lako mkuu ni la muhimu sana kwani nilitegemea hawa makamanda waliobaki wataenzi kazi na ubunifu wa pekee aloanzisha shujaa huyu aliyeondoka mapema mno.... anyway wacha tuone mda utatuambia...ukimya huu umeanza kunitisha.
      The world suffers a lot. Not because of the violence of bad people, but because of the silence of good people!

    18. #295
      Simbamwene's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 22nd June 2008
      Posts : 204
      Rep Power : 596
      Likes Received
      24
      Likes Given
      12

      Default Re: Tunakusanya Kero ambazo ungependa zisemewe Bungeni na Nje ya Bunge na Viongozi wa CHADEMA

      Naomba Kero ya Traffic wakati wa ukaguzi wa Magari, Kuna Sticker ya Wiki ya Nenda Kwa Usalama, Fire, City na Mwisho wa Mwaka unatakiwa ulipe Road License, kila kimoja kina faini yake na kinatolewa wakati tofauti. Umefika wakati waelewe hatupendi kuuza sura kwenye mistari mirefu ya kulipia huduma hizo? Wazikusanye pamoja ili ikiwezekana tulipe zote TRA wakati tunalipia Road License.
      Mtafiti1 likes this.

    19. #296
      yaya's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th June 2011
      Posts : 673
      Rep Power : 533
      Likes Received
      210
      Likes Given
      67

      Default Re: Tunakusanya Kero ambazo ungependa zisemewe Bungeni na Nje ya Bunge na Viongozi wa CHADEMA

      Kwa mkuu atakayezipitia kero zilizoorodheshwa.
      Utanisamehe iwapo nitakachokiandika kitakuwa kimekwisha kuandikwa na mwana JF mwingine kabla yangu.

      Kero yangu kubwa ni muundo mbovu wa mishahara serikalini usiozingatia elimu na ujuzi.
      Utakuta wataalam mliomaliza chuo pamoja wenye fani moja (zinazofanana), mnafanyakazi idara mbili tofauti zote za serilkali lakini mmoja analipwa mshahara mkubwa ajabu na mwingine wa kawaida kwa kisingizio eti idara hiyo ni nyeti. Ni ****** usioweza kufikirika.
      Binafsi hoja ya fani nyeti inamaana zaidi kuliko idara nyeti.

      Eti, huyu akilipwa pesa ndogo atashawishika kupokea rushwa???!!! Nchi ya ajabu sana.
      Ndiyo maana leo hii utashangaa mtumishi wa ngazi ya chini wa benki kuu, TRA au TAKUKURU analipwa mshahara mkubwa kuliko mwalimu wa chuo.

      Enzi za mwalimu, elimu, ujuzi na utumishi wa muda mrefu kazini vilikuwa ndiyo misingi mikuu ya kima cha mshahara wa mtumishi.

    20. #297
      yaya's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th June 2011
      Posts : 673
      Rep Power : 533
      Likes Received
      210
      Likes Given
      67

      Default Re: Tunakusanya Kero ambazo ungependa zisemewe Bungeni na Nje ya Bunge na Viongozi wa CHADEMA

      Kwa mkuu atakayezipitia kero zilizoorodheshwa.
      Utanisamehe iwapo nitakachokiandika kitakuwa kimekwisha kuandikwa na mwana JF mwingine kabla yangu.

      Kero yangu kubwa ni muundo mbovu wa mishahara serikalini usiozingatia elimu na ujuzi.
      Utakuta wataalam mliomaliza chuo pamoja wenye fani moja (zinazofanana), mnafanyakazi idara mbili tofauti zote za serilkali lakini mmoja analipwa mshahara mkubwa ajabu na mwingine wa kawaida kwa kisingizio eti idara hiyo ni nyeti. Ni hoja isioweza kufikirika.
      Binafsi hoja ya fani nyeti inamaana zaidi kuliko idara nyeti.

      Eti, huyu akilipwa pesa ndogo atashawishika kupokea rushwa???!!! Nchi ya ajabu sana.
      Ndiyo maana leo hii utashangaa mtumishi wa ngazi ya chini wa benki kuu, TRA au TAKUKURU analipwa mshahara mkubwa kuliko mwalimu wa chuo.

      Enzi za mwalimu, elimu, ujuzi na utumishi wa muda mrefu kazini vilikuwa ndiyo misingi mikuu ya kima cha mshahara wa mtumishi.

    21. #298
      Kundelungu's Avatar
      Member Array
      Join Date : 2nd October 2011
      Posts : 17
      Rep Power : 388
      Likes Received
      1
      Likes Given
      3

      Default Re: Tunakusanya Kero ambazo ungependa zisemewe Bungeni na Nje ya Bunge na Viongozi wa CHADEMA

      Kwa Bungeni nitakuja kesho,
      Kwa leo nahitaji wabunge wa Mwanza wachangamke, wawe na agenda ya kuwaonyesha wananchi wanachofanya na wanachotegemea kukifanya kabla ya uchaguzi mkuu ujao. Wamekaa kimya,- yaweza kuwa wanafanya kitu lakini wananchi kwa harakaharaka hawaoni, nashauri wajitokeze "wapige kelele" wawaamshe wananchi ili wananchi waone kuwa wapo. Watakapokuja kupiga kelele mwishoni itakuwa yaleyale ya siku zote kuwa " wameona uchaguzi unasogea nd'o wanakuja".

    22. #299
      Asnam's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 18th January 2012
      Location : Yutong
      Posts : 2,528
      Rep Power : 1002
      Likes Received
      1566
      Likes Given
      1111

      Default Re: Tunakusanya Kero ambazo ungependa zisemewe Bungeni na Nje ya Bunge na Viongozi wa CHADEMA

      nafikiri viti maalum viwekwe kwa ajili ya walemavu tu kwani ipo haja ya kuwapa nafac kuteua wawakilishi wao.wengine waliojaliwa na mungu uzima wa mwili wapambane majimboni

    23. #300
      bison bison's Avatar
      Junior Member Array
      Join Date : 23rd January 2012
      Posts : 1
      Rep Power : 0
      Likes Received
      0
      Likes Given
      0

      Default Re: Tunakusanya Kero ambazo ungependa zisemewe Bungeni na Nje ya Bunge na Viongozi wa CHADEMA

      kwa nini stahiki zao zinapunguzwa,mfano serikali ilisema kila idara ipunguze bajeti yake kwa 50%,ok kwa logic hiyo hata secta ya elimu ktkt mchakato wa kuwaajiri walimu wapya fedha ya kujikimu ilibidi wapewe ya siku saba 50%kutoka siku 14,lakini kila sehemu inakata chake,ona sasa badala ya walimu kupewa ya siku saba wamepewa ya siku tatu,hizo nyingine nyie wakurugenzi mnafanyia biashara?hakika mnajichumia laana tu! HAPA NAPATA POINT KWA NINI MTU AKIPATA CHANCE ANAKUWA SIYO MUADILIFU KWANI ATAKUWA ANAJILIPA HAKI YAKE ILIYOMINYWA,NGOJA NAFASI YANGU IPATIKANE.

      BISON BISON

    24. FemaTV & Radio
    Page 15 of 24 FirstFirst ... 51314151617 ... LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...