JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Kikwete, huu mtandao ni hatari! Be careful, otherwise waweza kuwa historia (Part 2)

  Report Post
  Page 16 of 31 FirstFirst ... 61415161718 26 ... LastLast
  Results 301 to 320 of 619
  1. Hutaki Unaacha's Avatar
   Junior Member Array
   Join Date : 19th September 2010
   Posts : 9
   Rep Power : 589
   Likes Received
   396
   Likes Given
   0

   Default Kikwete, huu mtandao ni hatari! Be careful, otherwise waweza kuwa historia (Part 2)

   Previously:
   JK, huu mtandao ni hatari! Be careful, otherwise waweza kuwa historia (Part 1)

   Karume na Jussa ni wamoja na wanafahamiana vizuri sana kuliko wewe unavyofikiri. Kundi hili linao uwezo wa kuvunja Muungano muda wowote linaoutaka na kuanzisha serikali tatu na baada ya malengo kutimia likaanzisha serikali moja!. Ni vigumu kuelewa ni yapi majukumu ya Karume ndani ya hili kundi na nani kampa majukumu hayo na wapi kiburi cha Karume kimeegemea. Ni swala la historia ndefu sana ambayo nitaiunganisha vizuri baada ya kumchambua Rostam ambaye nitachukua muda mrefu kumchambua kuliko mwingine yeyote katika kundi hili.

   Nafikiri urafiki wako na Karume waweza kuwa umeingia doa kipindi cha 2007 hivi wakati umeletewa zile briefcase zilizojaa dola na kumhukumu Karume kabla hujaenda uarabuni!. Hivi zile dola zilienda wapi Mh Rais?. Zilikuwa nyingi kwelikweli. Hata hivyo Karume anaweza kweli kusahau mchezo mliotaka kumfanyia wewe na Nahodha kuhusiana na mwafaka kabla ya kipindi chake kuisha na kupelekea kumtishia Nahodha nafasi yake ya Waziri Kiongozi? Nahodha akabaki analia wakati wewe umemruka tayari baada ya kuona umezidiwa nguvu?. Mr President, unawafahamu waliokuwa nyuma ya mchezo huu? Basi hao hao kwa miaka mingi wangekwishakumaliza lakini Edward alionekana "kukupenda’" zaidi na yeye amekuwa akiwawekea ngumu yaani kukulinda lakini kwa bahati mbaya sana, amewakubalia hivyo kufanya ‘‘game’’ kuwa kali. Edward anaweza kukulinda baadaye. Lakini hutaweza kufanya biashara yeyote ile na waweza kubaki na "njaa" kali sana baada ya kustaafu. ‘‘Game’’ hii ni hatari kwasababu lazima imuweke Karume kwenye nafasi za juu za uongozi wa taifa hili 2015. Mh Rais naomba umuulize Mama Maria Nyerere akwambie vitisho alivyopewa na Karume na Mkapa kuhusiana na mwanaye makongoro wakati wewe unaendesha kikao cha NEC. Hata hivyo ni vizuri ukajiuliza swali la kitoto kama hili: Je ni kwanini Karume na wenzake walikushinikiza sana umteue Tom Apson kuwa mbunge wao wakikudanganya kwamba Tom amefanya kazi nzuri ya kuiba siri za Apson na malecela na wengine? Think twice Jakaya!.

   3. Rostam ni nani?

   Licha ya kuwa rais wa nchi hii tena Kamanda mkuu wa vyombo vyote vya usalama, umeshindwa kumfahamu Rostam kwa undani zaidi. Nikiri kwamba, bado hujamfahamu Rostam vizuri na sidhani kama ‘’vijana’’ wako wanamfahamu vizuri. Kabla sijamwelezea vizuri, naomba nikukumbushe kitu kimoja. Hivi ilikuwaje mwaka 1995 wakati kambi yako inaomboleza baada ya kushindwa urais, Rostam alionekana kwenye sherehe ya kumpongeza Mkapa tena akiwa na Mkapa na kwa mazungumzo marefu sana?. Je aliwasaliti nyie washirika wake?.

   Nikiri tena kuwa, Rostam aweza kuwa mtu hatari, mwenye akili ya haraka sana lakini mwenye kuzichezea kwa akili ya juu sana siasa za Tanzania kuliko mtu yeyote aliye hai niliyeweza kumfahamu hapa Tanzania. Huyu akiwa pale LSE UK, alijenga urafiki mkubwa sana na binti wa mkubwa mmoja na muhimu katika Tehran (siasa za Iran). Haikufahamika kwa haraka ni nini alichokuwa akikitafuta kwa huyo binti na nani alimtuma ajenge huo urafiki ghafla kiasi hicho. Hili ninalolisema kwa sasa hata Lowassa hawezi kulifahamu, si wewe peke yako.

   Ni vigumu kuamini kuwa, Serikali ya Marekani imegharamia masomo ya Rostam LSE (baada ya hii task) na hii serikali kupitia Prof mmoja anayefundisha chuo kikuu kimoja UK huku akiwa ni mfanyakazi wa CIA iliweza kufanikisha urafiki mkubwa wa Rostam na huyu binti huku yeye (Prof) akiwaachia maelekezo vijana wa CIA baadhi kum-monitor Rostam na hatimaye urafiki ukawa mkubwa sana kiasi kwamba ukaweza kumfanya Rostam akubalike na Tehran.

   Kwa udhamini na wito kutoka serikali ya US, Rostam akawa anakwenda mafunzo mahsusi ya ki-usalama marekani na huko alikutana na watu wengi sana muhimu wakiwemo wamiliki wa Symbion. Kwa kukudokezea tu, pesa za Kagoda ni msamaha wa deni lililofanikishwa na ushawishi wake pale Tehran. Kwa bahati mbaya sana hata Mariam (mke wa Rostam) hakuufahamu uhusiano ule akifikiri ni mapenzi mpaka pale alipojua vinginevyo (ingawa hawezi kujua behind the scene kuna nini). Malengo ya Marekani na huu urafiki (Rostam-Tehran) bado yako palepale na nilipokutana na rafiki yangu (huyu aliweza kufanya kazi nzuri sana na Shah Riza kule Middle East) wa siku nyingi sana pale Boston, akanihakikishia kuwa lengo lilipangwa kutimia 2018 au 2022 hivi!. Ni hatari sana na mtandao wa Rostam na wenzake unaweza kukufanyia lolote watakalo kama usipokuwa makini!. Kule Saudi Arabia na sehemu nyinginezo ameweza kutumiwa sana na hawa ‘‘mabosi’’ wake kwenye masuala ya biashara.

   Rostam anafanya kazi kubwa na nyingi za kibiashara na kisiasa na CIA kama agent wao muhimu sana Afrika huku yeye akisaidiana na mtandao wa CIA kule South Africa na ku-control sehemu kubwa Afrika Mashariki na Kati na sehemu nyingine za afrika ambazo US itakuwa na maslahi nazo. Mambo machache aliyoweza kufanikisha ni pamoja na kumfikisha Raila hapo alipo, mikataba ya kimaslahi na Salva Kiir achilia mikono ya Rwanda na Uganda kule Congo, Madagascar, mwafaka wa Zanzibar, kujivua gamba though kosa mojawapo ni wewe kukosea implementation hivyo kum-cost na kupelekea US kumwambia ajiuzulu ubunge na ‘‘kuacha’’ siasa kitu kinachomfanya afanye siasa mara kumi ya aliyokuwa akiifanya awali.

   Mr President, muulize Othman akueleze ukweli kwa kuwa hili alilifahamu ingawa hajui ni kwanini lilitokea. Kumbuka vizuri wakati Bush amekuja Tanzania. Kule Arusha, viongozi wa makampuni makubwa yanayomiliki migodi mikubwa ambayo Bush, US na CIA ina maslahi nayo kutoka karibu kila kona ya dunia walikusanyika na walielezea ni kwanini biashara haiendi vizuri. Hakuna mtanzania yeyote Yule hata Deo aliyehudhuria except Rostam. Nani alimwalika na alihudhuria akitokea wapi?! Pale waliazimia mambo makubwa na ya hatari sana. Rostam anajua vizuri what happened na maazimio yale yalilenga nini.

   US imeona wewe ni shida kwa kuwa nchi ni kama inakushinda vile na haioni tena mvuto wako kwa wananchi na hii ni hatari kwa maslahi yao hasa mafuta ya Zanzibar ambayo imeshayalia timing kwa maana ya kwamba imeshirki kikamilifu kucheza ‘‘game’’ ya Rostam-Jussa-Karume-Shein kwa haraka sana. Nimekwambia kwamba, Muungano waweza kuvunjwa na baada ya muda ukarudi tena nakuwa serikali moja. Jiulize ni kwanini Mwamunyange anakudharau kiasi hicho?. Hicho kiburi anakitoa wapi?. Mr President, usikurupuke, cheza karata vizuri!

   WAPENDWA WANA JF, MNIVUMILIE KWA MPANGILIO MBOVU. NITAENDELEA NA ROSTAM KWA UPANA ZAIDI, THEN APSON, MKAPA, EDWARD NA OTHMAN

  2. MTAZAMO's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 8th February 2011
   Location : KAISHO-KYERWA
   Posts : 9,887
   Rep Power : 429498958
   Likes Received
   7042
   Likes Given
   15857

   Default

   Quote By Okada View Post
   I did not know kwamba itafika huko.......
   Accidentally, the cat has jumped out of the basket...!!!!
   Mimi niwe target badala ya........? I thought JF is home of great thinkers!
   Haya nimepita tu, sikujua hayo kama yapo hapa JF.
   Mkuu Romantic nimemfatilia sana toka nilipohisi vitu flani! By step nayasoma maandishi yake kujua anataka akili za watu humu ziishie wapi! Usiende mbali sana soma michango yake yote kule part 1 hasa majibizano na Mtoa habari! Utamuelewa na wala hutapata tabu mkuu! Lakini kama angalizo kwa mtoa mada,habari hizi si nzuri kwa watawala na lile kundi lilotajwa humu na wanaweza kurespond haraka kuvuruga muelekeo wa mjadala(maana watu wanapingapinga bila kwenda hoja kwa hoja) hivyo wanaofahamu ukweli wanapaswa kuja kutetea hoja zilizotolewa ili lengo la kugeuza mada hii kama porojo za mtaani lifeli (maana mtoa habari alisaidia kuweka mambo mengi sawa kule part 1).tumefika hapa kama taifa kwasababu fulani na lazima tuipate source ili tujue the way forward sasa nyie mnaopinga kwasababu na nyie mna taarifa za ndani basi toeni changamoto kwa hoja na sio kuleta porojo ili the whole thing ionekane porojo! Hamtusaidii lakini pia tuna akili timamu!!

  3. KIM KARDASH's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st September 2011
   Posts : 5,060
   Rep Power : 0
   Likes Received
   958
   Likes Given
   100

   Default re: Kikwete, huu mtandao ni hatari! Be careful, otherwise waweza kuwa historia (Part 2)

   Quote By MTAZAMO View Post

   kama tetesi unaziona hapa for months now tukianza na ile ya membe be careful kabla ya kuja na hizi tamthilia ujue haina madhara yeyote kwa waliotajwa...kwani unadhani kwa kuwa wewe unaisoma hapo ukiwa chumbani kwako au ofisini kwako basi ni siri ambayo mwenye access ya kuisoma ni wewe tu...ndio maana hata mimi nawashangaa na akili zenu timamu mnashindwa kuwa na kumbukumbu na kuona contradictions za mleta porojo huyu kutoka ile simulizi ya membe be careful na hizi mbili toleo la kwanza na hili la pili..hebu rudi kaisome ile membe be careful then uzisome na hizi uone kama utakosa maswali ya kumuuliza mshkaji wako na baadae kutoa MTAZAMO wako ambao utakua tofauti na huu ulionao..

  4. Sumba-Wanga's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd February 2011
   Location : Gambushi
   Posts : 5,327
   Rep Power : 0
   Likes Received
   1147
   Likes Given
   1392

   Default re: Kikwete, huu mtandao ni hatari! Be careful, otherwise waweza kuwa historia (Part 2)

   Quote By MTAZAMO View Post
   Mkuu Romantic nimemfatilia sana toka nilipohisi vitu flani! By step nayasoma maandishi yake kujua anataka akili za watu humu ziishie wapi! Usiende mbali sana soma michango yake yote kule part 1 hasa majibizano na Mtoa habari! Utamuelewa na wala hutapata tabu mkuu! Lakini kama angalizo kwa mtoa mada,habari hizi si nzuri kwa watawala na lile kundi lilotajwa humu na wanaweza kurespond haraka kuvuruga muelekeo wa mjadala(maana watu wanapingapinga bila kwenda hoja kwa hoja) hivyo wanaofahamu ukweli wanapaswa kuja kutetea hoja zilizotolewa ili lengo la kugeuza mada hii kama porojo za mtaani lifeli (maana mtoa habari alisaidia kuweka mambo mengi sawa kule part 1).tumefika hapa kama taifa kwasababu fulani na lazima tuipate source ili tujue the way forward sasa nyie mnaopinga kwasababu na nyie mna taarifa za ndani basi toeni changamoto kwa hoja na sio kuleta porojo ili the whole thing ionekane porojo! Hamtusaidii lakini pia tuna akili timamu!!
   This was my main argument and nothing more!!!!!!!!!!!!!!
   lakini, inaonekana ni kitu kigumu sana.
   And JF as a forum, should be used for such purposes...
   "A man's or woman's best or worst choice in life is his or her spouse"

  5. MTAZAMO's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 8th February 2011
   Location : KAISHO-KYERWA
   Posts : 9,887
   Rep Power : 429498958
   Likes Received
   7042
   Likes Given
   15857

   Default re: Kikwete, huu mtandao ni hatari! Be careful, otherwise waweza kuwa historia (Part 2)

   The Romantic unganisha dot basi ukosoe kwa hoja, porojo za nini ndugu? Fungua watu watoke kwenye hii box!

  6. KIM KARDASH's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st September 2011
   Posts : 5,060
   Rep Power : 0
   Likes Received
   958
   Likes Given
   100

   Default re: Kikwete, huu mtandao ni hatari! Be careful, otherwise waweza kuwa historia (Part 2)

   Quote By MTAZAMO View Post
   The Romantic unganisha dot basi ukosoe kwa hoja, porojo za nini ndugu? Fungua watu watoke kwenye hii box!
   nimkosoa mara ngapi?mtu mwenyewe umeona anajibu hoja ya nani humu,tumemchallenge several time kutokana na hizo hizo tamnthilia zake the ay anavyojicontradict kwenye suala la mitandao hatari mbalimbali,lakini hakuna majibu sasa tunajibizana na kivuli au nyie washabiki wake..aje twende mstari kwa mstari,ndio hata nyie mtafaidika zaidi!

  7. alberaps's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 8th November 2010
   Posts : 399
   Rep Power : 644
   Likes Received
   89
   Likes Given
   117

   Default re: Kikwete, huu mtandao ni hatari! Be careful, otherwise waweza kuwa historia (Part 2)

   In this case the original plan will be revised and rearanged!

  8. zumbemkuu's Avatar
   JF Bronze Member Array
   Join Date : 11th September 2010
   Location : street dweller
   Posts : 8,637
   Rep Power : 355221033
   Likes Received
   4046
   Likes Given
   13808

   Default re: Kikwete, huu mtandao ni hatari! Be careful, otherwise waweza kuwa historia (Part 2)

   mkuu TR kumbe hoja zako dhaifu unataka watu wazichukue kwa uzito hata km ni nyepesi. kuna mengine nakubaliana na ww lakini mengi unayokosoa inaonekana km unayakosoa kutokana na wivu kwa mtoa mada HU au mtoa tetesi/mtoa habari, sasa sijui anagusa na maslahi yako kiaina au pengine ungependa habari km hizi uzitoe ww umewahiwa!! twende taratibu mkuu, nchi hii ni yetu sote, hata tetesi na udaku tunauchukulia kwa uzito wa juu endapo unagusa maslahi ya taifa letu.
   ''Overcome the devils with a thing called love'' bob marley

  9. KIM KARDASH's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st September 2011
   Posts : 5,060
   Rep Power : 0
   Likes Received
   958
   Likes Given
   100

   Default re: Kikwete, huu mtandao ni hatari! Be careful, otherwise waweza kuwa historia (Part 2)

   Quote By zumbemkuu View Post
   mkuu TR kumbe hoja zako dhaifu unataka watu wazichukue kwa uzito hata km ni nyepesi. kuna mengine nakubaliana na ww lakini mengi unayokosoa inaonekana km unayakosoa kutokana na wivu kwa mtoa mada HU au mtoa tetesi/mtoa habari, sasa sijui anagusa na maslahi yako kiaina au pengine ungependa habari km hizi uzitoe ww umewahiwa!! twende taratibu mkuu, nchi hii ni yetu sote, hata tetesi na udaku tunauchukulia kwa uzito wa juu endapo unagusa maslahi ya taifa letu.
   bwana zumbe pengine mimi naweza kuonekana ni "tatizo" lakini mi sijali,ila hata wewe ukirejea taratibu kusoma toka mwanzo wa machapisho yake humu(nasisitiza msome sawasawa toka ile ya membe be careful)mtazigundua contradictions nyingi sana za jamaa,zinazotia mashaka makubwa kama hyu jamaa huwa hata anasoma alichoandika maana angestuka hata yeye mwenyewe na kujua anajichanganya sana!nimejaribu mpaka kuicopy story yake ya kumtahadharisha membe ili watu wasinione mkorofi na yeye kama anasoma aje atoe ufafanuzi lakini wapi,sasa mnataka nikubali tu wakati hata yeye mwenyewe ni kama anajipiga mwenyewe!

  10. matumbo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 9th July 2011
   Posts : 6,900
   Rep Power : 0
   Likes Received
   3490
   Likes Given
   1545

   Default re: Kikwete, huu mtandao ni hatari! Be careful, otherwise waweza kuwa historia (Part 2)

   @The Romantic,

   kampeni zenu kwa Nyarandu zimefikia hatua gani?

  11. nyabhingi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th October 2010
   Posts : 7,945
   Rep Power : 122985982
   Likes Received
   3126
   Likes Given
   3597

   Default re: Kikwete, huu mtandao ni hatari! Be careful, otherwise waweza kuwa historia (Part 2)

   hutaki unaacha=mwakyembe?nahisi hivyo maana alisema atatoa siri nzito lakini baada ya kupigwa biti kaamua kuja kwa kujificha jf.
   No bullet can stop us now, we neither beg nor we won't bow;
   Neither can be bought nor sold
   .

  12. WildCard's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd April 2008
   Posts : 7,430
   Rep Power : 2307
   Likes Received
   2201
   Likes Given
   79

   Default re: Kikwete, huu mtandao ni hatari! Be careful, otherwise waweza kuwa historia (Part 2)

   Mwacheni HU atupatie taarifa hizi ambazo WATANZANIA tulio nje ya mfumo zitatusaidia kufahamu wanaoimiliki Tanzania baada ya Mwalimu kuondoka hapa duniani. Wamiliki wa sasa wa nchi ndio wametufikisha hapa tulipo na ili tutoke ni lazima kuwafahamu tabia na matendo yao ili tukabiliane nao.
   Vinginevyo tubaki tu kuimba ENL awe Rais, Dr Slaa anafaa, Maghufuli hivi, Zitto anaweza,..., huku tukiendesha geresha za uchaguzi na huenda KATIBA MPYA nayo ikawa ni geresha tu.

  13. RUMANYIKA's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd February 2011
   Posts : 315
   Rep Power : 615
   Likes Received
   74
   Likes Given
   0

   Default

   Quote By matumbo View Post
   @The Romantic,

   kampeni zenu kwa Nyarandu zimefikia hatua gani?
   Duuu! Kumbe yupo kwa nyalandu.

  14. #313
   DSN's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd February 2011
   Location : Home Tanzania
   Posts : 2,663
   Rep Power : 4837
   Likes Received
   1498
   Likes Given
   2889

   Default re: Kikwete, huu mtandao ni hatari! Be careful, otherwise waweza kuwa historia (Part 2)

   Quote By THE ROMANTIC View Post
   ulichemka jamaa ndio akawa anakua alert kiaina kwamba sio HU bali ujumbe wako ulitaka kuuelekeza kwa mtoa tetesi/habari ambae ndio ulikua umemnukuu kwenye maandishi yako sio Hutaki unaacha ambae ni mleta thread,tukubali kukosolewa tunapokosea!
   Nilishakwambia toka siku zilizopita mkuu wewe bado ujui kuwa hapa ni jukwaa la intellectuals,ni mbaya kwa intellectuals kukulupuka,kwa kuwa ujui mwenzio anamaana gani yaweza kuwa mbili mara mbili ni nne au mbili jumlisha mbili ni nne.Kwa point yangu MMK alisema unatumia MAGAZIJUTO [mabano gawanya zidisha jumlisha na towa].

   Lengo si kujua jibu kuwa ni nne lengo ni kujua ametumia mkokotoo upi kupata hiyo nne.Ndio maana Shule awafundishi jibu wanafundisha njia ya kupata jibu.Hakika ukipewa mtihani wa hesabu ukaweka majibu pasipo njia imekula kwako.Kwa hesabu yangu niliitaji njia mbili kujumlisha au kuzidisha toka kwa niliemuliza.Ndio maana Ed alinielewa.

  15. zumbemkuu's Avatar
   JF Bronze Member Array
   Join Date : 11th September 2010
   Location : street dweller
   Posts : 8,637
   Rep Power : 355221033
   Likes Received
   4046
   Likes Given
   13808

   Default re: Kikwete, huu mtandao ni hatari! Be careful, otherwise waweza kuwa historia (Part 2)

   Quote By THE ROMANTIC View Post
   bwana zumbe pengine mimi naweza kuonekana ni "tatizo" lakini mi sijali,ila hata wewe ukirejea taratibu kusoma toka mwanzo wa machapisho yake humu(nasisitiza msome sawasawa toka ile ya membe be careful)mtazigundua contradictions nyingi sana za jamaa,zinazotia mashaka makubwa kama hyu jamaa huwa hata anasoma alichoandika maana angestuka hata yeye mwenyewe na kujua anajichanganya sana!nimejaribu mpaka kuicopy story yake ya kumtahadharisha membe ili watu wasinione mkorofi na yeye kama anasoma aje atoe ufafanuzi lakini wapi,sasa mnataka nikubali tu wakati hata yeye mwenyewe ni kama anajipiga mwenyewe!
   mkuu hizo contradiction zake kwetu ni burudani ili tuweze kufikirisha vichwa vyetu, hata hesabu za MAGAZIJUTO mwisho wake utakuta ni 4-2 wakati zilizingirwa na minamba kibao ikiwamo ya kujumlisha, kugawanya na kuzidisha.

   asante DSN kwa ufafanuzi hapo juu.
   ''Overcome the devils with a thing called love'' bob marley

  16. Babkey's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 10th December 2010
   Posts : 2,646
   Rep Power : 1177
   Likes Received
   591
   Likes Given
   253

   Default

   Quote By maandamano View Post
   hutaki unaacha=mwakyembe?nahisi hivyo maana alisema atatoa siri nzito lakini baada ya kupigwa biti kaamua kuja kwa kujificha jf.
   ...na "MTOAHABARI"= 6 eeeh! inawezekana hii kitu
   Last edited by Babkey; 10th January 2012 at 10:33.

  17. alberaps's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 8th November 2010
   Posts : 399
   Rep Power : 644
   Likes Received
   89
   Likes Given
   117

   Default re: Kikwete, huu mtandao ni hatari! Be careful, otherwise waweza kuwa historia (Part 2)

   ??!!$$

  18. baba koku's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 5th January 2011
   Posts : 277
   Rep Power : 611
   Likes Received
   58
   Likes Given
   34

   Default re: Kikwete, huu mtandao ni hatari! Be careful, otherwise waweza kuwa historia (Part 2)

   bado sipati picha. inahitajika vielelezo zaidi au vinginevyo hii itakuwa ni FITINA TU.

  19. Mpui Lyazumbi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 1st September 2010
   Location : Laela
   Posts : 1,538
   Rep Power : 885
   Likes Received
   201
   Likes Given
   78

   Default re: Kikwete, huu mtandao ni hatari! Be careful, otherwise waweza kuwa historia (Part 2)

   Weka pati zote bana .
   "A Country which lacks its own culture is no more than a collection of people without the spirit which makes them a nation".(Freedom & Unit-JKN)

  20. Mkandara's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd March 2006
   Location : T dot
   Posts : 16,573
   Rep Power : 124739545
   Likes Received
   8260
   Likes Given
   8156

   Default re: Kikwete, huu mtandao ni hatari! Be careful, otherwise waweza kuwa historia (Part 2)

   Quote By Topical View Post
   Nimesoma part 1 na II, mkuu wewe mwenye hii thread unachofanya ni hiki:-

   a. Kutengeneza story za kufikirika kwamba RA ni hatari kuliko mtu yeyote mwingine ambaye ametuibia Tanzania; ni hatari kuliko Mkapa, EL, Mramba, Mwanyika, Chenge, Werema..kwanini umeamua kumchagua huyo tu hakuna zaidi ya chuki kwa wananchi wa Tanzania waislam..unataka ku-protray wrong concept kwamba in fact hawa wengine (wakristo) ni nafuu aliye mbaya zaidi RA..hatudanganyika kama ni wabaya ni wote on equal scale OK

   b. Umetengeneza story kwamba nchi hii inaongozwa na wanamtandao na kwamba wana nguvu sana kupita serikali yenyewe; fine lakini ukweli ni kwamba story yako ni illusion tupu..ili kuonyesha kwamba serikali haina nguvu kupita hicho kikundi; hapa una taka ku-potray kwamba JK hawawezi hao watu wako above the law; na kama anaweza embu awachukulie hatua wrong perception; si kwamba watu hao hawana hatia kisheria vile vile ni kumtafutia ugomvi watu kwa umbea usio na maana

   Nakusifu kwakuandika story ya kama ile iliypo kwenye bible ya cruci-fiction nzuri sana..
   Mkuu wangu ebu turudi ktk mavuno kuangalia story nzima ya uzakishaji wetu. Yatazame mavuno vizuri sana grade yake kisha jiulize imetokana na nini?

   1. Huoni kama nchi hii wapo watu ambao ni above the law?..
   2. Huoni kama nchi hii inaendeshwa na mtandao zaidi ya serikali ikiwa wapo watu wanakiuka miiko na maadili lakini hawafikishwi mbele ya sheria?.
   3. Huoni kama chaguzi za viongozi wetu ktk nyadhifa tofauti zinashangaza.. wapo mawaziri ambao hawafai kuwa mawaziri na uwakilishi mwingi unategemea kujulikana?.
   4. Tazama madaraka hata ndani ya vyombo vya Usalama kwa nini vyeo havifuatwi badala yake wanachomekwa watu..
   5. Tanzania leo bado nchi maskini sana na vyombo vingi vya kimataifa vinasema UFISADI (Grand Corruption) ni moja ya sababu kubwa kwa nini Corruptors wanalindwa?
   6. Sii kweli kwamba mwandishi ame target RA bali yeye ndiye rubani hao ulowataka wapo ktk nafasi zao za viti vya abiria..safari yao ni moja hizi habari dini zinatoka wapi?..Hivi kweli unaamini JK anashindwa uongozi nchini kwa sababu ni Muislaam...hakuna sababu nyingine?..au hao kina Mkapa, EL, Mramba, Mwanyika, Chenge, Werema ulowataja ni wezi hatari kwa sababu wao ni Wakristu?... ndio source ya mahusiano ya matendo kweli?..
   7. JK hana nguvu ya rais na anatuonyesha udhaifu ktk mikutano ya chama, kitaifa na uwajibikaji. Huhitaji Phd kuona kwamba JK ni abiria pia anaedeshwa sii dereva - Sasa dereva nani?.... ndio story zote hizi zinapotokea!

   Mimi nadhani tusome kujifunza, kupima na kuunganisha vitu kama walivyosema wengine. yapo utakayo yakubali na mengine yatakupa mashaka, haikatazwi kutokubaliana lakini sii kuyaweka maneno mdomoni mwa mtoa mada. Haya yachukue kama mawazo yako wewe na yawakilishe kama yako wewe sio kutafsiri mawazo ya mwingine upendavyo.

   Binafsi siongopi RA ni mtu hatari sana nchini kwa sababu ya WATU na MAZINGIRA tuliyopo. Watanzania kwa ujumla maskini sana wanaweza kuuza hata binti zao kwa fedha, sio siri na tunaogopa sana kupoteza nafasi za ulaji. Simba sii mnyama mbaya hata kidogo tena anavutia sana lakini ukimweka ktk kundi la Swala utamtazama kwa hukumu tofauti..Sisi ni ombaomba toka mtu mmoja mmoja hadi Taifa huru lisilo huru, hivyo yaliyosemwa yote pande zote yanawezekana..Haramu ikisha halalishwa huwezi ona ubaya kuifanya sana sana ukiipinga ni Makuruh.
   Last edited by Mkandara; 10th January 2012 at 21:34.
   Exploration of reality

  21. Chesty's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 30th August 2009
   Posts : 1,557
   Rep Power : 938
   Likes Received
   318
   Likes Given
   105

   Default re: Kikwete, huu mtandao ni hatari! Be careful, otherwise waweza kuwa historia (Part 2)

   Quote By THE ROMANTIC View Post
   bwana zumbe pengine mimi naweza kuonekana ni "tatizo" lakini mi sijali,ila hata wewe ukirejea taratibu kusoma toka mwanzo wa machapisho yake humu(nasisitiza msome sawasawa toka ile ya membe be careful)mtazigundua contradictions nyingi sana za jamaa,zinazotia mashaka makubwa kama hyu jamaa huwa hata anasoma alichoandika maana angestuka hata yeye mwenyewe na kujua anajichanganya sana!nimejaribu mpaka kuicopy story yake ya kumtahadharisha membe ili watu wasinione mkorofi na yeye kama anasoma aje atoe ufafanuzi lakini wapi,sasa mnataka nikubali tu wakati hata yeye mwenyewe ni kama anajipiga mwenyewe!
   Mkuu TR tofauti yako wewe na wengi waliomo humu ndani kama akina Nguruvi3, Mwanakijiji, nk. ni wewe kutokuchambua hoja, na hasa kila point anayoingelea mtoa mada na kuionesha ni kwa namna gani mtoa hoja yupo wrong. Mwenzetu mara nyingi unapinga tu, au unachukua uzi wa karibu page nzima unauweka tuusome bila kutuambia nini hakipo ok.

   Mimi nadhani unakosa kabisa kuendana na culture ya JF ambayo tunapingana kwa hoja na sio kuwa mkali tu huku unakataa bila hoja. Hilo ndilo ambalo wenzangu wamekuwa wakikuomba ulifanye pasipo mafanikio. Na hiyo inasaidia kwa kiasi kikubwa kumpa credit mtoa hoja (HU) kwa sababu huna mantiki katika kupinga kwako.

  Page 16 of 31 FirstFirst ... 61415161718 26 ... LastLast

  Similar Topics

  1. Replies: 1103
   Last Post: 17th September 2015, 00:18

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...