 |
 |

20th November 2008, 08:22 PM
|
 |
JF Senior & Premium Member
|
|
Join Date: Fri Mar 2006
Location: Kijijini
Posts: 12,987
Rep Power: 51
Thanks: 7,173
Thanked 9,917 Times in 3,688 Posts
|
|
Msomaji alitolea uvivu 'Raia Mwema'
Niwapatie background kidogo: Gazeti la Jumatano la Raia mwema lilipata matangazo toka Hazina kuhusu masuala haya ya malipo ya walimu na hivyo likachapisha matangazo hayo na ndiyo msingi wa email hii:
Quote:
Ninyi mnaojifanya kukosoa mafisadi, iweje leo mnatutapeli? inakuwaje mnatuuzia gazeti ambalo asilimia 90 ni tangazo? ni kweli mimi kama msomaji nilienda kibandani kununua tangazo au gazeti lenye habari na makala makini za kusoma na kuelewa?
mimi kijana mtanzania, jobless wenyewe mnatuita wasaka tonge, najiandaa wikinzima ili jumatano niweze kununua gazeti lenye makala na busara za waandishi lukuki nilizozizoea, naiingia kibandani na kuona gazeti limetuna, furaha ikanijaa kwamba labda jumatano hii kuna makala za nguvu, kumbe ni tangazo?
hivi hamuoni aibu kutuuzia robo gazeti na robotatu ikiwa ni tangazo tu? natambua mnafanya biashara. sawa. lakini kama mmeona leo kuna matangazo ya kuwalipa hela nyingi na yanayolazimika kuathiri utendaji wenu, kwa nini msitoe gazeti bure au kupunguza bei angalau kwa leo tu ili na sisi tusipoteze hela yetu kununua visivyotuhusu? kwa nini msituandikie juu kwamba gazeti lenu leo hii halina makala za waandishi mliowazoea na badala yake kuna tangazo ili tusiingie mkenge?
mmeniuzunisha sana na sikuamini kama pesa inaweza kununua utu wenu.
na kama mnajifanya kuwa watu huru katika masuala ya demokrasia kama makala ya LULa inavyomdai DPP, basi chapisheni barua yangu hii kwenye gazeti. vinginevyo nitajua kwamba wengi tunaojifanya wasafi sio wasafi bali tunatumia makosa ya wengine kutajirika na kupata umaarufu wa reja reja.
acheni kutafuta utajiri wa haraka wa kutuonyesha habari za kushtushwa (shocking news) juu ya gazeti wakati ndani ni matangazo tu. nimesikitishwa sana, nimefedheheswa sana na sikuafiki kitendo chenu hiki.
|
Mwandishi bulogu yake: kijana; nyegerage, karibuni, hiki ndo kijiwe chetu sema utakachokusema!!
My Take:
Natumaini Raia Mwema watachapa hiyo barua.
__________________
Ukipewa uchaguzi na adui yako, chagua kile wanachohofia! - M.M. Original
Kijarida cha "Cheche za Fikra" kimetoka! Jipatie nakala yako hapa
|
|
The Following 5 Users Say Thank You to Mzee Mwanakijiji For This Useful Post:
|
|

20th November 2008, 08:33 PM
|
 |
JF Senior Expert Member
|
|
Join Date: Thu Nov 2006
Posts: 2,664
Rep Power: 28
Thanks: 3
Thanked 771 Times in 496 Posts
|
|
Re: Msomaji alitolea uvivu 'Raia Mwema'
Wewe uliyandika ujumbe huu hauna maana hata blogu yako sitembelei -- kama kutangaza blogu ni kwa hoja kama hizi na lugha hizi basi wabongo tuna safari ndefu za mafanikio nina uhakika wewe utakuwa ni mhitimu wa mlimani
__________________
Don't assume anything. Take the time to brush up your knowledge because the computer world is always changing , The problem isn't your problems, it's your ridiculous solutions.
|

20th November 2008, 08:49 PM
|
 |
JF Senior & Premium Member
|
|
Join Date: Fri Mar 2006
Location: Kijijini
Posts: 12,987
Rep Power: 51
Thanks: 7,173
Thanked 9,917 Times in 3,688 Posts
|
|
Re: Msomaji alitolea uvivu 'Raia Mwema'
Je ana hoja?
__________________
Ukipewa uchaguzi na adui yako, chagua kile wanachohofia! - M.M. Original
Kijarida cha "Cheche za Fikra" kimetoka! Jipatie nakala yako hapa
|
|
The Following 2 Users Say Thank You to Mzee Mwanakijiji For This Useful Post:
|
|

20th November 2008, 08:55 PM
|
 |
JF Senior Expert Member
|
|
Join Date: Tue Sep 2006
Posts: 4,739
Rep Power: 13
Thanks: 375
Thanked 1,770 Times in 867 Posts
|
|
Re: Msomaji alitolea uvivu 'Raia Mwema'
Quote:
Originally Posted by Mzee Mwanakijiji
Je ana hoja?
|
|

20th November 2008, 08:56 PM
|
|
JF Senior & Premium Member
|
|
Join Date: Mon Nov 2006
Posts: 2,057
Rep Power: 27
Thanks: 2,859
Thanked 800 Times in 381 Posts
|
|
Re: Msomaji alitolea uvivu 'Raia Mwema'
Hoja anayo, tena hakuishia hapo tu ametoa pendekezo kwa Raia Mwema...hasa hilo la kupunguza bei kwa siku ambayo gazeti lina matangazo mengi.
__________________
"Development is for Man, by Man, and of Man", Julius K. Nyerere. The Declaration of Dar es Salaam" in Budd L. Hall and J. Roby Kidd (eds.) (1978) Adult Education: A Design for Action, Oxford: Pergamon.
|
|
The Following 3 Users Say Thank You to Yebo Yebo For This Useful Post:
|
|

20th November 2008, 08:56 PM
|
 |
JF Senior Expert Member
|
|
Join Date: Mon May 2006
Location: Inside the Perimeter
Posts: 7,564
Rep Power: 38
Thanks: 963
Thanked 2,555 Times in 1,617 Posts
|
|
Re: Msomaji alitolea uvivu 'Raia Mwema'
Quote:
Originally Posted by Game Theory
|
Who's this guy? Is it Mwanakijiji?
__________________
What!?
|

20th November 2008, 08:58 PM
|
 |
JF Senior & Premium Member
|
|
Join Date: Tue Oct 2007
Location: Lahore
Posts: 872
Rep Power: 63
Thanks: 203
Thanked 517 Times in 285 Posts
|
|
Re: Msomaji alitolea uvivu 'Raia Mwema'
Quote:
Originally Posted by Shy
Wewe uliyandika ujumbe huu hauna maana hata blogu yako sitembelei -- kama kutangaza blogu ni kwa hoja kama hizi na lugha hizi basi wabongo tuna safari ndefu za mafanikio nina uhakika wewe utakuwa ni mhitimu wa mlimani
|
Kuwa wee bwana mdogo, Kama kasoma mlimani so what?
__________________
""Without knowledge, there is no freedom." — Anon."
|
|
The Following 2 Users Say Thank You to Ushirombo For This Useful Post:
|
Yassin (22nd November 2008), Yo Yo (21st November 2008) |

20th November 2008, 08:59 PM
|
 |
Robot
|
|
Join Date: Sun Jan 2004
Location: Africa, Europe, America & Asia
Posts: 2,269
Rep Power: 100000
Thanks: 1,316
Thanked 4,528 Times in 1,168 Posts
|
|
Quote:
Originally Posted by Mzee Mwanakijiji
Je ana hoja?
|
Msomaji ana haki ya kulalamika lakini uandishi wa namna hii pia haujakaa kiungwana, gazeti lingekuwa langu ningeweza kuifanyia marekebisho hoja ya mlalamikaji na ikasomeka vema na wazi kuwa ni malalamiko lakini ikiwa katika mtiririko ambao naweza kumwomba radhi akanielewa.
Inasikitisha kama alichoandika mhusika ndicho kilichotokea lakini bado sishangai kwani natambua safari bado ni ndefu, yani hata wao (Raia Mwema) yawezekana wakawa wanatumiwa bila wao kujua kuwa ndio hivyo wanatumiwa ama uchumi ndio unaochangia hali hii. Haya pia yanawezekana kuwa yaleyale kwa mwandishi wa barua pepe hii.
Mwanakijiji, katika Cheche unaandika kila unachotumiwa?
|
|
The Following 3 Users Say Thank You to Invisible For This Useful Post:
|
|

20th November 2008, 08:59 PM
|
 |
JF Senior Expert Member
|
|
Join Date: Tue Sep 2006
Posts: 4,739
Rep Power: 13
Thanks: 375
Thanked 1,770 Times in 867 Posts
|
|
Re: Msomaji alitolea uvivu 'Raia Mwema'
Quote:
Originally Posted by Nyani Ngabu
Who's this guy? Is it Mwanakijiji?
|
Halafu mnataka watu tukae tujadiliane nanyi
saa zingine bora kunyamaza tuuu
|

20th November 2008, 09:05 PM
|
 |
JF Senior & Premium Member
|
|
Join Date: Fri Mar 2006
Location: Kijijini
Posts: 12,987
Rep Power: 51
Thanks: 7,173
Thanked 9,917 Times in 3,688 Posts
|
|
Re: Msomaji alitolea uvivu 'Raia Mwema'
Quote:
Originally Posted by Invisible
Msomaji ana haki ya kulalamika lakini uandishi wa namna hii pia haujakaa kiungwana, gazeti lingekuwa langu ningeweza kuifanyia marekebisho hoja ya mlalamikaji na ikasomeka vema na wazi kuwa ni malalamiko lakini ikiwa katika mtiririko ambao naweza kumwomba radhi akanielewa.
Inasikitisha kama alichoandika mhusika ndicho kilichotokea lakini bado sishangai kwani natambua safari bado ni ndefu, yani hata wao (Raia Mwema) yawezekana wakawa wanatumiwa bila wao kujua kuwa ndio hivyo wanatumiwa ama uchumi ndio unaochangia hali hii. Haya pia yanawezekana kuwa yaleyale kwa mwandishi wa barua pepe hii.
Mwanakijiji, katika Cheche unaandika kila unachotumiwa?
|
good question!
__________________
Ukipewa uchaguzi na adui yako, chagua kile wanachohofia! - M.M. Original
Kijarida cha "Cheche za Fikra" kimetoka! Jipatie nakala yako hapa
|
|
The Following 2 Users Say Thank You to Mzee Mwanakijiji For This Useful Post:
|
|
|
Currently Active Users Viewing This Thread: 1 (0 members and 1 guests)
|
|
|
| Thread Tools |
|
|
| Display Modes |
Linear Mode
|
Posting Rules
|
You may not post new threads
You may not post replies
You may not post attachments
You may not edit your posts
HTML code is Off
|
|
|
All times are GMT +3. The time now is 04:18 PM.
|
 |