Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Ipyana Malecela (10 years on) - RIP

    Report Post
    Page 3 of 5 FirstFirst 12345 LastLast
    Results 41 to 60 of 86
    1. #1
      Game Theory's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th September 2006
      Posts : 10,054
      Rep Power : 3353
      Likes Received
      240
      Likes Given
      0

      Default Ipyana Malecela (10 years on) - RIP

      Katika maisha ya Binadamu hakuna jambo linalouma kama mzazi kumzika mwanae, lakini inauma zaidi hasa mwanae anapokuwa ni mtu wa watu na mtu mwema.

      Vijana wengi wa JF mtakuwa hamumjiui huyu lakini 10 years ishapita tangu Brother Ipyana Malecela atutoke na bado nakumbuka vividly siku ile tulpopata habari kuwa Ippi katutoka. Kiumri alikuwa kanipita lakini the Ipyana had so much respect for me kama mdogo wake and one thing about Ippy was sure. No matter how heated the discussion, no matter how terrible the situation, Ippy was never a part of the problem, and always a part of the solution.

      Mimi nilifahamiana naye kama brother na kusema kweli jamaa binafsi nathubutu kusema kuwa at this stage angekuwa mtu ambaye angebadili sana mambo ndani ya Chama na serikali kama si siasa za maji taka zilizoendelea kwenye ule uchaguzi wa Vijana Dar.

      Ippi ametangulia mbele ya haki na sote tuko njiani na to be honest mpaka leo naweza kusema kuwa hatotokea mwingine kama Ippi ambaye tulikaa naye, tulijishughulisha naye na pia tuli have fun naye....hakuwa na majivuno, hakuwa ndumilakwili, hakuwa mchochezi na pia alikuwa hajidai kama wengine. Love is not an easy feeling to put into words. Nor is loyalty, or trust, or joy. But he was all of these. He loved life completely and he lived it intensely hilo leo hii ukiwauliza akina albert, tom, mudi, omari etc wakatkuambia hivyo hivyo.

      How can I ever forget ofisini pale juu opposite Cassandra, Samora avenue palivyokuwa hapaishi watu kwa sababu ya Ippi na ucheshi wake? We loved him as a brother and one of us. At times I often wonder where did this guy inspiration from? was it from Mzee Malecela or mama yake au ndugu zake? To be honest nilikuwa sijuani nao hao ndugu zake lakini all in all-- he received an inspiration which he passed on to all of us... He gave us strength in time of troubles, wisdom in time of uncertainty, and sharing in time of happiness. He will always be by our side.

      Unlike wengine ambao kila kitu wao kwani ni why lakini kwa brother Ipyana it was always WHY NOT?

      Inna lillahi wa Inna Illahi Rajuun (hakika sote ni wake na kwake tutarudi)

      -SR
      Last edited by Game Theory; 29th December 2011 at 21:36.

    2. FemaTV & Radio

    3. #41
      Kimbunga's Avatar
      JF Platinum Member Array
      Join Date : 4th October 2007
      Location : Kisiwani Juma
      Posts : 7,478
      Rep Power : 6168
      Likes Received
      3054
      Likes Given
      1017

      Default Re: Ipyana Malecela (10 years on) -RIP

      Quote By THE ROMANTIC
      Alishagombea na kupata uongozi wa ccm vijana,lakini tukiwa kwenye maandalizi ya party ya kumpongeza tuliyoiandaa pale leaders club ambayo ilikua aje kuwa mgeni rasmi,yeye alipitia pahala kwenye shughuli za kichama asubuhi ya siku ile,sasa akarejea nyumbani akabadili magwanda yao yale ya ccm ndio aje kwenye party akiwa "ameoga",akiongozana na msafara wake yeye pamoja an katibu wake ccm vijana,walipita nyumbani kwake,akawaacha wengine chini akapanda juu kwenda kubadili nguo...hakushuka tena mpaka leo...kufuatia tukio lile kuna watu walitajwa tajwa kuhusika na kifo chake akiwemo Londa,meya wa zamani wa kinondoni na watu wengine waliosemekana kukerwa na ippy kupata nafasi hiyo huku akiwaacha watu waliokimbiza sana mwenge..na waliosotea chama kitambo
      Mkuu ahsante sana kwa ufahamisho huu. Nilikuwa na kumbukumbu tu kwamba alikuwa na mchakato kumbe ulikuwa umesha na ameshinda. Mkuu enzi hizo nilikuwa busy kwenye vyama vyetu hivi vipya kwa hiyo mambo ya CCM nilikuwa nayasikia kwa mbali mbali ndio maana kumbukumbu zangu zikawa mbali kidogo!!!

      Kwa hiyo huenda kulikuwa na kamchezo kachafu? Najua mzee pia alisononeka sana manake jamaa alikuwa Jembe lake!
      WA-UKENYENGE likes this.
      CCM na CDM vyote ni vyama vya siasa vinavyoongozwa na wanasiasa; tofauti yao kubwa ni moja kwamba kimoja kina dola kingine kinataka kushika dola.

    4. #42
      Pasco's Avatar
      JF Premium Member Array
      Join Date : 22nd September 2008
      Posts : 9,839
      Rep Power : 7368
      Likes Received
      6153
      Likes Given
      22273

      Default

      Quote By BAK
      ....Mie namkumbuka huyu kwa jinsi alivyokuwa ananiheshimu. Siku zote alikuwa ananiita Bro tena kwa heshima ambayo ilikuwa haijifichi hata kidogo. RIP Ipyana.
      BAK ni kweli kijana alijuwa heshima mbele mimi nimesoma primary na yeye na dada zake watatu. Sekondari nikakutana na kaka yake na dada yake mmoja. Alikuwa mtu wa watu!.

      RIP Ippy!.

    5. #43
      Kimbunga's Avatar
      JF Platinum Member Array
      Join Date : 4th October 2007
      Location : Kisiwani Juma
      Posts : 7,478
      Rep Power : 6168
      Likes Received
      3054
      Likes Given
      1017

      Default Re: Ipyana Malecela (10 years on) - RIP

      Quote By Pasco
      Kaa la Moto, uliyepiga naye kwata hapo Ruvu 83/84 siye yeye bali ni kaka mtu aliyemaliza Tambaza PCM akaibuka na Div 1 kali na akajoin UDSM!.
      Ila na huyu kaka mtu naye ni RIP.
      RIP Ippy!.
      Duh. Ndio walipata ajali hawa au?
      CCM na CDM vyote ni vyama vya siasa vinavyoongozwa na wanasiasa; tofauti yao kubwa ni moja kwamba kimoja kina dola kingine kinataka kushika dola.

    6. #44
      TUKUTUKU's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 14th September 2010
      Location : KIPALAPALA TU
      Posts : 8,368
      Rep Power : 2114
      Likes Received
      1728
      Likes Given
      676

      Default Re: Ipyana Malecela (10 years on) - RIP

      R.I.P our brother!
      "A friend in need,is a friend indeed"

    7. #45
      WA-UKENYENGE's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 1st October 2011
      Location : Inside a Smart Grid
      Posts : 2,417
      Rep Power : 5038
      Likes Received
      782
      Likes Given
      1788

      Default Re: Ipyana Malecela (10 years on) - RIP

      RIP Ippy, nakumbuka kwa mbalia baada ya kifo chake! mzee malecela alisema "CCM wamemuua kijana wangu, nilimwambia asigombee kabla ya kuniambia".
      Kimbunga likes this.
      "The usual conclusion is that you can't put a price on a human life. But you can if you must".

    8. Miaka 50

    9. #46
      Pasco's Avatar
      JF Premium Member Array
      Join Date : 22nd September 2008
      Posts : 9,839
      Rep Power : 7368
      Likes Received
      6153
      Likes Given
      22273

      Default

      Quote By George Smiley
      kuna mzazi ambaye afurahia kumzika mwanae?
      RIP Ippy
      George Smiley,
      Kusema ukweli mzee wake kapitia majaribu mengi sio Ippy tuu!.

      Kwanza alimzika mwanae 1st born wa kiume aliyeitwa Senyagwa!. Huyu alikuwa kichwa cha ukweli na Mungu alimuita kwa ajali!.

      Pia alimpoteza binti yake mwingine akiitwa Catherine sisi tukimwita kwa kifipi Cathe!.

      Ndipo akafuatia Ippy, yeye kwa kifo cha ghafla!.

      Akafuatia binti yake mwingine aliyekuwa anasoma medicine pale Muhimbili. Yeye alicomit suicide!.

      Akafuatia Mke wake mpendwa ambaye ndie mama wa watoto wake wenye heshima!.

      Baadae alifiwa na mkwe aliyemua binti yake!.

      Hivyo mnapomkumbuka Ippy, pia mkumbuke mapito huyu Mzee wetu aliyotapitia na mpaka leo bado amesimama!.

      Hata hivyo Mungu bado ni mfariji wake. He is still Proud father and Husband!.
      Muntu amemjalia na kumpatia mke mwema mwanamke wa shoka mama Anne!. Binti zake wake kwenye very good status, Mmoja ni mkurugenzi wa taasisi moja ya heshima sana na mwingine ni jaji wa mahakama kuu!. Na kijana wake ambaye sasa ndio tegemeo pekee la kuvaa viatu vyake na kumwachia mikoba yake ndiye huyu mwana jf mwenzetu amhaye naamini vitamfit!.

      Rip wanafamilia wote wa Ippy mliotangulia mbele ya haki!.
      Ogah likes this.

    10. #47
      Kimbunga's Avatar
      JF Platinum Member Array
      Join Date : 4th October 2007
      Location : Kisiwani Juma
      Posts : 7,478
      Rep Power : 6168
      Likes Received
      3054
      Likes Given
      1017

      Default Re: Ipyana Malecela (10 years on) - RIP

      Quote By Kichuguu
      Ushujaa ni relative; siyo kila shujaa awe na accomplishment kubwa sana kama vile kijeshi au za kiuchumi. Anaweza kuwa na accomplishments za kawaida tu katika jamii yake. Asingekuwa nazo huenda asingekumbukwa na wanaomfahamu.

      Vile vile ningekuomba uvute kumbukumbu yako tena vizuri. Ingawa ni Kweli Baraka alishiriki katika operations nyingi za kikomandoo dhidi ya magaidi, ukweli ni kuwa hakusihiriki kwenye operation Thunderbolt kule Entebbe ingawa alishiriki katika kuplani mission ile kutokana na uzoefu wake wa kupambana na magaidi na vile vile kutokana na position yake wakati huo kama Deputy Chief of Intelligence akiwa na cheo cha Kanali.

      Yoni Netanyahu ndiye aliyekuwa kamanda wa kikosi kilichokwenda Entebbe akiwa na cheo cha Luteni Kanali; lakini kiongozi mkuu wa misheni hiyo alikuwa na General Dan Shomron ambaye ndiye aliyekuwa anatoa command akiwa kwenye war room kwenye basement ya makao makuu ya IDF huko Tel Aviv. Isingewezekana Kanali Barak aongozwe na Luteni Kanali Netanyahu. Kuna vitabu kadhaa vilivyoandikwa kuhusiana na tukio hilo wakati ule kwa mfano Ninty minutes at Entebbe, Operation Thuderbolt, The Entebbe Rescue na vinginevyo; vile vile kuna documentary na movie kadhaa zilizotengezwa; vyote bado vinapatikana online.

      Baada ya kifo cha Yoni, mtu aliyechukua command ile alikuwa ni Meja Moshe Betser
      Mkuu yaani umenikosha sana. Napenda sana haya mambo ya kijeshi. Mtu akikosea unampa elimu bila matusi. Nimeipenda elimu yako mkuu kwa huyu jamaa. Tukienda hivi JF patakuwa mahala salama pa kuibua hoja, kuchangia na kuelimishana. Unaonekana umeisoma vizuri hii operation na unaijua vizuri. Najua Yoni alikuwa ndugu yake Netanyahu wa sasa.
      CCM na CDM vyote ni vyama vya siasa vinavyoongozwa na wanasiasa; tofauti yao kubwa ni moja kwamba kimoja kina dola kingine kinataka kushika dola.

    11. #48
      Kimbunga's Avatar
      JF Platinum Member Array
      Join Date : 4th October 2007
      Location : Kisiwani Juma
      Posts : 7,478
      Rep Power : 6168
      Likes Received
      3054
      Likes Given
      1017

      Default Re: Ipyana Malecela (10 years on) - RIP

      Quote By Pasco
      George Smiley,
      Kusema ukweli mzee wake kapitia majaribu mengi sio Ippy tuu!.

      Kwanza alimzika mwanae 1st born wa kiume aliyeitwa Senyagwa!. Huyu alikuwa kichwa cha ukweli na Mungu alimuita kwa ajali!.

      Pia alimpoteza binti yake mwingine akiitwa Catherine sisi tukimwita kwa kifipi Cathe!.

      Ndipo akafuatia Ippy, yeye kwa kifo cha ghafla!.

      Akafuatia binti yake mwingine aliyekuwa anasoma medicine pale Muhimbili. Yeye alicomit suicide!.

      Akafuatia Mke wake mpendwa ambaye ndie mama wa watoto wake wenye heshima!.

      Baadae alifiwa na mkwe aliyemua binti yake!.

      Hivyo mnapomkumbuka Ippy, pia mkumbuke mapito huyu Mzee wetu aliyotapitia na mpaka leo bado amesimama!.

      Hata hivyo Mungu bado ni mfariji wake. He is still Proud father and Husband!.
      Muntu amemjalia na kumpatia mke mwema mwanamke wa shoka mama Anne!. Binti zake wake kwenye very good status, Mmoja ni mkurugenzi wa taasisi moja ya heshima sana na mwingine ni jaji wa mahakama kuu!. Na kijana wake ambaye sasa ndio tegemeo pekee la kuvaa viatu vyake na kumwachia mikoba yake ndiye huyu mwana jf mwenzetu amhaye naamini vitamfit!.

      Rip wanafamilia wote wa Ippy mliotangulia mbele ya haki!.
      Mkuu kweli hayo ni majaribu. Ila kama ulivyosema mungu wetu ni mwema amempa nguvu.

      Penye wekundu: Ni yule wa NIMRI? Nakumbuka mwanzoni alikuwa mratibu wa mpango wa kuzuia matende. Huyu mama ana confidence sana.
      CCM na CDM vyote ni vyama vya siasa vinavyoongozwa na wanasiasa; tofauti yao kubwa ni moja kwamba kimoja kina dola kingine kinataka kushika dola.

    12. #49
      jmushi1's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd November 2007
      Posts : 14,376
      Rep Power : 16492
      Likes Received
      4301
      Likes Given
      5491

      Default Re: Ipyana Malecela (10 years on) - RIP

      Hata mimi nilikuwa nikimsikia tu nikiwa boarding school...Waliokuwa wakimzungumzia walikuwa wakimsifia, sometimes kwamba na yeye gari yake ilikuwa kwenye msafara wa baba yake akiwa waziri mkuu na makamu wa kwanza wa Rais kipindi hicho kama sikosei...Kwamba sijui likuwa gari ya ngapi sijui kwenye msafara, na yeye yuko kwenye msafara huo unaofagiliwa njia na jeshi la polisi...

      Tukiwa boarding kipindi hicho sikusikia hizo sifa za uongozi, ie uadilifu kwenye nafasi ya uongozi nk, hayo nadhani ni mambo ya waliokuwa wakijuwa siasa, ila nilisikia kwamba alikuwa kiongozi wa CCM vijana or something like that, na kwamba alikuwa very influential miongoni mwao kiasi cha kwamba almost all of them walikuwa marafiki zake, na issue hizo kufuatilia wengi wetu wala haikuwa big deal kwasabababu tayari kuna ile mentality ya kwamba CCM ina wenyewe...Hivyo sana sana mazungumzo ni ya sifa za status kwa wenye chama, gari wanazoendesha, maeneo wanayotembelea, maujiko yoyote yale ie kuwepo kwenye msafara rasmi wa waziri mkuu, maybe na demu wanayechukua...That was then, sijui kuhusu sasa...

      Ndo bongo hiyo...

      RIP neways...
      WA-UKENYENGE likes this.
      "One of the penalties for refusing to participate in politics is that you end up being governed by your inferiors"-Plato

    13. #50
      KIM KARDASH's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st September 2011
      Posts : 4,252
      Rep Power : 0
      Likes Received
      564
      Likes Given
      55

      Default Re: Ipyana Malecela (10 years on) -RIP

      Quote By Kimbunga
      Mkuu ahsante sana kwa ufahamisho huu. Nilikuwa na kumbukumbu tu kwamba alikuwa na mchakato kumbe ulikuwa umesha na ameshinda. Mkuu enzi hizo nilikuwa busy kwenye vyama vyetu hivi vipya kwa hiyo mambo ya CCM nilikuwa nayasikia kwa mbali mbali ndio maana kumbukumbu zangu zikawa mbali kidogo!!!

      Kwa hiyo huenda kulikuwa na kamchezo kachafu? Najua mzee pia alisononeka sana manake jamaa alikuwa Jembe lake!
      kweli john samwel alisikitika sana cuz alipmpenda sana ippi,kuna siku huko nyuma ippi alikua anakwenda japan nadhani kusoma o r somthing sikumbuki sawasawa but alikua anakwenda kukaa muda,yule mzee aliandaa party ya kumuaga huwezi amini alikua anabubujikwa na machozi kwa huzuni kubwa sana,na hiyo ilikua ni safari sio kifo,sasa kwa kifo kwa kweli kilimtingisha sana john samwel...na mzee mkapa aliamua kumpigia debe ippi kwenye hiyo chance ili kumpoza john samwel .

    14. #51
      jmushi1's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd November 2007
      Posts : 14,376
      Rep Power : 16492
      Likes Received
      4301
      Likes Given
      5491

      Default Re: Ipyana Malecela (10 years on) - RIP

      Inabidi mtueleze vyema wasifu wake, maana wengi wetu tulikuwa tunasikia story kama hivi tu ambazo wengi wenu bado mnazileta.
      "One of the penalties for refusing to participate in politics is that you end up being governed by your inferiors"-Plato

    15. #52
      Ogah's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 10th March 2006
      Posts : 5,668
      Rep Power : 21814
      Likes Received
      735
      Likes Given
      3189

      Default Re: Ipyana Malecela (10 years on) - RIP

      Pasco
      Ile ajali aliyoipata Senyagwa ilisikitisha sana.....na hasa kama unakumbuka kisa chake kilivyoanzia.......RIP Senyagwa, RIP Catherine, RIP Ipyana.....
      Field Marshall ES likes this.

    16. #53
      Kimbunga's Avatar
      JF Platinum Member Array
      Join Date : 4th October 2007
      Location : Kisiwani Juma
      Posts : 7,478
      Rep Power : 6168
      Likes Received
      3054
      Likes Given
      1017

      Default Re: Ipyana Malecela (10 years on) -RIP

      Quote By THE ROMANTIC
      kweli john samwel alisikitika sana cuz alipmpenda sana ippi,kuna siku huko nyuma ippi alikua anakwenda japan nadhani kusoma o r somthing sikumbuki sawasawa but alikua anakwenda kukaa muda,yule mzee aliandaa party ya kumuaga huwezi amini alikua anabubujikwa na machozi kwa huzuni kubwa sana,na hiyo ilikua ni safari sio kifo,sasa kwa kifo kwa kweli kilimtingisha sana john samwel...na mzee mkapa aliamua kumpigia debe ippi kwenye hiyo chance ili kumpoza john samwel .
      Nimekuelewa yoooote kasoro hapo kwenye wekundu!
      CCM na CDM vyote ni vyama vya siasa vinavyoongozwa na wanasiasa; tofauti yao kubwa ni moja kwamba kimoja kina dola kingine kinataka kushika dola.

    17. #54
      Maganiko's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 20th February 2011
      Posts : 131
      Rep Power : 444
      Likes Received
      58
      Likes Given
      986

      Default Re: Ipyana Malecela (10 years on) - RIP

      Quote By BAK
      ....Mie namkumbuka huyu kwa jinsi alivyokuwa ananiheshimu. Siku zote alikuwa ananiita Bro tena kwa heshima ambayo ilikuwa haijifichi hata kidogo. RIP Ipyana.
      Ninachoona humu ni kila mtu kuonesha kwamba alikuwa akifahamiana na huyu mtu, very typical kibongobongo yani vile kila mtu kutaka kuonesha kuwa anafahamiana na icon fulani.

      Anyway naomba niulize tu, ni mchango upi au kitu gani katika taifa au katika jamii alikifanya kiasi kwamba aonekane kama ni pigo sana kwa kifo chake?

      Au ni vile alikuwa mutoto ya mujini na akitoa kampani kwa washkaji zake amabo wengine mko humu?

      Just being curious!

    18. #55
      lasix's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 13th March 2011
      Posts : 225
      Rep Power : 460
      Likes Received
      36
      Likes Given
      1

      Default

      Quote By Ogah
      Pasco
      Ile ajali aliyoipata Senyagwa ilisikitisha sana.....na hasa kama unakumbuka kisa chake kilivyoanzia.......RIP Senyagwa, RIP Catherine, RIP Ipyana.....
      Nilisikia kwenye msiba wa ipyana kwamba mzee JSM ameshazika wanae watatu huyu ni wa nne.inasikitisha sana.may they RIP

    19. #56
      Zing's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th June 2009
      Posts : 1,780
      Rep Power : 3181
      Likes Received
      426
      Likes Given
      552

      Default Re: Ipyana Malecela (10 years on) - RIP

      Quote By jmushi1
      Hata mimi nilikuwa nikimsikia tu nikiwa boarding school...Waliokuwa wakimzungumzia walikuwa wakimsifia, sometimes kwamba na yeye gari yake ilikuwa kwenye msafara wa baba yake akiwa waziri mkuu na makamu wa kwanza wa Rais kipindi hicho kama sikosei...Kwamba sijui likuwa gari ya ngapi sijui kwenye msafara, na yeye yuko kwenye msafara huo unaofagiliwa njia na jeshi la polisi...

      Tukiwa boarding kipindi hicho sikusikia hizo sifa za uongozi, ie uadilifu kwenye nafasi ya uongozi nk, hayo nadhani ni mambo ya waliokuwa wakijuwa siasa, ila nilisikia kwamba alikuwa kiongozi wa CCM vijana or something like that, na kwamba alikuwa very influentila miononi mwao kiasi cha kwamba almost all of them walikuwa marafiki zake, na issue hizo kufuatilia wengi wetu wala haikuwa big deal kwasabababu tayari kuna ile mentality ya kwamba CCM ina wenyewe...Hivyo sana sana mazungumzo ni ya sifa za status kwa wenye chama, gari wanazoendesha, maeneo wanayotembelea, maujiko yoyote yale ie kuwepo kwenye msafara rasmi wa waziri mkuu, maybe na demu wanayechukua...That was then, sijui kuhusu sasa...

      Ndo bongo hiyo...

      RIP neways...

      Dah haya maelezo ........... Yanaweza kuwa ndiyo yale maswali magumu.

      kwanza kwa nn hii habari iko kwenye siasa?
      jmushi1 likes this.

    20. #57
      MERCIFUL's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 17th October 2011
      Posts : 250
      Rep Power : 434
      Likes Received
      102
      Likes Given
      200

      Default Re: Ipyana Malecela (10 years on) - RIP

      Rest In Peace Ipyana!

    21. #58
      Game Theory's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th September 2006
      Posts : 10,054
      Rep Power : 3353
      Likes Received
      240
      Likes Given
      0

      Default Re: Ipyana Malecela (10 years on) - RIP

      Sasa huyu FMES kwa nini asu=irudi kuwa benet na mzee kule?

      wale ma sister peke yao hawawezi

      Mzee anahitaji kuwa na kidume on the ground maisha ya ugenini mpaka lini?

      mimi nitachukua jukumu la kumpeleka huyu FMES klabu ya Pan na Yanga kuchua membership then na sisi tuanze michakato ya procurement kama akina akina Kinje na wengine
      Field Marshall ES likes this.

    22. #59
      gambachovu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th December 2011
      Posts : 1,865
      Rep Power : 2192
      Likes Received
      256
      Likes Given
      379

      Default

      Quote By Fe Lady
      Hata simfahamu,tupeni wasifu wake basi.RIP IPYANA.Inasikitisha kwa kweli
      alipendwa sana huyo jamaa... Namkumbuka si kwamba alijulikana sana... Kwa watu wa Dar alifahamikafahamika... Ila kifo chake watu walihisi ni njama! Ila hakuwa na maadui,labda aliwatengeneza bila kujua!

    23. #60
      gambachovu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th December 2011
      Posts : 1,865
      Rep Power : 2192
      Likes Received
      256
      Likes Given
      379

      Default

      Quote By George Smiley
      kuna mzazi ambaye afurahia kumzika mwanae?

      Kwani SR kasema yeye ni mzazi wake Ippi?

      Nionavyomimi alikuwa anazungumzia uchungu wa mzazi yoyote yule lakini naona wengine mmeamua kufurahiia kifo cha mwenzenu na kuleta mzaha

      hayo yoote aliyoyaandika mmeona sentensi moja tuu tena mtu mwenyewe sioni lipi alilolisema ambalo limewaudhi sana zaidi ya yeye kumzungumzia marehem kwa namna anavyomjua yeye

      RIP Ippy
      shida ni kwamba SR kaichakachua mada yake mwenyewe! Hapa tunamuongelea Ippy,ye anamleta babake Ippy..wapi na wapi!

    Page 3 of 5 FirstFirst 12345 LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...