Kampeni ya magazeti mapya ya Karamagi & Co. Dhidi ya JK - Page 9 - JamiiForums |The Home of Great Thinkers

Go Back   JamiiForums |The Home of Great Thinkers > Public Forums > Jukwaa la Siasa

Jukwaa la Siasa Tanzania & World Politics General Discussion Forum. You need to be registered in order to post your comment(s)

Reply
 
LinkBack Thread Tools Rate Thread Display Modes
Old 17th November 2008, 12:58 AM  
Kampeni ya magazeti mapya ya Karamagi & Co. Dhidi ya JK
LazaroSMtindi LazaroSMtindi is offline 17th November 2008, 12:58 AM

Kampeni ya kummaliza kisiasa JK, Spika na wabunge kadhaa "wakorofi", imeanzishwa rasmi na Karamagi & Co. (Lowassa na Rostam) kupitia magazeti yao maalum ya AHSUBUHI NJEMA, TAZAMA, NYUNDO, TAIFA NA UMMA. Nia ni kuhakikisha JK anakuwa Rais kwa muhula moja tu na Spika Samuel Sitta na wabunge "wakorofi" hawarudi Bungeni mwaka 2010.

Magazeti hayo ambayo huchapishwa kila siku ya kazi kwa mpangilio, toka Jumatatu hadi Ijumaa, yanabeba ujumbe mahsusi wa ushawishi kwa umma kwamba: JK hana shukrani, kawatosa rafiki zake na kuwakumbatia "maadui"; Membe ni msaliti na anampotosha JK; Lowassa ni kiongozi safi na bora ambaye alionewa tu na Kamati ya Dk. Mwakyembe; bila Lowassa, Rostam, Karamagi, Makamba, Kingunge na wanamtandao wengine, JK hashindi uchaguzi wa 2010; Spika Sitta, Naibu Spika Anne Makinda na wabunge "wakorofi" wa CCM akina Anne Kilango, Mwakyembe, Selelii, Manyanya, Ole Sendeka, Kimaro, Zambi, Nkumba, Mpendazoe, Shellukindo (Bw. & Bi.), Mpesya, Ruth Msafiri na Nyalandu, ni wapinzani wa Serikali ya Awamu ya Nne.

Magazeti haya yanahaririwa na waandishi walewale mamluki: Deodatus Balile, Manyerere Jackton, Charles Charles, Muhingo Rweyemamu, Prince Bagenda na Gama wa gazeti la HOJA. Baadhi ya makala huchangiwa na Salva Rweyemamu na Premy Kibanga wa Ikulu na Mbunge wa Kigoma Peter Serukamba ambaye alibubujikwa machozi na kuugua baada ya Lowassa kujiuzulu. Yalianzishwa kwa mtaji wa sh. milioni 300 alizotoa Karamagi kwa niaba ya Lowassa na Rostam, mara baada ya Lowassa kujiuzulu.

Taarifa ndani ya Chama Tawala zinasema magazeti haya yana baraka zote za Makamba. Ndiyo maana baadhi yake yanahaririwa kwenye ofisi za UVCCM na kwa kutumia kompyuta za jumuiya hiyo.

Kwa mujibu wa kikao cha KALOKIRO kilichokaa Morogoro hivi karibuni, magazeti hayo yatasaidiwa baadaye (karibu na uchaguzi mkuu) na magazeti ya RAI, MTANZANIA na THE AFRICAN. Mwakani, mtandao huo wa mafisadi unaanzisha kituo cha redio na televisheni. Lengo kuu ni kuwamaliza wote hao kisiasa na kumwinua Lowassa agombee Urais mwaka 2010.

Matoleo ya wiki mbili zilizopita za magazeti hayo yote yalikuwa na makala za kumsafisha Lowassa na kudai kuwa Sitta anamhujumu JK, Sitta ana lengo la kuhamia CHADEMA, Kimaro kapora shamba la chuo, Mwakyembe ni mkabila, Membe ni mfuasi wa Malecela, JK hana fadhila mfano wa dereva aliyesaidiwa kwa kusukumwa kutoka kwenye matope lakini akakataa kuwabeba waliomsaidia ili wasichafue gari lake n.k. NGOMA IMEANZA, MAKUBWA ZAIDI YAJA!

LazaroSMtindi
Senior Member
Points: 5,119,422, Level: 100 Points: 5,119,422, Level: 100 Points: 5,119,422, Level: 100
Activity: 0% Activity: 0% Activity: 0%
Join Date: Tue May 2008
Posts: 79
Thanks: 0
Thanked 0 Times in 0 Posts
Views: 7168
Reply With Quote
  #81  
Old 18th November 2008, 07:44 PM
Ogah Ogah is offline
Ogah is Omnipotent
JF Premium Member
Points: 5,280,148, Level: 100 Points: 5,280,148, Level: 100 Points: 5,280,148, Level: 100
Activity: 16% Activity: 16% Activity: 16%
 
Join Date: Fri Mar 2006
Posts: 3,374
Thanks: 1,363
Thanked 375 Times in 206 Posts
Rep Power: 2031
Ogah is one of most respected JF members!Ogah is one of most respected JF members!Ogah is one of most respected JF members!Ogah is one of most respected JF members!Ogah is one of most respected JF members!Ogah is one of most respected JF members!Ogah is one of most respected JF members!Ogah is one of most respected JF members!Ogah is one of most respected JF members!Ogah is one of most respected JF members!Ogah is one of most respected JF members!
Default Re: Kampeni ya magazeti mapya ya Karamagi & Co. Dhidi ya JK

Quote:
View Post
GOTEE NA WENGINEO HUMU JAMVINI, EDWARD LOWASA ANABAKI KTK KUMBUKUMBU ZA WATANZANIA KWA MENGI ALIYOYAFANYA, NI WAZIRI KIJANA, MKAKAMAVU NDANI YA OFISI YA WAZIRI MKUU CIGWEYIMISI 1990 KAMA CHIEF WHIP, ALIJIZOLEA UMAARUFU KTK KUBADILI MAISHA YA WABUNGE NA ZILE SHANGINGI TZC, MAJANGA YA MAFURIKO NA KUHIMIZA MAENDELEO, KTK ZAMA ZA MWINYI ALIHITIMISHA KWA KUZUIA UVAMIZI WA VIWANJA VYA MNAZIMMOJA NA KUWAAMURU WANANCHI WAJITWALIE MABATI YALE YALOIZUNGUKA MNAZI MMOJA, BAADA YA HAPO NYOTA YA EDWARD ILING'ARA SANA HASA KWA SABABU ALIWEZA KUJITAMBULISHA KAMA MMOJA WA VIONGOZI CHIPUKIZI WANAOENDANA NA MAMLAKA ZAO KIUTENDAJI, UVCCM(Guninita) WALIM RATE KAMA NO.2 NYUMA YA SALIM AHMED SALIM,TULIOWENGI TULIAMINI KABISA KAMA NI VIJANA BASI EDWARD NI THE BEST KWA NCHI, HILO HALIKUWA NA UBISHI KWETU , MCHAKATO ULIPOANZA GUNINITA NA WENZAKE WALIENDA ADDIS NA WAKARUDI WAKIWA MIKONO MITUPU, BAADA YA HAPO TULISHUDIA VIJANA WAWILI NA MAMA WA MAKAMO ANNE SEMAMBA MAKINDA WAKIPANDA NDEGE YA KUKODI, TUKABAINI BAADAE NI EDDO + JAKAYA WAMEJITOSA, JAMII BADO ILIMUONA NI EDWARD TU KWAO, MARA CC NA NEC WAKAKAA NA KUMTOSA MALECELA ALFAJIRI BAADA YA HAPO LOWASA NA AKINA MALIMA NA TUMTEMEKE SANGA, PIUS MSEKWA,MARK BOMANI ...... NAO WAKATEMWA. KWA SABABU WATU WALIMPENDA LOWASA WAKAHOJI NINI KIMEMTOKEA KIJANA EDDO? MWALIMU ALIPOULIZWA JUU YA KUACHWA KWA EDWARD NA WANA HABARI NYUMBANI KWA MSUYA(WAZIRI MKUU NA MAKAMU WA KWANZA WA RAIS) ALIJIBU HIVI " KAMA MNAONA ANAFAA, AU ANA SURA NZURI MCHUKUENI MKANYWE NAYE CHAI" BAADA YA HAPO YAKAZUKA MENGI 1. MWALIMU AMEMKATAA LOWASA KUTOKANA NA UTAJIRI ALIONAO KTK UMRI MDOGO, 2. MWALIMU ALIHOJI KAMA MAJUMBA ALIYOPANGISHA KWA BALOZI ZA AFRICA YA KUSINI KAMA ZINALIPIWA KODI? HUO NDIO UKAWA MWISHO WA EDWARD NGOYAI LOWASA, LAKINI NIWAKUMBUSHE MANENO YA FRONT PAGE YA RAI KABLA YA CC NA NEC CCM - KIKOMBE HIKI KINIEPUKE KWA MAPENZI YAKE MUNGU, EDWARD LOWASA- NDIVYO ILIVYOKUWA.EDDO ALIAMUA KUMUUNGA MKONO JMK KWA KILA ALILOWEZA BAHATI MBAYA MWALIMU ALIWASHINDA, JMK ALIKUBALI KWA SHINGO UPANDE LAKINI EDWARD ALIONYESHA DHAHIRI KUPINGANA NA KILICHOTOKEA, NI EDWARD LOWASA ALIYELIA HADHARANI NA KUSAGA MENO KWA HASIRA JUU YA KILE MWALIMU ALICHOAMUA, KTK KUNDI HILI WAPO GUNINITA NA WENGI WENGINEO. JINAMIZI HILI NDILO LILILOMFANYA EDDO KUWA NJE YA BARAZA LA KWANZA LA BWM, ILIKUWA 1997 ALIPOREJEA AKIWA WAZIRI PALE MAKAMU WA RAIS MAZINGIRA, ALIFANYA KAZI YAKE VIZURI SANA MPAKA ALIPOPEWA WIZARA YA MAJI AMBAKO NAKO ALIFANYA KWELI.KTK KIPINDI CHA 1995-97 NJE YA BARAZA LA MAWAZIRI ALIKUWA PRO GOVERNMENT KTK MICHANGO YAKE MINGI KAMA MBUNGE,MISHENI JMK KUWA RAIS HAPA NDIPO ALIPOJIINGIZA MATATIZONI, WAPINZANIA WAKE WALIPOGUNDUA TU KAMPANGO KAO WAKAANZA KUKUMBUSHIA TETESI ZA 1995 LAKINI WALICHELEWA SANA, EDWARD NI MUHANGA WA MAFANIKIO YA KIKWETE KUPATA NCHI, HILI SI LA SIRI NA JUNGU, MVUTO WA JMK KWA JAMII ULIVUKA MIPAKA YA NCHI LAKINI WATU WENGI WALISITA KTK UTEKELEZAJI MAANA HAKUNA REKODI ZA KUTOSHA ZA KUMFANYA JMK KUFAA KUVAA VIATU VYA MKAPA, WACHACHE WALISHIKIRIA ISSUE YA MALIMA KAMA NDIO UTHABITI WA KIKWETE LAKINI BAADAE WATU WAKASEMA NYUMA YA USHINDI WAKE KUNA MTU WA KAZI LOWASA HIVYO HAPA MATOKEO YATAKUWA SAFI TU MWISHO WA GAME, KASI ILIANZA NA KILA MTU ALIANZA KUIONA TOFAUTI YA WAWILI HAWA KTK KU- ADDRESS ISSUE ZA NCHI NA KUHIMIZA MAENDELEO, LOWASA ALIKUWA FRONT NA KILA AINA YA SILAHA ALIYOONA INAMFAA , MKUU AKAWA MTU DIPLOMACY TULIAMINI MAMBO YAKO SHWARI, JUNGU LIKAANZA JAMAA ANAMFUNIKA MUUNGWANA, KASI ILIKUWA KUBWA NA TAYARI MENTALITY ZA KIDINI ZIKAANZA, NINA MASHAKA YEYE EDDO HAKULIGUNDUA HILI MAPEMA LAKINI TAYARI WAUNGWANA WAKAWA KAZINI,ZIKAANZA TETESI MUUNGWANA HAPENDEZWI NA SPIDI YA EDDO, ZIKAENDA ZIKARUDI MARA RICHMOND KUKURUKAKARA HATIMAYE MZEE MWAKYEMBE HUYOOO KUMNYONGA MPIGANAJI, MPIGANAJI AKAKUBALI YAISHE...
NAPENDA KUSEMA BINAFSI NINAKIRI UKIMUACHA EDWARD MORINGE SOKOINE, FREDERICK SUMAYE NA MZEE MALECELA EDWARD AME SCORE VIZURI KIUTENDAJI BY PRACTISING UONGOZI NA UTAWALA WA VITENDO KWA MUDA MFUPI, ALICHOPAMBANA NACHO NI AJALI YA KISIASA AMBAYO ANAWEZA KUPONA NA AKASIMAMA VIZURI TU KTK UONGOZI WA NCHI HII. KAMA KUNA MWENYE KUTHIBITISHA YOTE DHIDI YAKE NA AENDE MAHAKAMANI NA KUMSHITAKI LAKINI KAMA HILO HALIPO NA HALITAFANYIKA IPO SIKU ATASIMAMA KTK ZAMU YAKE NA KUTUONYESHA UKAKAMAVU WAKE KTK SIASA ZA NCHI HII. NCHI HII INAHITAJI UJASIRI WA KUKABILI ANGUKO LAKO- LOWASA ANAO UJASIRI HUO, NCHI HII INATAKA KIONGOZI ANAYEAHIDI NA KUTENDA -NDIVYOA ALIVYO LOWASA, NCHI HII INAHITAJI MUWAJIBIKAJI- LOWASA NI MFANO HAI. KWA MSINGI HUU SIPENDI KUAMINI SISI WANA JF TUAMINI KUWA RICHMOND IT WAS DELIBALATELY PLANNED NA LOWASSA KWA NJAA YA RUSHWA, NI JANGA AMBALO NI LAZIMA LIWE NA WAHANGA AMBAYE KWA SASA NI LOWASA. NI MTU ALIYESIMAMIA TRUE FRIENDSHIP,ALIYESIMAMIA ALICHOAMINI, ALITENDA ALICHOONA NI VEMA KWA WOTE NI MUHANGA WA MAPENZI YAKE MEMA KWA MARAFIKI ZAKE. TUMTENDEE HAKI KWA KUHESHIMU MCHANGO WAKE NA KUMSAMEHE KAMA MWANADAMU PALE ALIPOKOSEA, LAKINI LILILO BORA ZAIDI TUTAMBUE UZOEFU WAKE KTK UP & DOWNS NI UZOEFU TUNAOUHITAJI. RUKSA KUNISHAMBULIA LAKINI HUU NDIO MSIMAMO WANGU JUU YA MCHAPA KAZI HUYU HODARI EDWARD NGOYAYI LOWASA.
.......damn!!.........jambo usilolijua ni sawa na usiku wa kiza.......
Reply With Quote
  #82  
Old 18th November 2008, 07:56 PM
Ng'azagala's Avatar
Ng'azagala Ng'azagala is offline
Ng'azagala has no status.
JF Premium Member
Points: 116,204, Level: 100 Points: 116,204, Level: 100 Points: 116,204, Level: 100
Activity: 3% Activity: 3% Activity: 3%
 
Join Date: Sat Jun 2008
Location: Dar es Salaam
Posts: 331
Thanks: 193
Thanked 40 Times in 25 Posts
Rep Power: 22
Ng'azagala will become famous soon enoughNg'azagala will become famous soon enoughNg'azagala will become famous soon enoughNg'azagala will become famous soon enoughNg'azagala will become famous soon enoughNg'azagala will become famous soon enoughNg'azagala will become famous soon enoughNg'azagala will become famous soon enough
Default Re: Kampeni ya magazeti mapya ya Karamagi & Co. Dhidi ya JK

Quote:
View Post
Hivi JF hatuwezi kuja na gazeti letu jamani na likafika mpk Ndanda, Kigonsela na kwingineko ndani ndani ya nchi ili wananchi waweze kujua nini kinaendelea maana naona Vyama vya Upinzani vimechemsha kufikisha ujumbe au yawezekana wanaonekana wote njaa za madaraka.

Mimi naamini kila nchi wasomi huwa wanaaminiwa sana hasa kwa wale wenzetu walioko nje ya nchi na tathmini zao.

Please, JF Admn naomba kama kuna mpango wowote kuhusiana na hili, Binafsi nipo tayari kuchangia gharama.
I support this by 100% If mafisadi are using media, let's fight against them using media as well
Reply With Quote
  #83  
Old 18th November 2008, 08:03 PM
Sober Sober is offline
Sober has no status.
Senior Member
Points: 73,114, Level: 100 Points: 73,114, Level: 100 Points: 73,114, Level: 100
Activity: 1% Activity: 1% Activity: 1%
 
Join Date: Fri Jun 2008
Posts: 238
Thanks: 0
Thanked 8 Times in 3 Posts
Rep Power: 22
Sober will become famous soon enoughSober will become famous soon enoughSober will become famous soon enoughSober will become famous soon enoughSober will become famous soon enoughSober will become famous soon enoughSober will become famous soon enoughSober will become famous soon enough
Default Re: Kampeni ya magazeti mapya ya Karamagi & Co. Dhidi ya JK

Quote:
View Post
GOTEE NA WENGINEO HUMU JAMVINI, EDWARD LOWASA ANABAKI KTK KUMBUKUMBU ZA WATANZANIA KWA MENGI ALIYOYAFANYA, NI WAZIRI KIJANA, MKAKAMAVU NDANI YA OFISI YA WAZIRI MKUU CIGWEYIMISI 1990 KAMA CHIEF WHIP, ALIJIZOLEA UMAARUFU KTK KUBADILI MAISHA YA WABUNGE NA ZILE SHANGINGI TZC, MAJANGA YA MAFURIKO NA KUHIMIZA MAENDELEO, KTK ZAMA ZA MWINYI ALIHITIMISHA KWA KUZUIA UVAMIZI WA VIWANJA VYA MNAZIMMOJA NA KUWAAMURU WANANCHI WAJITWALIE MABATI YALE YALOIZUNGUKA MNAZI MMOJA, BAADA YA HAPO NYOTA YA EDWARD ILING'ARA SANA HASA KWA SABABU ALIWEZA KUJITAMBULISHA KAMA MMOJA WA VIONGOZI CHIPUKIZI WANAOENDANA NA MAMLAKA ZAO KIUTENDAJI, UVCCM(Guninita) WALIM RATE KAMA NO.2 NYUMA YA SALIM AHMED SALIM,TULIOWENGI TULIAMINI KABISA KAMA NI VIJANA BASI EDWARD NI THE BEST KWA NCHI, HILO HALIKUWA NA UBISHI KWETU , MCHAKATO ULIPOANZA GUNINITA NA WENZAKE WALIENDA ADDIS NA WAKARUDI WAKIWA MIKONO MITUPU, BAADA YA HAPO TULISHUDIA VIJANA WAWILI NA MAMA WA MAKAMO ANNE SEMAMBA MAKINDA WAKIPANDA NDEGE YA KUKODI, TUKABAINI BAADAE NI EDDO + JAKAYA WAMEJITOSA, JAMII BADO ILIMUONA NI EDWARD TU KWAO, MARA CC NA NEC WAKAKAA NA KUMTOSA MALECELA ALFAJIRI BAADA YA HAPO LOWASA NA AKINA MALIMA NA TUMTEMEKE SANGA, PIUS MSEKWA,MARK BOMANI ...... NAO WAKATEMWA. KWA SABABU WATU WALIMPENDA LOWASA WAKAHOJI NINI KIMEMTOKEA KIJANA EDDO? MWALIMU ALIPOULIZWA JUU YA KUACHWA KWA EDWARD NA WANA HABARI NYUMBANI KWA MSUYA(WAZIRI MKUU NA MAKAMU WA KWANZA WA RAIS) ALIJIBU HIVI " KAMA MNAONA ANAFAA, AU ANA SURA NZURI MCHUKUENI MKANYWE NAYE CHAI" BAADA YA HAPO YAKAZUKA MENGI 1. MWALIMU AMEMKATAA LOWASA KUTOKANA NA UTAJIRI ALIONAO KTK UMRI MDOGO, 2. MWALIMU ALIHOJI KAMA MAJUMBA ALIYOPANGISHA KWA BALOZI ZA AFRICA YA KUSINI KAMA ZINALIPIWA KODI? HUO NDIO UKAWA MWISHO WA EDWARD NGOYAI LOWASA, LAKINI NIWAKUMBUSHE MANENO YA FRONT PAGE YA RAI KABLA YA CC NA NEC CCM - KIKOMBE HIKI KINIEPUKE KWA MAPENZI YAKE MUNGU, EDWARD LOWASA- NDIVYO ILIVYOKUWA.EDDO ALIAMUA KUMUUNGA MKONO JMK KWA KILA ALILOWEZA BAHATI MBAYA MWALIMU ALIWASHINDA, JMK ALIKUBALI KWA SHINGO UPANDE LAKINI EDWARD ALIONYESHA DHAHIRI KUPINGANA NA KILICHOTOKEA, NI EDWARD LOWASA ALIYELIA HADHARANI NA KUSAGA MENO KWA HASIRA JUU YA KILE MWALIMU ALICHOAMUA, KTK KUNDI HILI WAPO GUNINITA NA WENGI WENGINEO. JINAMIZI HILI NDILO LILILOMFANYA EDDO KUWA NJE YA BARAZA LA KWANZA LA BWM, ILIKUWA 1997 ALIPOREJEA AKIWA WAZIRI PALE MAKAMU WA RAIS MAZINGIRA, ALIFANYA KAZI YAKE VIZURI SANA MPAKA ALIPOPEWA WIZARA YA MAJI AMBAKO NAKO ALIFANYA KWELI.KTK KIPINDI CHA 1995-97 NJE YA BARAZA LA MAWAZIRI ALIKUWA PRO GOVERNMENT KTK MICHANGO YAKE MINGI KAMA MBUNGE,MISHENI JMK KUWA RAIS HAPA NDIPO ALIPOJIINGIZA MATATIZONI, WAPINZANIA WAKE WALIPOGUNDUA TU KAMPANGO KAO WAKAANZA KUKUMBUSHIA TETESI ZA 1995 LAKINI WALICHELEWA SANA, EDWARD NI MUHANGA WA MAFANIKIO YA KIKWETE KUPATA NCHI, HILI SI LA SIRI NA JUNGU, MVUTO WA JMK KWA JAMII ULIVUKA MIPAKA YA NCHI LAKINI WATU WENGI WALISITA KTK UTEKELEZAJI MAANA HAKUNA REKODI ZA KUTOSHA ZA KUMFANYA JMK KUFAA KUVAA VIATU VYA MKAPA, WACHACHE WALISHIKIRIA ISSUE YA MALIMA KAMA NDIO UTHABITI WA KIKWETE LAKINI BAADAE WATU WAKASEMA NYUMA YA USHINDI WAKE KUNA MTU WA KAZI LOWASA HIVYO HAPA MATOKEO YATAKUWA SAFI TU MWISHO WA GAME, KASI ILIANZA NA KILA MTU ALIANZA KUIONA TOFAUTI YA WAWILI HAWA KTK KU- ADDRESS ISSUE ZA NCHI NA KUHIMIZA MAENDELEO, LOWASA ALIKUWA FRONT NA KILA AINA YA SILAHA ALIYOONA INAMFAA , MKUU AKAWA MTU DIPLOMACY TULIAMINI MAMBO YAKO SHWARI, JUNGU LIKAANZA JAMAA ANAMFUNIKA MUUNGWANA, KASI ILIKUWA KUBWA NA TAYARI MENTALITY ZA KIDINI ZIKAANZA, NINA MASHAKA YEYE EDDO HAKULIGUNDUA HILI MAPEMA LAKINI TAYARI WAUNGWANA WAKAWA KAZINI,ZIKAANZA TETESI MUUNGWANA HAPENDEZWI NA SPIDI YA EDDO, ZIKAENDA ZIKARUDI MARA RICHMOND KUKURUKAKARA HATIMAYE MZEE MWAKYEMBE HUYOOO KUMNYONGA MPIGANAJI, MPIGANAJI AKAKUBALI YAISHE...
NAPENDA KUSEMA BINAFSI NINAKIRI UKIMUACHA EDWARD MORINGE SOKOINE, FREDERICK SUMAYE NA MZEE MALECELA EDWARD AME SCORE VIZURI KIUTENDAJI BY PRACTISING UONGOZI NA UTAWALA WA VITENDO KWA MUDA MFUPI, ALICHOPAMBANA NACHO NI AJALI YA KISIASA AMBAYO ANAWEZA KUPONA NA AKASIMAMA VIZURI TU KTK UONGOZI WA NCHI HII. KAMA KUNA MWENYE KUTHIBITISHA YOTE DHIDI YAKE NA AENDE MAHAKAMANI NA KUMSHITAKI LAKINI KAMA HILO HALIPO NA HALITAFANYIKA IPO SIKU ATASIMAMA KTK ZAMU YAKE NA KUTUONYESHA UKAKAMAVU WAKE KTK SIASA ZA NCHI HII. NCHI HII INAHITAJI UJASIRI WA KUKABILI ANGUKO LAKO- LOWASA ANAO UJASIRI HUO, NCHI HII INATAKA KIONGOZI ANAYEAHIDI NA KUTENDA -NDIVYOA ALIVYO LOWASA, NCHI HII INAHITAJI MUWAJIBIKAJI- LOWASA NI MFANO HAI. KWA MSINGI HUU SIPENDI KUAMINI SISI WANA JF TUAMINI KUWA RICHMOND IT WAS DELIBALATELY PLANNED NA LOWASSA KWA NJAA YA RUSHWA, NI JANGA AMBALO NI LAZIMA LIWE NA WAHANGA AMBAYE KWA SASA NI LOWASA. NI MTU ALIYESIMAMIA TRUE FRIENDSHIP,ALIYESIMAMIA ALICHOAMINI, ALITENDA ALICHOONA NI VEMA KWA WOTE NI MUHANGA WA MAPENZI YAKE MEMA KWA MARAFIKI ZAKE. TUMTENDEE HAKI KWA KUHESHIMU MCHANGO WAKE NA KUMSAMEHE KAMA MWANADAMU PALE ALIPOKOSEA, LAKINI LILILO BORA ZAIDI TUTAMBUE UZOEFU WAKE KTK UP & DOWNS NI UZOEFU TUNAOUHITAJI. RUKSA KUNISHAMBULIA LAKINI HUU NDIO MSIMAMO WANGU JUU YA MCHAPA KAZI HUYU HODARI EDWARD NGOYAYI LOWASA.

Ama kweli ukipenda, hata chongo utaliita kengeza
Reply With Quote
  #84  
Old 18th November 2008, 08:46 PM
Sikonge's Avatar
Sikonge Sikonge is offline
Sikonge "Mwenye wivu kwa mafisadi ajinyonge"
JF Premium Member
Points: 269,915, Level: 100 Points: 269,915, Level: 100 Points: 269,915, Level: 100
Activity: 27% Activity: 27% Activity: 27%
 
Join Date: Sat Jan 2008
Location: Sikonge, Tabora
Posts: 2,719
Thanks: 1,164
Thanked 578 Times in 349 Posts
Rep Power: 28
Sikonge will become famous soon enoughSikonge will become famous soon enoughSikonge will become famous soon enoughSikonge will become famous soon enoughSikonge will become famous soon enoughSikonge will become famous soon enoughSikonge will become famous soon enoughSikonge will become famous soon enough
Default Re: Kampeni ya magazeti mapya ya Karamagi & Co. Dhidi ya JK

Originally Posted by fdr.jr
Quote:
gotee na wengineo humu jamvini, edward lowasa anabaki ktk kumbukumbu za watanzania kwa mengi aliyoyafanya,

WOW,
Mie nakubaliana na fdr.Jr kwa yote aliyoyasema. Lowassa amefanya mengi sana kwa WaTz na nyie hamtaki kuyaona hayo? Amefanya kazi kwa ufanisi mkubwa. Tanzania milele atakumbukwa kwa mazuri yake.
Mie nakumbuka alipokwenda Mwanza aliwahutubia watu pwani ya ziwa Victoria. Wala hakuhitaji jukwaa kwani alikuwa na lake. Huku akiwa katokea kisiwa cha Saa nane, alikuja akitembea juu ya maji na kufika pale wakampa wireless Mic na hapo akaanza hotuba. Nakumbuka fdr.Jr alipomuona akamwambia "Mzee Lowassa na mie nataka kutembea juu ya maji kama wewe". Lowassa akamwamba joo mwanangu.
Alivyokuja huku Sikonge, akawaTUHUTUBIA watu kama elfu tano. Na kwa sababu tulikuwa na njaa sana, basi akasema kama tulikuwa na chakula. Jamaa wakamletea chakula kidogo kilichokuwa kimeandaliwa kwa ajili yake na msafara wake kama watu 30. Basi akachukua na hicho chakula na kushika msahafu umeandikwa FISADI MKUU mjukuu wa YUSUFELI, akaomba na akaagiza watu wagawe kile chakula. Loohhh, tulikuwa hadi kesho yake tukawa wengi tumevimbewa.
Hayo ni machache tu yanayoonyesha kuwa Watanzania watamkumbuka milele Lowassa. Yusufeli na ampe maisha marefu ili azidi kuhubiri UFISADI na akina fdr.jr na MIE wazidi kumsujudu JOKA yulee mkuu.
__________________
.... hata kama akitambika uchi huyu mwakyembe, ukweli utabaki pale pale kuwa yeye nimiongoni mwa wale wabunge waliokula milioni 5 za rostam wakati wa kampeni (By: Game Theory)
Reply With Quote
  #85  
Old 19th November 2008, 12:41 AM
Fataki Fataki is offline
Fataki has no status.
Senior Member
Points: 174,508, Level: 100 Points: 174,508, Level: 100 Points: 174,508, Level: 100
Activity: 1% Activity: 1% Activity: 1%
 
Join Date: Thu Aug 2008
Posts: 87
Thanks: 5
Thanked 16 Times in 7 Posts
Rep Power: 62
Fataki is a jewel in the roughFataki is a jewel in the roughFataki is a jewel in the roughFataki is a jewel in the roughFataki is a jewel in the roughFataki is a jewel in the roughFataki is a jewel in the roughFataki is a jewel in the roughFataki is a jewel in the roughFataki is a jewel in the roughFataki is a jewel in the rough
Default Re: Kampeni ya magazeti mapya ya Karamagi & Co. Dhidi ya JK

Quote:
View Post
Mkuu,

Nadhani wewe ndio unapaswa kuwatofautisha Pinda na EL. Pinda ni Waziri Mkuu na EL wakati huo alikuwa ni Waziri Mkuu anayejiandaa kuwa Rais wa JMT! Ungetegemeaje? Sisi tulioko vijijini huku ndio tulikuwa tunaona 'mbwembwe' za huyo Boyz II Men akija huku! Mi nasema Pinda anafanya kazi kuliko huyo EL! Hivi hata hivi vidagaa vya EPA vinavyokamatwa hatuwezi kusema Pinda ana mchango wake angalau wa kutikisa kichwa juu kwenda chini ukiachilia mbali kumsahuri Rais?
Ahsante Mkuu kwa kumuelimisha Gottee. Gottee anadiriki kutuambua wanaJF tuige "mazuri" ya Lowassa! Yepi? Kuchukua 10% kwenye kila mradi upitao mbele yake? Kutwaa ranchi ya Serikali kwa bei chee? Kusimamia maslahi ya VODACOM kwa kuzuia operators wengine wasiingie nchini? Kubuni miradi ya ulaji kama ya kuleta mvua? Ku-influence mkwe mwezake kuwa Naibu Waziri? Ku-influence mabibi zake kuwa .... na ....? Kufukuza watendaji holela bila kuwapa haki ya kusikilkizwa? Kuongoza Serikali huku akiongoza biashara zake za dry cleaners, internet, simu za mikononi, Changanyikeni ..., Alfa ..., ranchi, real estate, mashamba, ng'ombe Monduli, cargo transport, mabasi, daladala, mafuta, madini n.k. n.k.? Huo ndo uongozi wa kuiga? Gottee, amka bwana kumekucha! Hakuna kizuri alichofanya yule Mmeru, oh sorry Mmasai, bila kuweka personal interests!
Reply With Quote
  #86  
Old 19th November 2008, 07:36 AM
FDR.Jr's Avatar
FDR.Jr FDR.Jr is offline
FDR.Jr your Comrade
JF Senior Expert Member
Points: 145,868, Level: 100 Points: 145,868, Level: 100 Points: 145,868, Level: 100
Activity: 3% Activity: 3% Activity: 3%
 
Join Date: Tue Jun 2008
Posts: 433
Thanks: 84
Thanked 21 Times in 16 Posts
Rep Power: 22
FDR.Jr will become famous soon enoughFDR.Jr will become famous soon enoughFDR.Jr will become famous soon enoughFDR.Jr will become famous soon enoughFDR.Jr will become famous soon enoughFDR.Jr will become famous soon enoughFDR.Jr will become famous soon enoughFDR.Jr will become famous soon enough
Default Re: Kampeni ya magazeti mapya ya Karamagi & Co. Dhidi ya JK

Huyu jamaa kaponzwa na hamu ya kuweka rekodi ya pm machapakazi kuliko wote, hicho ndicho kilichomuumiza wakuu, sidhani richmond yeye ndiye muasisi, mwakyembe na wenzake watuambie ukweli sasa juu ya lowasa au yale waliyoyaficha makabatini.

Maana todate makatibu wakuu na makamishina wale bado wapo wanakula ktk payrol yetu!!!!

Lowasa ni scape goat, na hili halihitaji usanii kuling'amua.
__________________
"A man may die, nations may rise and fall, but an idea lives on.".John F.Kennedy
Reply With Quote
  #87  
Old 19th November 2008, 08:02 AM
Nyambala Nyambala is offline
Nyambala is surprised why JK is still famous todate
JF Premium Member
Points: 242,454, Level: 100 Points: 242,454, Level: 100 Points: 242,454, Level: 100
Activity: 3% Activity: 3% Activity: 3%
 
Join Date: Wed Oct 2007
Location: Toowoomba
Posts: 1,208
Thanks: 162
Thanked 231 Times in 109 Posts
Rep Power: 25
Nyambala will become famous soon enoughNyambala will become famous soon enoughNyambala will become famous soon enoughNyambala will become famous soon enoughNyambala will become famous soon enoughNyambala will become famous soon enoughNyambala will become famous soon enoughNyambala will become famous soon enough
Default Re: Kampeni ya magazeti mapya ya Karamagi & Co. Dhidi ya JK

Quote:
View Post
Huyu jamaa kaponzwa na hamu ya kuweka rekodi ya pm machapakazi kuliko wote, hicho ndicho kilichomuumiza wakuu, sidhani richmond yeye ndiye muasisi, mwakyembe na wenzake watuambie ukweli sasa juu ya lowasa au yale waliyoyaficha makabatini.

Maana todate makatibu wakuu na makamishina wale bado wapo wanakula ktk payrol yetu!!!!

Lowasa ni scape goat, na hili halihitaji usanii kuling'amua.
How do you have a prime minister a scape goat in Tanzania??????????? mahali ambapo hata kamishna au katibu wa wazara wanatunisha misuli na hawafanywi kitu sembuse PM??????. Inaniwia vigumu kuelewa, I don't know naomba nieleweshwe
Reply With Quote
  #88  
Old 19th November 2008, 08:06 AM
Ijabu Issa Ijabu Issa is offline
Ijabu Issa has no status.
Member
Points: 74,650, Level: 100 Points: 74,650, Level: 100 Points: 74,650, Level: 100
Activity: 0% Activity: 0% Activity: 0%
 
Join Date: Tue Apr 2008
Posts: 45
Thanks: 0
Thanked 0 Times in 0 Posts
Rep Power: 0
Ijabu Issa will become famous soon enoughIjabu Issa will become famous soon enoughIjabu Issa will become famous soon enoughIjabu Issa will become famous soon enoughIjabu Issa will become famous soon enoughIjabu Issa will become famous soon enoughIjabu Issa will become famous soon enoughIjabu Issa will become famous soon enough
Unhappy Re: Kampeni ya magazeti mapya ya Karamagi & Co. Dhidi ya JK

Quote:
View Post
Huyu jamaa kaponzwa na hamu ya kuweka rekodi ya pm machapakazi kuliko wote, hicho ndicho kilichomuumiza wakuu, sidhani richmond yeye ndiye muasisi, mwakyembe na wenzake watuambie ukweli sasa juu ya lowasa au yale waliyoyaficha makabatini.

Maana todate makatibu wakuu na makamishina wale bado wapo wanakula ktk payrol yetu!!!!

Lowasa ni scape goat, na hili halihitaji usanii kuling'amua.
FDR ndugu yangu, unataka akina Mwakyembe, Selelii & Co. waseme nini zaidi ya yale waliyokwishatuambia kwa ujasiri kabisa kuwa LOWASSA mbadhirifu! Hivi wewe FDR unaamini kuwa Waziri Mkuu clean, angeweza kujiuzulu kwa haraka kama alivyofanya Lowassa? Akina Mwakyembe walimwambia "JIPIME", hawakumwambia "JIUZULU"! Akajipima, akaona uchafu wake mwingi utaonekana ubishi ukizuka, akaamua kuachia ngazi haraka haraka. Hata Rais mwenyewe alikuwa na uamuzi wa kukataa kujiuzulu kwa Lowassa. Lakini alijua kuwa rafiki yake haambiliki, mpenda pesa kupindukia. Akakubali resignation ya EL. Sasa sisi huku akina yakhe tunamjua zaidi EL kuliko JK?

Halafu tunadai akina Mwakyembe watueleze kwa kina: watueleze nini zaidi? Mpira uko kwetu sasa wananchi, tuucheze na kufikia hatma yake! Mengine yote ni ubabaishaji tu typical wa Watanzania: ooh EL mzuri, oooh Regina alipendeza sana, oooh alionewa, ooh EL ni scapegoat ...Toba! Si wote tulimsikia Mwakyembe aking'aka hivi majuzi kuwa kama akina EL hawajaridhika, walilete tena suala hilo Bungeni kama wao ngangari? Mbona scapegoat wako kimya? Mbona hawajafungua mdomo kutaka suala hilo kuangaliwa upya?
Reply With Quote
  #89  
Old 19th November 2008, 08:15 AM
FDR.Jr's Avatar
FDR.Jr FDR.Jr is offline
FDR.Jr your Comrade
JF Senior Expert Member
Points: 145,868, Level: 100 Points: 145,868, Level: 100 Points: 145,868, Level: 100
Activity: 3% Activity: 3% Activity: 3%
 
Join Date: Tue Jun 2008
Posts: 433
Thanks: 84
Thanked 21 Times in 16 Posts
Rep Power: 22
FDR.Jr will become famous soon enoughFDR.Jr will become famous soon enoughFDR.Jr will become famous soon enoughFDR.Jr will become famous soon enoughFDR.Jr will become famous soon enoughFDR.Jr will become famous soon enoughFDR.Jr will become famous soon enoughFDR.Jr will become famous soon enough
Default Re: Kampeni ya magazeti mapya ya Karamagi & Co. Dhidi ya JK

Ijabu issa pengine wewe umethubutu lakini haya kumtaka mtu ajipime au muungwana ndiye anayemjua vizuri edward kuliko sisi na ndio maana alikubali kujiuzuru kwake, hilo linanipa shida . Nashukuru kwa ujasiri wako ambao unatoa walau taswira ya jambo lenyewe. Nilipendelea hawa jamaa mwakyembes wangeweka mambo yote hadharani ili mkono wa sheria ukamate line, shinawatra kashitakiwa -found guilty as charged , why lowasa ??!!!

Msimamo wangu umelalia hapo wakuu, isijekuwa yale ya jesus " anayejiona yu msafi kumzidi huyu mama na awe wa kwanza kuokota jiwe na kumtupia....." wakasambaratika, hiyo siipendi mkuu na ndiyo inayoendelea ktk jamii yetu.
__________________
"A man may die, nations may rise and fall, but an idea lives on.".John F.Kennedy
Reply With Quote
  #90  
Old 19th November 2008, 09:03 AM
FDR.Jr's Avatar
FDR.Jr FDR.Jr is offline
FDR.Jr your Comrade
JF Senior Expert Member
Points: 145,868, Level: 100 Points: 145,868, Level: 100 Points: 145,868, Level: 100
Activity: 3% Activity: 3% Activity: 3%
 
Join Date: Tue Jun 2008
Posts: 433
Thanks: 84
Thanked 21 Times in 16 Posts
Rep Power: 22
FDR.Jr will become famous soon enoughFDR.Jr will become famous soon enoughFDR.Jr will become famous soon enoughFDR.Jr will become famous soon enoughFDR.Jr will become famous soon enoughFDR.Jr will become famous soon enoughFDR.Jr will become famous soon enoughFDR.Jr will become famous soon enough
Default Re: Kampeni ya magazeti mapya ya Karamagi & Co. Dhidi ya JK

Ijabu issa pengine wewe umethubutu lakini haya kumtaka mtu ajipime au muungwana ndiye anayemjua vizuri edward kuliko sisi na ndio maana alikubali kujiuzuru kwake, hilo linanipa shida . Nashukuru kwa ujasiri wako ambao unatoa walau taswira ya jambo lenyewe. Nilipendelea hawa jamaa mwakyembes wangeweka mambo yote hadharani ili mkono wa sheria ukamate line, shinawatra kashitakiwa -found guilty as charged , why lowasa ??!!!

Msimamo wangu umelalia hapo wakuu, isijekuwa yale ya jesus " anayejiona yu msafi kumzidi huyu mama na awe wa kwanza kuokota jiwe na kumtupia....." wakasambaratika, hiyo siipendi mkuu na ndiyo inayoendelea ktk jamii yetu. Anaachiwa JMK pekee ya ke ahangaike na vimeo vya aina hii wakati sisi tupo frontline kukimbia maneno yetu
__________________
"A man may die, nations may rise and fall, but an idea lives on.".John F.Kennedy
Reply With Quote
Reply

Bookmarks

Tags
dhidi, jk, kampeni, karamagi, magazeti, mapya

Currently Active Users Viewing This Thread: 1 (0 members and 1 guests)
 
Thread Tools
Display Modes Rate This Thread
Rate This Thread:

Posting Rules
You may not post new threads
You may not post replies
You may not post attachments
You may not edit your posts

BB code is On
Smilies are On
[IMG] code is On
HTML code is Off
Trackbacks are Off
Pingbacks are Off
Refbacks are On

Similar Threads
Thread Thread Starter Forum Replies Last Post
Lazima tuwekane sawa kuhusu UKIMWI Shy JF Doctor 139 18th June 2009 02:00 PM
Karamagi na wanasheria wake watupiana mpira kuhusu tuhuma za ufisadi. Lawson Jukwaa la Siasa 4 12th November 2007 10:12 AM
Kampeni dhidi ya Mkapa asishinde Tuzo ya uongozi bora Mwafrika wa Kike Celebrities Forum 127 23rd October 2007 12:54 PM
Karamagi anasafiri na mihuri yetu? Bubu Ataka Kusema Jukwaa la Siasa 13 20th August 2007 09:19 PM

Tuma Ukurasa huu kwa rafiki yako!

All times are GMT +3. The time now is 02:11 AM.

Powered by JamiiForums.com
Copyrights reserved to JamiiForums.com