Kampeni ya magazeti mapya ya Karamagi & Co. Dhidi ya JK - Page 14 - JamiiForums |The Home of Great Thinkers

Go Back   JamiiForums |The Home of Great Thinkers > Public Forums > Jukwaa la Siasa


Jukwaa la Siasa Tanzania & World Politics General Discussion Forum. You need to be registered in order to post your comment(s)


Reply
 
LinkBack Thread Tools Rate Thread Display Modes
Old 17th November 2008, 12:58 AM  
Kampeni ya magazeti mapya ya Karamagi & Co. Dhidi ya JK
LazaroSMtindi LazaroSMtindi is offline 17th November 2008, 12:58 AM


Kampeni ya kummaliza kisiasa JK, Spika na wabunge kadhaa "wakorofi", imeanzishwa rasmi na Karamagi & Co. (Lowassa na Rostam) kupitia magazeti yao maalum ya AHSUBUHI NJEMA, TAZAMA, NYUNDO, TAIFA NA UMMA. Nia ni kuhakikisha JK anakuwa Rais kwa muhula moja tu na Spika Samuel Sitta na wabunge "wakorofi" hawarudi Bungeni mwaka 2010.

Magazeti hayo ambayo huchapishwa kila siku ya kazi kwa mpangilio, toka Jumatatu hadi Ijumaa, yanabeba ujumbe mahsusi wa ushawishi kwa umma kwamba: JK hana shukrani, kawatosa rafiki zake na kuwakumbatia "maadui"; Membe ni msaliti na anampotosha JK; Lowassa ni kiongozi safi na bora ambaye alionewa tu na Kamati ya Dk. Mwakyembe; bila Lowassa, Rostam, Karamagi, Makamba, Kingunge na wanamtandao wengine, JK hashindi uchaguzi wa 2010; Spika Sitta, Naibu Spika Anne Makinda na wabunge "wakorofi" wa CCM akina Anne Kilango, Mwakyembe, Selelii, Manyanya, Ole Sendeka, Kimaro, Zambi, Nkumba, Mpendazoe, Shellukindo (Bw. & Bi.), Mpesya, Ruth Msafiri na Nyalandu, ni wapinzani wa Serikali ya Awamu ya Nne.

Magazeti haya yanahaririwa na waandishi walewale mamluki: Deodatus Balile, Manyerere Jackton, Charles Charles, Muhingo Rweyemamu, Prince Bagenda na Gama wa gazeti la HOJA. Baadhi ya makala huchangiwa na Salva Rweyemamu na Premy Kibanga wa Ikulu na Mbunge wa Kigoma Peter Serukamba ambaye alibubujikwa machozi na kuugua baada ya Lowassa kujiuzulu. Yalianzishwa kwa mtaji wa sh. milioni 300 alizotoa Karamagi kwa niaba ya Lowassa na Rostam, mara baada ya Lowassa kujiuzulu.

Taarifa ndani ya Chama Tawala zinasema magazeti haya yana baraka zote za Makamba. Ndiyo maana baadhi yake yanahaririwa kwenye ofisi za UVCCM na kwa kutumia kompyuta za jumuiya hiyo.

Kwa mujibu wa kikao cha KALOKIRO kilichokaa Morogoro hivi karibuni, magazeti hayo yatasaidiwa baadaye (karibu na uchaguzi mkuu) na magazeti ya RAI, MTANZANIA na THE AFRICAN. Mwakani, mtandao huo wa mafisadi unaanzisha kituo cha redio na televisheni. Lengo kuu ni kuwamaliza wote hao kisiasa na kumwinua Lowassa agombee Urais mwaka 2010.

Matoleo ya wiki mbili zilizopita za magazeti hayo yote yalikuwa na makala za kumsafisha Lowassa na kudai kuwa Sitta anamhujumu JK, Sitta ana lengo la kuhamia CHADEMA, Kimaro kapora shamba la chuo, Mwakyembe ni mkabila, Membe ni mfuasi wa Malecela, JK hana fadhila mfano wa dereva aliyesaidiwa kwa kusukumwa kutoka kwenye matope lakini akakataa kuwabeba waliomsaidia ili wasichafue gari lake n.k. NGOMA IMEANZA, MAKUBWA ZAIDI YAJA!

LazaroSMtindi
Senior Member
Points: 5,119,422, Level: 100 Points: 5,119,422, Level: 100 Points: 5,119,422, Level: 100
Activity: 0% Activity: 0% Activity: 0%
Join Date: Tue May 2008
Posts: 79
Thanks: 0
Thanked 0 Times in 0 Posts
Views: 7185
Reply With Quote
  #131  
Old 13th January 2009, 02:23 PM
Maane Maane is offline
Maane ni mchukia dhuluma
JF Premium Member
Points: 122,169, Level: 100 Points: 122,169, Level: 100 Points: 122,169, Level: 100
Activity: 18% Activity: 18% Activity: 18%
 
Join Date: Thu Jul 2008
Posts: 1,513
Thanks: 44
Thanked 183 Times in 113 Posts
Rep Power: 25
Maane will become famous soon enoughMaane will become famous soon enoughMaane will become famous soon enoughMaane will become famous soon enoughMaane will become famous soon enoughMaane will become famous soon enoughMaane will become famous soon enoughMaane will become famous soon enough
Default Re: MENGI v/s CHECHE?

Quote:
View Post
Jana kwenye ITV nimemsikia Mzee Mengi analaani kuibuka kwa vijigazeti peperushi mtaani ambavyo vinatumiwa na wanasiasa au mafisadi, je anamaanisha pamoja na CHECHE? Nijuavyo mie gazeti peperushi CHECHE mtaani kinapendwa sana hasa na vijana na wazee wakereketwa na nchi yao leo iweje Mengi akiponde kijarida mwanana? au kuna vijarida vingine mitaani ambavyo sie wengine hatuvijui? Nawasilisha nipate elimishwa!

Siamini kama Mengi alikuwa na wazo au lengo la kukiponda kijarida chetu tukufu cha Cheche. Kama kweli Mengi ameshakisoma ataona kuwa kijarida cha CHECHE kiko mstari wa mbele kupinga ufisadi. Sijawahi kuona mahali popote issue ya kijarida cha Cheche tangu nikifahamu na kuanza kukisoma kuwa kinasifia au kubariki ufisadi. Kama kuna mtu anayo makala ya Cheche iliyosifia ufisadi anipatie ili nisije nikawa nje ya mstari.
Reply With Quote
Reply

Bookmarks

Tags
dhidi, jk, kampeni, karamagi, magazeti, mapya


Currently Active Users Viewing This Thread: 1 (0 members and 1 guests)
 
Thread Tools
Display Modes Rate This Thread
Rate This Thread:

Posting Rules
You may not post new threads
You may not post replies
You may not post attachments
You may not edit your posts

BB code is On
Smilies are On
[IMG] code is On
HTML code is Off
Trackbacks are Off
Pingbacks are Off
Refbacks are On


Similar Threads
Thread Thread Starter Forum Replies Last Post
Lazima tuwekane sawa kuhusu UKIMWI Shy JF Doctor 139 18th June 2009 02:00 PM
Karamagi na wanasheria wake watupiana mpira kuhusu tuhuma za ufisadi. Lawson Jukwaa la Siasa 4 12th November 2007 10:12 AM
Kampeni dhidi ya Mkapa asishinde Tuzo ya uongozi bora Mwafrika wa Kike Celebrities Forum 127 23rd October 2007 12:54 PM
Karamagi anasafiri na mihuri yetu? Bubu Ataka Kusema Jukwaa la Siasa 13 20th August 2007 09:19 PM

Tuma Ukurasa huu kwa rafiki yako!


All times are GMT +3. The time now is 08:50 PM.

Powered by JamiiForums.com
Copyrights reserved to JamiiForums.com