Kampeni ya magazeti mapya ya Karamagi & Co. Dhidi ya JK - Page 10 - JamiiForums |The Home of Great Thinkers

Go Back   JamiiForums |The Home of Great Thinkers > Public Forums > Jukwaa la Siasa

Jukwaa la Siasa Tanzania & World Politics General Discussion Forum. You need to be registered in order to post your comment(s)

Reply
 
LinkBack Thread Tools Rate Thread Display Modes
Old 17th November 2008, 12:58 AM  
Kampeni ya magazeti mapya ya Karamagi & Co. Dhidi ya JK
LazaroSMtindi LazaroSMtindi is offline 17th November 2008, 12:58 AM

Kampeni ya kummaliza kisiasa JK, Spika na wabunge kadhaa "wakorofi", imeanzishwa rasmi na Karamagi & Co. (Lowassa na Rostam) kupitia magazeti yao maalum ya AHSUBUHI NJEMA, TAZAMA, NYUNDO, TAIFA NA UMMA. Nia ni kuhakikisha JK anakuwa Rais kwa muhula moja tu na Spika Samuel Sitta na wabunge "wakorofi" hawarudi Bungeni mwaka 2010.

Magazeti hayo ambayo huchapishwa kila siku ya kazi kwa mpangilio, toka Jumatatu hadi Ijumaa, yanabeba ujumbe mahsusi wa ushawishi kwa umma kwamba: JK hana shukrani, kawatosa rafiki zake na kuwakumbatia "maadui"; Membe ni msaliti na anampotosha JK; Lowassa ni kiongozi safi na bora ambaye alionewa tu na Kamati ya Dk. Mwakyembe; bila Lowassa, Rostam, Karamagi, Makamba, Kingunge na wanamtandao wengine, JK hashindi uchaguzi wa 2010; Spika Sitta, Naibu Spika Anne Makinda na wabunge "wakorofi" wa CCM akina Anne Kilango, Mwakyembe, Selelii, Manyanya, Ole Sendeka, Kimaro, Zambi, Nkumba, Mpendazoe, Shellukindo (Bw. & Bi.), Mpesya, Ruth Msafiri na Nyalandu, ni wapinzani wa Serikali ya Awamu ya Nne.

Magazeti haya yanahaririwa na waandishi walewale mamluki: Deodatus Balile, Manyerere Jackton, Charles Charles, Muhingo Rweyemamu, Prince Bagenda na Gama wa gazeti la HOJA. Baadhi ya makala huchangiwa na Salva Rweyemamu na Premy Kibanga wa Ikulu na Mbunge wa Kigoma Peter Serukamba ambaye alibubujikwa machozi na kuugua baada ya Lowassa kujiuzulu. Yalianzishwa kwa mtaji wa sh. milioni 300 alizotoa Karamagi kwa niaba ya Lowassa na Rostam, mara baada ya Lowassa kujiuzulu.

Taarifa ndani ya Chama Tawala zinasema magazeti haya yana baraka zote za Makamba. Ndiyo maana baadhi yake yanahaririwa kwenye ofisi za UVCCM na kwa kutumia kompyuta za jumuiya hiyo.

Kwa mujibu wa kikao cha KALOKIRO kilichokaa Morogoro hivi karibuni, magazeti hayo yatasaidiwa baadaye (karibu na uchaguzi mkuu) na magazeti ya RAI, MTANZANIA na THE AFRICAN. Mwakani, mtandao huo wa mafisadi unaanzisha kituo cha redio na televisheni. Lengo kuu ni kuwamaliza wote hao kisiasa na kumwinua Lowassa agombee Urais mwaka 2010.

Matoleo ya wiki mbili zilizopita za magazeti hayo yote yalikuwa na makala za kumsafisha Lowassa na kudai kuwa Sitta anamhujumu JK, Sitta ana lengo la kuhamia CHADEMA, Kimaro kapora shamba la chuo, Mwakyembe ni mkabila, Membe ni mfuasi wa Malecela, JK hana fadhila mfano wa dereva aliyesaidiwa kwa kusukumwa kutoka kwenye matope lakini akakataa kuwabeba waliomsaidia ili wasichafue gari lake n.k. NGOMA IMEANZA, MAKUBWA ZAIDI YAJA!

LazaroSMtindi
Senior Member
Points: 5,119,422, Level: 100 Points: 5,119,422, Level: 100 Points: 5,119,422, Level: 100
Activity: 0% Activity: 0% Activity: 0%
Join Date: Tue May 2008
Posts: 79
Thanks: 0
Thanked 0 Times in 0 Posts
Views: 7192
Reply With Quote
  #91  
Old 19th November 2008, 11:09 AM
Gottee Gottee is offline
Gottee has no status.
Senior Member
Points: 116,164, Level: 100 Points: 116,164, Level: 100 Points: 116,164, Level: 100
Activity: 1% Activity: 1% Activity: 1%
 
Join Date: Sun Sep 2008
Posts: 107
Thanks: 7
Thanked 9 Times in 6 Posts
Rep Power: 22
Gottee will become famous soon enoughGottee will become famous soon enoughGottee will become famous soon enoughGottee will become famous soon enoughGottee will become famous soon enoughGottee will become famous soon enoughGottee will become famous soon enoughGottee will become famous soon enough
Default Re: Kampeni ya magazeti mapya ya Karamagi & Co. Dhidi ya JK

Quote:
View Post
Ahsante Mkuu kwa kumuelimisha Gottee. Gottee anadiriki kutuambua wanaJF tuige "mazuri" ya Lowassa! Yepi? Kuchukua 10% kwenye kila mradi upitao mbele yake? Kutwaa ranchi ya Serikali kwa bei chee? Kusimamia maslahi ya VODACOM kwa kuzuia operators wengine wasiingie nchini? Kubuni miradi ya ulaji kama ya kuleta mvua? Ku-influence mkwe mwezake kuwa Naibu Waziri? Ku-influence mabibi zake kuwa .... na ....? Kufukuza watendaji holela bila kuwapa haki ya kusikilkizwa? Kuongoza Serikali huku akiongoza biashara zake za dry cleaners, internet, simu za mikononi, Changanyikeni ..., Alfa ..., ranchi, real estate, mashamba, ng'ombe Monduli, cargo transport, mabasi, daladala, mafuta, madini n.k. n.k.? Huo ndo uongozi wa kuiga? Gottee, amka bwana kumekucha! Hakuna kizuri alichofanya yule Mmeru, oh sorry Mmasai, bila kuweka personal interests!
Originally Posted by Gottee View Post
Mkuu,

Quote:
Nadhani wewe ndio unapaswa kuwatofautisha Pinda na EL. Pinda ni Waziri Mkuu na EL wakati huo alikuwa ni Waziri Mkuu anayejiandaa kuwa Rais wa JMT! Ungetegemeaje? Sisi tulioko vijijini huku ndio tulikuwa tunaona 'mbwembwe' za huyo Boyz II Men akija huku! Mi nasema Pinda anafanya kazi kuliko huyo EL! Hivi hata hivi vidagaa vya EPA vinavyokamatwa hatuwezi kusema Pinda ana mchango wake angalau wa kutikisa kichwa juu kwenda chini ukiachilia mbali kumsahuri Rais?

Mkuu Fataki! Heshima mbele mkuu! Hayo maneno MEKUNDU juu ni Gottee ndio aliyaongea kumuelemisha Mikaeli! Lakini kwa maelezo yako unasema aliyeelimishwa ni Gottee! Humu JF kuna mambo humu!!
Reply With Quote
  #92  
Old 19th November 2008, 01:37 PM
kanda2 kanda2 is offline
kanda2 has no status.
Banned
Points: 386,871, Level: 100 Points: 386,871, Level: 100 Points: 386,871, Level: 100
Activity: 4% Activity: 4% Activity: 4%
 
Join Date: Sun Apr 2007
Posts: 1,209
Thanks: 129
Thanked 99 Times in 69 Posts
Rep Power: 0
kanda2 will become famous soon enoughkanda2 will become famous soon enoughkanda2 will become famous soon enoughkanda2 will become famous soon enoughkanda2 will become famous soon enoughkanda2 will become famous soon enoughkanda2 will become famous soon enoughkanda2 will become famous soon enough
Default Re: Kampeni ya magazeti mapya ya Karamagi & Co. Dhidi ya JK

Majungu tu yanawawasumbua Lowasa ni mchapakazi Mwakyembe and his coy wataingia ktk historia kama political mercenaries kwa kupika jungu lilopelekea kujiuzulu kwa Eddo. Hii ni ajali ya kisiasa na I can tell u Edo atarudi tena very strongly bwathc this space. Tanzania inahitaji kiongozi kama Lowasa mchapakazi na dikteta kidogo waulize watu wa mikoa ya pwani wanamshukuru sana huyu jamaa kuna wilaya ( not alone kata ) zilikuwa na shule chache za sekondari leo kila kona kuna shule. Mtakuja na hoja hakuna walimu, vifaa nk kumbukeni Roma haikujengwa siku moja hivyo mambo yalikuwa yanakwenda kwa awamu huwezi ukaweka walimu bila ya majengo.

Utendaji wa kazi wa Lowasa ulikuwa mzuri sana I wish aje awe rais wa JMT itaibadili nchi tuache majungu jamani Tanzania needs Lowasa more than before
Reply With Quote
  #93  
Old 19th November 2008, 01:50 PM
jmushi1's Avatar
jmushi1 jmushi1 is offline
jmushi1 Is Stronger n' Higher
JF Premium Member
Points: 734,237, Level: 100 Points: 734,237, Level: 100 Points: 734,237, Level: 100
Activity: 13% Activity: 13% Activity: 13%
 
Join Date: Fri Nov 2007
Posts: 6,602
Thanks: 581
Thanked 370 Times in 220 Posts
Rep Power: 76
jmushi1 is a jewel in the roughjmushi1 is a jewel in the roughjmushi1 is a jewel in the roughjmushi1 is a jewel in the roughjmushi1 is a jewel in the roughjmushi1 is a jewel in the roughjmushi1 is a jewel in the roughjmushi1 is a jewel in the roughjmushi1 is a jewel in the roughjmushi1 is a jewel in the roughjmushi1 is a jewel in the rough
Default Re: Kampeni ya magazeti mapya ya Karamagi & Co. Dhidi ya JK

Quote:
View Post
Majungu tu yanawawasumbua Lowasa ni mchapakazi Mwakyembe and his coy wataingia ktk historia kama political mercenaries kwa kupika jungu lilopelekea kujiuzulu kwa Eddo. Hii ni ajali ya kisiasa na I can tell u Edo atarudi tena very strongly bwathc this space. Tanzania inahitaji kiongozi kama Lowasa mchapakazi na dikteta kidogo waulize watu wa mikoa ya pwani wanamshukuru sana huyu jamaa kuna wilaya ( not alone kata ) zilikuwa na shule chache za sekondari leo kila kona kuna shule. Mtakuja na hoja hakuna walimu, vifaa nk kumbukeni Roma haikujengwa siku moja hivyo mambo yalikuwa yanakwenda kwa awamu huwezi ukaweka walimu bila ya majengo.

Utendaji wa kazi wa Lowasa ulikuwa mzuri sana I wish aje awe rais wa JMT itaibadili nchi tuache majungu jamani Tanzania needs Lowasa more than before
Mkuu Kanda2...Hii ni kanda ya pili ama ni kanda upande wa pili?
Ama ni malapa tu?
__________________
Res Ipsa Loquitur- "Our POVERTY is the EVIDENCE to the NEGLIGENCE of OURLEADERS" The facts speaks for themselves.
Reply With Quote
  #94  
Old 19th November 2008, 02:01 PM
Tujisenti Tujisenti is offline
Tujisenti has no status.
JF Senior Expert Member
Points: 121,323, Level: 100 Points: 121,323, Level: 100 Points: 121,323, Level: 100
Activity: 2% Activity: 2% Activity: 2%
 
Join Date: Wed May 2008
Posts: 272
Thanks: 0
Thanked 7 Times in 6 Posts
Rep Power: 22
Tujisenti will become famous soon enoughTujisenti will become famous soon enoughTujisenti will become famous soon enoughTujisenti will become famous soon enoughTujisenti will become famous soon enoughTujisenti will become famous soon enoughTujisenti will become famous soon enoughTujisenti will become famous soon enough
Exclamation Re: Kampeni ya magazeti mapya ya Karamagi & Co. Dhidi ya JK

Quote:
View Post
Majungu tu yanawawasumbua Lowasa ni mchapakazi Mwakyembe and his coy wataingia ktk historia kama political mercenaries kwa kupika jungu lilopelekea kujiuzulu kwa Eddo. Hii ni ajali ya kisiasa na I can tell u Edo atarudi tena very strongly bwathc this space. Tanzania inahitaji kiongozi kama Lowasa mchapakazi na dikteta kidogo waulize watu wa mikoa ya pwani wanamshukuru sana huyu jamaa kuna wilaya ( not alone kata ) zilikuwa na shule chache za sekondari leo kila kona kuna shule. Mtakuja na hoja hakuna walimu, vifaa nk kumbukeni Roma haikujengwa siku moja hivyo mambo yalikuwa yanakwenda kwa awamu huwezi ukaweka walimu bila ya majengo.

Utendaji wa kazi wa Lowasa ulikuwa mzuri sana I wish aje awe rais wa JMT itaibadili nchi tuache majungu jamani Tanzania needs Lowasa more than before
Kanda 2 have your head checked nafikiri you are not all there!
Reply With Quote
  #95  
Old 19th November 2008, 02:11 PM
Gottee Gottee is offline
Gottee has no status.
Senior Member
Points: 116,164, Level: 100 Points: 116,164, Level: 100 Points: 116,164, Level: 100
Activity: 1% Activity: 1% Activity: 1%
 
Join Date: Sun Sep 2008
Posts: 107
Thanks: 7
Thanked 9 Times in 6 Posts
Rep Power: 22
Gottee will become famous soon enoughGottee will become famous soon enoughGottee will become famous soon enoughGottee will become famous soon enoughGottee will become famous soon enoughGottee will become famous soon enoughGottee will become famous soon enoughGottee will become famous soon enough
Default Re: Kampeni ya magazeti mapya ya Karamagi & Co. Dhidi ya JK

Quote:
View Post
Majungu tu yanawawasumbua Lowasa ni mchapakazi Mwakyembe and his coy wataingia ktk historia kama political mercenaries kwa kupika jungu lilopelekea kujiuzulu kwa Eddo. Hii ni ajali ya kisiasa na I can tell u Edo atarudi tena very strongly bwathc this space. Tanzania inahitaji kiongozi kama Lowasa mchapakazi na dikteta kidogo waulize watu wa mikoa ya pwani wanamshukuru sana huyu jamaa kuna wilaya ( not alone kata ) zilikuwa na shule chache za sekondari leo kila kona kuna shule. Mtakuja na hoja hakuna walimu, vifaa nk kumbukeni Roma haikujengwa siku moja hivyo mambo yalikuwa yanakwenda kwa awamu huwezi ukaweka walimu bila ya majengo.

Utendaji wa kazi wa Lowasa ulikuwa mzuri sana I wish aje awe rais wa JMT itaibadili nchi tuache majungu jamani Tanzania needs Lowasa more than before
Mhhh! Mi nadhani kwa uchapakazi wake na utanashati wake kazi ambayo ingemfaa ni ile tunayoiona kwenye ile thread ya mapicha kibao ya 'Walinzi Mbalimbali wa Viongozi' angevua ile miwani yake myeupe na kuvaa myeusi halafu akapewa na kile kibegi cheusi angependeza sana. Wakuu Icadon/Ogah mnasemaje? Otherwise keep it up Hon. Serukamba!
Reply With Quote
  #96  
Old 19th November 2008, 03:25 PM
DDT DDT is offline
DDT has no status.
Member
Points: 59,897, Level: 100 Points: 59,897, Level: 100 Points: 59,897, Level: 100
Activity: 0% Activity: 0% Activity: 0%
 
Join Date: Mon Nov 2008
Posts: 44
Thanks: 0
Thanked 1 Time in 1 Post
Rep Power: 0
DDT will become famous soon enoughDDT will become famous soon enoughDDT will become famous soon enoughDDT will become famous soon enoughDDT will become famous soon enoughDDT will become famous soon enoughDDT will become famous soon enoughDDT will become famous soon enough
Default Re: Kampeni ya magazeti mapya ya Karamagi & Co. Dhidi ya JK

Nadhani watanzania wengi wana magonjwa ya milango ya fahamu hawaoni, hawasikii, hawahisi, hawanusi...mtu anasimama na nanihii zake kumsifia Lowassa of all the people... Kuna wachangiaji ha JF hakuna hata haja ya kuwaaandika kwenye post yangu maana naweza kuunguza vidole
__________________
...keep your eye on the prize, dont blink!
Reply With Quote
  #97  
Old 19th November 2008, 04:19 PM
Netanyahu's Avatar
Netanyahu Netanyahu is offline
Netanyahu has no status.
Senior Member
Points: 134,000, Level: 100 Points: 134,000, Level: 100 Points: 134,000, Level: 100
Activity: 0% Activity: 0% Activity: 0%
 
Join Date: Thu Oct 2008
Posts: 147
Thanks: 0
Thanked 3 Times in 1 Post
Rep Power: 22
Netanyahu will become famous soon enoughNetanyahu will become famous soon enoughNetanyahu will become famous soon enoughNetanyahu will become famous soon enoughNetanyahu will become famous soon enoughNetanyahu will become famous soon enoughNetanyahu will become famous soon enoughNetanyahu will become famous soon enough
Default Re: Kampeni ya magazeti mapya ya Karamagi & Co. Dhidi ya JK

Quote:
View Post
. Tanzania inahitaji kiongozi kama Lowasa mchapakazi na dikteta kidogo waulize watu wa mikoa ya pwani wanamshukuru sana huyu jamaa kuna wilaya ( not alone kata ) zilikuwa na shule chache za sekondari leo kila kona kuna shule. Mtakuja na hoja hakuna walimu, vifaa nk kumbukeni Roma haikujengwa siku moja hivyo mambo yalikuwa yanakwenda kwa awamu huwezi ukaweka walimu bila ya majengo.

Utendaji wa kazi wa Lowasa ulikuwa mzuri sana I wish aje awe rais wa JMT itaibadili nchi tuache majungu jamani Tanzania needs Lowasa more than before
Hizo shule alizoamuru zijengwe kumejaa ufisadi mwingine.Wananchi maskini wanalalamika kuwa aliwachangisha watu maskini kuzijenga wakati akiwaibia mamilioni kupitia mradi wa Richmond .Angekuwa alifanya jambo la maana kama zile hela za mradi fisadi wa Richmond angezichukua akajengee hizo shule zinazoitwa za Lowasa badala ya kuwachangisha kwa nguvu wananchi maskini wakati yeye hachangii kitu zaidi ya kupiga domo la kujifanya mhamasishaji wa ujenzi wa shule huku akiwaibia mamilioni kupitia Richmond.

Pili maeneo ya zilikojengwa baadhi ya hizo shule ununuzi wa viwanja vya kujengea hizo shule pia ulifurika ufisadi ambao bila shaka anaujua vizuri kama alihusika au hakuhusika.

Tatu jinsi baadhi ya makontractor wa ujenzi wa hizo shule unazozisifia walivyopatikana na walivyotekeleza huo ujenzi wa hayo mashule ni ufisadi mwingine awamu nyingine ambao ana taarifa za kina kama alikuwemo au hakuwemo.

Kwa ufupi 2010 kama atathubutu hata kuchukua fomu ya ubunge ataijua kuwa Tanzania haina watu waliolala kama anavyowaza.Na atajua kuwa kuna akina Mwakyembe wengi katika nchi hii.Huyo Mwakyembe anayemjua mbona ni cha mtoto akina Mwakyembe wenyewe original atakutana nao 2010.
Reply With Quote
  #98  
Old 19th November 2008, 05:44 PM
Mrefu Mrefu is offline
Mrefu has no status.
Member
Points: 78,605, Level: 100 Points: 78,605, Level: 100 Points: 78,605, Level: 100
Activity: 0% Activity: 0% Activity: 0%
 
Join Date: Fri Feb 2007
Posts: 22
Thanks: 0
Thanked 0 Times in 0 Posts
Rep Power: 0
Mrefu will become famous soon enoughMrefu will become famous soon enoughMrefu will become famous soon enoughMrefu will become famous soon enoughMrefu will become famous soon enoughMrefu will become famous soon enoughMrefu will become famous soon enoughMrefu will become famous soon enough
Default Re: Kampeni ya magazeti mapya ya Karamagi & Co. Dhidi ya JK

Quote:
View Post

....lowassa huwezi kumfananisha na pinda au kikwete kama unaongelea UTENDAJI....pamoja na kuwa hatufai.............LOWASSA ni aina ya watu wanaosimamia kile kilichoamuliwa au anachoamini...THATS WHY ALIWEZA KUTEKELEZA AJENDA ZAKE HARAKA HARAKA.....akaweza kujenga shule kila kijiji akisimamia yeye na watendaji wake.....PINDA hajaweza kuendelea na ile kazi na shule nyingi zimesimama kama si kubakia magofu.....alitakiwa aaze mradi wa zahanati kila kata kwa kushirikisha wananchi ...lakini kimya.....so ...MNYONGE MNYONGENI ...SIFA YAKE MPENI!!!!

..............MKIMCHUKIA MTU ..IGENI HATA MAZURI YAKE....LOWASAA HAFAI LAKINI ANAYO MAZURI YAKE....NA PENGO LAKE SERIKALINI NI DHAHIRI.....KIKWETE ALIHITAJI WAZIRI MKUU AINA YA LOWASSA LAKINI ASIWE FISADI....SAS TUSAIDIANE NANI HAPO ANGEFAAAAAAA????.....MAGUFULI??....AU NANI???

.....HAPA JUZI KULITOKEA HITILAFU YA UMEME ....PINDA ALIJIKAUSHA KAMA HAHUSIKI...NADHANI ALIKUWA ANAOGOPA RICHMOND NYINGINE......KIONGOZI HATAKIWI KUOGOPA OUTCOMES!!!...HATA WAZIRI WA NISHATI NGELEJA...ALIJIKAUSHA SANA ....KWENYE HILI TATIZO LA JUZI...NDIO KWANZA ALIENDA TARIME.........BASI TU ILIKUWA BAHATI LIKAISHA .....TUNA VIONGOZI WAOGA???
Well said PM, tatizo ni kwamba watanzania wengi hatuna 'independent thinking' katika maswala mengi, hasa ya kisiasa, we tend to go with the so called 'mob psychology' It is an obvious fact kwamba ukimfanyia Lowassa a perfomance appraisal, utagundua kwamba he was a much better performer kumpita kwa kiwango kikubwa sana mrithi wake, Pinda!! Tatizo la Lowassa ni kashfa nyingi alizonazo za ufisadi! ni ukweli uliowazi kwamba serikali sasa imepwaya sana baada Lowassa kutoka...angalia tu mfano wa tatizo la walimu, where is Pinda? mbona hatumsikii kabisa kwenye hili swala nyeti kabisa? he seems to be in a deep comma!! i bet if it were during Lowassa's time, hili tatizo lingesha shughulikiwa mapema sana. Tatizo kubwa la Lowassa kama nilivyosema ni kashfa nyingi za ufisadi, otherwise ni mtendaji mahiri sana, and whether we like him or not...kwa ufisadi mnyongeni...lakini kwa utendaji mpeni sifa yake.
Reply With Quote
  #99  
Old 19th November 2008, 06:05 PM
Mrefu Mrefu is offline
Mrefu has no status.
Member
Points: 78,605, Level: 100 Points: 78,605, Level: 100 Points: 78,605, Level: 100
Activity: 0% Activity: 0% Activity: 0%
 
Join Date: Fri Feb 2007
Posts: 22
Thanks: 0
Thanked 0 Times in 0 Posts
Rep Power: 0
Mrefu will become famous soon enoughMrefu will become famous soon enoughMrefu will become famous soon enoughMrefu will become famous soon enoughMrefu will become famous soon enoughMrefu will become famous soon enoughMrefu will become famous soon enoughMrefu will become famous soon enough
Default Re: Kampeni ya magazeti mapya ya Karamagi & Co. Dhidi ya JK

[QUOTE=Netanyahu;324513
[COLOR="Red"]Kwa ufupi 2010 kama atathubutu hata kuchukua fomu ya ubunge ataijua kuwa Tanzania haina watu waliolala kama anavyowaza.Na atajua kuwa kuna akina Mwakyembe wengi katika nchi hii.Huyo Mwakyembe anayemjua mbona ni cha mtoto akina Mwakyembe wenyewe original atakutana nao 2010.[/[/COLOR]QUOTE]

Netanyahu,

Mchango wa Lowassa kwenye jimbo lake la Monduli ni mkubwa sana kiasi kwamba kipindi kilichopita, hakupata mpinzani...alipita bila kupingwa! Vile vile katika uchaguzi ujao 2010, kutokana na maendeleo aliyopeleka, na mchango wake mzuri katika jimbo lake, atapita bila kupingwa! labda aamue mwenyewe kutosimama!
Reply With Quote
  #100  
Old 19th November 2008, 10:15 PM
Phillemon Mikael Phillemon Mikael is offline
Phillemon Mikael has no status.
JF Premium Member
Points: 645,130, Level: 100 Points: 645,130, Level: 100 Points: 645,130, Level: 100
Activity: 2% Activity: 2% Activity: 2%
 
Join Date: Sun Nov 2006
Location: mwanza,/uk/santa clara
Posts: 3,017
Thanks: 23
Thanked 333 Times in 154 Posts
Rep Power: 30
Phillemon Mikael will become famous soon enoughPhillemon Mikael will become famous soon enoughPhillemon Mikael will become famous soon enoughPhillemon Mikael will become famous soon enoughPhillemon Mikael will become famous soon enoughPhillemon Mikael will become famous soon enoughPhillemon Mikael will become famous soon enoughPhillemon Mikael will become famous soon enough
Default Re: Kampeni ya magazeti mapya ya Karamagi & Co. Dhidi ya JK

Quote:
View Post
Huyu jamaa kaponzwa na hamu ya kuweka rekodi ya pm machapakazi kuliko wote, hicho ndicho kilichomuumiza wakuu, sidhani richmond yeye ndiye muasisi, mwakyembe na wenzake watuambie ukweli sasa juu ya lowasa au yale waliyoyaficha makabatini.

Maana todate makatibu wakuu na makamishina wale bado wapo wanakula ktk payrol yetu!!!!

Lowasa ni scape goat, na hili halihitaji usanii kuling'amua.

...nadhani kujiuzulu kwa lowassa hatuwezi kumlaumu wala kumsifu mwakiembe na seleliiiii.....kuna watu behind the scene ...ambao kama wananchi wanataka kuwapa repspect kwa ushauri mzuri wanaweza...

...mtu yoyote anaweza kulikubali hili au kulikataa.....take sides freely...WAGANGA WA KIENYEJI WA RAIS ndio chachu kubwa ya kumlainisha aamue kumtosa rafiki yake......wataalamu walipiga toboa toboa wakawa wanaona eddo anamfunika ...wakamuambia huyu atakuletea matatizo 2010,kamba siku zote hukatikia pembamba..lilipokuja suala la richmond kikwete akakatia hapo hapo.....

katika hali ya kawaida ukweli ni kuwa lowassa angeendelea kupeta .....kama sio msaada wa wataalamu.........
__________________
Reply With Quote
Reply

Bookmarks

Tags
dhidi, jk, kampeni, karamagi, magazeti, mapya

Currently Active Users Viewing This Thread: 1 (0 members and 1 guests)
 
Thread Tools
Display Modes Rate This Thread
Rate This Thread:

Posting Rules
You may not post new threads
You may not post replies
You may not post attachments
You may not edit your posts

BB code is On
Smilies are On
[IMG] code is On
HTML code is Off
Trackbacks are Off
Pingbacks are Off
Refbacks are On

Similar Threads
Thread Thread Starter Forum Replies Last Post
Lazima tuwekane sawa kuhusu UKIMWI Shy JF Doctor 139 18th June 2009 02:00 PM
Karamagi na wanasheria wake watupiana mpira kuhusu tuhuma za ufisadi. Lawson Jukwaa la Siasa 4 12th November 2007 10:12 AM
Kampeni dhidi ya Mkapa asishinde Tuzo ya uongozi bora Mwafrika wa Kike Celebrities Forum 127 23rd October 2007 12:54 PM
Karamagi anasafiri na mihuri yetu? Bubu Ataka Kusema Jukwaa la Siasa 13 20th August 2007 09:19 PM

Tuma Ukurasa huu kwa rafiki yako!

All times are GMT +3. The time now is 12:53 PM.

Powered by JamiiForums.com
Copyrights reserved to JamiiForums.com