Mbona kimya hatupati taarifa zozote kuhusu huyu Mheshimiwa? Yaani mkuu bado anafikiria au maamuzi yameshafanyika. Isije ikawa anatafutiwa sehemu ya kwenda kuwa Balozi-Kuiwakilisha TZ Maana TZ bwana
Mbona kimya hatupati taarifa zozote kuhusu huyu Mheshimiwa? Yaani mkuu bado anafikiria au maamuzi yameshafanyika. Isije ikawa anatafutiwa sehemu ya kwenda kuwa Balozi-Kuiwakilisha TZ Maana TZ bwana
If you see me from a distance it is because I have stood on top of elphant's back
Balozi wa Tanzania Nchini Ukraine.
Miili ya waliokufa katika ajali ya Meli ya Spice Islander ipimwe DNA ili kutambua Ndugu zao - Dk. Jakaya .M. Kikwete,, September 2011.
Mkulu wa kaya ana wasiwasi gani na anamalizia kipindi chake cha mwisho kama ni kweli, anawamaliza magamba mchana kweupee bila chenga na kazi yao itakuwa kubwa sana uchaguzi ujao.
Kimya kingi kina mshindo mkubwa, utasikikia ni mkuu wa mkoa hii mipya from ukatibu mkuu ili mpunguze jazba kwa kuona kalamba demosheni kumbe bado yuko ndani ya system
Upepo umehamia kwe posho. CCM kweli noma.
lkn umri wake umeenda inawezekana tayari kastaafu
JK has no guts to demote Jairo not to mention dismissing him. Jairo is purpoted to have been in possession of many state secrets and he has played vital role in putting JK into power in both of previous elections. His close association to JK was consolidated during 2010 elections when he actively colluded with TISS to print phantom ballot papers in a large-scale plot to rig the vote in favour of Kikwete. Given this loyal affiliation between the two, one may anticipate how hesitant JK might be as regards execution of recommended punitive measures against his confidant Jairo.
Atapewa barua ya kustaafu na marupurupu stahili yake yoote ........ila hatafukuzwa wala kushitakiwa!!
Bunge halijui lifanyaro halina uwezo wa kuhoji zaidi ya hapo
IT IS TO THOSE WITHOUT TEETH GOD GIVES MEAT
ndo mambo ya ccm. wanajifanya wala hawamkumbuki. mpaka tena mtu ajitokeze, aibue tena iyo hoja.
jamani CCM noma lakini ngoja chakula kinapikwa bado hakijaaivya vizuri
Asante kwa kunifumbua macho mwita25 au leo nikuuite mzee wa u ng'eng'e, kama ndivyo basi kazi watz tunayo maana kila fisadi kaplay postive role fulani in favour of mkulu, hapa hakuna wa kuwajibishwa wala kuwajibisha, tuandike maumivu mpaka hii rijim yoote itakapozeeka na kufa kabisaaaaaaaa, eeee Mungu wa rehema tunusuru basi sisi waja wako watz
JANA SI NIMEKOSEA BOMA NIKAINGIA KWA MAMA MKWE, IMELEWA SANA JANA. CHIBOROIKWE IMECHOOOOKA SANA LEO!!
Watamfanya nini Jairo,AMETHUBUTU,AMEWEZA NA ANASONGA MBELE!!
Follow Us Here