Anne Makinda: Spika wangu wa bunge la Tanzania nakushukuru kwa elimu yako!
Wanabodi,
Wakati mwingine ni vyema kumsoma mtu maneno yake vizuri! Sintasahau maneno haya kutoka kwa Spika wangu, "Kwamba mbunge anakatwa mkopo laki nani, Sh. 800,000/-" hivyo "take home" yake inakuwa ndogo, ati hiki kilikuwa pia kigezo cha kuomba posho ziongezwe.
Somo kubwa hapa:
Kila ambaye ana mkopo kwenye mshahara wake atumie kama kigezo kuongezewa mshahara zaidi: Maajabu ya Dunia ambayo ni mara yangu ya kwanza kuyaelewa.
Kwa maana nyingine kila ukikopa hiyo ni motivation ya kuongezewa mshahara ili "take home" yako inone. La haula.....
re: Anne Makinda: Spika wangu wa bunge la Tanzania nakushukuru kwa elimu yako!
Huyu mama ni wa kumsamehe tu. Hajawahi kuolewa tangu aingia usichana wake na mchumba wake aliahirisha mipango ya kumuoa baada yu kugundua kamama kanashiriki kwenye vitendo vya kishirikana. Nakumbuka kalikuwa kanamuwekea jamaa utumbo wa konokono kwenye maji ya kuoga ili eti kaendelee kupendwa. No wonder kalikataa kutumia kiti ambacho alikuwa anatumia spika Sitta na kakadai kubadilishiwa na kupewa kipya.

By Mwita25

teh teh teh teh......!mmmmmnnnh! Jamani kuna mambo humu. Asente kwa kiminyio bwana.

Inaelekea alikuwa mtu wako wa karibu sana. Au ni wewe uliyekuwa mume mtarajiwa?
Huyu mama ni wa kumsamehe tu. Hajawahi kuolewa tangu aingia usichana wake na mchumba wake aliahirisha mipango ya kumuoa baada yu kugundua kamama kanashiriki kwenye vitendo vya kishirikana. Nakumbuka kalikuwa kanamuwekea jamaa utumbo wa konokono kwenye maji ya kuoga ili eti kaendelee kupendwa. No wonder kalikataa kutumia kiti ambacho alikuwa anatumia spika Sitta na kakadai kubadilishiwa na kupewa kipya.
Mkuu hivi ni wewe kweli ama kuna mtu kaandika badala yako? Kama ni wewe basi naanza kuona mwanga wa neema ya mabadiliko ya kweli kwa mbaaaaaliiiii...
Huyu mama ni wa kumsamehe tu. Hajawahi kuolewa tangu aingia usichana wake na mchumba wake aliahirisha mipango ya kumuoa baada yu kugundua kamama kanashiriki kwenye vitendo vya kishirikana. Nakumbuka kalikuwa kanamuwekea jamaa utumbo wa konokono kwenye maji ya kuoga ili eti kaendelee kupendwa. No wonder kalikataa kutumia kiti ambacho alikuwa anatumia spika Sitta na kakadai kubadilishiwa na kupewa kipya.
Mwita25???Kweli ngozi ya kondoo kumbe ndani .......
Re: Anne Makinda: Spika wangu wa bunge la Tanzania nakushukuru kwa elimu yako!
Mkuu Kasheshe,
Sijakuona siku nyingi sana, salama lakini? Mpaka na wewe umesema basi hapa naona Mama kachemsha sana maana justification yake hai-make sense hata kwa mtoto mdogo.
Sehemu zote ambazo nimeishawahi kufanya kazi, mfanyakazi huwa haruhusiwi kukopa mpaka take home yake iwe less than one-third ya basic salary yake. Sasa kwanini waheshimiwa wanaruhusiwa kukopa mpaka take home inakuwa ndogo?
CCM walifanya kosa kubwa sana kumuweka huyo mama kwenye hiyo nafasi, nadhani watakuwa wanajuta kwanini walimuweka. Hili swala la posho litawazingua sana wana CCM na kuzidi kuwagawa zaidi, na chuki ya wapiga kura ndo inazidi kuongezeka!
Re: Anne Makinda: Spika wangu wa bunge la Tanzania nakushukuru kwa elimu yako!
By Mwita25
Huyu mama ni wa kumsamehe tu. Hajawahi kuolewa tangu aingia usichana wake na mchumba wake aliahirisha mipango ya kumuoa baada yu kugundua kamama kanashiriki kwenye vitendo vya kishirikana. Nakumbuka kalikuwa kanamuwekea jamaa utumbo wa konokono kwenye maji ya kuoga ili eti kaendelee kupendwa. No wonder kalikataa kutumia kiti ambacho alikuwa anatumia spika Sitta na kakadai kubadilishiwa na kupewa kipya.
Duh!!!!!!
For the Holy Quran says in Sura 42, verse 41: 'All those who fight when oppressed incur no guilt, but Allah shall punish the oppressor, Come the day.
Follow Us Here