Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Anne Makinda: Spika wangu wa bunge la Tanzania nakushukuru kwa elimu yako!

    Report Post
    Page 2 of 2 FirstFirst 12
    Results 21 to 23 of 23
    1. #1
      Kasheshe's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th June 2007
      Location : Bububu
      Posts : 3,547
      Rep Power : 1330
      Likes Received
      165
      Likes Given
      279

      Default Anne Makinda: Spika wangu wa bunge la Tanzania nakushukuru kwa elimu yako!

      Wanabodi,

      Wakati mwingine ni vyema kumsoma mtu maneno yake vizuri! Sintasahau maneno haya kutoka kwa Spika wangu, "Kwamba mbunge anakatwa mkopo laki nani, Sh. 800,000/-" hivyo "take home" yake inakuwa ndogo, ati hiki kilikuwa pia kigezo cha kuomba posho ziongezwe.

      Somo kubwa hapa:

      Kila ambaye ana mkopo kwenye mshahara wake atumie kama kigezo kuongezewa mshahara zaidi: Maajabu ya Dunia ambayo ni mara yangu ya kwanza kuyaelewa.

      Kwa maana nyingine kila ukikopa hiyo ni motivation ya kuongezewa mshahara ili "take home" yako inone. La haula.....

      Walimu mpo? maktari mpo?

    2. FemaTV & Radio

    3. #21
      FairPlayer's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th February 2006
      Location : UK
      Posts : 4,383
      Rep Power : 1551
      Likes Received
      456
      Likes Given
      205

      Default Re: Anne Makinda: Spika wangu wa bunge la Tanzania nakushukuru kwa elimu yako!

      Sometimes we need a kind of leaders like mama Makinda. Just to rubber stamp our decisions.

      If you have all NO leaders you cant run the govt.
      A positive thinker!

    4. #22
      FairPlayer's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th February 2006
      Location : UK
      Posts : 4,383
      Rep Power : 1551
      Likes Received
      456
      Likes Given
      205

      Default Re: Anne Makinda: Spika wangu wa bunge la Tanzania nakushukuru kwa elimu yako!

      Quote By Mwita25
      Huyu mama ni wa kumsamehe tu. Hajawahi kuolewa tangu aingia usichana wake na mchumba wake aliahirisha mipango ya kumuoa baada yu kugundua kamama kanashiriki kwenye vitendo vya kishirikana. Nakumbuka kalikuwa kanamuwekea jamaa utumbo wa konokono kwenye maji ya kuoga ili eti kaendelee kupendwa. No wonder kalikataa kutumia kiti ambacho alikuwa anatumia spika Sitta na kakadai kubadilishiwa na kupewa kipya.
      Kama sio wewe basi ni mtu wa karibu sana ili uweze kujua hayo.

      Kasheshe, Makinda ni Makinda SI unit ya uchemfu
      A positive thinker!

    5. #23
      Kasheshe's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th June 2007
      Location : Bububu
      Posts : 3,547
      Rep Power : 1330
      Likes Received
      165
      Likes Given
      279

      Default Re: Anne Makinda: Spika wangu wa bunge la Tanzania nakushukuru kwa elimu yako!

      Quote By Keil
      Mkuu Kasheshe,

      Sijakuona siku nyingi sana, salama lakini?
      Nipo mkuu kama mtazamaji zaidi, siku hizi vijana wameshika hatamu, matusi kwenda mbele hoja hatujadili kwa umakini tuliozoea tena... hilo ndio tatizo tu.

      Otherwise nachungulia kuona kama kuna la kujadili ama lah!

    6. Miaka 50
    Page 2 of 2 FirstFirst 12

    Similar Topics

    1. Spika wa bunge (Anne Makinda) akiri posho kuongezwa!
      By EasyFit in forum Jukwaa la Siasa
      Replies: 364
      Last Post: 7th December 2011, 20:17
    2. Wabunge kumng'oa Spika Anne Makinda?
      By AMARIDONG in forum Jukwaa la Siasa
      Replies: 63
      Last Post: 23rd June 2011, 18:05
    3. Naomba kujua CV ya Spika wa Bunge la MuunganoTanzania (Bi Anne Makinda)
      By Barubaru in forum Habari na Hoja mchanganyiko
      Replies: 3
      Last Post: 15th June 2011, 12:56
    4. Je,uchaguzi wa spika anne makinda ulichakachuliwa?
      By makoye2009 in forum Tanzania 2010-2015
      Replies: 1
      Last Post: 15th November 2010, 09:51
    5. Replies: 12
      Last Post: 14th November 2010, 18:37

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...