Wakuu kabla ya mkutano wa NEC Nape alikuwa active sana katika vyombo vya habari na mitandao ya Jamii, sasa hasikiki! Amezibwa mdomo?
Wakuu kabla ya mkutano wa NEC Nape alikuwa active sana katika vyombo vya habari na mitandao ya Jamii, sasa hasikiki! Amezibwa mdomo?
naona kaishiwa sera mkuu anajipanga tena.
Atakuja kusema nini wakati sera ya ccm na dhana ya kujivua gamba imemgeuka. EL aliyetuhumiwa sana na Nape kuwa ni Fisadi sasa yupo kwenye chat. EL anasisitiza mafisadi washughulikiwe!
Sasa hivi yupo dillema maana amegundua CCM haimtaki na ndani ya familia ya Baba yake pia walimtenga kwenye kumbukumbu ya kifo cha Baba yake. Kama mtakumbuka kwenye lile tangazo la kumbukumbu kwenye blog ya issamichuzi jina la Nape Nnauye halikutajwa kama ni sehemu ya watoto wa marehemu.
Kwenye conference juzu na journalist aliwaambia kwamba atakua kimya kwa mda mpaka wamalize kuandika afu atawajibu once...!! hahahaa hizi sio dalili nzuri at all...! lets wait and see...
Amezibwa mdomo!
Wana-Jukwaa, now inatosha kuongea habari za MAGAMBA (domokaya nape, mwizi lowasa, mnafiki mukama, zero brain JK). Ifike wakati tuongee national development, how we can make next step (hata kwa mass movement). Pls lets talk forward movement!
Nilimsikia nikacheka kweli eti vyombo vya habari viendelee kuandika story zao zote wakimaliza wamjulishe kuwa wamemaliza ili aje kujibu ni kajua Nape anazidi kuchanganyikiwa yaani magazeti yaende ya karipoti kuwa tumemaliza kuandika tujibu, kwani yyana wajibika kwake.............Kwa hiyo kama waandishi hawata mfata kumjulisha kuwa wamemaliza kuandka story ina husu Nape na CCM(Magamba) hamtomsikia wala kumuona Nape akijibu vyombo vya habari.........
ila simwamini huyu jamaa naweza kukanusha hajasema haya maneno..............hahahaha
EL alivyoalikwa kanisani Singida alisema ameshinda vita! Ukiona mtu aliyeanza kwa kasi halafu ghafla baada ya tukio fulani anakaa kimya, ujue ni kweli ameshindwa!
Kamanda wa Polisi Jamii - Kanda Maalumu
anaumwa ugonjwa wa ngozi kutokana na madawa ya kujchbua anayotumia.. So dokta wake kamshauri asitoke nje mara kwa mara ilikukwepa athari za jua.
Samahani wakuu nauliza, hivi Nape ndio nani ?
Hekima ni Busara, PAW
Ficha Upumbavu wako; Usiifiche Hekima yako!
Kuwa na Busara
CCM to me is like al Qaeda or al Shabaab, terrorize the nation and his people.CCM is an organization of thug regime lead by criminal and corrupt, put in power by NEC
yupo likizo
Tehe tehe tehee Nape bwana!!!!mnafikiri EL mchezo yule ndio mwenye CCM nape ni houseboy tu.
Sasa hivi hata humu jamvini hakanyagi kabisa yupo busy na FaceBook wall yake anaipost ----- almost kila siku!
Huwezi ukapambana na lowasa ukabaki salama,mpaka jkey analijua hilo.Jk naye ameshaanza kuonyesha fitina za waziwazi,itakuwaje kumyima nishani El na kuwapa wazembe kama makinda.Ni wivu usiokuwa na maana baada ya kuhusishwa kwake na richmond na kuona ngoma inahamia kwake
Follow Us Here