JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Spika wa bunge akiri uwezo wa CHADEMA

  Report Post
  Page 2 of 2 FirstFirst 12
  Results 21 to 40 of 40
  1. Izack Mwanahapa's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st April 2011
   Location : Mwanza
   Posts : 455
   Rep Power : 548
   Likes Received
   209
   Likes Given
   123

   Default Spika wa bunge akiri uwezo wa CHADEMA

   Spika wa Bunge la Jamuhuri wa muungano wa Tanzania amekiri uwezo walionao wabunge wa CHADEMA. Ameyasema hayo mara baada ya kupitishwa kwa mswada wa katiba mchana huu kwa kusema kuwa, "wabunge wa chadema hawajaitumia haki yao ya kuchangia mswada huu, nilittegemea mswada huu usingeisha leo, ungekaa wiki nzima kutokana na amendments ambazo wangeziwasilisha"

   Hii ina maana kwamba mswada umepitishwa leo kutokana na wabunge walioshiriki mjadala ambao ni zaidi ya 300 kutotoa amendments za kutosha, hivyo kukosekana kwa mchango wa wabunge wa CDM kumedhoofisha maboresho ya mswada huo.
   Last edited by Izack Mwanahapa; 18th November 2011 at 13:28. Reason: Misspelling
   Speaker, Josephine and Petiro like this.

  2. SILENT WHISPER's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 26th June 2009
   Location : MAGAMBA CITY
   Posts : 2,117
   Rep Power : 274569
   Likes Received
   653
   Likes Given
   195

   Default Re: Spika wa bunge akiri uwezo wa chadema

   Nilitaka nimtukane kuwa yeye ni FWALA...KAMA WIGI LAKE...! ila ngoja nikae kimya..!

  3. jigoku's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 9th September 2011
   Posts : 2,049
   Rep Power : 1170
   Likes Received
   498
   Likes Given
   555

   Default Re: Spika wa bunge akiri uwezo wa chadema

   Nilipata hasira nikatoka nje na sikuweza tena kuendelea kuangalia bunge,maana kila ninapofikiri jinsi muswaada huu ulivyoendeshwa kibabe kwa kujidai kuwa wana watu wa kuzuia maandamanao kwa kuwa kuna watu wanataka kuandamana,hicho kitu kimenikera sana na kuona kumba ni ubabe tu. Na kwa kauli za kina Lusinde hii ni tatizo kwa taifa,tena ni janga la kitaifa.

   Naomba nasi tuendelee kupashana habari ili nasi tupate cha kutoka nacho maana hawa wenzetu wamepitisha muswada. Na huyu mama Makinda ni very dangerous ni sehemu ya matatizo kwa watanzania, ila Mungu hajalala

  4. usininukuu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 8th August 2011
   Posts : 382
   Rep Power : 518
   Likes Received
   45
   Likes Given
   128

   Default Re: Spika wa bunge akiri uwezo wa CHADEMA

   Naikataa CCM na mabaya yake yote na mafisadi wake wote. Mswaada haujajadiliwa kwani kilichokuwa kinajaliliwa ni majungu tu.

  5. valid statement's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 18th September 2011
   Posts : 2,563
   Rep Power : 948
   Likes Received
   434
   Likes Given
   7

   Default Re: Spika wa bunge akiri uwezo wa CHADEMA

   sifa ya wanasiasa wa ccm ni unafiki na uongo.

  6. Feedback's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 14th March 2011
   Posts : 5,645
   Rep Power : 7075
   Likes Received
   2760
   Likes Given
   1447

   Default Re: Spika wa bunge akiri uwezo wa CHADEMA

   Quote By Izack mwanahapa View Post
   Spika wa Bunge la Jamuhuri wa muungano wa Tanzania amekiri uwezo walionao wabunge wa CHADEMA. Ameyasema hayo mara baada ya kupitishwa kwa mswada wa katiba mchana huu kwa kusema kuwa, "wabunge wa chadema hawajaitumia haki yao ya kuchangia mswada huu, nilittegemea mswada huu usingeisha leo, ungekaa wiki nzima kutokana na amendments ambazo wangeziwasilisha"

   Hii ina maana kwamba mswada umepitishwa leo kutokana na wabunge walioshiriki mjadala ambao ni zaidi ya 300 kutotoa amendments za kutosha, hivyo kukosekana kwa mchango wa wabunge wa CDM kumedhoofisha maboresho ya mswada huo.
   Kumbe hata wao wanajua wamepitisha kitu feki kitakachowarudi.
   Only in Tanzania

  7. JF SMS Swahili

  8. Bajabiri's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 1st January 2011
   Posts : 9,739
   Rep Power : 2931
   Likes Received
   1122
   Likes Given
   52

   Default

   Quote By valid statement View Post
   sifa ya wanasiasa wa ccm ni unafiki na uongo.
   nakuongezea hizi
   -uwe mshrikina
   -ujulikane sana
   -uwe na Pesa
   -ikiwezekana uwe unamiliki media

  9. Maarko's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 11th April 2011
   Posts : 691
   Rep Power : 597
   Likes Received
   138
   Likes Given
   52

   Default Re: Spika wa bunge akiri uwezo wa CHADEMA

   Hana lolote anajikosha tu huyo,yeye ndiye aliyekataa kutoa ruhusa pale wabunge wa upinzani walipoomba muongozo, huyu Makinda amewekwa hapo na mafisadi, siku zake zitafika atajutia uamuzi wake!

   Halafu mnisaidie: Huyu mama (Makinda)anakipara? Anavaa wigi usiku na mchana anayejua historia ya huyu mama naomba anijulishe tafadhali, toka alipozaliwa hadi hapo alipo leo hii.

  10. Josephine's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 5th September 2010
   Posts : 775
   Rep Power : 794
   Likes Received
   807
   Likes Given
   152

   Default Re: Spika wa bunge akiri uwezo wa CHADEMA

   Quote By Izack mwanahapa View Post
   Spika wa Bunge la Jamuhuri wa muungano wa Tanzania amekiri uwezo walionao wabunge wa CHADEMA. Ameyasema hayo mara baada ya kupitishwa kwa mswada wa katiba mchana huu kwa kusema kuwa, "wabunge wa chadema hawajaitumia haki yao ya kuchangia mswada huu, nilittegemea mswada huu usingeisha leo, ungekaa wiki nzima kutokana na amendments ambazo wangeziwasilisha"

   Hii ina maana kwamba mswada umepitishwa leo kutokana na wabunge walioshiriki mjadala ambao ni zaidi ya 300 kutotoa amendments za kutosha, hivyo kukosekana kwa mchango wa wabunge wa CDM kumedhoofisha maboresho ya mswada huo.

   Ni kweli nimeitambua na kuiona hiyo.Ni haibu.

  11. Moshe Dayan's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 10th February 2008
   Location : haifa-israel
   Posts : 782
   Rep Power : 780
   Likes Received
   487
   Likes Given
   73

   Default

   Quote By Jibaba Bonge View Post
   Mkuu ulimaanisha "Anajikosha tu hana jipya au?
   Ana matatizo ya kutamka hei na echi

  12. Masaki's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 7th March 2006
   Location : Dar es Salaam
   Posts : 3,206
   Rep Power : 1366
   Likes Received
   453
   Likes Given
   1098

   Default Re: Spika wa bunge akiri uwezo wa CHADEMA

   Kama muswada umepita - it's over. Not in our generation will this coutnry prosper! May be in the next generation. Oooh Lord have mercy!
   Ability may get you to the top, but it takes character to keep you there.

  13. #31
   Shapu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 17th January 2008
   Location : Citizen of the World
   Posts : 1,684
   Rep Power : 963
   Likes Received
   220
   Likes Given
   409

   Default Re: Spika wa bunge akiri uwezo wa CHADEMA

   mpuuzi tuu
   "WHEN YOU REFUSE TO GIVE UP COMPETELY, THATS WHEN GOOD THINGS TEND TO HAPPEN! Never give up!" Shapu

  14. #32
   HT's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 29th July 2011
   Location : Tanzania hii hii!
   Posts : 1,906
   Rep Power : 828
   Likes Received
   405
   Likes Given
   196

   Default Re: Spika wa bunge akiri uwezo wa CHADEMA

   mh Spika spika! Unaposema wenzetu una maana uko upande upi?

  15. semundi's Avatar
   Member Array
   Join Date : 8th November 2011
   Posts : 25
   Rep Power : 434
   Likes Received
   2
   Likes Given
   2

   Default Re: Spika wa bunge akiri uwezo wa CHADEMA

   sina huakika kama huyu mamani mzima bt ngoja tumuangakietuone mwisho wake kwan naamin ataishia pabaya

  16. mawazoyangu's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 17th January 2011
   Posts : 145
   Rep Power : 500
   Likes Received
   16
   Likes Given
   144

   Default Re: Spika wa bunge akiri uwezo wa CHADEMA

   Quote By Izack mwanahapa View Post
   Spika wa Bunge la Jamuhuri wa muungano wa Tanzania amekiri uwezo walionao wabunge wa CHADEMA. Ameyasema hayo mara baada ya kupitishwa kwa mswada wa katiba mchana huu kwa kusema kuwa, "wabunge wa chadema hawajaitumia haki yao ya kuchangia mswada huu, nilittegemea mswada huu usingeisha leo, ungekaa wiki nzima kutokana na amendments ambazo wangeziwasilisha"

   Hii ina maana kwamba mswada umepitishwa leo kutokana na wabunge walioshiriki mjadala ambao ni zaidi ya 300 kutotoa amendments za kutosha, hivyo kukosekana kwa mchango wa wabunge wa CDM kumedhoofisha maboresho ya mswada huo.
   huyu mama mzee kwa akili zake za kizee anathubutu kusema hivyo??? anelezea umma kuwa muswada umepita ukiwa na mapungufu kibao ambayo yamepitishwa na magamba na nyumba yake ndogo (CUF), bila kufanya amendments za kujenga jamiii. Huyu mbibi ni mp........... kweli. Au anajikosha kwa CDM? yeye toka mwanzo alikuwa upande wa magamba. nikiendelea nitatukana bure wakati nimeungama leo sitaki dhambi

  17. ndyoko's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd November 2010
   Posts : 4,658
   Rep Power : 1784
   Likes Received
   1281
   Likes Given
   1960

   Default Re: Spika wa bunge akiri uwezo wa CHADEMA

   Bi Kidude" Una maanisha spika ndo jina lake hilo, mweeeeeeeee! Huwa ananifurahisha kweli muda wote anauza mwanya wake na vijineno vya ajabu ajabu kwa kila swali la nyongeza pale bungeni. Ukiwa huna akili, ingia ccm utaishi maisha matamu bila maadili
   “If you can not get what you love, then love what you have”

  18. Kudi Shauri's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 1st November 2007
   Posts : 147
   Rep Power : 667
   Likes Received
   56
   Likes Given
   0

   Default Re: Spika wa bunge akiri uwezo wa CHADEMA

   Bunge haliwezi kusimamiwa kwa haki ikiwa kama Spika ni mjumbe wa Halmashauri kuu ya chama kimoja. Hii ni kama kumchukua Assistant Coach wa Timu moja ya mpira na kumfanya referee wa mpira kati ya timu yake na timu nyingine. Ni lazima ataipendelea timu yake. Wote tuanofuatilia majadailiano ya Bunge tunaona upendeleo huu wa wazi wa Spika Makinda kwa CCM. Hata katika hotuba yake ya kujumuisha mjadala wa muswada huu wa katiba Spika Makinda amekuwa akisema ........tulitegemea WENZETU wangefanaya hili au lile.......... ikimaanisha kuwa hao ni kundi lingine. Hii ni sababu nyingine ya kutaka madiliko ya Katiba. Hata hiii Hotuba ya Rais kwa wazee wa Dar ni kwa Wazee wa CCM kwa hiyo huyu Rais ni wa CCM na sii wa Watanzania wote.

  19. Kalunguine's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 27th July 2010
   Location : Kigoma -TANZANIA
   Posts : 2,401
   Rep Power : 976
   Likes Received
   76
   Likes Given
   191

   Default Re: Spika wa bunge akiri uwezo wa CHADEMA

   CDM forever

  20. matuse's Avatar
   Member Array
   Join Date : 7th March 2008
   Posts : 38
   Rep Power : 627
   Likes Received
   7
   Likes Given
   1

   Default Re: Spika wa bunge akiri uwezo wa CHADEMA

   Sijui nikailipue nyumba yake pale kijitonyama!!!, kwanza ametuzibia barabara hii inauma sana

  21. Kudi Shauri's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 1st November 2007
   Posts : 147
   Rep Power : 667
   Likes Received
   56
   Likes Given
   0

   Default Re: Spika wa bunge akiri uwezo wa CHADEMA

   Bunge haliwezi kusimamiwa kwa haki ikiwa kama Spika ni mjumbe wa Halmashauri kuu ya chama kimoja. Hii ni kama kumchukua Assistant Coach wa Timu moja ya mpira na kumfanya referee wa mpira kati ya timu yake na timu nyingine. Ni lazima ataipendelea timu yake. Wote tuanofuatilia majadailiano ya Bunge tunaona upendeleo huu wa wazi wa Spika Makinda kwa CCM. Hata katika hotuba yake ya kujumuisha mjadala wa muswada huu wa katiba Spika Makinda amekuwa akisema ........tulitegemea WENZETU wangefanaya hili au lile.......... ikimaanisha kuwa hao ni kundi lingine. Hii ni sababu nyingine ya kutaka madiliko ya Katiba. Hata hiii Hotuba ya Rais kwa wazee wa Dar ni kwa Wazee wa CCM kwa hiyo huyu Rais ni wa CCM na sii wa Watanzania wote.

  22. Antonov 225's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd November 2010
   Location : namiungo
   Posts : 262
   Rep Power : 534
   Likes Received
   29
   Likes Given
   30

   Default Re: Spika wa bunge akiri uwezo wa chadema

   Quote By CtVKiLaZA View Post
   Hana lolote labda mpaka siku akitoa wigi akili ndo zitamurudia.
   Labda ana shimo kichwani , ndio maana wigi alimbanduki.
   Every man gotta right to decide his own destiny,And in this judgement there is no partiality.

  23. JF SMS Swahili

  Page 2 of 2 FirstFirst 12

  Similar Topics

  1. Spika wa bunge (Anne Makinda) akiri posho kuongezwa!
   By EasyFit in forum Jukwaa la Siasa
   Replies: 364
   Last Post: 7th December 2011, 21:17
  2. Bunge la Miongozo ya Spika, Jee Mhe, Spika ni Dhaifu, Dikteta au?
   By PatriotMzalendo in forum Jukwaa la Siasa
   Replies: 203
   Last Post: 15th February 2011, 16:50
  3. Mwema akiri uwezo wa Polisi mdogo
   By BAK in forum Habari na Hoja mchanganyiko
   Replies: 4
   Last Post: 14th January 2009, 12:36

  Tags for this Topic

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...