JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Hatuhitaji katiba mpya ya CCM!

  Report Post
  Results 1 to 1 of 1
  1. Izack Mwanahapa's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st April 2011
   Location : Mwanza
   Posts : 482
   Rep Power : 637
   Likes Received
   211
   Likes Given
   130

   Default Hatuhitaji katiba mpya ya CCM!

   Tanzania ya leo inahitaji katiba ya nchi iliyotokana na mapendekezo ya wananchi ili ipate uhalali (Legitimacy) ya kuheshimiwa. Mjadala wa muswada wa katiba unaoendelea sasa umekuwa ukipingwa na baadhi ya wanasiasa, Wanaharakati, Mabaraza ya katiba, Majaji na wananchi kwa ujumla. Kwa hali hii tayari katiba inayotarajiwa itakosa uhalali kutoka kwa wananchi kwani watu wanaoendelea kuujadili na wanaotarajiwa kuupitisha mswada huo ni walewale walioandika katiba zenye viraka zinazotuburuza mpaka leo yaani "watu wale wale mawazo yaleyale katika suti mpya"

   Kimsingi hatutaki mabadiliko ya rangi au kurasa za katiba tunahitaji mabadiliko chanya ya Content ya katiba.
   Last edited by Izack Mwanahapa; 18th November 2011 at 14:03. Reason: MISSPELLING


  Similar Topics

  1. Katiba Mpya Au Njia ya kupata Katiba Mpya
   By Tinno in forum Jukwaa la Siasa
   Replies: 6
   Last Post: 16th November 2011, 17:12
  2. Katiba Mpya ni vita=Asasi za Kiraia na Katiba Mpya
   By QUALITY in forum KATIBA Mpya
   Replies: 0
   Last Post: 6th April 2011, 13:53
  3. Hatuhitaji Tume ya Katiba ya JK.....Katiba ya Zamani Tunaijua
   By Ng'wanangwa in forum Jukwaa la Siasa
   Replies: 0
   Last Post: 29th January 2011, 22:57
  4. Mwaka Mpya- Mchakato wa katiba Mpya, Mawazo na Maamuzi mapya na uwajibik mpya
   By Masaningala in forum Utambulisho (Member Intro Forum)
   Replies: 2
   Last Post: 1st January 2011, 01:03
  5. Replies: 13
   Last Post: 31st December 2010, 22:26

  Tags for this Topic

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...